Sasa mambo naona yanaenda vizuri ,,,twaomba muwe mukituletea utamu kwa huaraka,,,sio kutuchelewesha,,,,wale ambao tumetoka kuona last chance,,,,tugonge like tukingoja,,,,,ingine❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sasa Rk itakuaje maana mpenzi wako ana mimba huku ushaanza kujiingiza kwenye mapenzi na mtu mwenye mimba ya mtu mwengine 😂😂😂😂😂 moyoo wee moyoo any way Rk wewe unajua kucheza hongera 🎉🎉❤❤❤ nahio sauti wow wanimaliza
Yaan huy mama rk sijui akoje bhana anatak kufosi mwanae amuoe huy binty hajui huy bint anamimba yaan kina mama sijui wako na shida gani wao wanajuaga tu laan laan haimpati mtu kiurahisi hivo
Tunawapenda Sana endeleeni kufuatilia kazi zetu❤❤
This is a great job
❤❤
Rk uwo ukucha ukate
Tunasubiria last chance 6
nakukubali sana mwanangu 🎉🎉🎉
Tunae mwamini mwenyezi mungu kwamba yuko nasi tafazari usipite Bila kumwaga mauwa 🎉🎉🎉🎉 naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Leo tume enjoy, tuko pande zote RK , chinga Media,na Mr Kelvin ❤❤ much love. Weka like zako jamn❤❤❤
Nakwambia wee
Na mpemba comedy kizazi cha hamdala kiuno 😂
Tuliotoka kutazama last chance hello 👋👋👋 from 🇰🇪🇰🇪
Kama uliwepo😂
Hello
Helo ✋🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👋 👋 👋 👋
🤗🤗
Safi sn ila musisahau kuiombeya inchi yangu Congo 🇨🇩🇨🇩 jamani
Congo ina shida kama Mozambique.
Pole sana Mungu atawa saindia kwa uwezo wake❤❤❤
Tuko wawili mimi na wewe tuombeye inchi yetu
Congo walikua wanauwa madereva wetu mungu awape mwisho mwema
Amina mungu atawakumbuka ndugu zetu
tunaompenda RK gonga like apooo ❤
❤
Halafu ana kasauti kengine hivi❤🎉😂😂😂😂😂😂
@SarahWanyonyi-nu5zc nani huyo?
Rk au huyo mke wa kuletewa?
Rk❤❤❤❤❤❤❤
Hii movie n mojawapo ya movie tamu nmeshawai kuzitazama Rk and your keep it up 🙏🤜🤛👊👏👏
Rk usikulupuke kua na huyo mwanamuke wanawake wako wengi wazuri sana nenda pol pole ni ushauli wangu tu ila ongela ❤❤❤
Ila Rk ameweza jamani thanks Rk na wenzako kwa kazi nzuri much love from 🇰🇪❤️
Sasa mambo naona yanaenda vizuri ,,,twaomba muwe mukituletea utamu kwa huaraka,,,sio kutuchelewesha,,,,wale ambao tumetoka kuona last chance,,,,tugonge like tukingoja,,,,,ingine❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
We wasifu tu😂,bora unyamaze
@@aishaomar2287😂😂
Kazi ni nzuri sana shida inachelewa sana kutoka
Mimi Leo wakwanza from Mozambique 🇲🇿, naombeni likes jaman ata 3 tu 😮🎉
Hooooo, eu também de mz 🇲🇿🙏
@TonyCristy-j6e boa cena bro
Dakika kidogo rk
Thirty ndio hiyo hapo
Hahaaa ningeshangaa RK utoboe kwa mrembo mzuri hivyoooo
Mfupa kwa fisi😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣wajua alipofukuzwa na benlee ndo yule dem alikuja so hamjui 🤣🤣acha tuone kutaendaje
nyooo akwepe wapi mlembo vile kidem kama akiangalii vile
Wenye wanatamani kuona RK kwa last chance weka like hapa
Yuko kwani hujawahi kumuona wewe
Yuko tayari
Yupo mda ukifika tutamuona
@@bakarimusa6297 Mm nilimuona kwa Episode ya kwanza n ya pili kwenye hiyo last chance
Yupo kwani hujai mwona
Tunaondoka pasi na kuaga
Kesho yetu ni fumbo tusijisahau kumcha mungu na kufanya toba kwa ajili ya kesho yetu mungu atupe kauli thabiti kesho
