Nîndîrirîte kûhikio ndî mûtumia wa kerî💔😭, tûirîtu tigai gûthûkia mîcii yene

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @wambuiwamwangi
    @wambuiwamwangi  Рік тому +13

    Finally here is the link for the 1st wife episode
    ua-cam.com/video/9rBgtViNdUA/v-deo.htmlsi=fBXYA67nUkkn1TNB

    • @sophiegathio4566
      @sophiegathio4566 Рік тому +2

      Having watched the 1st 2if4 story I can tell this 2nd wife is a liar. Never ruin another woman's home

    • @kiumbukicomedy
      @kiumbukicomedy Рік тому +2

      Second wife ni mwuongo sana

    • @kiumbukicomedy
      @kiumbukicomedy Рік тому

      Uongo mtupu huu WA gachungwa ata wasiwe na kikao

    • @janenjihia4917
      @janenjihia4917 Рік тому +1

      2nd wife isn't honest

    • @wacekendonga5658
      @wacekendonga5658 Рік тому

      I will listen to both women but for any man who gets a second , third or fourth wife he must get them their property and live the first family alone.

  • @jamiemo6568
    @jamiemo6568 Рік тому +56

    Kikurambe tuu in peace,nikuri mwene wendo na mwene indo....You had your love now let the first wife n the kids enjoy their property in peace ✌️

  • @lilywanji5677
    @lilywanji5677 Рік тому +28

    The way she’s narrating how he went to fight the first family! Shindwe!!

    • @Lucynjoki1994
      @Lucynjoki1994 Рік тому +2

      Huyu hafai kuhurumia.. Na shamba hafai Kupewa hakuna kitu yake hapo.. Watoto wake wamnunulie kwake😊

    • @carolinenjeri4490
      @carolinenjeri4490 Рік тому +1

      True, let those wise and learned kids of hers buy her the land she wants awache kuwa "thambara" she has a lot of pride and kujiamini Sana... Anyway God knows better

  • @dollydolly1317
    @dollydolly1317 Рік тому +33

    After listening to the first wife, she's a wise hardworking woman, giki ni githayo thii ukarime ciaku

  • @johnwainaina
    @johnwainaina Рік тому +9

    Atí nengerai indo ciakwa 😮, urutiruo ku? ciene itiri ndokeiruo nuu . omba Mungu akupee zako

  • @anniegrisham2201
    @anniegrisham2201 Рік тому +52

    I've listened to both women but my heart tends to believe the 1st wife's story.Mum tafuta mali yako God is able to bless your kids in diverse ways.

    • @teresiamaina9573
      @teresiamaina9573 Рік тому +1

      Nmeanza hapa niende kwa first wife.... woi n vile n shosho qki

    • @serahkioko2748
      @serahkioko2748 Рік тому

      Where is the first wife story?

    • @annahwambuiwaithaka7547
      @annahwambuiwaithaka7547 Рік тому +1

      Sister yako aliona mbele panga kwako na watoto wako shamba ni ya bibi mkumbwa kiragu alipewa shamba na babu yake uliharimbu mboma yawenyewe uko na nguvu achilia mali iko na WENYEWE MADAM

    • @maryannemukirae6699
      @maryannemukirae6699 Рік тому

      True

    • @margaretkaranja6623
      @margaretkaranja6623 8 місяців тому

      Where is first wife's interview?

  • @calvin2542
    @calvin2542 Рік тому +8

    Uko na watoto tisa, mungu atawabaliki, wakununulie shamba, stop gossiping around abt the first wife it's your time to pay back......wachana na shamba ya wenyewe mngetafuta yenu, bt you were busy kuzaa ndio watoto wako wagawe shamba ya wenyewe,,, Pole sana umia umia sasa

  • @wamuthamaki5432
    @wamuthamaki5432 Рік тому +30

    Women always remember you can never build your empire on another woman's pain/tears ...usiharibu ndoa ya mwenzako

  • @lydianyakio7661
    @lydianyakio7661 Рік тому +10

    You enjoyed yua muthee when he was strong..that was your inheritance

  • @faithnjogu4976
    @faithnjogu4976 Рік тому +99

    😢😢😢heri nikae gulf milele bt siwezi olewa nikiwa second wife never..Wacha nikae single mother nilee watoto wangu

