Jesus Christ see what we found in dave house😭Why kíll senior dave😭😭You will cry watching this video😭

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 709

  • @Loisekuria-l1x
    @Loisekuria-l1x День тому +368

    Wenye hatuamini hizi headlines zao piga like tukisonga jameni,,senior dave is alive

  • @CarolineSyombua-s2y
    @CarolineSyombua-s2y День тому +87

    nitarudia tena na tena wangapi wanaona headliness za dave siko hadadhali kuliko hzi za hawa watu dave plz come back

    • @gracekaruga897
      @gracekaruga897 День тому +1

      Hawa ni kama wako na masetani vichwa zao wote

    • @IreneAmina
      @IreneAmina День тому +3

      Mimi uwa nashidwa na mtu uweka hizi headline anauwa watu wakiwa Hai they need to improve there headlines

    • @Annwanjohi-d6f
      @Annwanjohi-d6f 16 годин тому

      Aliajiri watu hawajui kusoma headline Iko apposite na chenye wanaonyoshana apa

    • @naseeralbishi4726
      @naseeralbishi4726 15 годин тому

      Zìko sawa na za dave cz ata dave alikua tu ivo so kawaida t7

    • @LydiahMoraa-c9j
      @LydiahMoraa-c9j 15 годин тому +1

      Wanabore ak... headlines za uongo ata kusaidika NI ngumu

  • @LeahNjoki.....Uniqueshoezone
    @LeahNjoki.....Uniqueshoezone 16 годин тому +14

    I like the maturity in Wambui...
    Congratulations girl❤

  • @nancymoraa6491
    @nancymoraa6491 День тому +21

    Dave hawezi kufa in Jesus name trust headline for your own risk kwani mnataka Dave akufe 😢😢😢😢

  • @teresiawanjiru8159
    @teresiawanjiru8159 День тому +17

    Wacheni kuumiza roho za watu na stress , SD is alive in Jesus name

  • @CruminaStarlight
    @CruminaStarlight 15 годин тому +19

    Am very happy after watching Riaga's show. Dave is alive and being protected by angels. He will be found soon

    • @teresiandulu2845
      @teresiandulu2845 15 годин тому

      Show ya jana ama.yaki call magne eti ako uchi kwamsitu kuwithstand jua .mvua na bard.dave we love you Kam back divine protection wherever you are

    • @virginiawaeni2662
      @virginiawaeni2662 15 годин тому +1

      Bona wasimwendee mahali ako n they wanangoja nini😢

    • @JoanChumba-e4w
      @JoanChumba-e4w 14 годин тому

      ​@@virginiawaeni2662Hawa watu wa Dave waliwaongelesha vibaya angels wakawaambia waachane na iyo mission bure walikua willing kusaidia ady wameonyeshwa penye Dave ako

    • @Peterdota-h3w
      @Peterdota-h3w 10 годин тому

      ​@@virginiawaeni2662WATUME HAWAWEZI JUU AKINA DAVE HAWAMPEDI.....SO THEY CANT FORCE A COW TO DRINK WATER

    • @Peterdota-h3w
      @Peterdota-h3w 10 годин тому

      Hamna Asante champee ata anajikaza kutembea gaka kanaongea vibaya

  • @lydiarugut8232
    @lydiarugut8232 День тому +58

    DCI Fred please warn this people in Dave channels coz this headlines making us cry alwa for no reason

    • @FuturoEsperanzaMtaani
      @FuturoEsperanzaMtaani 17 годин тому +1

      True

    • @CaroMwikali-h9e
      @CaroMwikali-h9e 16 годин тому +3

      Wamefanya nianze kuwachkia juu ya headlines

    • @AliceJohn-k6w
      @AliceJohn-k6w 16 годин тому +2

      Nime agree na nyinyi mnateta kuhusu headlines mambo na kifo c kitu ya kushida wakitaja taja

