Ikiwa kashiriki kwenye mapinduzi, basi yeye ni massula, atakwenda kujibu huko mbele ya haki, kama hakumuua baba yake basi kaua wa wenzake,hivi sasa inajulikana Kama yale ni mavamizi na mauaji kwa watu ambao hawana silaha mkononi.sasa yakiitwa mapinduzi matakatifu, hatuoni huo utakatifu, na hao wa omani ndio wanyemsaada mkubwa kwa visiwa hivyo. Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Katika kuowana kila kabila yataka waowane wao kwa wao isipokuwa ikotokea watu wamependana na Baba ameona mume ana dini na taabia nzuri kwa mujibu wa sharia Baba ataka ampe ruhusa mtoto kuolewa. Lakini Baba asiporidhika na dini na tabia ya Mume ni sawa akatae hata kama ataitwa mkabila .Kutii Muumba ndio la sawa sio watu
HUYO HAJAWAHI WALA KUHUSIKA NA HAWAJUI HATA MMOJA KATIKA WAJUMBE HUSIKA.WA KAMATI YA.WAJUMBE 14 WA MAPINDUZI YA TAREHE 12 JANUARI,1964 ZANZIBAR AIDHA HAJAFANYA KAZI YA KISIASA NA MZEE ABEID AMANI KARUME WA ASP KWANI YEYE KISIASA ANATOKANA NA ZNP YA ALI MUHSIN BARUANI MENZAKE NA.BAADAE ALIUNGANA NA ABRAHMAN BABU KATIKA CHAMA.CHAO UMMA PATRY AMBACHONACHO HAKIKUHUSIKA NA SIRI YA MAPINDUZI YA ASP
We unasema hivo ulikuwepo au ulisimuliwa naona unasisitiza sana usipende kukariri kitu ambacho ushaanzaga kukusikia kukiona kama ndo sahihi sana Utajipunguzia uwezo wa ufahamu
Hivi kuna nini nyuma ya pazia, mbona naona kuna dalili ya kubadilishwa tuliyoyasikia siku nyingi kuhusu Mapinduzi? Naona hakuna umuhimu kwa sababu hata tukijuwa au tukiaminishwa kitu kingine baada ya miaka 58 haitasaidia sana ni kujenga tu chuki.
✔️Napenda lafudhi yako uko vizuri sn ktk kuongea kiswahili cha Pwani!!!
Nakuombea Kwa ALLAH "AKUEPUSHE NA HUSDA AKUFANIKISHE KUPATA KHATIMA NJEMA"
Many thanks for your initiative!!!
Hongera sana tena sana Binti,
A Kenyan teacher watching from Saudi Arabia, I like the 'Ushafahamu' from Zanzibar people. Fluent and nice accent.
Swahili people onli Zanzibar and Mombasa okay¿thanks
Masha Allah zuhura umeolewa jaman nakupendajee
Tushawazowea hao wazushi,kasuku huzungumza bila ya kujua akisemacho achana nao "kazi nzuri yenye ukweli halisi"
Kazi njema Prof Wachanga
nakupenda sana zuhura..utazani kapare maana unaakili sana ila nahisi mama yako ni mpare
Kwani wapare tu ndio wana akili?Akili haichagui kabila
Lakini bas utapongezwa sanaa utaahidiwa pia,ukijiendekezaaa utadumaa,"endelea kama ulivyo anza"
Kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah wametuma watu wauwe ili watawale hatimae wengine wameuliwa kwanzia Karume n.k
Huyu dada alikuwa anaitumia kama mali yake . Alisumbua sana serkali ya awamu ya tano hana heshima na tz.
Kumbe Ni mmanga koko....!!!!!!
Kumbe alishiriki kumuua baba yake mzaz! Allah atamuhukumu kwa hilo ,sijui baba yaje alimkosea nini
Ikiwa kashiriki kwenye mapinduzi, basi yeye ni massula, atakwenda kujibu huko mbele ya haki, kama hakumuua baba yake basi kaua wa wenzake,hivi sasa inajulikana Kama yale ni mavamizi na mauaji kwa watu ambao hawana silaha mkononi.sasa yakiitwa mapinduzi matakatifu, hatuoni huo utakatifu, na hao wa omani ndio wanyemsaada mkubwa kwa visiwa hivyo. Baniani mbaya kiatu chake dawa.
@@saidhomie3368 hawana haya
Biubwa amour zahor amehusikasana kwenye harakati za mapinduzi ya Zanzibar,nawala hajausika kwanamna yoyote kumuua baba yke,
Na Wala visikupe faraja na matumai vilee vicheko na bashasha siku ile ya uzinduzi,hakika ulizungukwa na wazushi(wachawi)Hilo ulijuwe
Katika kuowana kila kabila yataka waowane wao kwa wao isipokuwa ikotokea watu wamependana na Baba ameona mume ana dini na taabia nzuri kwa mujibu wa sharia Baba ataka ampe ruhusa mtoto kuolewa.
Lakini Baba asiporidhika na dini na tabia ya Mume ni sawa akatae hata kama ataitwa mkabila .Kutii Muumba ndio la sawa sio watu
Penda sana wewe zuhura yunus
Neno khaibuni nina maana gani
Abroad
Ni "...ughaibuni" yaani "nje ya nchi"
kwanza ukiandia lugha ya kiZanzibar vizuri sawa¿Western Countries okay¿thanks
Hivi ni kweli huyu Mama Hana Me wa Mtoto kwa umri alionao??
Abdulahman Alex: alisha sema mara nyingi haana Mme na haana Mtoto hajawai olewa
Mmhhhh Sasa anaishije
hutokei Tanzania bali unatokea nchini Zanzibar okay¿thanks
, Tanzania bila ya Zanzibar ni Tanganyika.
Wewe una agenda gani? Mchochezo cheap!
Bulicheka Bado yupo?
@@yussufmohamed534 😂😂😂
HUYO HAJAWAHI WALA KUHUSIKA NA HAWAJUI HATA MMOJA KATIKA WAJUMBE HUSIKA.WA KAMATI YA.WAJUMBE 14 WA MAPINDUZI YA TAREHE 12 JANUARI,1964 ZANZIBAR AIDHA HAJAFANYA KAZI YA KISIASA NA MZEE ABEID AMANI KARUME WA ASP KWANI YEYE KISIASA ANATOKANA NA ZNP YA ALI MUHSIN BARUANI MENZAKE NA.BAADAE ALIUNGANA NA ABRAHMAN BABU KATIKA CHAMA.CHAO UMMA PATRY AMBACHONACHO HAKIKUHUSIKA NA SIRI YA MAPINDUZI YA ASP
We unasema hivo ulikuwepo au ulisimuliwa naona unasisitiza sana usipende kukariri kitu ambacho ushaanzaga kukusikia kukiona kama ndo sahihi sana Utajipunguzia uwezo wa ufahamu
Hivi kuna nini nyuma ya pazia, mbona naona kuna dalili ya kubadilishwa tuliyoyasikia siku nyingi kuhusu Mapinduzi? Naona hakuna umuhimu kwa sababu hata tukijuwa au tukiaminishwa kitu kingine baada ya miaka 58 haitasaidia sana ni kujenga tu chuki.
KASUKU
SASA HAPO KWENYE PICHA ANAFANYA NINI? 🤔