  • @moniquenk4594
    @moniquenk4594 Рік тому +24

    Chief alisema wewe ni maid ya mzee kama vile mwanzoni,,,mpango wa kado ni care taker ama piriton.The real deal is the first wife❤❤❤

    • @blessedwachera7133
      @blessedwachera7133 Рік тому +2

      Piriton 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @FcGod-k3g
      @FcGod-k3g 10 місяців тому

      Who said if you cheat hautawachwa lol

  • @mwariwamuthamaki7458
    @mwariwamuthamaki7458 Рік тому +21

    Ndacoka haha after listening to the first wife....kuria wathire ugithukia muthuri ugiciria niguthondekari? Coka akwo umere makuhe mugunda .....wee gutiri undu wonete niukuona.....onawe ciaku nocigathukio

    • @TeacherNyoks5258
      @TeacherNyoks5258 Рік тому

      Imagn after kuhitha muthuri more than 30yrs, amucokia arwara n now she is demanding a shamba yenye ilinunuliwa b4 azaliwa.. shidwe sana na tena ashidwe.

  • @wanj.9
    @wanj.9 Рік тому +83

    I was once a 2nd wife and i faced God's discipline 🤝 married men achaneni na wao completely,,mùtietere wa thamidoh muone

    • @beatricenjeri8502
      @beatricenjeri8502 Рік тому +8

      The first wife tears itakufuata na njiarwa siaku mutikagia thayu, because you're not welcomed there.

    • @Wangari412
      @Wangari412 Рік тому +6

      What about mslims

    • @gracewairimu4006
      @gracewairimu4006 Рік тому +5

      Uliigilia familia iliyo kuwa pamoja
      Ugekazana mununuwe yenu.

    • @Lynn146
      @Lynn146 Рік тому +5

      ​@@beatricenjeri8502😂😂😂😂

    • @queenyakinangop4096
      @queenyakinangop4096 Рік тому +2

      Kitamramba ashangae ata akizaa kumi Samido atrdiya edday

  • @cmwachira5956
    @cmwachira5956 Рік тому +9

    Wambui you have great interviewing skills,i just love how you listen to your guests,and the facial expression

  • @joyfrance565
    @joyfrance565 Рік тому +33

    It’s a very sad situation. I will tell this woman with a lot of respect.
    Your husband has dementia. Unfortunately it’s doesn’t turn around, it keeps getting worse and worse. He needs a lot of attention and love. I am so sorry for what you are going through.

  • @janewyman9909
    @janewyman9909 Рік тому +6

    You agreedy woman, you spent all his pension instead of sharing with 1st wife, what comes around goes around, you are just there because of 3 acres you sell nkt. Wambui thank you for listening.😊

  • @FcGod-k3g
    @FcGod-k3g 10 місяців тому

    Weee after listening to this story ooh God give me my own husband my one and only!!hizi drama sitaki in my own life and at my aging days amen!

  • @Flame-hd2se
    @Flame-hd2se Рік тому +10

    Most likely hawa watoto wengine amezaa nje am doubting kama qite ni wa huyu mzee. Adui ya mwanamke ni mwanamke tu. Ulidhani wewe ndio kusema juu ulikuwa gachungwa

  • @janemwai1165
    @janemwai1165 Рік тому +7

    After listening the both women I believe the first wife,,, lesson learnt for us not yet married hope Karen Nyamu wa ngundi nyumu is watching.

  • @marymbugua5416
    @marymbugua5416 Рік тому +28

    How many times do I tell women, that men always look for excuses to marry another woman. They will lie about their wives and talk ill about them..while they are still together. .. " if you hear this from a grown man run 🏃‍♂️
    1) it's you I want
    2) my wife is dirty
    3) my wife sleeps around
    4) my wife is giving me stress thats why I sleep out.
    5) my wife takes all my money
    6) my wife's family are witches
    7)I don't sleep with her
    8) she has tried killing
    9) bla bla .. they all say something bad about their spouses. The truthful is none of it is truth .. infact the wife might be the one who owns everything. But most women don't say anything.

  • @gracewairimu4006
    @gracewairimu4006 Рік тому +9

    Saidiwa ujenge hiyo plot achana na shamba ya wenyewe.
    Bibi wa Kwanza huwekelewa sana .
    Furahia watoto wamesoma wale wengine labda hawakusoeshwa.

