Hongera Sana Mwaduke( mzee wa data) kwa uchamuzi wako means viongozi wa Yanga mchukueni huyu jamaa ana kipaji kikubwa Sana na soka Mimi binafsi namkubali Sana na ni kompyuta wa soka wa Tanzania tumpe Maya yake❤❤❤❤❤
Acha hizo, huyo nilishamwambia awe na kiasi cha maneno ili aweze kuyakumbuka make mara nyingi kibao kimekuwa kikigeuka kiasi cha kumfanya kupigwa butwaa!! Too much misifa kiasi cha kuwavimbisha wachezaji bichwa na kusahau majukumu yao. Yeye za ndani/uchunguzi huwa hana hajui wachezaji maisha yao na vinavyowazunguka hasa kujirusha pia kuhudhuria kwenye madanguro!! Hayo hayajui yeye anajua kilichopo uwanjani tu!! Binafsi nshamwambia live kwamba Kiongozi acha kutulisha ndulele
@@festokemibala5832mdomo wenye maneno mengi haukosi dhambi. Yeye huchukua taarifa google afu anakuja kuvimba nazo, bila kujua uhalisia wa mpira wa miguu, hautabiriki, na hauwezi ishi kwa mazoea.
Tulio kuja kumsikiliza Mbwaduke Baada ya Mechi ya Yanga tufahamiane.
❤❤❤❤❤❤❤❤ tuwaombee watani leo
Ewaaaaah! Mtani
Waliologwa haeakuelewi,wamekalia kusema Cocha hafaiwamesahau Fadlu ametoka kuishusha timu aliko toka😂😂😂
Mbwaduke tunakusubiri hapa utupe ukweli wa facts zako
Hongera Sana Mwaduke( mzee wa data) kwa uchamuzi wako means viongozi wa Yanga mchukueni huyu jamaa ana kipaji kikubwa Sana na soka Mimi binafsi namkubali Sana na ni kompyuta wa soka wa Tanzania tumpe Maya yake❤❤❤❤❤
nipo pamoja na wew kaka atakua kocha inshallah mungu ampe uaye
Nani yupo na Mimi kuwa mbwaduke ipo cku inshallah atakuja kuwa kocha mkubwa sana
labda uunde team yako umpe aifundishe😅😅😅😅
Acha hizo, huyo nilishamwambia awe na kiasi cha maneno ili aweze kuyakumbuka make mara nyingi kibao kimekuwa kikigeuka kiasi cha kumfanya kupigwa butwaa!! Too much misifa kiasi cha kuwavimbisha wachezaji bichwa na kusahau majukumu yao. Yeye za ndani/uchunguzi huwa hana hajui wachezaji maisha yao na vinavyowazunguka hasa kujirusha pia kuhudhuria kwenye madanguro!! Hayo hayajui yeye anajua kilichopo uwanjani tu!! Binafsi nshamwambia live kwamba Kiongozi acha kutulisha ndulele
@@festokemibala5832mdomo wenye maneno mengi haukosi dhambi. Yeye huchukua taarifa google afu anakuja kuvimba nazo, bila kujua uhalisia wa mpira wa miguu, hautabiriki, na hauwezi ishi kwa mazoea.
❤
Hata Sasa anweza kuwa kocha
KATIKA SIKU AMBAYO SIMBA WATALOWA NI LEO,MAANA WANAYOYAOMBA HATA TOKEA KAMWEEE
wakapasuke t leo maana wanamdomo sana .
Kwa nn yanga hawa mchukuwi mwaduke kuwa video analysis
Si waombea maana walikufuru sana yanga na wanamatusi sana na wachawe
Ww ni mtu wa Zanzibar ndio maana ukasema hayo
Nasisi hatuna shida na maombi yako
Wachawe ndio nini? Kajifunze kwanza kuandika . Leo utaumia sana maana Yanga ndio mshindi.
❤