Mapendo ya kweli dunia nzima ni pendo la maman mzazi, eh! Mungu ulie mbinguni umulinde mama yangu mzazi aishi maisha marefu apa dunia kufika na hapo ni tapata kivuli cha maisha🇨🇩🇨🇩🇨🇩✊
CHENDU kacheza vizuri sana sio kila siku uchawi. CHUMVI nyingi umekuja vema sana mwendo uwe huo huo wa kubadirika kama kinyonga silias ndio inakufanya uwe steling bora ❤❤❤
Nimefurahishwa na vitu vingi kwenye tamthilia hii: Chendu kutokuwa mchawi, Chumvi kuwa sirious, Mchaga kutokujifanya mwehu anaongea vizuri, mpangilio wa stori mzuri ❤ Naomba Kisofa abadirike anaharibu sana stail yake ni mbovu. Hii haihitaji mchezo labda mlevi tu ndio ajichetue. Na chifu MKONO WA MKONOLE apunguze vituko, kuna sehemu sio za kuchekesha anachekesha. Kazi ipo sawa ❤❤❤❤
Sawa wanachelewa but to me bora wachelewe walete kitu kizuri like this tunaenjoy hadithi nzuri camera set nzuri and quality na actor and actress very serious this is what we want chumvinyingi
Tagu niase kutasama chuvi nyigigang hiii nimepeda haina bano ya uchawi ni mafuso mingi sana uchugu wa mama kweli😢😢😢 chedo hiii ni mekupeda sanahogeleni kukota kenya ❤❤❤❤
hiyi movie norma sana mmetisha ❤❤❤❤
Narudia tena .chumvi hii huenda ikawa series bora kwako ya muda wote
Mapendo ya kweli dunia nzima ni pendo la maman mzazi, eh! Mungu ulie mbinguni umulinde mama yangu mzazi aishi maisha marefu apa dunia kufika na hapo ni tapata kivuli cha maisha🇨🇩🇨🇩🇨🇩✊
Kuanziaa mwaka juzi nimefuatilia chumvi ,Aninunulie voucher ya shillingi kumi 🤣🤣 Kazi nzuri
Jamani ongera sana chumv nyingi muv kali sana
Waooo wa nne kwa Ndupe🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Saf kabisa chumv nyng gang ooyeee
Kazi mzuri sana mwanangu wa nguvu 🎉🎉🎉
Unyama mwingi yani ôzââ 👏
Ndio maana nampenda chumvi nyingi hacheleweshagi episode ❤
Much love from Kenya napenda sana kazi yenu big up❤❤❤
Asnt kaka tunainjoiii sanaaa❤❤
Wakwanza 🎉🎉
Chumv humu kacheza jmn maua yake🎉🎉🎉🎉🎉❤
Leo mapema ndupee❤
Nyangemba mama angu jmn umejua kuniliza unaliza mama nakupenda allah. Akuongoze na kipajii chako❤❤
Yaan daah ukitaka kujua kama chumvi nyingi bonge la handsome boy bac akiigiza movie akiwa silias❤❤❤❤🎉mawapenda wote jmn❤❤
Mfalme kainjoy kubebwa juujuu😂😂😂😂Shukran
Nimewah boc chumvi🎉
Kazinzuli chumvi nying gang
Yani nime cheka nanimeuzunika jamani 😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
NAPENDAA SANA CHUMVI NYINGI GANG❤
Karibuni tena😂😂❤
Hongera sana chumvi nyingi🎉
Chunvi nying gang wa2 wabad sana nakubal kaz zenu amjawai kuniangush kwa upnde Wang, kazen buti
Me namkubali sanaa kisofa jamani na kile kistyle cha kuvaaa jichoni yaani babkubwaaaa😜😜
Kaz nzur chumv nying gang
Wakwanzaaaaa❤
Mzee wa kisa kidogo amepotelea wapi jamaniii, kwenye hii movie angefaa sana awepo,
Chumvi nyingi turudishie mzee wa kisa kidogo.