  • @kuibilhah
    @kuibilhah Рік тому +6

    Kiriro ni gia utuku. You are blessed with clever children. Pray for them and bless them. The future is bright.

  • @highlyfavouredblessedchild5022
    @highlyfavouredblessedchild5022 Рік тому +10

    Poligamy is horrible and a pain to the first wife and her children...the second wife will always pay for the pain they caused in other people's families however God is very merciful....this story should serve as a lesson to all people contemplating poligamy....may God remember families they are under attack

  • @joycemoller9565
    @joycemoller9565 Рік тому +26

    What a different story.
    Na unafurahia watu wakipigwa juu yako.
    Sasa it's your time to cry😂

    • @wanj.9
      @wanj.9 Рік тому +2

      😂😂 it's called karma

    • @wanj.9
      @wanj.9 Рік тому +7

      😂I hope Karen nyamù is watching this

    • @elizabethwachira7884
      @elizabethwachira7884 Рік тому +2

      Kimemramba lakini wooiye wacheni kucheka.🙈

    • @wanj.9
      @wanj.9 Рік тому +3

      @@elizabethwachira7884 😅😅hakuwezi kosa MTU Mungu alituma amkanye kukaa Kwa hio marriage,I was once a 2nd wife na nilikanywa mara fifte nkirusha mikono weuh ,no Ngai nīarī tha

    • @elizabethwachira7884
      @elizabethwachira7884 Рік тому +6

      ​@@wanj.9ulikuwa unakanyanga kama tausi 😅😅. pole sana.kwanza aliendelea kuzaa even after mzee kukosa kufuatilia shamba.the man was irresponsible,he should have done it for the sake of the children

  • @margaretirungu2665
    @margaretirungu2665 Рік тому +9

    Nyakiamburi niwamburire kiondo kiambitwo ni nyakiambi. It is your turn to cry.

  • @annmuchiri3961
    @annmuchiri3961 Рік тому +9

    Mwanaume amekushida na 35yrs huyo ni babako ,,,shidwe

  • @marymurage1281
    @marymurage1281 Рік тому +18

    listened to both stories, coming from such kind of a family achana na huyu mamaa ni wazimu, aende akatafute shamba yake

  • @stankirubi1182
    @stankirubi1182 Рік тому +4

    We wina matuhuhu maingi we niwe wari solution ya muciii weneee kwenda kabisa

  • @M.e749
    @M.e749 Рік тому +12

    That moment when reality hit home.Aki mimi i have no mercy for her i feel like she deserves everything she went or going through but am sorry

  • @annwambui-n1j
    @annwambui-n1j Рік тому +7

    You found the first wife with the land tafuta yako you enjoyed the pensions money and forgot the other family kula kiburi yako mamaa

  • @mercynjoroge9057
    @mercynjoroge9057 Рік тому +7

    Huyu mama ata ukimwangalia unaona tu kuna uongo ile machozi nmaleteanga 1st wife mwishowe kinawalamba

  • @nancywanjiku1147
    @nancywanjiku1147 Рік тому +20

    This woman is so biased and full of selfishness,she is only talking about her,her children and property.she needs to know before she came as a"third party"that family had a life...hiyo shamba huyo mzee alinunua akiwa na first wife,so the first wife has the right to claim it as matrimonial property...let this woman focus on what they bought with the husband after they got married of which she is not really proving,wambui leta first wife coz not at any given time amesema uzuri wa huyo mama na watoto wake,why do some women find it easy to settle at other peoples comfort zone?she knew that was someone else's husband so anadhani alikuwa akubaliwe kama the prodigal son??huyu ni mzee ameona miaka imesonga akaona ata wachwa kwa mataa....all i can tell her the battle is only beginning because her and the mzee walivunja the commandment ya don't commit adultery,she has openly talked about the first wife ati alicheat mzee,,like seriously!!she had the audacity to speak ill just for her to glorify her adultery!!!!akubali aliingizwa box na mzee na story za jaba and now she is facing the music of her own beats,let her dance to her own tune.some mistakes we make by choice so we should be ready to embrace the consequences,huyu alijikaraga na yake the burns are now too much for her...wambui please leta first wife alot is to be listened
    and said here.

