We jamaa nakufuatilia tangu 2016, siku zote nasemaga wewe ni mwandishi mzuri sana kwenye mziki wa Morden gospel. Na kupitia wewe najifunza kua kufika na unachopambania ni lazima na ni ahadi ya Mungu. Hongera sana kaka
At his own appointed time he will do it no matter hw long it will take he is never too early or late let me believe asubuhi yangu yaja......barikiwa ur a blessing @komando wa yesu
Oooh Mungu wangu nina mengi natamani unifanyie. Ndipo nasikia huu wimbo unaimba moyoni Baba yangu wa mbinguni naomba utende kwangu 2024.wimbo huu uwe halisi kwangu
It's true God had a purpose for letting you see the rising Sun and never see its setting,so everything is possible in God's hands, never giveup in life.
Mungu Atafanya
Amen
KARIBUNI SANA KUTAZAMA WIMBO ATAFANYA. NAAMINI UTABARIKIWA 🙏🙏🙏🙏🙏
Twakuaminia kiroho kama funs, stay blessed 🙏
💃💯💯❤️❤️❤️♥️
@@conjeptaambehi5683 Amen
Ata fanya
Amen 🙏
Atafanya hakika
Amen
@@komandowayesu3642 nangojea nyingine hakika wewe ni komando nyimbo zako zinznibzriki sana sana.
Ni kweli ninachojua Mungu atafanya ni lini sijui ILA ATAFANYA🙏🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah asante mungu naamin katk ww baba yangu sitazam mazingira ya leo najua kesho utafany mungu wangu 5/1/2023 hallelujah ♥ 🙌
Nahisi ni kama huu ni wimbo wangu.Huyu mungu ata fanya 🙏🙏
ime fanywa kama Siri adui asi one. 🙏
Atafanya🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Yes ata fanya
Amen
Atafanya
Mungu atafanya
Amen
Kazi Nzuri Saana Mkuu Hongera Saana, Hata sisi tunaamini Atafanya Tyuu
Amen mapacha wa yesu
Haleluuuuuyaa Atafanya
Haijalishi itachukua mda gani ,ATAFANYA
Amen
Hivi ndivyo maisha yangu ipo kabisa, sijui mbona huu Wimbo haijaenda viral na Iko Kali hivi.... Nairobi Kenya.. nitapiga honi na mimi.. pipipii
Hakika Bwana atafanya Kwa wakati wake. Hongera nyingi Komando.
Ahsante mtumishi
Eish😘😘😘😘😘😘Atafanya.... Lazima Naaamini🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
We jamaa nakufuatilia tangu 2016, siku zote nasemaga wewe ni mwandishi mzuri sana kwenye mziki wa Morden gospel. Na kupitia wewe najifunza kua kufika na unachopambania ni lazima na ni ahadi ya Mungu.
Hongera sana kaka
Amen Amen. Ahsante sana 🙏
Barikiwa sana kaka kwa wimbo mzuri uliojaa ujumbe
Amen
Huyu MUNGU atafanya kwangu mwaka huuu na amini atafanya oooooo! Halleluyaaaa😂😂😂😂. #KOMANDO 💪💪💪💪💪💪👊👊👊👊👊😂😂
Barikiwa
Kaka uzidi kubarikiwa mno kakaaa
Ahsante
Heard it today.." From radio Maishaa... Ninacho jua mungu Atafanyaa.. Nina imani Naye"
WIMBO MKUBWA SANA HUU 🙌🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
Biti Kali mdundo mkalii ujumbe mkalii amazing kwelii komando wa yesu kwelii one day mungu kwangu atafanya
🙏🙏🙏🥲
Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU
Amen
Yes,
Atafanya. Naamini atafanya.
He is a promise keeper.
Amen
Sijui n lini ama itakua saa gapi ama nitakua wapi ninachojua mungu atatenda....wooow..may u go far dear....this is so nice.....🙏🏼🙏🏼
Ahsante 🙏
@@komandowayesu3642 karibu
Amina Amina mtumishi
🙏🙏🙏🙏
At his own appointed time he will do it no matter hw long it will take he is never too early or late let me believe asubuhi yangu yaja......barikiwa ur a blessing @komando wa yesu
Amen🙏
Amen
Amen, ni siri yangu na mungu 🥰🥰🥰🥰thats my prayer 🙏🙏🙏atafanya
Amen
Kali sana
Hakika Mungu atafanya Amen 🙏 Mungu azidi kukuinua kwa viwango hadi shetani ashangae
Sawa sawa rafik
Oooh Mungu wangu nina mengi natamani unifanyie. Ndipo nasikia huu wimbo unaimba moyoni
Baba yangu wa mbinguni naomba utende kwangu 2024.wimbo huu uwe halisi kwangu
Amen 🙌
Amen Amen Amen am blessed wacha ibaki Siri 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Atafanya wimbo huu natazama kila siku,ni muimbaji wa injili kutoka kenya
Ahsante sana ndugu yangu 🙏
@@komandowayesu3642 karibu Sana Acha Mungu akuinue
Ndio ATAFANYA
Amen
Wangejua mipango ya Mungu kwangu, wasinge jisumbua kufunga baraka zangu. Sijuwi lini, ila najuwa atanibariki. Ubarikiwe sana Komando Wa Yesu 🙌🙌🙌
hakika. atafanya
Ninachojua atanibaliki
Yes alinifanyia na hata zidi kabisa
🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzur sana mungu akuweke kiwango cha juu zaid
Mbingu zizidi jujifunua kwako kazi njema
Huyu Mungu atafanya 🙏🙏🙏
Kweli kabisa huyu mungu atafanya
Amen
Umetisha sana ndugu yangu
Ninachojua Mungu atafanya🙏🙏
God bless you brother
Wewe jamaa unajua sana .This is a hit song.
