Eric Omondi - CCM, DIAMOND, MAGUFULI and ZUCHU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 323

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 4 роки тому +10

    Omondi bhana we kiboko yao😂😂😂unatembea na nyota ya diamond 😃😃😃😃tunakupenda 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 WCB wasafi💪💪💪in Africa number 1

  • @charlesotwalo9335
    @charlesotwalo9335 4 роки тому +14

    Ukweli usiopingika kabisa Magufuli ni pendo wa watu, hadi kutoka Mataifa mengine saf sana jpm ni kiongozi mwenye maono siku zote DAIMA. Big up, Eric Omondi

  • @surayadunia7029
    @surayadunia7029 4 роки тому +58

    We jamaa unapenda kututania sana, iposiku tutakupiga makofi 😂😂😂😂

    • @massive8867
      @massive8867 4 роки тому

      ua-cam.com/video/IUuJF17dFdc/v-deo.html

  • @natiiveson4846
    @natiiveson4846 4 роки тому +38

    Watanzania jirani zetu,
    Mchukueni huyo jamaa. Tumempatia.

  • @husnajuma6249
    @husnajuma6249 4 роки тому +84

    Kama umemuona wema sepetu gonga like twende sawa😂😂😂😂😂😂

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 4 роки тому +32

    From Tz....🇹🇿🇹🇿 Eric we ni nomaaaa, come and live here😂😂😂

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 роки тому +2

    Mungu amekupa kipaji kizuri sana karibu Tz pia it's more important if u are born again my brother

  • @jumamwengwa4682
    @jumamwengwa4682 4 роки тому +3

    Daaah!!!! Watu wanpig pesa kupitia #Mh,Magufuli#VIVA P MAGUFULI#CCM#TANZANIA#EAST AFRICA.

  • @BONGO_FILAMU
    @BONGO_FILAMU 4 роки тому +7

    Eric umenifurahisha saaaana .... You are most talented in Africa

  • @EmanuellVictoria
    @EmanuellVictoria 4 роки тому +1

    Nimecheka ila eric wew mshenzi sana nakukubali, love from Tanzania

  • @natusmaganyiro442
    @natusmaganyiro442 4 роки тому +1

    Nan mtanzania ashaingilia kampeni zenu kenya omond acha ushamba

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 4 роки тому +30

    🇹🇿✔😁😁 nyie mnapenda saana kutufatilia ila kwa nini hamuigi mpaka tabia zetu kuwa Hatubaguwani sisi si mnatuona kila time happy na tunapendana... 🇰🇪=🇹🇿

    • @linalinhwefwe6584
      @linalinhwefwe6584 4 роки тому +5

      Wewe bila shaka hujaenda shule ndo maana unaongozwa na mafeelings hii ni komedy na lazima uwe mbunifu katafuta content nje ya kenya keshafanya south afrika uganda na hata usa mbona una roho nyeusi kisha wasema tz raha. Mimi mkenya na shida zangu huja wakati Niko mgonjwa tu wewe una shida ndogondogo una raha kweli?

    • @dgt6303
      @dgt6303 4 роки тому +4

      Asee HK nmependa comment yako Kenyan hasa Eric anapenda sana kutoa comedy kuhusu tz na wasanii wao wanapenda mambo yetu ila sasa wangejitahidi wakaiga hata tabia yetu ya kutobaguana ili wapunguze ukabila kwao. Tunawapenda na tunapenda kuona wanaishi bila ukabila kama sisi

    • @linalinhwefwe6584
      @linalinhwefwe6584 4 роки тому +5

      Nyinyi ndio mnafaa kulearn from kenyans ndio msipitie ile njia tuliyopitia haya mambo hutokea wakati mnapoanza kukua kwenye miundo mbinu na uchumi kwa jumla. Sasa nyinyi ndo mnaanza kukua mtaona mikoa mingine inakua zaidi ya mingine hapo ndipo chuki na ukabila huanzia kwa mfano mbona airport chato na wala si tanga . Sie tunaelekea kupona kwa sababu raslimali zinagawanya sawa kila jimbo na maendeleo yapo kenya nzima sasa .

