Kibooooooooooooooooo usa hiyu mayuga himu ndani😂😂😂😂😂thanks bro bujra ndoto imetimia
Chamaniiiii 😂😂😂😂😂 una mambo hasa❤
#CHAMANI🎉
Mnajua mnachofanya guyz...keep it up❤
Nimefurai kuona Daa Zai wetu ❤ congratulation Jimbo media
Chaman amezid eti pia msitongozane jmn beka love you from Qatar 🥰
Wanangu mko juuuuuuuuuuuuuu...... 🎉🎉🎉❤❤❤❤
love u mtoto wa mama romancer ❤❤❤ plus shemela wangu mtiifu❤❤❤
Masha Allah chamani inazidi kunoga ongereni❤
Mayuge unahamba moyo tausukuma damu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂u take my roho 😅😅😅😅😅😅
Nawakubali watu wngu❤❤❤muko chonjo sanaaa
Congratulations guys ❤❤❤😂chamani iko vzuri sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣serekali iko mkono salama?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamni hongereni kwa kazi njuri
Good job❤❤
😂😂😂chamani akagbwirwa phereruuu 😅😅simu bwana😢😅😅
I like that you take my rohoo😂😂😂😂
Serikali inanena nawe unanena kiboooooo usa iyu mtu iphaa😂😂😂Beka ruga nakukubali
Hhhhhhhh uchamni una mambo keep shinning jimbo media
Uchamani tauna mambo ila ye chamani ndie mwenye mambo
Movie imechangamka mashallah yaani hamboeshi😊😊
Chairman anakula madem w wenyewe😂😂😂, chairman must go!!😂😂
Kz safi
Mashallah Mwenyezi Mungu awaongezee vipaji vyenu
Kiongozi mla wanavijiji hii series y chamani inasisimua sana
kuhusu issue ya shoka sisemi kitu🤓
chamani na tilalila kuzini tu kuoga aaaah😅
Wa tano leo nipeni likes zngu....
Hongeereni kila mtu anacheza uhusika wake vizuri.
😂😂😂😂😂😂 mwanangu Bekah utaniua
Aty auombi Mungu waomba change😂😂😂😂
Mbona fupifupi lkn alfu chamani anzidi apunguze duh watu hawaongozi hivyo😂😂
Kazi Safi guys Congrats
Nmependa uwo mlango wa dula
Chaman amepatikana 😅pesa za tilalila zapelekewa mpasua kuni😂😂😂
Afadhali nimekuona kk kongo mda ni mrefu sana kutoka nikuone pamoja sana.
Bekaaa anachira chijiji...na wewe ulielala na mke mpk asubui hiyo sio kuchira...,😂😂
😂😂😂😂 kazi nzuri beka
Kali sana,digo to the world❤
Masha Allah KAZI nzuri saana
Chamani anakula sana mabibi za watu dhuuu! Tilalila weweeeee!
Cherman kesi yke lazma wtu wkaimalizie kwake😂😂😂😂
Vizuri zana wadau ni nzuri na vyenye nimemisi nyumbani leo nimekuona
Moja safi
Congratulations guys❤
Kazi zuri❤
Sawa
Kazi nzuri ❤❤❤
😅😅😅😅 mavuwe sio vyoo
We chamani una gubu sana 😂😂😂😂😂
Wanangu twendeni nalo big up
Tayari mzigo umeingiya
Hii sio yakukosa
Wa kwanza leo
Kiboooooo kazi unayo 😂😂😂
Mashaallah kaz nzuri lakin chaman apunguze iyo shenzi pumbavu ana boo
Chamani Umalaya tu kuhoga Aaaaaanh
Mm nachekaa mpaka next year juu ya chamani, Yani kesi alieiba ni tumbili kesi yaenda kuhukumiwa na nyani 😂😂😂
Mwayuga eti huombi mungu waomba change
Good job
Mayuga 😅😅
You take my roho 😅😅
Kazi nzuri
Ila chamani anaupiga mwingi😂 hongereni🎉❤
Mayuga my favourite actor😂😂
Mayuga mdomo umeacha😂😂 haya chamani kashikwa leo😅😅😅
Mashaallah muko vzr sn😊
Chamani kivurugoo 😂😂😂 unakula sana watoto wawatu 😅😅 kibooo peleka chamani ndani leo analia kimemramba 🤣🤣🤣
Content y maana kbsa👍
Kibooo😂😂😂
Tilalila nyamara ukafungwa NI babaa🤣
KAZI nzuri xn
MashaaAllah kazi nzuri
Safi sna
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 marufuku kutongoza mikoroshon
Good work team
Kwani mumeipost tena hii episode na tuliona jana
Jana kwingine ilikua Haina sauti naona wamerekebisha Leo Iko sawa ❤
😂😂😂watu wasitongozane
Kazi safi
😂😂😂Great work
❤❤
Chamani bac punguza matusi
Mayuga na nyere 🤝
😂😂😂 nice work my people
Beka punga iyo pumbavu n jinga
congratulations to all crews
Chamani kama chamani🤣👌💯
Huyu chamani.duh😂😂😂 amezidi
Very talented people👏
Congratulations
Mashallah
Bodyguard jaman 🥺😂😂😂😂 pole kakangu kazi ngumu 😅
😂😂Chaptiii... rungwe😢❤
Chamani ukapatikana😂😂😂😂😂
mashaAllah
Mayuga 😂😂 Hauombi Mungu 😂😂😂
😂😂😂😂ana omba chechi