HOUSE GIRL EP 17 | S3 | Love Story 💕💞

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • HOUSE GIRL SEASON 3

КОМЕНТАРІ • 388

  • @SafiMarieCarmella
    @SafiMarieCarmella 5 годин тому +72

    Ila uyo mjomba mbon ana kiherehere samuace keina aolewe wanao sapoti keina kuolewa na kibendu gonga like hapa ishara ya upendo

    • @suzan2929
      @suzan2929 5 годин тому +1

      Ana boo kuingilia mambo ya watu

    • @SafiMarieCarmella
      @SafiMarieCarmella 5 годин тому

      ​@@suzan2929kama vile umeona 🤣 Hadi msela kapiga goti mapenziii dhaaaa

    • @KhamisJuma-ni1vk
      @KhamisJuma-ni1vk 3 години тому +1

      Mjomba Amezengua Lakn Kibendu Askate Tamaa

    • @TeresaSefu
      @TeresaSefu Годину тому

      Mimacho katoa kama atamuoa yeye😂😂😂😂

    • @SafiMarieCarmella
      @SafiMarieCarmella 59 хвилин тому

      @@TeresaSefu jameni amuace kibendu enjoy namtoto mzuri keina lakini keina kasha haribuuu japokua tunamtetea🤣🤣🤣🤣

  • @AgnesDavidmtalemwa
    @AgnesDavidmtalemwa 3 години тому +44

    Wote mnaoangalia mungu awalinde kama unamin gonga like

  • @LennaAjiambo
    @LennaAjiambo 5 годин тому +28

    Leo nimewahi mapema na niwangapi walikuwa wanangija episode 17 kama mm tuweke mikono juu🤚🤚🤚🤚🤚

  • @JescaDenis-d2r
    @JescaDenis-d2r 3 години тому +32

    Yan ww candy Bado haukomi tu bibi zuu Kwan usimfate candy ukamchomoa manyonyo yake Ili akili imkae sawa. gonga like nyingi twende pamoja

  • @ZahraFakihi-d4q
    @ZahraFakihi-d4q 3 години тому +16

    Akifanya Tena batuli ni mjinga SAS hv bibi zuu atamkomesha

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 години тому +14

    Kumbe Masozi nawe cizi eeh unakubali ushauri Sania utowevmimba unajielewa kweli wewe pole sana kibendu keina ameelemewa sioyeye muelewe😢

  • @ZaharanAbas
    @ZaharanAbas 5 годин тому +19

    Tunaomba ndoa Mr Tasha na zatiti bwana.mi nawapenda 💋

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 5 годин тому +72

    Wale tumengojea hii movie Toka usiku mikono juu 🤚🤚🤚🤚

    • @Jacky01180
      @Jacky01180 4 години тому +2

      Nyinyi ndio wale hamlalagi😅😅😅

    • @softwer658
      @softwer658 3 години тому

      😅😅😅

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 3 години тому

      🤚🤚

    • @DamarisDammie
      @DamarisDammie 3 години тому +2

      @@Jacky01180 🤪🤪🤪 team wifi notification ya house girl ikiingia nayo nayo

    • @Judithopondo-fn9dr
      @Judithopondo-fn9dr 2 години тому

      🤚

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 4 години тому +9

    Dakika 32 chap chap n'a Mimi Léo naomba jameni Busati TV oyeeeeeeeee 🎉🎉🎉

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 години тому +10

    Kendi hakomi jamn huy ni firauni kabis WA kuogopwa

  • @FATMARAHMA12
    @FATMARAHMA12 2 години тому +9

    Mujomba kibendu yuko njiani mujomba mujomba😂😂😂😂😂 utajua kama hujui😂😂😂 kay kesi kandy kayinunua 3M😂😂

  • @Julietkaari-it2su
    @Julietkaari-it2su 5 годин тому +15

    Wa Kwanza Kenya naombeni like ata moja

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 5 годин тому +9

    Angalia movie kwanza ndie ocoment sasa number 1 inamaanisha nn like sikiliza ndie ucoment

