MAAJABU :mbosso ni babangu.. meet mbosso's son from Kenya
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Check out daily dosage of trending news here:bit.ly/32BbMLu
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Do you have any story that you would like to share with plug tv kindly whatsapp us on +254773113033
______________________________________________________________________________
We keep you updated with everything that happens around the world from sports, entertainment news,gossip,politics etc
for more trending stories about kenyan celebrities(willy paul,bahati kenya,diana marua,khaligraph jones,jalango,eric omondi,otile brown,diamond platnumz,harmonize,rayvanny) please remember to subscribe, like and share for future videos
SUBSCRIBE FOR MORE NEWS HERE :bit.ly/3grvxGn
FOLLOW US ON SOCIAL MEDIAS
INSTAGRAM: / plugtvkenya
FACEBOOK :bit.ly/34HYCeD
FOR BRAND MARKETING
call: +254773113033
email:reichbizmedia@gmail.com
_________________________________________
#plugtvkenya #mbosso #mbossokhan
Check out his UA-cam channel below ua-cam.com/channels/7HRRTdqWvdGBbXqibuNgng.html
i told this guy namlipia Studio song moja he is so Talented
Waiting
Harakisha johnsilver
Wueh hii ni kanairo kweli😂mboso alikuja Kenya akaona tu aache mbegu huku😂anyway mnafanana sana fr,let's support this guy ako young
Huyu kijana akona talent,NIPEWE LIKES TUMTAFUTIE MBOSO WAPIGE COLLABO
Yeah man
Kabisa
Kijana demmah omar
Mbosso ako na mtoto Kenya but ni mchanga sana, huyu naye ni mzee sana kuwa mtoi wake... Hii ni kiki tu
Nakwambia watu tuseme na njaa zetu maana duh,
Kenya 🇰🇪 never disapoint 🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Eny way wanafanana but kwani mbosso alimuzaa akiwa na miaka ngapi
That resemblence is mad!!the voice too.maybe he's the kid bro. to mbosso
Mboso kazi unayo namie nakuja jmn mbosa ina wtt wako 9 huku omn uliniacha namimbaaaaaaaa
Wah Kenya seed😂😂😂Mtanzania amependa mbegu huku
Huyu amechanganyikiwa Mboso ana baby mama wawili mmoja n wa Tz mwengine n Somalia
wewe ndio umechanganyikiwa kwani hujui somali ni kabila Kenya
@@melvinwafula6379 we n wazimu ama Mboso hana baby mama Kenya falai
Acha tuangalie DNA yake
@@ChellDeMagician hakuna cha DNA huyo kijana anakaa mkunwa sana
Wololo hii Kenya iko na mambo though anafanana Mbosso🤔🤔
Nenda shule mdogo wangu..... asante
Hahaha walai hii Kenya iko na vijituko walai hii naye ni majabu kweli
Hiyo ni ukora kwani mbosso alimzaa akiwa na miaka mingapi??
Wueh wakenya mkue serious mbosso Bado ajafikisha kijana hivyo 😂😂😂
Uyu nimkubwa kua mtoi wamboso,kijana wacha bangi he is just look alike
Wanafanana sana 🤣🤣🤣
Kazi safi kapela Kako juu
Walai kabisa huyu ni mtoi wambosso kwelikweli
Maajabu... simple boy wa kitui😂😂
Offspring ni ya Mbosso
Tuliokimbilia kusoma comment tujuane 😂😂😂
Aww anajua kuimba akh sauti💕💕
*Ni kupanda mbengu tu*
mbosso kubali ulieka mbegu kenya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣staki kuekelea bangi lakini🤣🤣
Hahahaha aki
😂😂😂😂😂😂
😲😲😲
Lakini Nini😂😅😅😅
Bytha hadi hiyo mapua ni ya mbosso
Kijanaaa hatari 💯
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki ile bangi iko kenya sihami sahi yani juzi ni pluto amekuwa topic sahi imefika kwa mboso lakini kidogo unafanana nae labda ni babako let as not judge wanaume nakupanda mbegu si rahisi watoto wazaliwe kwa wingi
😄😄😄😄😄😄🇰🇪kenya
Waaa❤
Young talented
Link yake n Omar Demmah B
For real this is Mbosso juniour
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💔Napitia tu comments
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kenya SI hami, ata mm nafanana na vannyboy,🤣🤣🤣🤣mi ni mkenya lakini nafeel nkona chembechembe za Tanzania 🤣🤣🤣🤣
😄😄😄😄😄🇰🇪
Mbegu imespreadiwa kabisa naona wanafanana
Hehehehe, Acha tunyamaze tu
Buda maybe babake mbosso ndio alifanya hayo si mbosso unamkelea tu
The resemblance is there fr
Maaajabu, noma Sana 🙆🥺
Ni ukweli wanafanana
Nac wananana 🤣🤣Kenya siami🤣🤣🤣
Na wa Hamisa mobetto naye alienda wapi?