  • @monicanjenga988
    @monicanjenga988 Рік тому +9

    Kirumi gia gutiganiria ciana ciake,hindi iria muthuri ucio ari wira ndwarekire muthuri ucio arere ciane ciake niweyendire muno urenda indo iria ciethetwo ni mutumia mukuru ungiethire ciaku

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY Рік тому

      Hapa safi kabisa wengine hufuata pesa na mail za wenzao huwa Hawajui zimetafutwa vipi ndiyo akome Sasa owe fundisho kwa o wengine

  • @janengige794
    @janengige794 Рік тому +74

    Hiyo ni shamba ilitafutwa na bibi wa kwanza ukaingilia ndoa yao...... it's your time to pay ...achaneni na ndoa za enyewe

    • @ja9293
      @ja9293 Рік тому +8

      kabisa....leave married men alone nkt nkt

    • @miriammugo5459
      @miriammugo5459 Рік тому +7

      @@ja9293 ona ika icio ithatu ndirona agiciona niatige gutinda akiuga kirumi kiu nigiake ona noaikare hau plotini iyo ari ruo ruria tutimia tutu twa Keri tugeragiria andu it's beyond limits wacha ikurambe sasa tondu ona muthuri ucio riria ari wira nokorwo ndari kindu aheaga family iyo ya mbere wahihinyaga ciothe tondu ona niurauga waigitwo maisha mega niworagia ucio ungi atwariirwo ki nahukuenda Kwa media why are you going now

    • @lilianmuthoni2441
      @lilianmuthoni2441 Рік тому +2

      Kunywa soda Kwa Bill yangu msupaaaa

    • @hellentheuri1139
      @hellentheuri1139 Рік тому +4

      Anasema shamba yake gani, angetumia akili atafute yake tena kwanini alizaa hao watoto wote angezaa wawili dio aweze kulea watoto. This story shows she wanted this mzee by herself but not in time of sickness

    • @Anne-xu8zf
      @Anne-xu8zf Рік тому

      I don't like the way this lady looks for such a story about the first wife n naming other people's names!! She needs wisdom,, this won't make it easier for her to have the shamba,, it belongs to first family,,,, the way she's narrating well like it was a win

  • @PhyllisMbiu-gx1zy
    @PhyllisMbiu-gx1zy Рік тому +6

    Anataka kuonyesha. Vile watoto wake wannapenda mzee has wengi hawampedi shidwe

  • @cirahhildah
    @cirahhildah Рік тому +7

    But men lie,kwangu kulienda hivyo,huyu dame analia kuniliko yale alinipitishia.The parting short was excellent

  • @gracenjamba1792
    @gracenjamba1792 Рік тому +13

    When you started narrating the story na ukaanza na kutuambia makosa ya bibi wa kwanza ndo uolewe nimejua tu its sympathy seeking….Nishakua na bwana ya wenyewe and weuh nililipia vizuuuuuuri so muthuri wene ni magambo….God always fight for the wives.

    • @lucykahenya2520
      @lucykahenya2520 Рік тому

      Ninii nanii ndatigirie ha nyeni na marigu juke kuragirwo wiraini ngiura ngihurira mutumia wake niwe wamwethire gukihorera niii kai muthuri weneee kai tiniii kaba ndithambirie

  • @girlgal5
    @girlgal5 Рік тому +13

    Sorry mummy no umenye nikuri mwene indo na mwene wendo maithori mamutumia mukuru nihindi uramarihira

  • @tracynyambura4494
    @tracynyambura4494 Рік тому +8

    First wife niwa kulinda mali,wa pili niwa mapenzi...njoro,mutukanio well represented,kuolewa second wife its a NO GO ZONE

  • @miria659
    @miria659 Рік тому +6

    Hana a repentant heart ata uchukue mzee wa wenyewe miaka yote na aone akiabadorn family yake na bado hatosheki

  • @dorcasngugi499
    @dorcasngugi499 Рік тому +3

    Wooiii maithori may urabu this second wife kitakuramba kabisa

  • @alicekihiu7458
    @alicekihiu7458 Рік тому +19

    Ogopa mwanamume he can tell you anything so that he get what he want and finally uachwe kwa mataa

    • @charitykamau4785
      @charitykamau4785 Рік тому +1

      @alicekihiu very true she is narrating the story like she eye witnessed everything

    • @susanwachira3606
      @susanwachira3606 Рік тому

      Exactly 💯,nimekuwa nikitafuta hii comment.