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 4 роки тому +1

      @@linalinhwefwe6584 point

    • @adrianignas5119
      @adrianignas5119 4 роки тому +2

      Nataka nikukumbushe, Dar es salaam, Tanga, mbeya, Mwanza Dodam ni mikoa iliyoendelea Sana Tz lakin mtz kutoka mtwara au iringa au rukwa au morogoro huwezi kuona akilalamika Wala kubaguana. Hivyo kwetu ubaguzi ni mwiko. Matajiri wetu wanaoongoza kiuchumi tunaishi nao mitaani wanaamka asubuhi wanakimbia kufanya mazoezi without body guard Wala bunduki. Tukiwa kwenye michezo wanajichanganya kwenye shoo pamoja na wananchi wa Hali ya chini mfano Mo Dewji kwenye tamasha la Simba Day.
      I guys to have to change.

  • @hajiadam6027
    @hajiadam6027 4 роки тому

    Umetisha mzeee Raha sana

  • @mkakampole7802
    @mkakampole7802 4 роки тому +6

    😂😂😂😂😂 dah ila wewe ni fala kweli. Mimi kama mtanzania i appreciate ulicho kifanya Omondi... Umetuvunja mbavu aise

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 4 роки тому

    fuatilia Kenya haiko sawa .....tuachie Tanzania......acha wivu

  • @salumufaki220
    @salumufaki220 4 роки тому +4

    😂😂😂😂😂Daaah cjuw umeshauriwa kula nini siku maana zle skeleton znakuhama shavu dodo hongera sana,,,

  • @babloomkisauji2818
    @babloomkisauji2818 4 роки тому +1

    Ubunifu very bogaz hamjajipanga... mumekurupuka... nawapenda lkn hapa N O

  • @EmanuellVictoria
    @EmanuellVictoria 3 роки тому

    Where have I been? We love eric omondi
    Welcome to Tanzaniaaaa

  • @pierrearcaldo1073
    @pierrearcaldo1073 4 роки тому +3

    😂😂 sista #katuni kila mahali upo.. kwan ushamalizana na #sweetmoyo.
    all in all nakupenda you are so funny

  • @muddykivamba9998
    @muddykivamba9998 4 роки тому +5

    Ujawahi kufeli omond sema mwanangu endelea na gym upate six pack 😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @andreakulisha5144
    @andreakulisha5144 4 роки тому +4

    One love kaka Eric, upo creative sana

  • @claudiahkinara4053
    @claudiahkinara4053 6 місяців тому

    Continue work hard President Eric Omondi

  • @alizedawa.5131
    @alizedawa.5131 4 роки тому +6

    Ericooo..guduwaan,fantastic creative man!!...much love of your work from isiolo,kenya

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 роки тому +14

    🤣🤣🤣 Erick hujawah kufel tunakukubali Sana Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @jacklinemwanga1691
    @jacklinemwanga1691 4 роки тому +23

    Shenz sana we Erik 😂😂😂 mbav zang mie 😁

  • @top_10comedy60
    @top_10comedy60 4 роки тому

    Jamani orick omondi awe laia wa TZ TUTAMPOKEA SANAA

  • @manungda9955
    @manungda9955 4 роки тому +4

    Watanzania tuchangeni kila mtu 5000 tsh tumnunue kabisa huyu Erick wao 🤣🤣 Wakenya tuambieni bei Erick na Omond tupo tayari kuwanunua🙌

  • @aynessgomes7436
    @aynessgomes7436 4 роки тому

    Hi hi hi hi Eric Mungu anakuona unavyotuvunja mbavu

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 4 роки тому +23

    Erick Omondi your welcome to Tanzania anytime😂😂😂😂

  • @kawesobsgadiel8803
    @kawesobsgadiel8803 4 роки тому +1

    We Eric Omondi unaidharau Tz. Hebu acha iyo dharau Kwa Tz

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 4 роки тому

    Mzee noma anataka kuona kiuno cha ukweli cha Tanzania....

  • @godblessmbowe1514
    @godblessmbowe1514 4 роки тому +4

    Am from Lamu kenya, hii mutu iko na kipaji muno the man is very very talented

  • @rahimumkwanda160
    @rahimumkwanda160 4 роки тому +11

    He realize Tz the home of fanbase and viewers
    Karibu sana Temeke

    • @massive8867
      @massive8867 4 роки тому

      ua-cam.com/video/IUuJF17dFdc/v-deo.html

  • @jaribhamis9247
    @jaribhamis9247 4 роки тому +11

    😂😂😂😂😂, we eric ni balaa san umefany nimechek had basi

  • @nichorausrichard3469
    @nichorausrichard3469 4 роки тому +7

    Mmemuona sepetunga pale wajumbeeee?!! 😂😂😂🏋️🏋️

  • @helgamodaha634
    @helgamodaha634 4 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 Big up sana Eric omondy welcome Tanzania tupo pamoj san

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 4 роки тому

    Sema nimeangalia hii video naishia kucheka tuu

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 4 роки тому

    Waziri wa maji njooo......

