MCHUNGAJI AFANYA MAAMUZI MAGUMU MBELE YA KIKAO CHA UKOO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому +2

    Huuuwi mchungaji Dani ubalikiwe sanaaaaa

  • @janethasungwile1103
    @janethasungwile1103 2 роки тому +2

    Yaan huyu mchungaji namkubali sana,ubarikiwe baba,Mungu akujalie umri mlefu.

  • @robertgwelela2301
    @robertgwelela2301 2 роки тому +2

    safi sana pastor Danny. Hakuna maamuzi ya muhimu na ya kwanza duniani kama kumpokea Yesu.

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 Рік тому

    Pastor Dany hongera sana upo vizuri MUNGU MKUBWA ANATENDA kila kitu

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 11 місяців тому +1

    Naomba no yamchungaji Daniel

  • @aronmasia8387
    @aronmasia8387 2 роки тому

    Hii safi sana.Hubarikiwe sana mchungaji.

  • @EddydavyNtandu
    @EddydavyNtandu Рік тому

    Mungu aendelee kukutumia Kwa viwango vya juu zaidi

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 Рік тому +1

    Asante YESU UNATENDA KILA LILILO GUMU

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 Рік тому

    Daaaaaaah Safi Sana Pastor🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @joackimondara4565
    @joackimondara4565 2 роки тому

    Barikiwa sana Pastor.Tunakusubiri Gallapo YESU ni kila kitu.

  • @DottoElias-en5jj
    @DottoElias-en5jj Рік тому

    Amina kwa neno

  • @adventinandyanabo9358
    @adventinandyanabo9358 Рік тому

    Namwelewa sana huyu mchungaji

  • @margaretsafari9335
    @margaretsafari9335 Рік тому

    Barikiwa pastor

  • @samwelinyaku3810
    @samwelinyaku3810 2 роки тому

    Mebarikiwa Sana nipo babati nafuatilia Sana huu mkutano memuona YESU KWAKWELI

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 5 місяців тому +1

    Pastor alikuwa kapinda

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 роки тому

    Barikiwaa SANA mtumishii

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 2 роки тому

    Yehova Mwema Ubarikiwe Sana ushuhuda mzuri

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 роки тому

    Yesu ni Bwana

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 2 роки тому

    Kweli, msiba wako, haukuhusu! 😂😂😂😂

  • @joelmaumbuka3265
    @joelmaumbuka3265 4 місяці тому

    MUNGU ni mwema

  • @sharonwalubengo8567
    @sharonwalubengo8567 2 роки тому

    Pastor ana majibu dar😂😂😂

  • @rosemwankunda3309
    @rosemwankunda3309 3 місяці тому

    Kamanda Yesu

  • @evahenry7798
    @evahenry7798 2 роки тому

    Good

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 роки тому

    Hivi kuna mahali Yesu alileta unga na nyama? Hivi pameandikwa wapi,naomba mnikumbushe kwa maandiko au ni hisia za mchungaji tu? Naomba msaada wenu jmn

    • @erickmutungi8792
      @erickmutungi8792 2 роки тому +1

      Muwe mnaelewa mifano lakini pia huyu ni mwalimu anatumia lugha nyepesi inayoendana na lugha ya m-Tanzania wa kawaida ili kusaidia watu kumuelewa kwa urahisi,pia kumbuka BIBLIA imesema ipo miujiza mingi ambayo BWANA YESU aliifanya lakini haikuandikwa, hivyo hayo aliyoyaongea yanayoonekana ni ziada ni mifano inayosindikiza na wala sio kwamba anaongeza chumvi.....tuwe tunaelewa lugha ya ndani badala ya kuibua mijadala isiyo na sababu.

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 2 роки тому

      @@erickmutungi8792 wewe ndiye unapoteza uhalisia. Umesikia amenena kunenepeana na hatoi mfano ila anaongelea uhalisia. Sikiliza upya hiyo clip mwanzoni. Je,huo ni mfano?

    • @erickmutungi8792
      @erickmutungi8792 2 роки тому +1

      @@josephmusagasa5566 lakini pia tujifunze kuangalia shabaha ya mhubiri ni nini, vinginevyo tukikalia kukosoa vitu ambavyo havina msingi wowote tutakuwa tunapoteza muda mpendwa.

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 2 роки тому

      @@erickmutungi8792 mbona unatetea sana. Mimi nimenukuru maneno yake na jinsi yalivyopokelewa. Sijakosoa bali nimeelezea nilichokisikia,mbona hiki kipengele unakitetea? Ki msingi mtumishi wa Mungu hapaswi kusema maneno ya jinsi hiyo.

    • @erickmutungi8792
      @erickmutungi8792 2 роки тому

      @@josephmusagasa5566 hakuna tatizo lolote hapo,sema tu wewe umeamua kuelewa kwa mtazamo hasi,cha kukushauri acha kumuangalia,angalia wahubiri unaowaelewa,yamkini huyu kwako amejikwaa, hivyo acha waliokusudiwa kumuelewa wamuelewe kuliko kukaa kujadili vitu visivyo na faida yoyote.

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 роки тому

    Yaani ukihubiri unanenepeana? Dah,mchungaji mambo gani hayo. Kumbe thawabu yako umeipata? Yaani kunenepeana? Fundisha neno acha majigambo ya kunenepeana

    • @lemayan1985
      @lemayan1985 2 роки тому

      Ney s kutoka nairob mung nimwem

    • @LucyRobert-g3c
      @LucyRobert-g3c Рік тому

      Kwani kunenepa dhambi ....akunakinachoshindikana kwa Yesu .....wee Kama unamtumikia Mungu na aujanenepa bc jiulize unamtumikia Mungu gani 😅pole wee

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 Рік тому

      @@LucyRobert-g3c imeandikwa wapi kuwa kumtumikia Yesu unapaswa kunenepa? Acheni kumbambika Yesu maneno,acheni kuichafua Biblia. Kwani wewe hujamsikia huyo mchungaji wako kuhusu kunenepa? Mmetekwa na mafundisho ya wanadamu yadanganyao,poleni