😄😄🙏🙏🙏🙏 Ahsante
Mungu atafanya 🙌
🙏🙏🙏🙏
nyimb ni kali sana brother mung azidi kuku bariki tu
Amen
Nyimbo ya baraka sana mtumishi wa Mungu
Ahsante
Kazi safi
Ahsante🙏🙏🙏
Kweli atafanya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Ubarikiwe kwa kazi nzri kaka Mungu azidi kukuinua zaidi
Ahsante ndugu
Mungu atafanya nyimbo nzuri
Ahsante sana
Amen,,imefanywa kama siri adui asione,,,,kazi kubwa hii,,asifiwe Mungu wetu maana ATAFANYA
Amen 🙏
Hakika imefanywa kama Siri Adui hasione Baraka zilizoko mbele yako... God has good plans for your My Brother and Sister.....🙏
🙏🙏🙏🙏
Najua atafanya
Amen
Yani kaka Angu nikwambie wewe ni wapekee kwenye huduma ya uimbaji barikiwa mnoo kaka mnoo nabarikiwa mnoo na ww
🙏🙏🙏🙏
Hakika mungu atafanya kwawakat wake be blessed napenda sans nyimbo zako
Ahsante 🙏
Ninachojua Mungu atafanya 🙏
hakika
Kazi nzuri snaa kaka
🙏🙏🙏🙏
Naomba cheo cha Kuwa Shabiki namba Moja wa Komando wa Yesu, ananibariki sana na kazi zake
😆😆🙏🙏🙏
Napitia kipindi kigumu ila nmeskiliza hii nyimbo nmeamin mungu atafanya nime simama tena
Amen 🙌
#Mercyoginga... Naupenda sana huu wimbo
Ahsante sana 🙏
Lini ndoa?...sijui ....lini mtoto?...sielewi....wapi kazi?...sijui.!!!! Nachojua mungu atafanya 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😀😀😀😀😀😂🙏🙏
@@komandowayesu3642 😂 njoo tufanye colabo mtumishi wa mungu
Napenda xna nyimbo xako barikiwa kaka🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Asante sana umekuwa baraka kwangu Ndugu,roho mtakatifu anakutumia sana
Amen
Kwa kweli atafanya namwamini huyu God nice
Mm nipende hyo part ya mwisho aiseeeee...umeau..much love from kenya
Ahsante
Kaka ngoma hii Kali sana
Ahsante mtumishi🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzr sana unavutia kuusikiliza, hongera sana komando
Ahsante sana
Amen and amen.atafanya njia tuu,hata nijapodharauliwa Na kushushwa Chini,,atafanya Na kurudisha vyote vilivyoibwa Na shetani
AMEN
Ninachojua Mungu atafanya
Amen dada
yes anafanya na bado atafanyia
🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu atafanya,nakungoja Baba
Amen
Blessings ndugu atafanya please pitia pia Tumeitika Music🙏🙏thanks
Ahsante
@@komandowayesu3642 tafadhali pitia Tumeitika Music pia,nitashukuru sanaa
KAZI 🎸 KAZI 🎸
🔥🔥🔥
Nakuona kaka
🙏🙏🙏🙏🙏
Yes ...Mungu atafanya..🙏🙏🙏
Amen
Pokea kufanikiwa kwa jina la Yesu
Ni kweli hatujui ni lini atafanya wala saa ngapi lakini tuna Imani atafanya👌👌👌nice song
Amen
NACHOJUWA MUNGU ATAFANYA
Amen
kweli atafanya . huyu yesu atafanya .
Amen
Pacha huu mkwaju ni 🔥
😄😄🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏atafanya💯💯💯
🙏🙏🙏
Amen
Yes ni kweli atafanya
Amen mtumishi
Najua Mungu atafanya
Amen 🙏🙏🙏
Hakika atafanya maana mipango ya mungu ni dhabiti
Amen
Tutafutane tufanye collabo am also an artist
Naona MUNGU akikupeleka viwango vya juu sana unanibariki sana na uimbaji wako kaka God bless you 🙏🙏🙏
Ahsante 🙏🙏🙏
Na amini ata fanya
Komando nyie 🙌🔥
😄😄😄
God bless you bro 🙏 keep going
🙏🙏🙏
Uo ndoo ukweli atafanyavpasipo njia
Amen
It's true God had a purpose for letting you see the rising Sun and never see its setting,so everything is possible in God's hands, never giveup in life.
Amen
Amen najua atafanya kwa imani
Amen. amefanya🙌🏽🙌🏽
barikiwa sanaa wew ni mtunzi mzuri sanaa
Am blessed 🙏,, Mungu akuinue zaidi
Amen
Ni kweli nina imani atafanya i believe it thanks komando for your motivation 🙏🙏
Wangejua mbele yangu. Powerful you never disappoint komando.
Hakika Mungu Atafanya. Moto sana hii 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen kaka
Nachoamini wewe na butati ni ndugu jamaani nyimbo mnazoimba zinaendana na wakati tuliopo
😂😂🙏🙏🙏
Nami naamini kuwa tafanya
Hakikaa atafanya huyu Mungu
Amen
Kabisa!
Atafanya
Amen Baba yangu🙏🙏🙏