Mungu amsaidie huyu mama mpka nimelia JAMANI machozi mana mtoto yuko mbali kiukwel Mage amekosea tumsamehe tumsaidie huyu mama kwa kidogo tulichojaliwa na Allah mana najua tuna majanga ya kariakoo na wengine tumepoteza ndgu zetu so sad kwa kweli Allah amfanyie wepesi Ndugu yetu Mage Tuendelee kumuombea huku tukichanga michango
Hawa waschana wanaenda india kufanya??? Wahindi wenyewe maskini wamejaa arabuni na hawataki kurudi kwao ila pole sana mama inshallah mungu atakufanyia wepesi mwanao atarudi salama
😭😭😭It hurts!Thats all i can say!!Pole sana mama ,Lord give her strength!May God keep fighting for Magdalena 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🙏🙏
Mmmmmh milioni 40?? Subhallah 😮. Wanawake Tujifunze kwa hili tuwe makini na kusafiri. Mungu ampiganie apate ahuweni
Mungu amsaidie huyu mama mpka nimelia JAMANI machozi mana mtoto yuko mbali kiukwel Mage amekosea tumsamehe tumsaidie huyu mama kwa kidogo tulichojaliwa na Allah mana najua tuna majanga ya kariakoo na wengine tumepoteza ndgu zetu so sad kwa kweli Allah amfanyie wepesi Ndugu yetu Mage Tuendelee kumuombea huku tukichanga michango
Dada zari usilie unaniliza na me JAMANI nimelia sana
Ingekuwa ni karibu ningeenda hata kumpapasa papasa mwananguu😢😢ningemshika shika hata kama haongei😢😢😢 daah mama ni mama R.I.P mama🥹🥹🥹
mama yangu polesana Allah atamuafu nimtihani yatapkta
Hbr zari mtafuten chief godlove atawasaidia maana Huwa anaulizia wenye shida.
Hawa waschana wanaenda india kufanya??? Wahindi wenyewe maskini wamejaa arabuni na hawataki kurudi kwao ila pole sana mama inshallah mungu atakufanyia wepesi mwanao atarudi salama
Hii pesa ni nyingi hapa wasaidie uwape muongozo serikalini iingilie Kati. Milioni 40 ni pesa nyingi hata tuchange vip kutimia hii pesa ni ngumu
Mwambie mama apunguze kulia ajikaze maji yamesha mwagika.
Alizochangisha nifa zije huku
Ubalozi wa tz si upo india wako wapi wamsaidie ndo ameshakosea
Pole yake ilajamani tutulie makwetu SSA kamaivo yupo ugaibuni naanaumwa anampa mma shda
@AishaMwarabu India sio ughaibuni