    • @GEORGEOMONDI-k4c
      @GEORGEOMONDI-k4c 12 годин тому +1

      Direct wa s.dave ni kama wa Ruto

    • @roberttarimo4956
      @roberttarimo4956 12 годин тому +1

      Dave should change a plate number after that

  • @faithi7216
    @faithi7216 День тому +122

    Elvis what is wrong with you why you wish Dave died, you guy's be mutual enough stop this madness and nonsense we are feeling sad when we see this kind of headlines 😢😢😢😢

    • @mukotee
      @mukotee День тому +7

      Wakona mapepo

    • @RosemaryNakityo
      @RosemaryNakityo День тому +10

      😢 but for me I have pressure for i was shocked even let them stop looking for views for sure it's a serious issues please

    • @serahkigotho4664
      @serahkigotho4664 День тому +8

      Sure,hizi headlines jameni?????

    • @CatherineMutuku-hd9vv
      @CatherineMutuku-hd9vv День тому +7

      Toeni ujinga hapa kama hamjuimkitu mnaandika kasia

    • @LydiagathoniGithinji
      @LydiagathoniGithinji День тому

      They want Dave dead

  • @violetoketch
    @violetoketch День тому +13

    Mwache kusema hivyo. Dave akona mungu.atamlinda

  • @jebiwotspari9403
    @jebiwotspari9403 День тому +20

    DCI fred...please warn hawa staff wa dave ama uwafungulie mastaka.....what a headline is this 😢

  • @ChristineAbygal
    @ChristineAbygal День тому +24

    Annita una huruma na bwana yako akh,ata kama mliachan kumbuka kauzuri ata kamoja ashawai kufanyia akh,he still remain dudy to your beautiful ❤️ daughter

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x День тому +1

      acha kulaum annita hayupo sawa ndio maan yupo kimya

    • @marymutavi
      @marymutavi День тому

      ​@@Happy-n5i5xNashangaa na binadamu,kulaumu mtu haina haja cz hii maneno hii ni uchawi inaedelea but Mungu amulide Dave mahali ako😢

    • @abigaelnamukhula2220
      @abigaelnamukhula2220 День тому +2

      ​@@Happy-n5i5x hauko sawa lakini nguvu ya kupost akipika Ako nayo ww tembeza pia😏😏😏😏

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x День тому

      @@abigaelnamukhula2220 mkund wako anita anaumwa so ulitakaaje unampangia chakupost ?

    • @Kaveke-vk8ik
      @Kaveke-vk8ik День тому

      Mimi hata sjui niseme nini juu headline yenyewe inatisha 😢😢

  • @sarahwanja9731
    @sarahwanja9731 16 годин тому +10

    Acheni kuandika iyo ujinga ya kusema why kill Senior Dave!!!nani amesema amekufa!!! Aaahh msitubore na headlines za ujinga pia

  • @jjdorothy7866
    @jjdorothy7866 16 годин тому +12

    Never bite the hand that feeds you&to me I could suggest after this Dave open all this guys there own channels and get new people to work with cz I nolonger trust any of them

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk 12 годин тому +1

      Hakuna hata kuwafungulia UA-cam Channel! Awafukuze th wote!

  • @LydiahNjoroge-j7h
    @LydiahNjoroge-j7h 14 годин тому +3

    Wambu tegemeo letu ni mungu,sio gari,mungu wetu amemfunika dave na damu ya yesu

  • @victoryisours
    @victoryisours 16 годин тому +10

    Dante Stop disclosing location, in some areas it is good to focus on the your people only that is Wambui, champee and Dci juu kuna mtu anajua hii place and you don't know who are they

  • @ceciliawanjiku7281
    @ceciliawanjiku7281 17 годин тому +4

    Mungu amulinde senior David coz mwenye kuandika headline amutakii mazuri anamtakia tu kifo

  • @reggiesmyth
    @reggiesmyth 16 годин тому +6

    Champee anakuangi na ujinga na dave tulimuonya atafute bodyguard anajijua na strong si hii uji ya mwanaume.nikijifanya anajua.