  • @marykay2829
    @marykay2829 Рік тому +22

    Someone's husband's like a government car you can't own it,siene itiri dokeiruo nuu..na baiskeli ni ya watu wawili wa tatu niwakuforce issues kama wewe mum😅

    • @beatricenjeri8502
      @beatricenjeri8502 Рік тому +2

      Good words

    • @missk8647
      @missk8647 Рік тому +3

      Hawatakangi kuskia hivyo umewaambia na ni ukweli.

    • @miriammugo5459
      @miriammugo5459 Рік тому +2

      Very true you've said she is forcing issues nathat man knew what she was doing

    • @wambuievelynwaithira
      @wambuievelynwaithira Рік тому +2

      Mm venye naogopa bwana ya wenyewe afadhali nikae gulf nisugue hamam than kuolewa nikiwa second wife.venye wangu alioa nilikata tamaa mambo ya wanaume. wacha ibaki story

  • @NNIKKILA2332
    @NNIKKILA2332 Рік тому +22

    It doesn't matter when but God will always avage for you, what God has joined let no man put Saunders,it tooo painful to build a home then somebody comes and ruin it .mum its payback period embrace what you raised its thunder striking you

  • @leahnjoki5177
    @leahnjoki5177 Рік тому +11

    Wooih mum umepitia mengi,siwezi kujudge Hata kidogo,but with or without land you can still live a happy life,you are blessed

  • @annmuchoki3075
    @annmuchoki3075 Рік тому +12

    The moment the man aliandikisha bibi mkubwa shamba,that was a wake up call.Hapo ndio huyu mama angejua ako kwa shida.Aombee tu watoto wake wafanikiwe wamnunulia pahali wamjengee.

  • @florencewanjiru5061
    @florencewanjiru5061 Рік тому +17

    Mwene indo na mwene wendo..... Now they want you to inherit love...

  • @rosekaburia5217
    @rosekaburia5217 Рік тому +12

    I just hate when innocent children get entangled in situations they did not ask for.🙏

  • @gracewairimu4006
    @gracewairimu4006 Рік тому +8

    Pia afurahi watoto wake wamesoma.
    Wengine labda hawa kusomeshwa.
    Anasema wake ni welevu sana woiii.
    Bibi wa pili ni more 🔥🔥🔥🔥

    • @susanwachira3606
      @susanwachira3606 Рік тому

      Weh,wamama watu husoma wanaandikwa na wenye hawajasoma sana

  • @annmacharia711
    @annmacharia711 Рік тому +14

    2nd wife is the worse lesson i learned. I left and apologised to the 1st wife. Lesson learned the hard way i better be single forever. But this married men really lie about the 1st wife but till you get there you will know black and white.

  • @marymacharia9627
    @marymacharia9627 Рік тому +7

    Inaoneka ulichezwa na mzee na mke wake wa kwanza,tena kuzaa watoto ulizaa wengi ili upite mke mwenzako

  • @samuelmaina2652
    @samuelmaina2652 Рік тому +38

    This woman should not be told to apologize to anyone. She did not come into that marriage to destroy the life of anybody.

    • @serahnjoroge1069
      @serahnjoroge1069 Рік тому +1

      100%true

    • @mercymaya5374
      @mercymaya5374 Рік тому +1

      Very true

    • @samuelmaina2652
      @samuelmaina2652 Рік тому

      She got herself in the mess knowingly but with the best if intentions.

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 Рік тому

      Alipenda Mzee akajisahau .9 kid wakati aliona akimbembwa akakue maid ndio wakati agejua ni kubaya

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 Рік тому

      @FaithImani-qj1ci I'm that person who don't ingnore red flags huwa nakanyanga kubwa kubwa

  • @puritywanjera9719
    @puritywanjera9719 Рік тому +2

    Lemi me advice all women wenye wamewatch hii story if u decide to be married as a second wife acha kuzaa ovyoovyo uliza watoto wengi kushinda fst wife

  • @babieakawanga9127
    @babieakawanga9127 Рік тому +13

    Wooie mugikuyu ndahititie akiuga atumia eri ni nyungu iri cia urogi

  • @marysarahkariuki6992
    @marysarahkariuki6992 Рік тому +48

    Wambui ita mutumia ucio ungi kana mwana umwe wake tuigue Bandi cieri

  • @gladysmwangi22
    @gladysmwangi22 Рік тому +8

    Ubaya wa hawa masecond wives huwa wanajifanya wamejuta wakishazeeka na mwanamme ashazeeka when it's too late kwanini uliingilia boma ya wenyewe utalaaniwa mpaka kizazi chako I hate second wives to the marrow