  • @FakikhAsmah
    @FakikhAsmah 5 годин тому +8

    Macho karibu ya toboe simu kwakuchungulia himuv jamani😂

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 5 годин тому +30

    Namm nataka muhuni mmoja anipende kama kibendu wahuni wanajuwa sana kupenda

  • @Najatfahady
    @Najatfahady 5 годин тому +19

    Wakwanza mimi Leo

  • @AindremeShena
    @AindremeShena 4 години тому +7

    Tulioyo kesha tuki chunguliya youtube adi sasa like jamani 😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 години тому +11

    Afu sania una mambo ni mkubwa mpaka unamtukan mam masozi matus pole mam masozi umeyakanyaga

    • @ignitiussilungwe7930
      @ignitiussilungwe7930 Годину тому

      Umeonaee Sania nimujanja anataka mabesti zake wote wapatwe nashida

  • @NuruenezaJosephEnock
    @NuruenezaJosephEnock 4 години тому +6

    Candy nikupe poleee tyuuuu utahangaika sana kamwe huwez kufanikiwa màana tunaye mlinzi bibi Zuuuuhhh wetu

  • @LailatAbdullah-w9d
    @LailatAbdullah-w9d 49 хвилин тому +5

    Sikuzote nilikua simuangalii kibendu kwa umakini ila mzuli aisee bonge la hasam❤❤❤ amewazidi wote humu wanaume mlocheza hii muvi

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 3 години тому +6

    Muhuni akipenda Acha kabisaaaaa kibendu anawakilisha vijana WENGI ❤❤❤

  • @TedyTibalilira
    @TedyTibalilira 5 годин тому +7

    Wakwanza Leo mnipe like zangu cjawahi kuomba Jamani, namm nione faida za like

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana 40 хвилин тому +3

    Nimechelewa ila Kuna niliowatangulia,keina kisa kurud kijjn ndo umeamua kumkataa kibendu😢sio kibendu tu aloumia hata mm nimeumia, alafu cendi asingekuepo kwenye house girl we unadhani movie ingekuaje,,,tulizeni mishono,busat wako vzr,wanajitahd 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 години тому +6

    N kweli kiramb katoa ushauri mzur afande kapata rushwa

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 4 години тому +4

    Somoe somoe somoe saiz tutakachokufanya utajua haujui,,,afu kiramba kaona mbali nyie leteni utani😂😂😂😂

  • @TanashaPamelah
    @TanashaPamelah 4 години тому +11

    Maskini kibendu wangu 😭😔😭🥺

  • @ZaynabAlly-n8d
    @ZaynabAlly-n8d Годину тому +10

    Mjomba na tumbo ilo ukaenda kutuvalia skin jinz😅😅😅😅

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 години тому +5

    Zuu unaniuzi huruma itakuponza wew ni kweli kiramb alichosema

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 4 години тому +3

    Sania ushauri wake Kwa masozi n mbovu xna...eti akatowe mimba!!? Na akijidanganya kufanya Ivo....atapoteza maisha yake....😢😢😢

  • @prettyney3812
    @prettyney3812 3 години тому +5

    Mchepuko atabaki kuwa mchepuko tu pole da masozi😢😢

  • @GladysOmwando
    @GladysOmwando 3 години тому +5

    Alienda kupewa rushwa nisha waambia 😂😂😂 kumbavu zenu

  • @MauaMbarouk
    @MauaMbarouk 2 години тому +4

    Mjomba yamenikuta hayo 😂hawaelewi ckio la kufa halisikii dw mjomba upo sahihi mara anakuleteea nimba ndio ylio nikuta mm

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 3 години тому +6

    😂😂😂😂😂😂😂 leo kai na mke wake akili zimeenda wapi😂😂😂😂😂😂

  • @Kimwana255
    @Kimwana255 3 години тому +11

    Kibendu njoo kwangu nitakupenda pamoja n mapanga yako😂😂😂😂😂

  • @NaillahKweka-pm9il
    @NaillahKweka-pm9il 3 години тому +5

    Hebu iishe tu nimeshamchoka candy na sania wanaboa sana had hasira yaan😒😒😒

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 54 хвилини тому +3

    Afande kawasaliti😂angalieni pande nyingine ila Keyna umekulupuka kumkataa handsome kibendu utakuja kumkumbuka naushaa chelekewa Acha na huyo mjomba wako mwenye mawazo mgato 😂😂

