Asante kwa somo zuri Sana namba 4 na 5 hii Mara nyingi inanitokea Sana vitabu vipo vya kusoma Ghafla nafanya tofauti nashituka muda imeenda sijasoma kitabu husika (2wakorintho 12:1-6)
Asante kwa kufungua macho za wengi maana dunia imepasuka haina mwelekeo kila mtu mawazo zaidi ya mpango ndio maana maradhi mengi alafu kulemewa alafu maisha kwisha. (kaburini straight away then unageuka pepo kusumbua watu) Mtu ni akili na akili ni bidii yako bidii yako ndio maisha mema tena marefu ju ya afya bora
Tunashare kaka joel nanauka ww hujatutupa na sisi hatutakuwacha na katika kushare video zako karibu ya watu wengi asilimia 100% wanakukubari kaka big up tupo pamoja
Bro shukrani sana kwakunipa elim ambayo nilikua siijui namm nimoja kati ya watu ambao mawazo yao hayaeleki leo nawaza hiki kesho kingine sasa nimegundua kitu nantakifanyia kaz
Toka nilipoanza kufatilia video zako nimeona kua zipo helpful sn Hamna la kukulipa kaka Joel zaid ya shukrani na mungu akuongoze na akutangulie Brother...
Namba Moja now and then inanisumbua sana nmejaribu kui overcome but still can't seem to get rid of it completely, nifanyeje?Nmejifunza kitu hapa, asante sana it's an eye opener, Barikiwa Mno
Ahsante kaka ,ila hiyo ya kutokutulia akili nahisi inanihusu nusu yake 😁😁😁 Maana baadhi ya malengo natimiza, lakin yale mengine ambayo bado sijatimiza na nahitaji kuyatimiza,kila siku nayabadilisha. Daaahh inabidi nibadilike aisee
Comment hii ni kabla hata ya kusikiliza ni nini hasa kaka umesema kwenye hii video kwanini nimefanya iv ni kwasababu tu yakuona umepambana na umemaliza taratibu kwa wakati na kurudi ktk jukumu lako kubwa la kutusaidia hasa ktk upande wa mental health jinsi gani tuwaze, jinsi gani tupambane, jinsi gani tu suliishe na mambo mengine yakimaisha your true friend brother welcome back n God bless you bro, #maishayamabadilikoyanaendelea
Mr.nauka mi ninazo hizo tabia kasoro namba 5.je nifanyenn juu ya haya niache.coz mda mwingi na2mia Kulala Sana bila kufanyakazi yyte positively ideas destiny
Nimefurahi sanaa kukuona tena kaka tupo pamoja hiyo ya kwanza ni Yangu kabisaa ila imefika mwisho wake
Asante kwa somo zuri Sana namba 4 na 5 hii Mara nyingi inanitokea Sana vitabu vipo vya kusoma Ghafla nafanya tofauti nashituka muda imeenda sijasoma kitabu husika (2wakorintho 12:1-6)
Ndio brother
Kweli hapo umeongea point brother! Yote yamenigusa kwa namna moja ama nyingine. Shukrani sana
Asante kwa kufungua macho za wengi maana dunia imepasuka haina mwelekeo kila mtu mawazo zaidi ya mpango ndio maana maradhi mengi alafu kulemewa alafu maisha kwisha. (kaburini straight away then unageuka pepo kusumbua watu) Mtu ni akili na akili ni bidii yako bidii yako ndio maisha mema tena marefu ju ya afya bora
ubarikiwe kaka Joel
Nashukuru kwa masomo yako kaka mungu akubariki.
