Yuko busy sana kujibu DM . jaribu njia hiyo niliyokusaidia , Ukiingia kwenye wesite yake soma vizuri huduma ambazo anatoa , alafu jitahidi kuangalia video zote kuhusu issue yako , ameelezea kwenye post zake nyingi , utapata majibu ya maswali yako . Usisahau kuja kunishukuru 😁😁😁
Aise nimekuelewa
Safi sana
Big brother himself thenx so much kwa elim, nnandoto ya kuanzisha UA-cam channel, video hi imezid kunpa muongozo. Merci
Asante sana kwa elimu.
Aujibu
Sababu nipo safarini kwa mwezi, sina good access ya internet
@@EBMSWAHILI nipo USA Kuna mambo nataka unisaidie private ♥ nasubiri ukirudi
Haya ndugu zangu wenye you tube channels, pitieni msubscribe hapa
Habari EBM 👋👋🙏
Salama
@@EBMSWAHILI nitakutumia email 📧 nataka unisaidie about scholarship and also lottery
mwalimu nime ku Dm kila kona lakn hujib tafadhali jibu
Ntakujibu. Sasahivi sina good access ya internet nipo vacation
Jambo ndugu , naweza pata number yako ya WhatsApp kusudi uni saidiye apply kwa loterry. Mimi ni Divin nina ishi Cyprus north asante !
Yuko busy sana kujibu DM .
jaribu njia hiyo niliyokusaidia ,
Ukiingia kwenye wesite yake soma vizuri huduma ambazo anatoa , alafu jitahidi kuangalia video zote kuhusu issue yako , ameelezea kwenye post zake nyingi , utapata majibu ya maswali yako .
Usisahau kuja kunishukuru
😁😁😁