    • @judahwillgofirst7964
      @judahwillgofirst7964 Рік тому

      If you have daughters,don't be too harsh, these days ni neema ya Mungu hutulinda,not our self righteousness

  • @Famera_Sweet_treat
    @Famera_Sweet_treat Рік тому +27

    I really pity men they make poor decisions when they are strong once they start going down they suffer in the hands of the two families

  • @janewanjiru533
    @janewanjiru533 Рік тому +4

    1st wife deserves her share of land because it was bought before you were born. Wewe tafuta yako.

  • @paulinenkatha646
    @paulinenkatha646 Рік тому +4

    Wambui Mungu yuko then tell this mum aombe Mungu coz watu ni wengi hawana inheritance like my husband they were left with nothing coz walilelewa na single mother akiwa kwa rentals na akapass akawaacha with nothing even us we leave on renting the house up to date but I hope one day God will bless us with a place we shall call home 🤗😢

  • @jeddyjohn8813
    @jeddyjohn8813 Рік тому +6

    That farm was aquired by the 1st wife and the husband and the 2nd has no place there...
    What a wife owns is what they get with the husband....the law says if am not wrong...

    • @annmugure6824
      @annmugure6824 3 місяці тому

      It's very true hapo hakuna chake..angejitahidi huo wakati watafute Yao ...saai ata aekelee kesi atajipea pressure bure

  • @lucynjogu-sf1ms
    @lucynjogu-sf1ms Рік тому +19

    Ulikula.mikate.nyama.mama akikula githeri.those days Sasa niwakati wako.Mungu.aliingilia kati shamba ikabaki na mama

    • @mercynjoroge9057
      @mercynjoroge9057 Рік тому

      I wish I knew inakujanga when it's too late

    • @ruthkimani9284
      @ruthkimani9284 Рік тому +1

      Huyo mama wa kwanza alikua jangiri. Kwani husikii sababu ya mzee kuoa? Usherati ni mzuri kweli?

    • @gracegithinji7717
      @gracegithinji7717 Рік тому +2

      Kile umepanda palilia vizuri na jua ikiwaka umuwagilie manji njuu ni wewe utavuna wakati ni hii unavuna vumilia vile huyo mama alivumilia ukimbomoa nyumba yake na mwisho mzee amerudi kwake atamalizia kwake kule alianzia pole sana mpango wa kando

    • @mercynjoroge9057
      @mercynjoroge9057 Рік тому

      Very true you saw what you reap

    • @janekarue2105
      @janekarue2105 Рік тому

      @@ruthkimani9284lies,lies,lies

  • @lydianyakio7661
    @lydianyakio7661 Рік тому +4

    This kids will buy land for you.
    Train them to focus an they will settle you in future but for now shamba niya mwenyewe

  • @PhyllisMbiu-gx1zy
    @PhyllisMbiu-gx1zy Рік тому +5

    Huyu. Mamma anajjigamba,na mariingo mingi

  • @isabellkinyua2699
    @isabellkinyua2699 Рік тому +13

    Huyu ni shetani and she deserves everything that she's going through, hawa watoto unasema werevu kuliko 1st family watanunua shamba,

    • @Melovemacolour
      @Melovemacolour Рік тому +2

      Pewa coke baridi kwa Bill yangu... I personally i hate marriage breakers. I grew up a victim and my education dream was shattered because of a devil like her.

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY Рік тому +1

      Kabisa wanakujaga na mambo mengi mie na support mke mkubwa mama yangu pia alipitia hayo

  • @lumac4548
    @lumac4548 Рік тому +4

    Tau Tau iria Ina mutumia uyu ....tiga tuu

  • @veronicachege4272
    @veronicachege4272 Рік тому +4

    Ulikosea sana,,,tubu dhambi zako,,. Do you imagine of the pain you caused the first wife...

