Maafisa wa usalama Kisii wanafanya mkutano baada ya vikundi viwili pinzani kupanga maandamano
Вставка
- Опубліковано 17 кві 2024
- Maafisa wa idara ya usalama kaunti ya Kisii wanazungumzia msukosuko wa Kisiasa kaunti hiyo huku wakiratibu mikakati ya usalama. Maafisa hao wakiongozwa na kamanda wa kaunti ya Kisii Charles Kases wanaratibu mikakati hiyo huku vikundi viwili pinzani vikipanga kufanya maandamano.
Chrispine Otieno anaungana nasi mubashara kutoka Kisii na mengi zaidi..
We will never surrender, until Arati is given peace of mind
Serikali ya majambazi tu udaku Ruto hafai jameni
Those officers are joking with fire those boy might come for them they don't fear guns
Wajana na Simba wetu nyinyi shelekali ya sakayo
It's very unfortunate that police commanders and CCIOs are used politically. A pathetic Ruto regime
Freedom of association, speeh and assembly must be resoected as long as its not inciting.
My problem is the lend plus lady she looks so frustrated. But still she advertise for lend plus
😂😂😂😂😂
Huyu Kamanda wa police huwa Ako na ujinga Sana. Ni mtu wa UDA 😂
Tukutane kesho ndo tujuane ww ni nani
Simba ni taa yetu tena tano fresh 27 unaendelea
Nini inasumbua Ruto surely , you don't have to force us to UDA
Looking for englisiii everywhere WTF😅
serikali ya kulazimisha