  • @DianaNelima-i5i
    @DianaNelima-i5i 5 годин тому +7

    Wow! Afadhali leo nimekuwa wa kwanza

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 4 години тому +4

    Bora kai umeshtuka vyema Zuu tulia acha huruma 😊 mkiendelea Na huyo afande itakula kwenu😂😂

  • @AneylisaAnthonyChoaji
    @AneylisaAnthonyChoaji 4 години тому +9

    😂😂 hivi huyu mjomba hake keina vipi hayo macho jmnii

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 4 години тому +7

    Jamani kibendu pole sana😢😢😢😢

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol Годину тому +3

    Hyooo inaitwa vuta nikuvute Kwa mjombo na mpenzi Hila Sania kiboko masuziii mama yake batuli feki kein ww kumwamby hv mwezio Leo pole San kibendu 😢😢

  • @Recho-c1i
    @Recho-c1i 5 годин тому +5

    Leo nimewahi wa 10 haya na mmi naombeni like na mmi ata 10 tu😂😂

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 3 години тому +4

    Candy wewe mpango wako hautafanya kazi,,,,, 😅😅😅

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 3 години тому +4

    Kilamba kabisa kaongea ukweli afande amesha kula ruswa kwa candy

  • @EstherEsther-u2k
    @EstherEsther-u2k 2 години тому +5

    Team sania the plan killer 😅😅😅😅😅 now u want mazosa to remove her baby 😂😂😂😂sania you will not seen heaven

    • @JudithSimiyu-ps7ee
      @JudithSimiyu-ps7ee 21 хвилина тому

      Uyu lazima nimkenya ati Sania plan mawhich😅😅😅

  • @JoyceMbaixi
    @JoyceMbaixi 4 години тому +4

    Wapenzi naòmbeni ishirini ninunue cabbage, nyama itaniua jamani wapenzi wa mungu

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 5 годин тому +6

    𝑁𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑐𝑎𝑛𝑑𝑦 𝑎𝑠ℎ𝑖𝑘𝑤𝑒 𝑛𝑎 𝑝𝑜𝑙𝑖𝑐𝑒 😅😅😅😅

  • @shellwqueen1852
    @shellwqueen1852 5 годин тому +13

    Tulokua tukichungulia mara kwa mara tusalimiane apa

  • @SalhaSamira
    @SalhaSamira Годину тому +4

    Jaman mbona wana post movie ndogo siwapost tu yote😢

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 3 години тому +3

    Masozi akili una nautu uzima.wote unapimiwa maisha nasania na huna hata mtoto baraka imekuja unataka toa.chisa mwenyewe.hana mtoto baadae atakutafuta tu.pindi akijua umezaa funguka wewe

  • @StulidaNgombe
    @StulidaNgombe 5 годин тому +5

    Wakwanza Leo naomba like vipenz

  • @افااقع
    @افااقع 2 години тому +2

    Mjomba hayo macho unayatoa yote mpaka nashindwavkukutazama kibendu asikuletee zesheni huyo boya

  • @UmmyBakari
    @UmmyBakari 2 години тому +4

    Ila kibendu handsome jaman😊

  • @LovenessLucas-r2x
    @LovenessLucas-r2x Годину тому +3

    😂😂😂kwani mimba imetolewaje na mganga jamniii au mm ndo mshamba

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 4 години тому +5

    Sania ana ushauri wa hovyo sana yaani yeye hajawahi kua na ushauri wenye faida😂😂😂

  • @SaumuMjeni
    @SaumuMjeni 3 години тому +2

    Jimwanamke linaroho mbaya ukiachwa achika ndomaana mm sikuhuzi spendi kuongalia hyo movie yenu sababu yhyo candy