  • @josephinemogere8618
    @josephinemogere8618 16 годин тому +7

    Please Wambui don't stress Champee, he is in pains and he has tried and so much to locate Senior Dave's House. And continue to blame him for locating the house as soon as possible dear. He has tried and you located the house be thankful to Champee.

    • @angieworld3814
      @angieworld3814 11 годин тому

      It’s true he tried,coz he only went once

  • @jombamrashwamwea8144
    @jombamrashwamwea8144 15 годин тому +4

    Wambui mtaacha ujinga lini,mnajua maana ya kifo,every time they killed senior dave ile siku mmoja wenu atakufiwa dio mtaacha hii ujinga.

  • @OmanJjs
    @OmanJjs День тому +4

    😭😭😭 my god kwanini wateshe dave kwanini mungu okoa dave popote alipo ooh god

  • @Hariet-k7k
    @Hariet-k7k 17 годин тому +17

    Aky watu si mko na ufala,mmekuwa mkisema Wambo ameolewa na Dave na wambo mwenyewe hata hajui kwa Dave

    • @virginiawaeni2662
      @virginiawaeni2662 15 годин тому

      Watu ni Watu Tu haki, hawawezi kosa kitu ya kuongea

    • @JoyceWanjiru-wv6ib
      @JoyceWanjiru-wv6ib 14 годин тому +1

      Kwani anaeza sema ananjua

    • @Vickyvick-p7b
      @Vickyvick-p7b 14 годин тому +1

      Nakama akijifanya tutajua aje🤷🤷

    • @Smokeylucas
      @Smokeylucas 14 годин тому +1

      People will always believe what they want to believe regardless of the truth.

    • @DorcasKyalo-jf8ii
      @DorcasKyalo-jf8ii 13 годин тому +1

      Kujifanya hapo

  • @OmanJjs
    @OmanJjs День тому +11

    Mungu wetu funika dave na damu yako please Jesus 🙏

  • @kjyusuf7839
    @kjyusuf7839 День тому +1

    Ngai mwathani protect dave wherever he is ..Anita plsese ata kama mliachana na dave plsese show up bby gil tunakuomba kumbuka tu kauzuri kamoja dave amewai kukufanyia aki

  • @lucyirungu7208
    @lucyirungu7208 День тому +3

    Let us keep ourselves strong and hanging there believing that senior Dave is alive.He is everything we needed God have mercy on senior Dave 🙆

  • @reggiesmyth
    @reggiesmyth 15 годин тому +6

    Wambo talk less,,,,,
    Champee wacha utoto
    Dci fred tunakuamini

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 15 годин тому +11

    Huyu mwanamke mfanyakazi wa Senior Dave mjuaji sana na anajifanya kama yeye ni ofisi yake! UKOME KUMSUMBUA CHAMPEE.... UKOME KABISA!!!

    • @ADLINEMIGHULO-lo2zb
      @ADLINEMIGHULO-lo2zb 13 годин тому +2

      Kila saa ati ukuwe serious.anaboo

    • @catejustice5205
      @catejustice5205 13 годин тому +2

      Bytheway I notes she is handling Champee very bad ata anamwangalia vibaya sana,amuache tumezoea champe na hizo tabia ,

    • @giftedhandsfamily
      @giftedhandsfamily 12 годин тому +1

      She needs to respect Champee kiburi mingi style up

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk 12 годин тому

      @@ADLINEMIGHULO-lo2zb Sana sana!!! Anajiona yeye ni kila kitu! Na kumbe sio!