  • @jacobrehany3492
    @jacobrehany3492 4 роки тому

    Omondi hamia tu Tanzania...maana unaipenda sana

  • @francisjapan1594
    @francisjapan1594 4 роки тому +2

    Eric Tanzania twakupenda

  • @mantawellah
    @mantawellah 4 роки тому +2

    Huyu mtoto mpuuzi sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 4 роки тому

    Wewe eric mungu anakuona

  • @doctorgames5011
    @doctorgames5011 4 роки тому

    Bonge Mwenzangu Omond

  • @manhattanog8589
    @manhattanog8589 4 роки тому +4

    Eric forever,,,,from 255

  • @nuruelmada9570
    @nuruelmada9570 4 роки тому

    Uwiii!!! Mmejua kunifurahishaaa

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 4 роки тому +10

    Hii kitu ilikuwa imeekwa private...nmeshangaa no views

  • @edosafaris7989
    @edosafaris7989 4 роки тому +1

    Huyu fala apewe uraia tuu🤣🤣🤣🤙🏿🤙🏿💥💥

  • @teclamamkhumbi6976
    @teclamamkhumbi6976 4 роки тому

    Eric mjinga kweli unautani na Rais wetu

  • @anuarguni8492
    @anuarguni8492 4 роки тому

    Unajua omondi

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 4 роки тому

    Hatariiiiii sana,omond wew ni baraaaaaaa

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 4 роки тому +2

    we Eric haha you are crazy.....haha much love from TZ

  • @josephinekimaro761
    @josephinekimaro761 4 роки тому +1

    😂😂😂😂waziri wa ukulima😂😂hiyo kofia sasa wee aki leo nimecheka...wema mwenyewe anatafuna tu

  • @mtemijohn2799
    @mtemijohn2799 4 роки тому +1

    Umempatia umejuaje mwamba anapenda vyeupe

  • @is-hakayussuf9981
    @is-hakayussuf9981 4 роки тому +1

    Jaman namkubali diamond wa kenya

  • @fmr8880
    @fmr8880 3 роки тому +1

    Waziri wa maji anatembea na maji 😂😂

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 роки тому +1

    Pumbav zenu mlishapata ulaji tz kila siku n kuchungulia tz utafkr kenya hamna wasanii na viongz

    • @ahmedmahamudu4140
      @ahmedmahamudu4140 4 роки тому

      Mimi kama mtanzania naona kabisaa wewe ni fala na pungu wani

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 4 роки тому +1

      @@ahmedmahamudu4140 unateseka ukiwa wap? Nitume msaada

    • @hassanmapenzi6188
      @hassanmapenzi6188 4 роки тому

      Sasa ikiwa kenya hamna ile hamshe hamshe

  • @stevenlugo8195
    @stevenlugo8195 4 роки тому +1

    Nice from 🇹🇿✌🏾

  • @ivygidoti3143
    @ivygidoti3143 4 роки тому +1

    I loved the work

  • @superdupaproducer4294
    @superdupaproducer4294 4 роки тому +1

    😂🤣😂🤣
    Omondi ww ni fara sanaa

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 4 роки тому

    Mmetisha sana

  • @ayubuhenry5426
    @ayubuhenry5426 4 роки тому +9

    mbona diamond mapepe anataka kwenda wapi huyu

  • @achortony6006
    @achortony6006 4 роки тому +2

    😂😂😂 njoo waziri wa kilimo. Mpe chakula

  • @adamelly8781
    @adamelly8781 4 роки тому +7

    Wangapi wanamuona lukamba hahaha

  • @lizb2012
    @lizb2012 4 роки тому +1

    Nasubiri uigize na wanasiasa wengine kama hawakujia hukohuko wakuvute kama chewing gum 😂😂😂