karbu sana joel asante mwalimu wetu ulipotea kidogo kumbe ulikua unaboresha mambo ya malipo asante somo zuri
Nivizuri zaidi pia uwe unatupa solution kwa undani zaidi ...kwa kila point unayoongea
Karibu tena tuli miss sana elim yako
Asante ilipaswa iwe Joel Nanauka kuikomboa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla
Blessed
Ahsante kakangu Joely Mungu Mungu akubariki sanaaa, 🙏🙏🙏
BROTHER HAPO UNGEZUNGUMZIA NA SWALA LA MAHUSIHANO 🤣🤩😍📀🤣🤛🙄
Yan iyo y akil kutokutulia mm n muhanga mkubwa.ee Mungu nisaidie
Thank you very much for this powerful message. It is exactly what I needed to hear
Shukrani mwalimu wetu ila usipotee sana tunakuhitaji kila cku
Asante mkaka kwa ushaur wako
Iyo imegusa wengi sana
Hata baadhi ya Wanao kufuatilia wengine hawatekelez
Umenilenga sehem uliposema akili haijatulia
Champion Joel tunafarijika kwa kurudi tena UA-cam....
Ernest Mbwana pamoja sana nisaidie kushare kwa wengine
Tunashare kaka joel nanauka ww hujatutupa na sisi hatutakuwacha na katika kushare video zako karibu ya watu wengi asilimia 100% wanakukubari kaka big up tupo pamoja
Ndio ishara namba 1
Welcome back brother
Ahsantee
Mim ni moja wapo ambe nafanya kazikwabidi alafu matokeo siyaoni asantesana kaka kwakunifungua
Asante mwalimu wangu
Basam Tz karibu sana tushare na wengine
Karibu Sana kaka tulikumiss mno
Bro shukrani sana kwakunipa elim ambayo nilikua siijui namm nimoja kati ya watu ambao mawazo yao hayaeleki leo nawaza hiki kesho kingine sasa nimegundua kitu nantakifanyia kaz
Shukran nanauk maish maref
Toka nilipoanza kufatilia video zako nimeona kua zipo helpful sn Hamna la kukulipa kaka Joel zaid ya shukrani na mungu akuongoze na akutangulie Brother...
Mimi maada nzima imenigusa sana
Joel Nananuka, Naomba Nipate Namba Yako Tafadhali.
Nimebarikiwa sana.....sana
Nakubali brother lakini natakuju kuhusu kusudilangu sana brother
God bless you
See you at the Top
nakuelewa sana kaka na unanigusa Mungu akubariki sana, lkn MTU akikaka Ushauri zaidi kuhusu biashara na maisha kwa ujumla mawasiliano anakupataje.
Thanks Much brother Joel Nanauka naona Mungu amesaidia umerudi tena kutupa maarifa stay Blessed kaka.
Kaka kweli nimekupata kwani huwa akili yangu haitulii kabisa ila nimekuelewa sana
Yaani Kiukwel ishara zote umenigusa
Great point.
Nimekubali hata mim nilikuwa napoteza mda Ila nitabadilika
Karibu tena my bro tupo kwa ajili yako
brother amani ya bwana iwe nawe. Ulikuwa kimya Kwa muda mrefu
Mimi nipo Zanzibar nitavipataje vitabu vyako Kaka Joel
#Nakupenda sana Mwalimu wangu
Ishara iko ya pili coz of na nawaona watu wengine pia
Ni kweli
Nakupataje kaka Joel na kupata vitabu vyako
Daah. Mim ya tano imenigusa bro. Asante sana..
shukran sana mwalimu
Shukran sana.
Kufanya usiyopaswa kufanya na hili jambo bado linanipa tabu sana
Nipo kwenye kundi ilo unanisaidiaje nitoke kabisaaa.
ishara zote ninazo
Kaka joel clip zako zinatusaidia sanaa, Mngu akubariki uzidii kufanikiwaa
wewe ni zaidi sana,kwanza unaongea kiswahili zaidi akili MTU anakuelewa endelea kutuelimisha bro
Asante Sana mda sasa nilifikri umepotea kumbe upo
Ubarikiwe Kaka Joel Nanauka
Cvano Charles Ameen
Nilikua nmekumiss sana @joel
Yp brother nakuba ira mm sasa nime badirika sana nashuku nime kufatiria kitambo sana
The coach is back..
thanks much dear brother barikiwaaaaaaa Sana
asante sana nimhanga moja wapo
Asante sana kaka Joel ubarikiwe
Video zako zimenibadilisha sana mwelekeo wa maisha yangu asante Sana bro See you at the top
#Respect
You spoke to me Kaka Joel, barikiwa
Motivate people man
Umenisusa Kaka ubarikiwe
Thank you much for this!!
