Waoo ni wahalifu kama wahalifu wengine huyo misime ni nani katika hili taifa vyombo vya hbari endeleeni kuwahabarisha Wana jamii Ili uovu kama huu usiendelee kuwepo
Mey nimeona hiv kamabint yuko kwenye maofande huyobint bando hayuko kwenye usalam make aliyetuma wabakaj niofand je, kamaniwewe unaoa bint yuko kwenye usalam
The more you talk, the more you populate the story... na itaendelea kumshalilisha yule mhusika as far as watu wengi come to know it kupiyia vyombo vya habari
Safi sana wazee wa minyamaa ifike mahali bana uwoga ukae pembeni haki idaiwe hakuna mtu yuko juu ya sheria
Mungu awape moyo uouo
Waoo ni wahalifu kama wahalifu wengine huyo misime ni nani katika hili taifa vyombo vya hbari endeleeni kuwahabarisha Wana jamii Ili uovu kama huu usiendelee kuwepo
Jamani dini yetu isha weka vitu wazi kwanini tusifate dini wapigwe mawe adi wafe
Leo mmechambua taharifa kwa ufasaa na uchungu, ,
Mey nimeona hiv kamabint yuko kwenye maofande huyobint bando hayuko kwenye usalam make aliyetuma wabakaj niofand je, kamaniwewe unaoa bint yuko kwenye usalam
Musiache mpaka kieleweke
huyo AFISA mbona haguswi?
Wale haki za binadam mbona wako kimya utazani hawapo Makonda alimwambia yule mama hapo hapo kelele zilikua nyingi sana mbona wao wamekaa kimya
Naumia tu pale alipoitaji maji duuu 😢
Mjaelewa nyingi 😂 mtalewa
Uyo afande mkubwa kuliko taifa
Tunatakiwa tuandamane,, tukiwakuta polis wan jeshi tuwazibue uku uku mitaani
Mbona sliyewatuma hatumbiwi kafanywaje
Wanataka kulifunika
Na wanabahat yaan ningeng'ata mboo zao kwa meno had inakatika waniue lkn nife na mmoja
The more you talk, the more you populate the story... na itaendelea kumshalilisha yule mhusika as far as watu wengi come to know it kupiyia vyombo vya habari
So ridiculous comment! What's wrong with publicity? Is it a crime to be informative? Stop hypocritical notions!
Ujinga ukiandikwa kwa kiEnglish unaitwa UJINGAZ🚮🚮
Nipeni hao watu ninyongeee nibebe tu dhambi haina shida
Haki za binaadamu wanatetea mapenzi ya jinsia moja tu
Uyo afande ninani
Ili jambo sio la kukakimya ukatili mkubwa sana uliokithili
Waandishi waki Tanzania Wana kusemea michezotu.Inchi inaendaje niwa oga.😅😅😅 Umbumbu mbu(Elimu ndo shida
Wanataka msiliongelee Sababu wanataka kulifukia
Wanajua tutaongea kama kawaida yetu baada ya mda itayeyuka kama ya Sativa na mengine si umeona ya Sativa kimya kama hakuna kitu
Na hizo vidoe mzifute ili mpoteze ushahidi
Kama wao wahalifu walifanya unyama kwani bas tusielewesh?
Acheni comedy kueni crc
Chawa
Raaaaaabeeka