Hata Mimi pozze ni babangu🤣
Hahaha mtaniua aki
Akuje nimpee kazi apate pesa safy madogy zimenichokesha Kwa mlango yangu akuje awe akizifukuza🙄🙄🤔🤔
Am done with Kenya😏😏🙄😄😄😄
Hell noo,, kwani mbosso ni old time traveler,,, ama watoto ndio wanazaliwa na fertilizer
Tena 😂🤦♀️?
Wanafanana😅😅😅
True
hahahahaha wakenya wako na shida
Hata hataki kutoa ngoma na babake!!
Aache ujinga huyo mtoto atafute babaake Kwanza Mboso Bado nikijana mdogo Sana hawezi mzaa huyo kijana hizo niujinga
Wachaaa uongo bans 😂😂
Mbosso kujia mtoi wako
Hizo niujinga
Hii ndio inaitwa 'one night stand'...
Masikio ndio iko nje kidogo 😅😅
Nimetafta hii comment sana.😹😹😹😂😂😂😂😂
tafatari mboso ajukue mtoto wake huyo nimboso copy raiti yambiso 👍
👌wanafaana
Dogo wangu huyu from Mwingi
😹😹😹kufanana sio ati ndio budako, check the age pia yako Na mbosoo
🤣🤣 punguzeni bangi😅😅 juzi tu mtu alisema sidika ni mama yake sahii mbosso 😂😂
🤣🤣🤣🤣👏👏👏Alizaa lini sasa wajinga sana
Mnafanana but wewe ni mkubwa kuwa mtoto wa mbosso
Watu waache jokes jamani huyu mtoto na umri wa mbossooo hapana,,,, mbosso ni mchanga sana
Kutafta tu Kiki plus maybe kusaidiwa ku grow kimziki otherwise like u said miaka haziendani
@@nellymatalanga5033 sioni ikiwa jambo nzuri kutumia jina la wengine kukua... Hiyo ni kutojiamini maishani
@@abelachwata9172 Watu wamezoea Kiki Zaki pumbavu ndio ukaona watu kama kina Jayz,Beyonce ma star wakubwa wakilipia lawyer if someone disrespects you yeye jela coz such destroy people's family n careers bt afrika bado tuko nyumba .now see ths boy clout chasing na mboso ikifanywa DNA n find tht mboso is not related to him dreams zake za weza ozea jela
Kijanaa amewezaaaa... copyright yake Mbosso hakika 🤣🤣🤣🤣
Wakamba wenzangu"aiii"
Acha ujinga hii ufala ya kusema mtu ni budako haitakusaidia,
mara hauna mzazi mara ukanaye
Uuuwi em kwnz nicheke mboso ana umri gani jmn?
Kipindi upo dalasa lasaba mbosso alikuwa yamoto bend kwaiyo alikuzaa lini daah!!🤣🤣🤣 nyie wakenya punguzeni wenge🤣🤣🤣 mndengeleko njoo uku kunakikao Cha dharula
Sasa karibu ukue Rika ya mbosso eti babangu 🥴🥴🥴🥴🥴
😂😀😂😀😂😀😁😂😀😂😀 I'm out
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe acha bangi na ujinga..mboso haezikua ana mtoto mwenye yuko 18yrs now...komaa akili uache kua kienyeji acha kutafta kiki na vitu za ufala ww n mkamba wa kitu tulia kitui ukule mturaa....huyo mwana Habari atafute kitu ya kufanya pia uache ubwakin
Mshezi ww watukana mtoto
@@Meshackmwakiworldwide7 we fata maisha yako na tabu zako
Umasikini na njaa ndio inakusumbua wewe😂ulnauliza nn mtoto mdogo Kaa uyu😅wewe tafuta kiki Yako pia useme mm ni mamako nitakubali🤣🤣🤣🤣
Uyu anataka kuomoka, ata i mzee kuliko mbosso
Hata mimi sasa mimi ni mtoto wa Jay z na Beyonce
Hahaha hi kenya aki aiii mi. Basi babangu ni alikiba🤣🤣🤣
😹😹😹😹😹🖐️
SURA NA MACHO NI.MBOSSO TUPU HARUKI,KITU SAF9!
Yani nbosso ako na 26 years old
😂😂😂😂😂👋🇰🇪
🤣🤣🤣🤣🤣 Kenyans 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤦
Wacha upumbafu,tafuta kativui utoe nyimbo na yeye
Kwenda uko
Bruh yoo too old to be Mbosso's son 😀😁😁😂😂😂😂😁😀😁😂😂 Pozze ni babangu pia 😂😀😂😀