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk 12 годин тому

      @@catejustice5205 Umeona eeeh.... Hiyo ndio na mimi pia nimeona! Na watu wengi pia wataona! Itakuwa Ana agenda ya siri anamtafutia Champee matatizo ili afukuzwe August apatwe na shida! Lakini haitokuws hivyo anavyotaka! MUNGU atamlinda Champee....
      Halafu pia huyo Fred ana roho mbaya sana ukimuona kwa jicho la 3

  • @NancyWangui-y4x
    @NancyWangui-y4x 17 годин тому +2

    Uuui mungu wetu saindia Dave akonakasi mingi ya kuokoa watu wako mbamba wetu twakuoba tu huyu kinjana musaindie tu mungu wetu mimi na njua Ako uhai

  • @theresiawangui1315
    @theresiawangui1315 День тому +11

    Hizi titles ni za watu wente pepo baya sana. Dave is coming back a strong person in Jesus name.

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 15 годин тому +7

    Huyu mfanyakazi mwanamke wa Senior Dave afunge mdomo wake mrefu! Aache kuropoka ropoka hovyo!!!

  • @Humble-f7x
    @Humble-f7x 10 годин тому

    Hizi headline Yahweh zinaumiza roho zetu😢😢😢😢😢😢,,,,woiiii mungu wangu zingira dave na umfunike na damu Yako takatifu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @LucyNjoro-e1v
    @LucyNjoro-e1v 16 годин тому +1

    God hv mercy n forgive this people 😢mko na evils mind na mshindwe kabisa katika jina la Yesu 🙏 ulimi iko na power, mlifikiria kweli kabla mwandike hiyo headline 🙄😢mnaua mtu😢ama mnafurahia hii ctory 😭😢

  • @marykiarie6658
    @marykiarie6658 16 годин тому +9

    OMG guys mnasikia ANNTA hajiwelewi please uchawi in real ati anaongea dave kila siku please kama mawe pata pastor Joshua aombe ANNTA afùnguke mawazo hajiwelewi ni uchawi😭😭😭😭😭please prayfor her

    • @ndichuwanjiru4856
      @ndichuwanjiru4856 15 годин тому

      marykiarie niliambia watu wawache kutusi wambo njuu ya mambo ile Annita alisema na nguku wa nguri akasema ni yy ametoa annita kwa dave akatumia wambui bt instead watu wasema Annita aombewe ni matusi tu

    • @adelaidemary5514
      @adelaidemary5514 15 годин тому +1

      Annita alitusi pastor joshwa sasa ata akimwombea maombi haiezi msaidia juu alimdharau, maombi bila Imani ni bure

  • @ElizabethAkacho
    @ElizabethAkacho 16 годин тому +2

    GOD protect Dave wherever you are 🙏🙏🙏🙏

  • @EdithGichuki
    @EdithGichuki День тому +8

    Elvis alipuuza masharti kutoka kwa mwenyezi Mungu, halafu inaanza kurushia Riaga mawe yet U know Dio waliospot akina Fred mahali walikuwa baharini na still Dio waliokoa Dave kwa Ile mission ya mombasa

    • @joycewafula935
      @joycewafula935 День тому

      Na ndio wanevunja key 🗝️🗝️🗝️ ya kumaliza Dave sahi mission ni rahizi tu

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 День тому

      ​@@joycewafula935Hiyo mission ni rahisi but let me tell you maina,,wataface challenges mingi ... remember bibilia inasema yule asiefwata masharti yangu,nami BWANA sitasikia maombi yake

    • @hellenmbothu9082
      @hellenmbothu9082 17 годин тому

      By now dave could hv been found if they didnt undermine the voice of God

  • @elizabethkiboro9060
    @elizabethkiboro9060 12 годин тому +1

    If you care abt senior Dave's funs, pls write the headlines correctly coz we love our son so much an Ur headlines might give some of us a shock of the yr..May God continue protecting him wherever he is.

