I have gone through youur comments guuyz & no one is talking about this amaizing guy "Latiino" lets show him some love jamenii wakenya wenza.Sio fair surely.
Latino ana unyamwezi zaidi melodies maali pake ....Nadia endless na moyo huohuo wakuinua madogo wengi wanavipaji ila hakuna wakuwashika mkono...New subscriber here.ke.outer Coast.
ZAWADI LYRICS
*VERSE 1*
(LATINOH)
Zawadi kanipa mungu sasa kwanini nisipokee,
Zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee,
Tena baridi si nyingi kiasi usingizi uniletee, Nikitoka kazini uchovu mawazo unifanya yapotee,
(NADIA)
Ivi ushapendwa manake nikipenda waga napenda kweli,
Uoga kwa wakutendwa usihofu mimi si kama wale matapeli,
Basi leo nadeka nacheza napendwa na
wewe, Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe,
(LATINOH)
Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby, Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby,
Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa) nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa) Mi ni wako pekee mwengine hapana, Wanaosema watasema sana.
*CHORUS*
nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
Zawadi yabgu...zawadi yanguuu
(Instrumental)
*VERSE 2*
(LATINOH)
Kwa geti ntaekea mbwa kali ndio mafisi wasisogee, Nikulinde nikutunze sarafu mikononi usinipotee,
Niruhusu nikugande chawa
Umenishika pabaya,
Unachotaka mi ni sawa,
Mana nishapagawa,
(NADIA)
Jamani penzi letu limebobea,
Nimepata wangu mi napepea,
Kitausi naringa nikitembea,
Unavonipenda najichekea,
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe,(na wewe)
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe
Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby, Nishike nipinde nibebe nimenaswa na
wewe baby,
Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa) nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa) Mi ni wako pekee mwengine hapana, Wanaosema watasema sana.
*CHORUS*
nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
(Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe)
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
(Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe)
Basi leo nadeka nacheza napendwa na
wewe
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na
ewe.
Weee ni tamu sana
Always ❤️❤️
great
Hit song😍😍😍Nadia never disappoints nor joke with music 🎶. Her lyrics and everything are on point
Always on the top african pop star 🌟.In love with your vibes.
This woman usually inspires me most and I can't wait to see her when I come to kenya 😍 😩lemme get a like from team nadia
I do agree
Me too would want to meet her
Vipi
Kwani ukoapi?
@@metallicthemelodious_ subscribe
Who else feels Nadia mukami never disappoint ✋💯🔥🔥
I do
I conquer
Me😩
There sth about her voice...it's unique
🙏😍
The guy rocks like juma jux..awesome nipeni likes tukisonga
Nadia mukami u never disappoint baby girl you will go far in Jesus name.LIKES ZA NADIA kumshow how much we love her
She's such a vibe
Please let's not drag Jesus into this. He doesn't bless everything.
Smash HIT!
Nobody is mentioning how talented Latinoh is 🔥🔥
Not forgetting latinoh is under Nadia Mukami label,,she really natured a good talent
Latinoh is underrated manze and no one is noticing!
Am still here listening to this masterpiece
Coz he’s been featured in the song, we recognize the owner..though he did it best
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Latino Apo ndio patamu mdogowangu.. keep on👏👏👏
I have gone through youur comments guuyz & no one is talking about this amaizing guy "Latiino" lets show him some love jamenii wakenya wenza.Sio fair surely.
Zawadi💥💥💥💥kigogo was here
Latinoh!!!GOOOO BROOOOH🙌🏻🙌🏻❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻
ua-cam.com/video/zxqflBd7MOU/v-deo.html
Thnk you siz
i wish Kenyans knew how we really love them and their good music... more love from California
We love you too
California Eastleigh sawa mkuu
Kinithia we love you right back, say hi to Kifee.
We love you tew guyz
Mukami all the way 👑
Imeweza kali sana
Pongezi kwa Nadia na Latino hii ni hit song nasema kwa dhati tumeipokea zawadi,
Kanadia katambe💪💪 moto kabixa👊 much love mummy♥️♥️♥️
Latinoh is a lyrical genius.. mistari zinamake sense
ua-cam.com/video/zxqflBd7MOU/v-deo.html
MOTO SANA HIIIIII KAMA WANAJAMII TUSHAPITISHA #ZAWADI TO THE WORLD
Ngoma safiiii barida💯❤️❤️❤️
Latinoh👌🔥🔥it's lit..kanadia katambe❤🔥🔥
Nadia has never changed..still cute "si rahisi" Kanadia katambe!
Latinoh hits! Kanadia....love love!!!!
After 10 months finally tunaingia 1M.....but it deserved more
Hii nyimbo ni kali sana angalau tuwafikishe 1M tu jamani wadau
Booooyyyyy kitu safii #LIKONI my fev #zawadi
Aki kasauti Ka Nadia🥰🥰🥰
Latinno on🔥🔥🔥🔥🔥
Kanadia katambeeee🖤❤️❤️❤️
I really like Nadia's songs I wish ningekua na uwezo
Mkali wetu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Latino gave his best on this one🔥🔥🔥Not forgetting the one i look up to ❤❤❤Nadia to the world🔥
Where is this guy from? I like his voice.