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 54 хвилини тому +3

    Huyu afande amearibu movie,sijapenda

  • @NicksonVakuvala
    @NicksonVakuvala 5 годин тому +7

    wanaosema busatv wanafanya vzr ngonga like hapa

  • @MarikiaMbombwe
    @MarikiaMbombwe 3 години тому +2

    Ujinga ou mbona munationyesha kidogo jaman tuamien muvi za kinaijery awa wametuchoka awa

  • @MishiForce
    @MishiForce Годину тому +2

    Jmn uyo candy haogopi pk yuanibamba...love you candy

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 4 години тому +10

    Pamoja mpaka tuone ndoa ya tasha na zatit na ndoa ya kibebdu na cayna 😂😂😂😂😂

  • @SalkoKubuya
    @SalkoKubuya 55 хвилин тому +1

    Hapa goma mashariki mwa DRC Tuna ifata sana house girl s1 mupaka sasa hapa tulipo kwenye s3 ila kwanini hamuweke yote ili tu burudike ? Hongera sana nyiye waigizaji wote wa house girl

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol Годину тому +1

    Hila kend wamkata muhuni mwezangu ulivyosikia utarudishwa Kijiji ndyo wamkata kweli kibendu wetu Sania acha umalay bas mjomba wake keina kwaiyo utamzangamua ww nn bibi zuu bad tup na ww kuusu zuu ? Hila kiramba mchuzi unaakili nyingi San wallah Tena afande kishawacha. Jiji mesimama Toka juzi hap Barbara Hadi Leo

  • @Shayojjj
    @Shayojjj Годину тому +2

    Yaani ukiwa na RAFIKI KAMA SANIA AISEEE UMEKWIASHA

  • @UkhtyNana-b3j
    @UkhtyNana-b3j 5 годин тому +4

    Wakwanza Leo jamani🎉❤❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 4 години тому +2

    Masozi acha husia wa sania lea mimba yako utazaa mlezi mkubwa ni mungu asikuambie sania utajuta ww

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 Годину тому +1

    Bibi zuu nakushaur nenda kapelek mizimu yka Kwa candy mpge fimbo akome,

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol Годину тому +1

    Kweli zuu punguza huruma kweli batuli kazi inaendela somoy unauliza ya nn safir ukufa ww somoy

  • @ZaynabAlly-n8d
    @ZaynabAlly-n8d Годину тому +1

    Mjomba una sura mbya na iyo mimacho ka mchawi 😂😂😂😂 jmn na hyo taiti na Ilo tumbo hata hujapendeza 😅

  • @SALIMAMALIKAGHAJOK
    @SALIMAMALIKAGHAJOK Годину тому +1

    Batuli hujakoma umepokea sumu kwa kendi bibi zuu naomba mpe adhabu kali batuli na kendi tafadhali wajutie maisha yao yote 20:53

  • @sakina5550
    @sakina5550 Годину тому +1

    Nimemuonea huruma kibendu wangu jamn 😢😢 butuli ukirudia tena lazim utakutana na bibi tena candy nawe umezidi sana

  • @AminahBrianna
    @AminahBrianna 4 години тому +2

    Iki kipindi kikiisha dadika zamwisho sania atapata mardhi

  • @MARYDAVID-x5h
    @MARYDAVID-x5h 5 годин тому +3

    Watu mnalala humu humu au 😂 jamn

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 години тому +2

    Pole kibend mapenzi ndo yalivyo

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o 2 години тому +1

    Candy ukijua chenye Batuli alikiona kutoka kwa bibi Zuu ata uezi jarbu kumtuma tena

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka 3 години тому +3

    Tunaomkubali kibendu weka like na maua 🌹🌹🌹🎉🎉🎉🎉🎉

    • @AminaDibwe
      @AminaDibwe 2 години тому

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @SarahGeorge-qw2yc
    @SarahGeorge-qw2yc 53 хвилини тому +1

    Busatiiiiiiiiii tv tunaomba kila episode muwe mnatuwwkea akina zatitina Tasha na Kai