  • @marymwai5351
    @marymwai5351 Рік тому +4

    Ukiolewa mama ulijua hiyo ni ndoa ya wenyewe.ulitaka shamba ama mzae😂😂😂weehh kaa na mzae wachana na shamba

  • @susankimanikimani4976
    @susankimanikimani4976 Рік тому +3

    Lies ditected.. 😊😊 muthuri wa mundu e ruo,I listened to the first wife and I have every reason to believe the first wife,I also saw the said man who doesn't understand anything today,he has come back to his first wife very sick who is taking care of him

  • @agnesmaizah3834
    @agnesmaizah3834 Рік тому +2

    Ungienda kumenya mundu akiaria maheni athie channel ingi aheanaga different story and that's what this woman is doing kwa Winnie alipeana a different story sasa tanajijazia

  • @janewangombe5668
    @janewangombe5668 Рік тому +10

    This is what will happen to samindo 😂shamba huwezi pata coz shamba ilikuwa imenunulia na 1st wife na bwana.tafuta yako mami.uza hiyo plot ununue shamba. Hiyo ni curse kunyagaya watoto haki yao.

  • @lizmilessmiles5280
    @lizmilessmiles5280 Рік тому +1

    Kama ako na plot acha aenjoy za town za ushago achana nazo.
    Uli enjoy za retirement sa acha mwenzako a enjoy chenye walitafuta pamoja.karen nyamu mkumbwa

  • @lucynjuguna9653
    @lucynjuguna9653 Рік тому +3

    My co wife alipelekwa kwa bwana,akakataliwa na mom in law na juu alikua na bol ikatoka juu ya machungu

  • @tabithanjengaofficial9820
    @tabithanjengaofficial9820 Рік тому +20

    Watching this in tears please Lord remember my family my mom had gone alot..i will not pray anything bad about anyone but God take control bless us as first wife children tusikuje kupigania mali..woi Ngai turathime naria jiaraniirwo nao Amen 🙏

  • @lucymwangi752
    @lucymwangi752 Рік тому +11

    Nigwaki kwene wathiaga ona nyumba yambere no yariraga gutiri wiriraga agithii ta gicoka winyihie noukuneyo kiria gigiaku

  • @ReachelWaithaka
    @ReachelWaithaka 2 місяці тому

    16:43 dukamake mamii its your time to pay huwezi ingilia ndoa ya wenyewe utarajie mazuri

  • @gladyswakarura966
    @gladyswakarura966 Рік тому +5

    😂,,,😂😂😂😂😂 kikurambe kabiiisa

  • @Justo_The_Content_Creator
    @Justo_The_Content_Creator Рік тому +14

    So many lessons to learn from this story,dunia ni mduara.

    • @maryjoel398
      @maryjoel398 Рік тому +2

      True dunia ni mviringo for what goes around comes round ,,wah God have mercy on this earth Lord 🙏🙏😮😮😢😢

  • @lucynjogu-sf1ms
    @lucynjogu-sf1ms Рік тому +6

    Mungu alifanya gari iharibike diyo mama apate title. Tafuta Mali Yako kama sisi masingle.

  • @Sarah-ny8lr
    @Sarah-ny8lr Рік тому +9

    Ndoa za watu wachaneni nazo kabisa then mimi sioni kwanini uitishe shamba na c wewe umetafuta huyo mzee walitafuta n fast wife

    • @annwairimu3724
      @annwairimu3724 Рік тому +3

      Watoto wa 2nd wife ni watoto pia they deserve inheritance ya baba Yao. Watch Familia ya stano

    • @Sarah-ny8lr
      @Sarah-ny8lr Рік тому

      @@annwairimu3724 na sikatai but awagaie zao c zawenyewe pia niwakubwa wajitafutie zao

  • @puritykathure4998
    @puritykathure4998 Рік тому +3

    Huyu mama ako na mambo..alikula pension na shamba pia alitaka kuuza?😢😢

  • @periskamau3881
    @periskamau3881 Рік тому +15

    Uliingia kwa hii marriage knowing well Kuna bibi, wewe ndiyo mzuri ,kuliko bibi wakwanza hii ni malipo, it's your time now to cry

  • @gracewambui-u3d
    @gracewambui-u3d Рік тому +6

    Unalia nini your enjoyed while the 1st wife was beaten now enjoy ur life my mum was the wife suffered alot until death and my brother and I were taken to my mom parents we are adults now. They have sent chief and wazee tuwende watupe shamba cuz God made them pay for wat they did to us

  • @traveledra2015
    @traveledra2015 Рік тому +3

    Please watch the response from His frist wife

  • @complimusic1822
    @complimusic1822 Рік тому +6

    Mzee suffered at his old age for having two wives atumia eri ni nyungu igiri CIA urogi