  • @robbarobbz4088
    @robbarobbz4088 4 роки тому +8

    Hizo ni gumboots ama n buti la jeje 😂😂

  • @yohanahbyzehomba1352
    @yohanahbyzehomba1352 4 роки тому

    Uko vizuri mzeeya hizo buti watengenezee magari ya jeshi hahahah huhuhu

  • @munsheedtvonline8399
    @munsheedtvonline8399 4 роки тому

    Upo vyema ... From tz

  • @naomyachieng8444
    @naomyachieng8444 4 роки тому +15

    This guy of mine😂😂

  • @Dennybwoy4072
    @Dennybwoy4072 4 роки тому +7

    Eric we ni mjinga 😂🤣🤣 gumboots kabisa daimond ana gumboots kweli

  • @ismailmaulid1616
    @ismailmaulid1616 4 роки тому +1

    We nyau siku hiz umenenpa

  • @Burange666
    @Burange666 4 роки тому +1

    Wasenge watupu wamejaa pamoja na msenge kuma makufuli mnafirwa

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 роки тому +1

    Wew jamaa ni njoka yan? Dah umetisha

  • @monicaandrew8292
    @monicaandrew8292 4 роки тому

    Hahaha umetisha sanaaaaa

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 роки тому

    Noma sana wa kenya mechekesha

  • @mussajohn771
    @mussajohn771 4 роки тому +4

    Diamond kiherehere sana, tako mbinuko, gumboot, creative sana. Nimecheka sana.

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 4 роки тому +1

    Eriki hizo bangi ulivutia arusha zmekuharibu ubongo hahahaaa

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 4 роки тому

    Omond mbona unazod kuwa bonge? daah hii kazi inalipa

  • @RachaelLucks
    @RachaelLucks 4 роки тому +1

    Kiuno cha tanzania🤣🤣🤣

  • @kayandaseppe7616
    @kayandaseppe7616 4 роки тому

    Pesa kidogo unaanza kunenepa

  • @johncavishe353
    @johncavishe353 4 роки тому

    Ww noma sana

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 4 роки тому

    Mwehu kweli wewe Omond.

  • @dannynyotatz1705
    @dannynyotatz1705 4 роки тому +1

    Jamaaaa unauwa

  • @nicodemuschale7731
    @nicodemuschale7731 4 роки тому

    Ivy ni mm tyuu au Eric omondi kanenepa

  • @geraldlucasngoty6284
    @geraldlucasngoty6284 4 роки тому +6

    Diamond mawenge anataka umuwahi zuchuu 😂😂😂

  • @metrocommunicationskenya.8806
    @metrocommunicationskenya.8806 3 роки тому +4

    here after magufuli's sudden death so sad mahn

  • @avelinmaiko2455
    @avelinmaiko2455 4 роки тому +1

    Duuuh 😭😭😭ndio nn kumsema vibaya hvyo rais wetu

  • @charleskhasiani
    @charleskhasiani 4 роки тому +1

    mm nmebaki apo kwa kiatu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @jamessanga8945
    @jamessanga8945 4 роки тому +1

    Omond erick talented sana

  • @ishqmeinmarjawan1048
    @ishqmeinmarjawan1048 4 роки тому

    Jmn wema sepetu ni balaa yan hawajamaa kwel noma

  • @udakuplus7775
    @udakuplus7775 4 роки тому

    Mngemchukua Baraka Magufuli Mngeua

  • @stamiliabeid3177
    @stamiliabeid3177 4 роки тому +4

    Hamjajua kitu Hilo fumbo Hilo manaona Anachekesha huyo?

  • @faustinefesto7705
    @faustinefesto7705 3 роки тому

    Mtammisi sna jpm

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 4 роки тому

    😁😁😁 sawa kalibu TZ

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 4 роки тому

    Saf sn nmeipenda hii comed

  • @alexiganja7938
    @alexiganja7938 4 роки тому

    Nyie washenz kweli

  • @wemaroy1535
    @wemaroy1535 4 роки тому

    Yan nmecheka kifara kwer mxuuu🤣🤣🤣😍😍😍

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 4 роки тому +2

    Fascinating 🔥🔥

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 4 роки тому +1

    We Erick ni shidaaaaa

  • @bosypainterswathika3514
    @bosypainterswathika3514 4 роки тому

    Upuzi tu....mumenimalizia data bure

  • @georgeodina6460
    @georgeodina6460 4 роки тому

    Na mbona Diamond ako na haraka ya kutoka kwa stage haha haha