Watajiju wameyakanyaga Hao wanaofuta wahuju watambue tunakipia ujue hili file watatulipa nao tutacheki ni nani aliyefuta mazungumzo yetu na atupe sababu ya kufuta tutafungua kesi
Kuzaliwa kwa mwanadamu ni neema na mapenzi ya Mungu, vivyo hivyo na kufa pia!!Mungu huwa hadhihakiwi, na hasira ya Mungu ni kubwa mno, wote walioshiriki kwa namna yoyote kwenye huu unyama tunaitisha hasira ya Mungu juu yao pamoja na vizazi vyao!!Huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana!Ni kosa gani kubwa alilolifanya binadamu wa nyama hata kustahili maumivu kama haya?
MUNGU hamfichi mnafiki imeandikwa sio kila anaelitaja jina la bwana ataingia ufalime wa mbinguni ,kama kweli hayati makufuli alitenda haya au mama Samia na makonda waliyajua haya basi hata wao joto la JAHNAM linawahusu ( sio joto ni motoo) Malipo ni hapa hapa duniani nahivyo tigo itaingia ktk sheets ,itapigwa faini inshallah naiwehivyo hata kwa serekali
Kuanzia kesho tutaanza movement ya kuvunja line za tigo kwa kila muumini wa haki na uhuru wa kukosoa watawala, maana viongozi hatuna tuna watawala. Wakiwa kwenye majukwaa ya kampeni kuomba kura, wanaomba kutuongoza ila wakishapita wanatutawala badala ya kutuonhoza
Asante sana The Chanzo kwa kutuletea Habari Unfiltered, nimetoka Global wanakata sana vipande muhimu
Na mimi nimekimbia huko sababu hiyohiyo
@@MsolaNsimbi-p9k hawajui taarifa tayari ipo wazi na kila mtu anajua
Naona ccm wanajaribu kuichezea hii clip, matako yenu na msagaji wenu Samia na shoga wenu bashite.....takataka ya Mbinguni...
😂😂😂😂
umeona ehh? kuna mahali wamekatakata wameondoa vipande vya video, wameEdit video haipo comprehensive kama ilivyokuwa live akiongea
Watajiju wameyakanyaga Hao wanaofuta wahuju watambue tunakipia ujue hili file watatulipa nao tutacheki ni nani aliyefuta mazungumzo yetu na atupe sababu ya kufuta tutafungua kesi
Pole Sana Mh lissu
HAKI HAKI HAKI,,Itendeke
Kauli mbiu yetu ni Ogopa tigo 🙆 hamia vodacom mtandao unaojitambu pamoja na watu wake
Sielewi kwa kweli
Kweli baba ulivuliwa ubunge kinyume nasheria lakini mungu atakutendea yaliyo mazuri
Navunja line ya tigo kuanzia leo😢😢
Kuzaliwa kwa mwanadamu ni neema na mapenzi ya Mungu, vivyo hivyo na kufa pia!!Mungu huwa hadhihakiwi, na hasira ya Mungu ni kubwa mno, wote walioshiriki kwa namna yoyote kwenye huu unyama tunaitisha hasira ya Mungu juu yao pamoja na vizazi vyao!!Huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana!Ni kosa gani kubwa alilolifanya binadamu wa nyama hata kustahili maumivu kama haya?
Dah Mungu wangu kitu gani hiki mtu auwawe hana kosa.
Mh kk Lissu, Tusisubiri ndege, Bali Viongozi WA CCM wawekwe nguvuni kokote DUNIANI!!! TAKATAKA YA MBINGUNI HII CCM!!
Samia au mtu yeyote wa Serikali ya ccm nje ya nchi, anawekwa nguvuni...na tuanze na Samia mwenyewe!! Au kesho mrithi wake
CCM IMEYATAKA YENYEWE BADALA YA HOJA WANAPIGA WATU RISAS ,KUTEKA, KUTESA
MUNGU hamfichi mnafiki imeandikwa sio kila anaelitaja jina la bwana ataingia ufalime wa mbinguni ,kama kweli hayati makufuli alitenda haya au mama Samia na makonda waliyajua haya basi hata wao joto la JAHNAM linawahusu ( sio joto ni motoo) Malipo ni hapa hapa duniani nahivyo tigo itaingia ktk sheets ,itapigwa faini inshallah naiwehivyo hata kwa serekali
Duh?
Mmmmh !!! tiGoooooooo
Ccm nao wapo humu kwel na hawaoni haya yote bado kwel akil n nywele
kumbe tigo ni mtandao wa choko sana
Nlishaachana na tigo mda sana
Inatisha kwaweli
Tigopesa
Halafu mtu anasema anasimamia 4R kumbe anafanya ujinga mtupu!
Niaibu kubwa sana sijapenda namna alivyofanyiwa sema ukweli ili swala lisikie tu kwa mwenzako ila lisikupate wewe au mie maana ni baya sana
Janja janja tu manina zao
inchi yao sio yetu
Kimenuka hatariiii
Poor UA-cam video .Ina katakata sana
Inakera aisee
Kuanzia kesho tutaanza movement ya kuvunja line za tigo kwa kila muumini wa haki na uhuru wa kukosoa watawala, maana viongozi hatuna tuna watawala.
Wakiwa kwenye majukwaa ya kampeni kuomba kura, wanaomba kutuongoza ila wakishapita wanatutawala badala ya kutuonhoza
Pole....ndio hali halisi.
Pole Sana Mh lissu