  • @gracedgtg
    @gracedgtg Рік тому

    Hahaa na niguo gatumia gaciarite niguo kanyite muthee😂😂😂😂. Wiyethere mugunda bae ya muthee😂😂😂😂 love this story. Nyambura nyakiamburi wakwa uka hahaaa😂😂😂😂

  • @gracebaby9179
    @gracebaby9179 Рік тому +10

    Don't regret mum ,the future of your kids is brighter with shamba or not ,you might get your kids going to a broad na wajibuyie shamba so it's well mum

  • @lucynjogu-sf1ms
    @lucynjogu-sf1ms Рік тому +2

    Mama.ilishidwa nakusomesa watoto wake but u Lucky Mzee alipea watoto wako elimu you are very lucky so shamba ni ya mama

  • @amani9823
    @amani9823 Рік тому +4

    I will never want to make another woman cry out of my selfishness,wanaume ni wengi sana single,why should i make another woman suffer,ikurambe kabisa,mali ulipa huko wachana nazo ni za 1st family,ambia mzee akutafutie yako kando,you don't deserve a nickle or a share to her properties

  • @grace_gracious
    @grace_gracious Рік тому +2

    May God give this lady justice ..yes her 3 acres n that half of that Gikuyu land . O God have mercy , forgive her n God of justice let justice b upon her n let these two families forgive each other n live in peace.

  • @gracedgtg
    @gracedgtg Рік тому

    Ndikugweta mundu but ujue kuna mwenye mali na mwenye love❤😅😅😅😂😂😂 your choice your happiness😂😂😂

  • @tabithanjengaofficial9820
    @tabithanjengaofficial9820 Рік тому +3

    Weeeuh first wife ako kwa winnie wa ndungu channel amesema hagai shamba....please mom move on forget about that land coz your children will buy you and build a beautiful home for you.

  • @KairetuKaMuchemi
    @KairetuKaMuchemi Рік тому +2

    Karam has no menu,you get served what you deserve
    Wacha ego kwa Mali ya mwenyewe

  • @paulinewairimu4150
    @paulinewairimu4150 Рік тому +7

    the 1st wife sounds truthful,the 2nd wife has decided to tarnish the 1st wife's name. Mwanaume wa wenyewe ni no go zone

  • @esthernjerimuiruri9822
    @esthernjerimuiruri9822 Рік тому +2

    The law is very clear you will inherit whatever you have acquired together. hio shamba unasema ni ya mzee walinunua na first wife,,ungefanya bidii mnunue yako ,you brought libido inherit libido achana na shamba hukununua.

    • @catherine4043
      @catherine4043 Рік тому +1

      Amekula mzee na pension akamaliza sasa anataka mali ya first wife 😂
      Haiwesmake

  • @maryjohns1502
    @maryjohns1502 Рік тому +5

    Mpango wakando ama wife number two lazima apitie hayaaa😂

  • @marynjuki5141
    @marynjuki5141 Рік тому +3

    The first wife said you want the 3arces to sell and it is evident in ur talk.....hutaki kulima, unataka kuuza usomeshe watoto. 1st wife [mwenye title] doesn't want it sold. mulikula pension even b4 retire na tumbo tu. payback time

  • @shikohshikoh8380
    @shikohshikoh8380 Рік тому +3

    Ladies out there hope you learned from both stories leave married Men alone KARMA IS THERE

  • @kamymukami1128
    @kamymukami1128 Рік тому +2

    The end of the story,the husband loved and trusted the first wife.cause why change jina ya tittle to firsts wife and not you?bwana angetaka,angekuandikiasha and the ploti,alibuy kufichililia na kuonyesha concern ya mapenzi juu ya watoi so leave shamba ya jina ya mwenye ako kwa title

  • @JosephKungu-c1v
    @JosephKungu-c1v Рік тому +12

    I think there is need for interviewing the first wife also before judging or solving such a case..that's my take

  • @wambotalliey8490
    @wambotalliey8490 Рік тому +1

    It seems you want to show us that you are the better person now the first wife ni mbaya
    Madaam mtu huwa hadanyi hivoo kama si huyo first wife hungependa huyo mzee so respect that
    Na the time uliolewa the man alikuwa na pesa ungemwambia akununulie shamba yako