  • @syphbradly2141
    @syphbradly2141 17 годин тому +1

    Am just crying for this young man oooh God protect our brother 😢😢😢

  • @Njeri-mc8ns
    @Njeri-mc8ns 14 годин тому +4

    Sipendi chapee Wacha niongee initoke😂😂😂 anakuanga n utoto mingi sana mwenye ataolewa na yeye ajue watakua wa mama wawili

    • @paulkangucia6152
      @paulkangucia6152 13 годин тому

      Kwani annta die ameficha mbwanake

    • @janewayua6412
      @janewayua6412 5 годин тому

      Ata umpende ukose kumpenda mungu wake anampenda

  • @queenyakinangop4096
    @queenyakinangop4096 День тому +3

    Haki msiseme hivo very pain😢😭 Jehovah ndaguthaitha ukaneriye Dave thuu ciyake kirotoini hatakufa in the mighty name of Jesus Christ horeriya makumbi ma thuu

    • @ReginaKaranja-nx1lh
      @ReginaKaranja-nx1lh 15 годин тому +1

      Queen from kinangop,nimeona unaskinzanga maombi ya Rev.ben keep up the faith dear

    • @queenyakinangop4096
      @queenyakinangop4096 14 годин тому

      @ReginaKaranja-nx1lh thx dea tutashinda in the blood of Jesus Christ

  • @zippyjamesmwangi6551
    @zippyjamesmwangi6551 17 годин тому +4

    Bona huyu Champee anajifanya hajui kwa Dave,, haka kamtu sikaoni poa nikikumbuka Kuna wakati alikuwa anataka ngari ya dave

  • @heh5209
    @heh5209 12 годин тому

    Jehovah acha shetani akashidwe juu hapa shetani anajaribu kila namna wasiede kumtafuta Dave, cover him with your blood Jehovah

  • @RoseWandia-ry3pg
    @RoseWandia-ry3pg 7 годин тому +1

    Nakubuka nguku wa nguli akiabia Dave 😮 ati ata peleka Anita bali na yeye

  • @Annimelia95
    @Annimelia95 16 годин тому +8

    Mnaonyeshana kwa Dave mbona mnampa kazi ya kuhama Tena juu ya kuonyesha place anaishi

  • @benetycherono5031
    @benetycherono5031 День тому +2

    I remember when I was is primary school when we were writing composition mwalimu wetu aliishi kutuambia tusingatie mada,,,,,, hii yenu naona nikiaja kuwafuata ju before tuone movie yenyewe huwa tunasoma kichwa ya movie kwanza so mnatupea presure

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 17 годин тому +1

    When Freddie is around am assured of positive results

  • @LilianChepkoech-bg4xf
    @LilianChepkoech-bg4xf День тому +2

    Dave is protected by blood of Jesus, haezi kufa in Jesus name! Style up na hizo headlines zenu

  • @fatumamazul4411
    @fatumamazul4411 11 годин тому

    Champee analiaga ujinga na NI msaliti pia champee hayuko pekeyake yupo na wenzake hawastaf NI mtihani sana

  • @teresakarugu9932
    @teresakarugu9932 16 годин тому +3

    Champee bodyguard Wa wapi Sasa he can't help anything

  • @DalvineNafula-q2f
    @DalvineNafula-q2f День тому +12

    Siati na judge mtu but me my question is Annita ako wp hii story yote iki happen atakama mliachana na mtu....

    • @FloraMeeme
      @FloraMeeme День тому

      Akia mungu annita ni mbaya even if they parted ways na Dave angeshow off

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x День тому

      nahis ni mgonjwa kwa siku mbili hiz nilivyosikia ​@@ZippyLove-xs1ry

    • @Zippymuindi6192
      @Zippymuindi6192 День тому

      ​​@@FloraMeemekwan lazima akam kwa camera mnajifanya holy sana nkt

    • @Hariet-k7k
      @Hariet-k7k 17 годин тому

      Aky na wamewachana Tu muda mfupi na mambo ikatokea, ungekua kitambo tungeelewa,hata tumeanza kumshuku hakuwai anapenda Dave

