"AMEKOSA SIFA" KAULI YA KAMATI YA UCHAGUZI TLS MWABUKUSI KUENGULIWA KWENYE UCHAGUZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @JuhudyMachete
    @JuhudyMachete 2 місяці тому

    Ni ni Wana Sheria au wanasiasa tendeni haki watanzania wenzetu itafika wakati mungu atasimama mwenyewe mtatamani Dunia ipasuke muingie haitawezekana aibu itakuwa yenu wabukusi ni mtu wa haki sana na mungu huwa anasimama na mtu mwenye haki hata kama Moja ktk tuvyeo huto hata kamoja kanakomfaa mwabukusi hata kamoja hamna

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 2 місяці тому

    Nchi hiii hatari sana kosa la kuzungumzia bandari

  • @AMOSEXAVERY-fm4qm
    @AMOSEXAVERY-fm4qm 2 місяці тому

    Ninyi ni wa hovyo kabisaaa!!!

  • @FadhiliKavindi
    @FadhiliKavindi 2 місяці тому

    Kabsa wameingiza siasa

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 2 місяці тому

    Kanyoe nywele wee😂😂

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 2 місяці тому

    Mwabukusi mmemuonea, afu sasa mbona na nyie mmeanza siasa??

  • @fabianhaali8437
    @fabianhaali8437 2 місяці тому

    Hawa ni takataka na vifungu vyenu vya kukariri 🚮🚮🚮