Amiina yaarabby
Kazi nzuri sana ... good love it❤❤❤❤
Ahsanteni sana jamani kaz nzuri mnoooooooooo!!!!!!!!!!! Ila jitahidini kuwahisha tunawapenda❤❤❤❤
Wow amazing ❤❤❤nawapenda sana
Munaaza kutuchanganya vichwa vyetu😂😂😂😂😂😂😂🙌 sijuwi kwanini yaani uko mbere mbona ya 🔥🔥🔥🔥
Safika kabisa tuna teseka uku kwatu congo 🇨🇩 🇨🇩 mututiye katika maombi goma ni Hatari sana
From Mozambique 🇲🇿nawatakia mwendelenzo nzuri wa movie ya Siri ya Huba session two
Jamani majina ya Aisha wote niwarembooo hongera somo yangu unatuwakilisha vyema 👌👌👏👏👏👏🔥🔥🔥❤️❤️🌹🌹🌹🌹📌📌📌📌
Tunawapenda pia hongeren kwakaz nzur ❤❤❤
Kazi nzuri Sana rk❤❤🎉
Douuuh sipati picha ben-son akijuwa RK 😂😂😂😊
Movie inendelea kuwa Tamu tu ,hongera kwa kazi nzuri waigizaji wa rk movies ❤❤❤❤
RK ivi ndo tukisobili mashabiki kazi ju ya kazi mm Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hd raha nmetoka kwny last chance .nikaingia kwny penzi la mtoto wa boss n dada wa kazi mara paa siri y huba raha iliyoje❤😂🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Duhhh rk yupo sw yaan kila anapogonga mtot❤❤❤ 🎉🎉🎉
Kazi nzur kaka R K msichelewebkutoa move
Great job rk hadi natamani kuigiza pia🎉❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri sana hongereni tunaenjoy sana sana 🎉🎉🎉
Tunakupenda pia Rk na unajitajid kwelii kutoa movie
Weeeee top fan Sana rk nakuona ndugu yangu good work bro
Wakwanza tena kutoka Kenya likes kumi tu jamani
Nimewai wakwanza kutoka kenya nawakukubali Sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎉
Hongera sana madogo zanguni kwakufanya kazi nzuri❤
Mkovizuri sana pongezi kwenu ,nitawaletea zawadi kwakazi nzuri🎉🎉🎉🎉
Tuko pamoja san ,,kaz nzuri👊👊🤝
Aha! Na apa si Rk ameangukia, hiki chombo kinajiita Aisha dokta kakipoteza benson kishamponyoka apa Aisha atapenda sasa... 😂😂😂🌝
Kazi zuri sana arakii mungu akuinuwe marambiliyake😂😂😂
Naombeni maua yangu na mimi leo nimekuwa wa 1 Big up Benson Akili Mingi nakkbali sana kaka Big up Rk
Sasa Rk itakuaje maana mpenzi wako ana mimba huku ushaanza kujiingiza kwenye mapenzi na mtu mwenye mimba ya mtu mwengine 😂😂😂😂😂 moyoo wee moyoo any way Rk wewe unajua kucheza hongera 🎉🎉❤❤❤ nahio sauti wow wanimaliza
Hii movie ina warembo kweli kweli 🎉🎉🎉 naipenda sana
TUPO PAMOJA SANA KWA WOTE TUNAOZIDI KUMPATIA SUPPORT BROTHER R.K 🎉🎉🎉 MUNGU ATUBARIKI SANA 🎉🎉🎉
Chaumbea
🎉🎉🎉
Laahaula cheusiiii❤😅
Laahaaaulah cheusi media🎉🎉🎉
Chaumbea 😂
Brother Rk I'm proud of you brother and good nice one story bro🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Msijali tunawapenda pia chinga boy❤
First one from kenya❤always on the dot
Ghaii ndo nimerauka nawapenda nyote nipee likes watoto wa kasongo 🎉🎉🎉🎉 RK
Pande zp
😂😂😂😂
😂kwan hakuna maandamano 😂
Rk is such a man every Man Will wish to have 😊❤❤❤❤much love from Kenya
Nimeipenda hii safi sana Rk umekuwa romantic 🎉🎉🎉❤❤❤
Huyu dada apunguze dharau humu ndan🤣🤣
Mrudishe na nyimbo yetu plz🙏
Huyu anaitwa madam cjuw,,, n kwl bwana SS n people