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 17 годин тому

      @@FloraMeeme lastborn wa yotub amesema anaongeaga na anita anita anasema yeye hajui habar zakupotea kwa dave anaona kwa mitandao na anasema yeye kila siku anachat na mume wake dave hapa kuna kitu sielew watu tunalia dave yeye anasema dave yupo wanachat ,sasa sim si iko kwa ofice how 🤔 anawasiliana na dave ? swal je nani anajibu msg za anita kwa sim ya dave au wamboi ? because dave walimchukua na wakaacha had sim jamn

  • @JustineNasambu-y5k
    @JustineNasambu-y5k 14 годин тому

    Mungu musingire na damu yako mahala alipo awe hai na abatikane Kwa uweso wako

  • @rebeccamwende5039
    @rebeccamwende5039 13 годин тому

    Dave tunaomba Mungu akulinde mahali huko

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 13 годин тому

    Champee pole ,nakuhurumia sana,seems Wambo hata hakupendi nayy ajue amekuja juzi aache kujifanya aty yeye niboss kuajiriwa sio kuzaliwa nanimeenda.

  • @berrisodhiambo5607
    @berrisodhiambo5607 День тому +4

    Mungu wetu tunakuomba msadie dave hawe hako uwahii kwa jina lako😢

    • @christine4072
      @christine4072 День тому

      Ako hai check on riaga show the mitume said but today mitume were disappointed, juu some of team Dave they are mocking them

  • @CarolineSpari
    @CarolineSpari День тому +2

    DCI Simon..si call fred...awakomeshe hawa staff

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 15 годин тому

    PIA FRED USIJIONE NI MUNGU MTU! WEWE UNA YAKI TUNAYAJUA IPO SIKU YAKO!!! USIMUONEE CHAMPEE...
    MUNGU YUPO NA ANALIPA HAPA HAPA DUNIANI!!!!!....

  • @Njeri-mc8ns
    @Njeri-mc8ns 14 годин тому +1

    Sijui kwanini Mimi sipendi chapee mungu n samehe

  • @SarahNjeka
    @SarahNjeka День тому +4

    Senior dave nakuombea urudi ukiwa mzima aki mpaka nikuje kuku salimia ata kama sina uwezo

    • @marymutavi
      @marymutavi День тому

      Woooooiiieee,Mungu atamlida hatakifa 😢

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo 16 годин тому +1

    Kwaukweli atuna raha kukosa kuona Dave but All the best team Dave

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 14 годин тому +5

    HUYU MWANAMKE HAMPENDI CHAMPEE HAMPENDI KABISAAA
    ANATAFUTA NJIA ILI AFUKUZWE AU APATE MATATIZO! ILA HATOPATA MATA TIZO MUNGU ATAMSAIDIA ATAMUEPUSHIA MBALI YATAMPATA MWENYEWE HUYU MWANAMKE!!!!
    "MCHIMBA KISIMA HUINGIA MWENYEWE!!!".....

    • @ADLINEMIGHULO-lo2zb
      @ADLINEMIGHULO-lo2zb 13 годин тому +2

      I agree with you.coz venye anamuongelesha champee Wacha tuuu

    • @catejustice5205
      @catejustice5205 13 годин тому +1

      Akwende huko hatujasahu she is the reason hatuna Annita ,

    • @Sharin-e5f
      @Sharin-e5f 13 годин тому +1

      Anamsomea kama nan hata Dave mwenyewe huwa hasomii Champee.

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk 12 годин тому +1

      @@ADLINEMIGHULO-lo2zb Kabisa mimi inaniuma sana ! Natamani Champee angefanikiwa kupata kazi sehemu nyingine aondoke hapo kwa Dave

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk 12 годин тому

      @@catejustice5205 Akwende kabisa!!! Aondoke hapo hatumtaki

  • @AliceWandia-qc7el
    @AliceWandia-qc7el 14 годин тому +2

    Muoshe hizo vyombo na mtupe hizo chakula itafanya nyumba igande😂😂....