  • @Saada-g4j
    @Saada-g4j 2 години тому +1

    Humu ndanj wote mashahala ndiyo tunaipenda sana busati tv 😂😂😂

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 2 години тому +1

    Kendi kendi tupo na ww mpaka Bibi zuu akukate kiungo kimoja ndo utatulizana😅

  • @ZainabuKakozi
    @ZainabuKakozi Годину тому +1

    Uyu candy mbona roho mbaya imezidi ata shetani anasubiri😢

  • @fatmaubwa-z8s
    @fatmaubwa-z8s Годину тому +1

    we sania na uso wako mrefu kama kibao cha mbuzi unashaur wenzio watoe mimba unatufunza nini

  • @FATMARAHMA12
    @FATMARAHMA12 Годину тому +1

    Sania hakili huna hata zakwenda chooni yani mwiri wako kama zarara vire😢😢😢

  • @Zainabu-xn3vd
    @Zainabu-xn3vd 2 години тому +1

    Kma unamkubali kaina na kipendu wawe wapenzi gonga like hapa please

  • @AyshaSalumu
    @AyshaSalumu Годину тому +1

    Sania ataishia kuumwa maana anawasaidia marafiki zake kutoa mwili wake dah

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 4 години тому +1

    Somoye achana na kend anakupoteza huyo omba msaada kwa kai atakusaidia naiman na mama atapona

  • @KinanasiMshenga
    @KinanasiMshenga Годину тому +1

    ❤napenda sana zuu n zatt nikija tz mtaniozesha zuu na zatiti

  • @zippyMtali
    @zippyMtali 3 години тому +1

    Sania n mwanamke mjinga sana 😢ajitolee mwili wake kwa mwanamke mwingine 😂

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 2 години тому +2

    House girl nishachoka kuangalia inanichanganya naona km naagalia my mother

    • @dorcasmathew-z1z
      @dorcasmathew-z1z 2 години тому

      Mmmh basi angalia tu my mother ndugu , maana wengine bado tunaipenda house girl

  • @PhilisNabalayo-i6u
    @PhilisNabalayo-i6u 4 години тому +1

    Eeeh nikweli mumepigwa dawa za mbu😂😂😂

  • @MarykwambokaNyamboye
    @MarykwambokaNyamboye 5 годин тому +2

    Halloo happy new month

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 5 годин тому +1

    Mbona keina wanauchukia nikwanini jamani 🎉❤🎉❤😢

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 4 години тому +1

    Masosi akili hauna,,,, naona ukikufa😢😢😢

  • @TatuMahabad
    @TatuMahabad 5 годин тому +2

    Mujeee😂😂😂

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 37 хвилин тому

    Keina mbona unatuumizia kibendu acha kuwa kigeugeu kuwa n msimamo huyo mjomba Hana mamlaka ya kukuchagulia mume kbsaa 😅 huyu Sania uwamshauri masozi upuuzi naomba ikatae kutoka😂 alafu somoe umemsahau bibi zuu alichokufnya hbu acha tamaa ridhika n kidogo chako waona utarudi kwa Ile nyumba tena hiyo sahau

  • @SylviaSyliviawanjala
    @SylviaSyliviawanjala 4 години тому +1

    Candy kwani huchoki jamani 😢😢😢😮

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 години тому

    Da masozi ati kla mnalopanga haliwi hamjui mmekosea wapi,kwasababu mfanyayo hayampendezi Mungu...badilikeni

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 години тому +2

    Jaman keina umemumiz kibend 😮😢😢😢😢😢😢

  • @SwaidathThabith
    @SwaidathThabith 4 години тому +5

    Macho ya mjomba ake kehina hadi yameniogopesha😂😂😂 Hayo ni macho au...........

  • @EucapetChepkemoi
    @EucapetChepkemoi 7 хвилин тому

    Lakini batuli usijaribu kujukua hiyo sumu utaumia wewe mwenyewe Kwa sababu candy ako na wivu Tu na akili ndogo

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 2 години тому +1

    Leo wa kwanza nipeni like zangu 😅😅