VITA YA KIROHO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 38

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 4 місяці тому

    Barikiwa sana mutumishi wa mungu Kwa kweli kabiza mungu anakutumiya umekuwa baraka kwaku hallelujah hallelujah ❤❤

  • @franciskennethngwale5195
    @franciskennethngwale5195 Рік тому +1

    Amen

  • @user-uq2gm5jj1f
    @user-uq2gm5jj1f 7 місяців тому

    Amina ubarikiwee sana unatufungua sana Fungueni watu.watu wapo makanisani bado wanalia saidieni taifa la mungu

  • @prophetic.c
    @prophetic.c Рік тому +4

    👆👆O lord everyone on this COMMENT has a prayer request .then o lord remember us as you remembered Joseph who came directly from being prisoner and the same day prime minister in JESUS NAME we PRAY

  • @elizabethnamwinga3210
    @elizabethnamwinga3210 Рік тому

    Amen amen and amen.barikiwa Sana baba .ataachia kila kitu changu

  • @lilianruttakolezibwa-rv5ts
    @lilianruttakolezibwa-rv5ts Рік тому +1

    Omukama asimwe

  • @leticiamachibya1851
    @leticiamachibya1851 Рік тому

    Mungu akupe maisha marefu apostle umejua baraka Sana kwangu.mafundisho mazuri Sana sana

  • @cessysimule5027
    @cessysimule5027 Рік тому

    Amen Apostle, Asante Kwa somo zuri na maombizi 🔥, Napokea 🙌

  • @happpyfuraha
    @happpyfuraha Рік тому +1

    Mtmsh naomba unishaidia na maombi MUNGU arengesha watoto wangu walichukuliwa na watu wa kwao baada ya baba yao kufa na ni wadogo wako na miak 4na2 mm niko mombasa nawao wako kisii naomba mungu arejesha

    • @justinenjau6670
      @justinenjau6670 Рік тому

      Mtumishi wa Mungu ameomba kwa ajili yako, na sisi kama kanisa pia tunasimama na kuomba kwa ajili yako. Na nikutie moyo sio bahati mbaya umesikiliza ujumbe huu, huu ni ujumbe wa Mungu kwako! Kama mtumishi wa Mungu alivyofundisha, hata Daudi alipokonywa familia yake, lakini Mungu alimrudishia. Kama mtumishi wa Mungu alivyotamka na kuomba! Watoto wako watarejeshwa, watarudishwa! Watoto rudisha!

    • @happpyfuraha
      @happpyfuraha Рік тому +1

      @@justinenjau6670 Amen asant kwa kunitia moyo niko na imani kua MUNGU aliyeleta ujumbe huu alikua na kushundi katika maisha yangu MUNGU awabariki na azidi kuwatmia

    • @justinenjau6670
      @justinenjau6670 Рік тому

      @@happpyfuraha amen, mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa pamoja na sisi kama kanisa tunasimama na kuomba kwa ajili yako. Amen

    • @happpyfuraha
      @happpyfuraha Рік тому

      @@justinenjau6670 Amen mungu awabariki kwa kunibebea mzingo naomba no ya mtu mmoja wa kanisani hata kama ni ww

  • @rachaelngoya-po7qb
    @rachaelngoya-po7qb Рік тому

    Ameen Kwa jina la YESU ninapinga Kila kazi za shetani katika maisha yangu

  • @devotamwambola8303
    @devotamwambola8303 Рік тому

    Kwa jina la Yesu leo kila kitu kilichochukuliwa kwenye maisha yangu kinarejeshwa.Pesa zangu zinarejeshwa.ndoa

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 4 місяці тому

    Ameeeeeen ameeeeeen ❤❤

  • @SonofMajor1
    @SonofMajor1 Рік тому

    Nitapandishwa JUU in Jesus' name. AMEN.

  • @jacquelinenyange5549
    @jacquelinenyange5549 Рік тому

    Amen Apostle 🙏

  • @doreennkya5524
    @doreennkya5524 Рік тому +1

    Wapigwe Kwa Jina la Yesu

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj Рік тому

    Ameeen ameeen anda meeen ubarikiwe sana dady 🙏🙏🙏

  • @doreennkya5524
    @doreennkya5524 Рік тому

    KWA Jina la Yesu KILA kilichochukuliwa kwenye maisha yangu kinareheshwa KWA Jina la Yesu

  • @hollinessmwawughanga5769
    @hollinessmwawughanga5769 Рік тому

    Kila kilichoibiwa Na shetani kinarudi Kwa Jina la Yesu 🙏🙏🙏

  • @kennychristian6882
    @kennychristian6882 Рік тому

    Kama ninavyo andika kwa imani chini ya maelekezo ya my spiritual daddy I command all empire of evils into my life to dissappear, ninawamaliza mkono wa Bwana ukiwafwatiaaa pigaaaaa pigaaaaa pigaaaaa wanaachiaa yeyeye in the name of Jesus... connect with me in Jesus name

  • @happpyfuraha
    @happpyfuraha Рік тому +1

    MUNGU nirudishia nyoto yangu ili chukuliwa na hadui zangu

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi Рік тому

    Ameni

  • @wamburachacha3358
    @wamburachacha3358 Рік тому

    Mungu yuko pamoja nasi akuna kumuogopa adui

  • @elishajackson4551
    @elishajackson4551 Рік тому

    Marvelous

  • @leticiamachibya1851
    @leticiamachibya1851 Рік тому

    Groly to God

  • @doreennkya5524
    @doreennkya5524 Рік тому

    Warudishe vitu vyangu vyote KWA Jina la Yesu

  • @jacklineikoki6653
    @jacklineikoki6653 Рік тому

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi Рік тому

    Napokea

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 Рік тому

    Adui yetu mkuu ni shetani

    • @kadzobaya3715
      @kadzobaya3715 Рік тому

      Amen narudishiwa vilivyoibiwa kwa Jina la yesu

  • @user-ft4um8mj2z
    @user-ft4um8mj2z 10 місяців тому

    Jamani nataka nije kanisni kwako nakujaje me nakaa kigamboni

  • @lennyfrank
    @lennyfrank Рік тому

    Kwa Jina la Yesu watarudisha mara saba, Ameeen Ameen ubarikiwe Sana Apostle

  • @franciscakahwili3655
    @franciscakahwili3655 Рік тому

    Rudisha Afya,uchumi, hadhi yangu, Rudisha na vya ndugu zangu rafiki zangu wote walio iba warudisheeeeee , in Jesus name.

  • @florencekawira2212
    @florencekawira2212 Рік тому

    Amen