  • @Verah595
    @Verah595 16 годин тому +1

    Annita alibeba Kila Kitu akawachwa senior Dave empty,,. nyumba Iko na echo sana,,annita hukufanya poa,,,

  • @AlylenShitamu-tc2ng
    @AlylenShitamu-tc2ng 13 годин тому +1

    Sasa nyinyi mlikuwa mnaenda.kumulika kwa nyumba ya mtu hdi kwa masufuriya aki 😮😮wambo na chapee mko na tambia mbaya sana,si inafaa mfate kitu iliwaleta ama mlikuwa mnaenda kuongalia nyumba vle inaka😢😢😢

  • @LucyNanjala-xb5os
    @LucyNanjala-xb5os 13 годин тому +1

    Mko tu hapo kuzunguka utapata tu n mmoja wenu hapo anawazungusha

  • @AnnNyambura-d3q
    @AnnNyambura-d3q 17 годин тому +5

    Uyu champee utoto iko juu na mchezo mwingi,, ata sio mgojwa uyu, champee, red flag

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 13 годин тому +1

    Wewe madam wacha kuashtua sisi tafadhali

  • @bonifacemwangi4893
    @bonifacemwangi4893 15 годин тому +1

    Indeed whoever is writing this headline should be very careful, staffs doesn't own Dave , he has family members too

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia 11 годин тому

    Only God to protect senior Dave until the day atapatikana🙏🙏🙏

  • @elizabethkosgei4731
    @elizabethkosgei4731 14 годин тому +1

    Mushindwe na hii headline zenu, 😢 munataka akufe ama 😢

  • @Peterdota-h3w
    @Peterdota-h3w 10 годин тому

    WAMBOI wacha kumkibiza akubuke sasa mwataka ajue aje...patience pays

  • @reggiesmyth
    @reggiesmyth 15 годин тому +3

    Na mjue champee msaliti anakua kujifanya,,,,,,,,

    • @Priscah-d8s
      @Priscah-d8s 15 годин тому

      Exactly 💯 anaboo wallai

    • @micahkariuki1322
      @micahkariuki1322 14 годин тому

      Sure! Nakubuka last time ilisemekana ndiye msaliti na anataka gari ya Dave! Kila wakati nikujifanya tuu na kuongea ongea mob! 😊kubafu yy

  • @rebeccqhnyqngoso3772
    @rebeccqhnyqngoso3772 14 годин тому

    mungu yupo ni Jesus might name Amen 🙏🙏🙏

  • @MaggyGesare
    @MaggyGesare День тому

    Mungu hawezi haja dave hakufe katika jina la yesu🙏🙏🙏

  • @divinahmachuka1859
    @divinahmachuka1859 День тому

    Whaaaaaaaaaaaaaaat?????? Ajeni ufalaaa mnasikia akufe😢😢

  • @dianaolianga4996
    @dianaolianga4996 14 годин тому +2

    Huyu champe anakaa kujifanya eti hajui kwa dave

  • @metymety21
    @metymety21 День тому +4

    Hii ng'ombe inaandika hizi headings ikufe tuzikee ,,,,nkt 🥺🥺🥺😭😭😭😭

  • @sarahkadenyeka458
    @sarahkadenyeka458 12 годин тому

    Jeremy alienda wapi guys alikuwa mzuri sana kwa hii kazi

  • @ruthwaweru912
    @ruthwaweru912 День тому +1

    10:30 itawahi fika surely
    No weapon formed against Dave and family shall prosper in Jesus name

    • @MarionWairimu-p1k
      @MarionWairimu-p1k День тому

      Hujui wameeka 10:30 do ikue usiku n vile wanapeda story za usiku hawa

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 6 годин тому

    Mnamlika mpaka bedrm ya Dave,Elvo!!