Asante sana kaka Joel
Barikiwa sana kakaangu
Naitaji vitabu sana vya Joel naomba on saidiwe namna ntavipata
judith wambura wasiliana na 0756094875 utavipata vyote
Sante sana
Asantee kakaa joel me nk busy na hy kazi ya watuu mwaka mzimaa lkn kwangu coni kikubwa nacho fanya 3.5 umepgilia mul mulerr
Hii ya kufeel uninspired inanigusa kabisa mana mimi ni mtumishi lakini daah sifurahii haya maisha kiukweli
Shukran
Namba Moja now and then inanisumbua sana nmejaribu kui overcome but still can't seem to get rid of it completely, nifanyeje?Nmejifunza kitu hapa, asante sana it's an eye opener, Barikiwa Mno
Ahsante kaka ,ila hiyo ya kutokutulia akili nahisi inanihusu nusu yake 😁😁😁 Maana baadhi ya malengo natimiza, lakin yale mengine ambayo bado sijatimiza na nahitaji kuyatimiza,kila siku nayabadilisha. Daaahh inabidi nibadilike aisee
nimependa hii
Yani Number 2 ninayo kabisa naenda kazini ili mradi tu siku zisonge
🔥🔥🔥
Asante kaka Joel nanauka
Isee ya tano 5 inanihusu kabsaa
Akili haijatulia iyo pont dizan kama umeni imba
Comment hii ni kabla hata ya kusikiliza ni nini hasa kaka umesema kwenye hii video kwanini nimefanya iv ni kwasababu tu yakuona umepambana na umemaliza taratibu kwa wakati na kurudi ktk jukumu lako kubwa la kutusaidia hasa ktk upande wa mental health jinsi gani tuwaze, jinsi gani tupambane, jinsi gani tu suliishe na mambo mengine yakimaisha your true friend brother welcome back n God bless you bro, #maishayamabadilikoyanaendelea
daah, thank you
Mr.nauka mi ninazo hizo tabia kasoro namba 5.je nifanyenn juu ya haya niache.coz mda mwingi na2mia Kulala Sana bila kufanyakazi yyte positively ideas destiny
Kaka Joel Nanauka hayo mapungufu uliyoyasema kama najiona mimi tu, inabidi nibadilike kwa kweli. Muda ni mali ukiipoteza haiwezi kujiridia
Iyo nomba nne ime nigusa nashukur kwakunip ufaam
No specific plan hyo ndo Mimi, inabidi nabadilike
Mimi pia hizi sababu nnazo kama zote hivi 😥 pengine njia rahisi ya kuondkana nazo inaweza kuwa ipi?
tumekumis bro kimya kingi, tunakosa mengi
Aisee Hyo Ya Kwamza Inanihus Kabis Naez Panga Nikasome Lkn Ntafika Eneo Husika Mara Nafungua Wtsp Naanz Chatting .
Kaka hilo la kwanza kama ulikuwa unanisema mimi lakini naahidi kubadilika
Asnte kk
Aiseee mm ni mmojawapo wa leo hili kesho chili(akili haijatulia) nafanyajee?
Ishara tatu zmengusa haswa kila sku kuwa na mawazo mapya
Ndio hilo lipo Ushauri please
Mimi tatizo langu kubwa ni kupoteza mda kwenye mitandao ya kijamii
Abuu Haruna jipangie muda wa kukaa na smartphone tu, mawasiliano utumie kitochi
Kaka mie znanihusu naomba ushaur wako nifanye nn
sasa solution nn
hii mie inaniusu kwakweli
najikuta nafanya kaz kupita kias ila sion matunda yake
nipatie ushauri nipatie namba yako ya sim
ukipotea tunakosa matirial
ebu nisaidie ,akili hajatulia unakuta unamambo meng ayafanyik