Nadia Dada angu jichoo ilo duh but all in all ngoma kali sana,,,sema nimepata zawadi yangu🥰😍🥰
My God give mee my zawadii❤❤
Kali sana, nakubali💪👍
We need 1M.... love from Uganda
Verses za Nadia ni🔥🔥🔥
💯🇰🇪Zawadi kwa wananchi🔥
I will be posting the lyrics
Pls subscribe
Mashallah nice one #zawadi nice zouk
Nimepata zawadi yangu na Nadia amenionyesha zawadi yake ....lakini nashikishaa sawa moto umeuwakisha sawa ,kweli mapenzi Raha
Kali nadia
Hii song haina makosa yoyote. Can't stop repeating wah
Manze Nadia mukami has been a my forever big star.manze I look apon her
Tuned in
Ngoma motooo🔥🔥🔥 iko hapa, sasa kasichana kazuri kakutumia kwa simu katafutwe.
Sauti ya Nadia🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥺🥺🥺🥺
Latino anajua kweli. He's in good hands
It's the Zawadi yangu part for me 👍👍
A beautiful song ... with a beautiful message
With artist like Nadia our Kenyan music industry is going international 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dope!!! Nishanaswa tayari na wimbo
Latinoh ,Big ting🔥🎧
Zawadi again 🔥🔥🔥🔥 siz
From TZ with love, where are my fellow Tanzanians show love for Nadia
My best musician ,,huwa unanituliza sana,,my almighty father bless your and your family ❤️
We gotta appreciate beautiful Music, African Popstar Kanadia. Amazing production too 🙌👌
Latinoh 🔥🔥🔥
Another one Latinoh on top🔥🔥🔥🔥
Nimetiii❤🔥❤🔥#NADIA #LATINOH to the world.
So sweet,mi pia nataka kumwibia Nadia mukami 😋😋
Nadiaa❤️❤️❤️
Nakupenda Bure kamami 😭😭😭😭😭 wapi likes zake jameni
nommaaaaa sanaaa
Have listen to it 100times BT sijatosheka
Wueh🔥🔥🔥🔥🔥
Kenyan music to the next level..... Nadia Mukamis biggest fan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥳🥳🥳
i love this song so much, hoping pia me ntapata zawadi
GISTOFF MUSIC New label in Nairobi Kenya likes this
Nadia never disappoints....our number one woman 🎉🎉🎉💕💕💕Leh mh get a like from team Nadia's group
Latino ana unyamwezi zaidi melodies maali pake ....Nadia endless na moyo huohuo wakuinua madogo wengi wanavipaji ila hakuna wakuwashika mkono...New subscriber here.ke.outer Coast.
Mama lao ..ngoma Iko swafi
Latinoh my guy 🔥🔥🔥
Keep going nakupenda bure aki
wao my girl Nadia mukami God keep blessing you mami
Huyu mhuni Mbna anajua Sana ☑️💯
This lady✌️❤️❤️❤️ kumbe she was busy writing songs and shooting akiwa paged.. #kai ameandika more than 3 ❤️❤️
Nadia never disappoint 🔥,nishapata zawadi ya wimbo wa msimu
Oh my❣️❣️❣️❣️ #latino boy Ako na Sauti.
Nadia you never dissapoint love you
Kanandia ketu🥰
Latinoh!💯💯💯💥💥💥Talent!!!!
Nadia verse 1 flow kali
Ever best 🔥🔥✔✔ usanii ulipata kama ZAWADI big up Nadia👊🏼🙌🏼
So true amazing melody you always make me not to give up 🥰🥰🥰 zawadi kutoka kwake Mungu umeipokea
Latinoh isay he's on another level oooh..big tune hapa
🔥🔥🔥🔥ngoma moto sana... Kenya to the world 🌎 Kanadia
Indeed nadia God has given u zawadi love u
WOW 🌹 kanadia nimepata zawadi iko fireeee.... Mungu nipe zawadi yangu pia in Jesus name 🙏
I will be posting the lyrics
Pls subscribe
There's a running instrument playing at 1:54 that sounds so good buana. I love this song
swear I have loved it too...
🔥🔥
Watch another hit song here
ua-cam.com/video/9-57UtaR8Tw/v-deo.html
The popstar never disappoints😍😍😍 kitausi twaringa tukitembea❤️❤️
My favorite line: Hivi ushapendwa? Manake nkipenda huwaga napenda kweli,
Woga wa kutendwa, usihofu mimi si kama wale matapeli...❤️❤️❤️
Nadia am always proud of you mommy🥰🥰🥰🥰🥰 I wanna be like you though on acting industry,,,keep shinning dear,,,your music is lit
Kazi nzuri sanaa👏🙏❤
I will this level by God's grace
Kanadia katambe 🥰🥰🥰
latinoh was worthy the shot....pure talent nadia on the other side she nevert disappoints 🌹💃🔥
Nadia My favorite 🥰🥰
Kawimbo katamu sana😍😍
Nadia my Woman 👩 ♥ ❤ 💓 💕
Ni tamu sana ♥️♥️
Our gal born 8n Embu county....we love you