  • @CruminaStarlight
    @CruminaStarlight 15 годин тому

    The Riaga's wanted to help but DCI wanted yo do it his own way, which is ok too, so the Riaga's decided to pray and it was revealed to them not worry about going for the mission, Senior is safe

  • @teresiamagu5879
    @teresiamagu5879 День тому +2

    Mbona mnaumiza roho zetu na hizi headline zenu😢😢

  • @rakaieva5472
    @rakaieva5472 17 годин тому

    Mungu umulinde Senior dave mahali alipo pote damu ya Yesu kristo imuvike.

  • @esthernjonjo6858
    @esthernjonjo6858 14 годин тому

    Champee wacha kupoteza wakati,,wee ni bure sana hakuna kitu unasolve wee ni wa mikosi tu na ukamba miingi.

  • @LilianKarisa-nv3sr
    @LilianKarisa-nv3sr 15 годин тому

    Mungu tenda miujiza Dave apatikane tunaumia juu yake

  • @SylviaWaema-k9k
    @SylviaWaema-k9k 16 годин тому +2

    This is spiritual war..tumetoka kwa riaga na its not easy

    • @SylviaMutindi-ny3gi
      @SylviaMutindi-ny3gi 16 годин тому

      True Sylvia iii n spiritual war riaga even broke the key na ata they can't appreciate

  • @BeatriceRurigi-l4c
    @BeatriceRurigi-l4c 16 годин тому +2

    Izi headline zenu nizauongoo

  • @LucyChagwi-ze8co
    @LucyChagwi-ze8co 19 годин тому

    Mtumishi Daudi Ako hai awezi kufa ataishi

  • @Linet-v5s
    @Linet-v5s День тому

    Wow annita yaan hauna roho ya utu but ingekuwa n wewe davy angefunga job akutafte

  • @BadifulaBaraka
    @BadifulaBaraka 14 годин тому

    Weye muanamuke atuku pedi tangu weye kufika kuya Dave natatizo

  • @RAZIZATUTI
    @RAZIZATUTI 15 годин тому

    Senior will not die in the mighty name of Jesus 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 13 годин тому

    This world can be very boring without Kambas like Champee mwenye anatema mateapige na kidole imuonyeshe direction.

  • @kennedyowiti559
    @kennedyowiti559 13 годин тому

    Naona champe anajua kwenye dave yuko. Anawacheza

  • @EsaaEsata
    @EsaaEsata День тому

    May Jehovah protect Dave in Jesus name na head line zeni hasina nguvu in Jesus name

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 17 годин тому

    Wambu good job 👏

  • @AmosNgeny
    @AmosNgeny День тому

    Dave,haki come usome hizi massages please 😢😢

  • @MercyZawadi-o1l
    @MercyZawadi-o1l День тому

    Huyo c dev ni sanamu dev yupo na ako salama in jesus name

  • @FelisterMuoMwendwa
    @FelisterMuoMwendwa День тому

    God Yuko Dave ajakufa

  • @nicholasmuli8418
    @nicholasmuli8418 7 годин тому

    Staff wenyewe wanauwa boss yao.what a headline is this

  • @jacintankatha4172
    @jacintankatha4172 49 хвилин тому

    Eti Dave amekufa mbona wakamuua aki😢😢😢😢😢😢

  • @marthamburu1785
    @marthamburu1785 16 годин тому +2

    Champee akuna mahari ameumia mbona hajafura mahali

    • @esthernjonjo6858
      @esthernjonjo6858 13 годин тому

      Ata. Nimeona akisahau akatumia hio mkono,,huyu hajaumia na mambo yake utakuja kujulikana tu..

    • @esthernjonjo6858
      @esthernjonjo6858 13 годин тому

      Nyamanza wambo unaongea tu na huna huzuni ata kidogo.umefurahia kupata gari tu.

  • @eunicemwelu1810
    @eunicemwelu1810 14 годин тому

    Wambu kazi safi bidii but upande wa headlines???!...

  • @JoyceWanjiru-wv6ib
    @JoyceWanjiru-wv6ib 14 годин тому

    Wambo wacha kuharakisha champee pliz gari ni ya dave sio champe