Nimewahi leo kutoka kenya 🇰🇪 team storng 😢Ramadan ndio hiyo bado miguu ifure 😢eeh mungu tupe nguvu😭😭😭😭na mnipe likes plz🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Likes zangu zote chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen yarab
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina na kwa pia BWANA Yesu asifiwe sana ❤❤❤
amin😊
2na enjoy mwaka huu na Siri ya Huba, last chance❤❤❤❤
Nawatazama kutoka Kenya,nawapenda sana,hongera
Kazi nzuri nampenda RK
watching from kenya,,kutafutiwa wife hatimaye unamkubali ni noma,maua yangu plz
Kazi nzuri sana kaka R K
Walai nawakubali saana kutoka mpakani💯✔
Rk tunga unajua sanaa big up kwakoo kakaa
Nazipenda sana izi mvi zao love❤❤❤❤
Nawakubali sana watu wangu,mungu awabariki kwakazi munazo zifanya
Napenda kuwaona Rk na Aisha❤ japo ume tafutiwa na mama ako ila mnaendana
Thanks kwa kazi nzuri kwa akina Rk ❤❤
Atimae RK kapewa mimba ambayo siyo yake na ujanja wote 😅😅😅😅
❤❤❤❤nawapenda sana😊
RK bana...wanimaliza lakini😍
Rk jamani 😂 twende bath nikuogeshee😂😂😂 ila Aisha wewe
Salut chers tous je vous suit dépuis le Congo Kinshasa 🇨🇩 malgré la difficulté de chez nous mais on n'est en semble 🤞🤙
Good like Kazi zuri mungu abariki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbona mchezo ni mkubwa huu jmni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣rk mke huyoo ni wa benson na niwa doctor wetu pia patamu hapa
Aaah kaka unajua ❤❤❤❤
Lakini msisheleweshe sana nasi tunawapenda sana❤❤❤
Rk na kukubali sana weww uko makini 🇰🇪❤️
Tupo tu ila muwe munafanya araka Niko 🇨🇩👊
Hawa watu mnao-omba like mnapeleka wapi me nisipate mtu akinipea like.nkt
Rk kakangu, napenda kazi Yako sana❤❤❤
Yaan huy mama rk sijui akoje bhana anatak kufosi mwanae amuoe huy binty hajui huy bint anamimba yaan kina mama sijui wako na shida gani wao wanajuaga tu laan laan haimpati mtu kiurahisi hivo
Anajua vizuri sikaambiwa na mama ake binti kua ana mimba kasema tutafanya kitu
Sijui mama was siku hiz Wana shida gani, anakufosi ufanye kitu ambacho hupendi na sio sahihi kwa kutumia kigezo Cha Mimi ndiye niliyekuzaa
Hapo wanakosea
Napenda saana kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂hii siri ya huba inavijana malaya sana😂😂😂
Uyu Benson anakuwaka na chuki na RK ju yanini from Congo Kinshasa 🇨🇩 mutuombeye mungu atuepushe na iyi vita
Good movie in Jaman nahomba like 🎉
Me napenda Benson Sana he is very smart in his acting skills love you
Upo vizury sanaaa Rk nakubalii sana❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri 🔥
kazi nzuri sana rk🎉🎉🎉from kenya
Na ujinga wa ndugu wawili kutaka rk afukuzwe kazi kuache roho mbaya
Wakwaza nawakikiza mwiriene massive 🍁
Sasa mimba isiyojulikana baba atasingiziwa RK 😂😂 mimba ina baba karbia wote khaa🤣🤣
Kama unaangalia Siri ya HUBA ukiwa na afya njema,, comment AMINA.
❤❤😊
Amiin
Ameen
😂😂😂😂😂😂❤❤
Amina
Oe yamoto sana 🔥 au vip wadau
Hata sisi tunapenda kazi zako❤❤❤❤❤
Hii Siri ya huba n nzuri Sanaa rk then znafata nyngne
Kazii nzurii...❤❤❤❤
Duuh marafiki et ni bora ufukuzwe araf mama rk tuliza komwe
Nimependa sana movie yenu tangu mwanzo🎉🎉🎉🎉
Watching from Kenyan currently in manama bharain, wapi likes zangu jameni ,nawa❤❤❤❤sana
Huyu Madame anajua sanaa👍