YAMAHA EL-90 SETTING & DEMONSTRATION.....JINSI YA KUKIJUA NA KUKISETI KINANDA YAMAHA EL-90

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 32

  • @albertmaneno
    @albertmaneno 2 роки тому

    Asante sana...saafi

  • @patriciahdennis5926
    @patriciahdennis5926 2 роки тому

    Kazi nzuri mwalimu hongera👍..tunahiki kinanda lakini chetu ni el 900...nipenda utuelezee jinsi ya kutengeneza beats za 5/8 kwa nyimbo nyingi za lugha ya kikuyu..natokea kenya, our lady of mercy catholic church magumu parish🙏🙏

    • @heavenlymusicproduction4360
      @heavenlymusicproduction4360  2 роки тому

      Nitumie nyimbo yenu moja kwenye watsap niipitie then niwaoneshe kuitengeneza nitafute kwa 0738718085

    • @patriciahdennis5926
      @patriciahdennis5926 2 роки тому

      Nimeipiga hiyo number ukanipea ila inasema haitumiki🙏

  • @fokasimeshaki9012
    @fokasimeshaki9012 3 роки тому

    safisana mwarim

  • @macdamamelodies8066
    @macdamamelodies8066 Рік тому

    Safi sana mkuu, naomba kujua kama El 90 na El 70 zinaendana Kwa settings

  • @adana01-zy5je
    @adana01-zy5je Рік тому

    Bu makinede körüklü akordionun seside mevcutmu varsa çalabilirseniz usta
    Türkiyeden selamlar

  • @josephbizzy1813
    @josephbizzy1813 2 роки тому

    El 90 ni kinanda kizuri sana, asante kwa darasa mkuu.

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 2 роки тому

    umenifumbua macho mno namna ya kuset vinanda, siku hizi sipati tabu kabisa.. yaani kinanda chochote kile nikikutana nacho ni kuseti na kucheza pisi. Ubarikiwe mno na uzidi kutoa darasa kwa vingine zaidi

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 3 роки тому +1

    Kuna aina fulani za sauti za organ ambazo alikuwa anatumia John Maja zamani wakati kinanda hiki kilikuwa kimoja Tanzania nzima nadhani ni parokia ya magomeni, lakini vimekuwa vingi siku hizi saiti hizo tamu sizisikii tena, kila mtu anayekitumia anaset church organ tuu

    • @heavenlymusicproduction4360
      @heavenlymusicproduction4360  3 роки тому +1

      Zipo nyingi sana kaka el90 unaweza kuseti sauti zaidi ya elfu naaa
      Nitafundisha kuzipata zotee
      Ila kuna yamaha el90 na yamaha HS 5 na 6, 7 na 8
      Vyote nitatuma video zipo tayari utjifunza zaidi karibu kaka

    • @adana01-zy5je
      @adana01-zy5je Рік тому

      Dinledim ama akordion. Sesi yok,
      Bu Makinede körüklü akordioyonun sesi varmı

  • @IsaacKajinga-t9k
    @IsaacKajinga-t9k Рік тому

    Kinanda hicho kina bei gani ?

  • @pauljustinian8271
    @pauljustinian8271 4 місяці тому

    el 900 ikiandika self check mode unafanyaje uweze kucheza tenaa 🙏🏾🙏🏾

  • @LaurentAgley
    @LaurentAgley 7 місяців тому

    Broo sikuelewi

  • @rizzoboy9810
    @rizzoboy9810 2 роки тому

    Kwa sasa kinauzwa bei gani?

  • @nelsonmshama9621
    @nelsonmshama9621 2 роки тому

    Hii machine huwa naikubali miak yote