Mzee msati cha mtungi ndo zaidi broo....mzee na kauli zake
Umetisha
Kazi nzur san❤❤❤
Atakaye toa like Mungu amjaalie maisha marefu
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jmn nyangemba 😢😢pole unalia kw hsia kwl
Jmn nimekuwa wa kwanza leo😂😂
Sijamuona mfalme kidodombia ❤
Hiii nzul kikubw wasanii waje Kwa utofaut hususan kisofa awe siliaz ,
Nimefurahi kuona comment yako ❤
😂😂😂😂😂
Yan kama kisofa jaman ayuko silias kwakwer
@@NaaJuma-o5u naona episode za sasahivi anaanza kujitahidi ingawa kuingia kwenye sirious moja kwa moja naona inampa shida
Mama kalia kwahisia sana😅😅😅😅
Xana
Aah chumvi nyingi apa 😂😂😂
nyumbani kumenoga😂😂
CHENDU kacheza vizuri sana sio kila siku uchawi. CHUMVI nyingi umekuja vema sana mwendo uwe huo huo wa kubadirika kama kinyonga silias ndio inakufanya uwe steling bora ❤❤❤
Umeuwa watanyooka TU tup walipo SS tunawapend ukiona unsemwa ujue una kitu badiliken wasanii 🎉❤
@@HazardBoy-h4w nimefurahi sana kuona wamebadirika hapa safi sana. 🤝⚘❤
Chumvi lete vi2 lete kbsa yn ap nafatilia movie zako kwa kila ha2wa
Duuh the second one
Chumvi kiboko ya bongo movie unajua mpka umetiliza unakujua mpka basi ww ni Simba WA Sanaa ya bongo
❤❤❤chumvi nakukubali sana ❤❤ you my brother🔊🇧🇮
Nimefurahishwa na vitu vingi kwenye tamthilia hii: Chendu kutokuwa mchawi, Chumvi kuwa sirious, Mchaga kutokujifanya mwehu anaongea vizuri, mpangilio wa stori mzuri ❤ Naomba Kisofa abadirike anaharibu sana stail yake ni mbovu. Hii haihitaji mchezo labda mlevi tu ndio ajichetue. Na chifu MKONO WA MKONOLE apunguze vituko, kuna sehemu sio za kuchekesha anachekesha. Kazi ipo sawa ❤❤❤❤
Asnt Kam shabik wa chumvinying gang na magang yak
@@HazardBoy-h4w tukopamoja na Chumvi nyingi mwanzo mwisho ❤❤❤
Mama nyangemba unalia kindengereko kabisaa unaniliza hata mie jmn😢
Leo mimi wapili nimefurahi na ukweli wa ndupe je mfalme atachukiwa hatua gani kwa malkia
W🎉🎉🎉
Changamoto ni gani Chumvi nyingi mbona mnatueka sana na sio kawaida
Sawa wanachelewa but to me bora wachelewe walete kitu kizuri like this tunaenjoy hadithi nzuri camera set nzuri and quality na actor and actress very serious this is what we want chumvinyingi
Kwann nyau mmemtenga mbn haonekani nyau
jamani leo wapili mim toka mozmbique 🇲🇿🙏 naomba like zangu
Jamaniiiii chumvi mwamba naomben like zenu mashabiki wenzangu wachumvinyingi gang kama unawakubali awajamaa gonga like apooo
Ndupe kama ndupe❤
Asant Nilikua naisubiri kwa hamu
Was 10❤❤❤❤
Nakukubali sana chumvi saluti sana kwako mungu akuinue kwenye sanaa yako
Musiwe munacherewesha kazi
Oyaaaaaaa
Wapili leo
chumvi kacheza vzr ama vibaya mm wakwanza nasem kachenza vzr nyie je🎉❤
bwana msema kweli hana baya 😂😂😂 jamani hii kweli ndupe
Bro uko sawa sana ila hii ndupe unatowa moja moja kwanini mm siriziki mimi bana towa mbili mbili au tatu tatu
mmh atar sana
Nyangemba unahuzunisha uchungu wa mwana huo
Safari hii chunvi kacheza kwa umakini sana nimependa anavo cheza hum maana kawa sirias kana kazi
❤❤❤
Chumvinyingiii gang we are together 🎉🎉🎉🎉
Bongela move hii
😭😭😭😭😭😭😭😭 da mama karia kwa huruma sana
hizi sasa ndo move tunazo taka
Katika series ambayo chumvinyingi gang wamepiga basi hii kwangu so nice... Hebu nipen like mungu atawalipa...🙏🙏☝️☝️
Oneni aibu mnaosema wakwanza wenzetu tulicomment tangu video inasoma namba kabla haijafunguka
Ndupe Ni Ya Motooo Mtabili Jaman Nuangembaa Chozi La Hisia Limekutoka Nimependa Sana Ulivyovaa Uhusika Unaweza Piga Kazi
Mama ake Rufiji kaniliza 😢😢😢
Watano leoo
Bibi nyangema 😂
Nakupenda chumvinyingi❤❤
Mimi wa30 naombeni like zenu 🎉😢
Iiiii.kaliii.jamani❤❤❤❤
Hata Mimi naomba laik kutoka kwenu mashabiki wenzangu kutoka palma 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nyangemba umetuliza nyumba nzima yan dahhh😢😢😢kaz nzur nzur mama angu unajua adi unajua ten👏👏👏
NDUPE😂😂😂
Ndupe msema kwr
CHUMVI jamani NYAU yuko wapi
Very nice ♥️
Pamoja sana kaka mkubwa chumvi tunakusapoti pia
Kidodombi leo mbona ajaonekana😢
Nice movie ❤❤❤❤🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂chumvi jmni ata Kama tumesema uwe serious khee ndio ufanye sura ivo jmniiiii😂😂😂😂😂😂😂unanichekesha mnooooo nikikuangalia
Tagu niase kutasama chuvi nyigigang hiii nimepeda haina bano ya uchawi ni mafuso mingi sana uchugu wa mama kweli😢😢😢 chedo hiii ni mekupeda sanahogeleni kukota kenya ❤❤❤❤
Ewaa nimewahi
Chenduuu mwamba wa kuingza usurious comedi ndani ya Ndupe na series zngne ndani ya chumvi nyngi Gang🎉🎉🎉😂❤❤❤
Movi ya viwango sana hii ❤️❤️
Iha isha ama
❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤🎉🎉
Jamn mue mnatoa kila siku maan tumeipenda jaman
Jamani mnajua mnajua mpaka mnajua tena
Hzo sound tracks sio mchezo, kadri siku zinavyo zid kwenda unazid kukua home boy, kila la kheri big
Chumvi big up xan
hii move itaenda mbali
Yaan kila siku ye atoe tu si tupo nae