Nikweli hakuna siku ngumu kama siki ya kwanza usiku wa Leo inatisha tumuogopeni Allah umarufu hautotusaidia kitu zaidi ya kumcha Allah tumuombe mungu amsamehe yaa rab
Sisi wote ni wa Allah na kwake tutarejea Allah atupe mwisho mwema 😭😭😭😭hakika dida kazimika kama taaa kifo kimemgusa kila mtu yarabi tusamehe makosayetu
Wadada wa kiislamu tujihifadhini tusichukulie poa kwa kuwa tunaona wenzetu wanasifiwa hatakama walikua mazingira hatalishi. Sihukumu wala sizanii ila ni ukumbusho tu allah anajua zaidi tufanye ibada
Uko sahihi kabisa wala hujakosea,vijana mmejisahau sana awe wa kike ama wa kiume,kukumbushana ni muhimu,atakaekumbushika alhmdulillah,asiekumbushika basi atajakumbana na mwenye mbingu na ardhi.Allah tunusuru na hii mitihani ya kughaflika.Amin
Subhaananllah dida aliacha athari Gani katika dini mashekh nyookeni elekezini dini inafundisha nini mtu aishije Leo hii watu wanaona kuishi vyovyote tu nisawa tunamkosea mungu
Huu ni mtihani mkubwa sana wallahi,Sijui ni kwanini Mashekhe hawatoi nasaha na mawaidha kwa wanawake wasivae nusu uchi na kutokujisitiri na kuvaa mawigi badala yake wanasifia kila kitu hata kama kuna makosa hawasemi.
@@alsam4881Hao Wanawake wenyewe wa siku hizi niwasikivu ...kama ni kuhusu nasaha mashekhe wameshazitoa za kutosha Tu...sema Wanawake wenyewe Tu ndio sio wasimivu n hawataki kufuata maadili ya dini.
Daaaa siamini ila nimetoka kumpoteza mama yangu mwaka huu mwezi 6 ni ngumu kusahau kifo kifo jamani tujifunze kupitia wenzetu wanaotangulia mungu atupe mwisho mwema inshallah
Dini yetu Isha tuelekeza na mungu NDIYE Mtoa hukumu, Walimu na mashehe wetu wakizungumza ukweli, mnasema wanahukumu, sasa Nao wanacheza na nyakati, sahivi we kunywa pombe, shehe atasema unakunywa maziwa. Tembea makwapa wazi, vaa mawigi, shehe atasema ulikuwa mtu wa msikitini saaana. Make ndo tunavyotaka, tusifiane duniani ila kwa mungu kazi ipo. Hapo mazinge utamwelewa Kama umesoma CUBA.
Ishaalah molah atujaalie mwisho mwema.na amjaalie dida apoke kitabu chake kwa mkono wa kulia.na kaull tabith.na mwenyenzimgu. amsamehe dhabi zake na amsailishie adhabu ya kaburi na amueke mahali pema peponi ishaalah amin mbele yake nyuma yetu
Pole sana wa Tanzânia 🇹🇿 wote ata na Sisi uku msumbiji Moçambique 🇲🇿 tunausunika sana 😭 kwa kifo cha marehemu Dida alale pema peponi nenda dada tutakutana Amin
anaejua maisha ya mtu ni Mungu, maana nikiangalia waislam ata wakristo vaa yetu siyo nzuri sana, tunavaa nusu utupu na wanaume nao siku hizi wanavaa pensi kuliko suluari
@@hallin9561we ni kafiri huna akili jidanganye et kifo ni kifo aliekufa akimcha mungu na mwengine kafa katika maasi bila kutubia hawawezi kuwa kuwa sawa
Baadhi ya Waislam sisi wengine wabiiishi kuna Hadith inasema tusipokua makini tutafuata nyayo za wasiokua Waislam yani tutaingia shimo la burukenge...kwa mfano madada wanatembea wakivaa masuryaki,wanaongeza nyele kama Wakristo etc
Mazinge kazingua sana nilitegemea hapo ndo kwakuwafikishia vijana waliomuasi mungu wamrejee anasema dida alikua na mchango mzuri kwenye dini Hakika pesa inawadhalilisha watu sema ukweli marehemu alikua muislam lkn aliacha muongozo wa dini akawa nialiyekengeuka ila Mungu atupe mwisho mwema
Assalaam alaykum warahamatullah wabarakatuh shekhe mazinge unavaa kinaijeria japo unapenda lakini punguza vaa vazi linaloendana na imani yetu in sha allah
nyinyi mashekh wa bara mnajishusha hadhi kwa kweli,yaani jitu linaishi maisha yakukaa uchi na kuendekeza dunia halaf likifa mnachukuzana kwenda kuliombea dua eti kisa ni maarufu.
salmaali7080@Mimi nilijua kama muislam kutokana na jina lake Dida inakua nickname ya Khadija kwahiyo nilijua zamani jina lake Khadija na hilo Shaib kwenye jina lake.
🥺🥺🥺🥺🥺سبحان الله Eti Ameacha mchang Mkubwa katika Dini sikutarajia Sheikh Mazinge kama atawez kuongea hiv nikwel Mait hasemwi kwa mabaya yake bas angalau engemuombea tu dua kama muislam mwenzetu lkn sikusif et ameacha mchang mkubwa??Mhhh Yaan ameacha mcahng mkubwa wakukaa Studio Wakipiga Ngoma ??wakicheza na wanaume??Mhh Allah atuongoze yarabby lkn Mchang aliouacha Atauona yeyee na Mola wake hatuhukum Na Allah ndo anayejua lkn nawaambia wenzangu Wanawake wenzang Tusihadalike Mim naskitika Sana kifo cha dida kwan Mapicha yake yamejaa Mitandaon Hii yote kila zikizagaa Picha jaman😭😭😭😭😭😭😭😭😭Aah bora ninyamaze Allah amsameh aliokosea na sisi atupe mwish mwema😭😭😭😭😭😭😭😭
mola wetu Allah s.w.a ni msamehev na mwenye huruma huenda mwenye enziMungu akamsamehe na akamrehemu wema aliofanya nafc yke inajua cc hatujui ndio mana tunamuombea
MAZINGE KAPEWA BAHASHA DIDA NA DINI WAPI NA WAPI ETI ALIKUWA NA MCHANGO KATIKA DINI!!! MTU MIDA YOTE YUPONSTUDI ALIKULA MZIKI MASHEIKH MUOGOPENI ALLAH KWA MANENO YAKO WATU HAWATAACHA MZIKI MESHAHALALISHA MZIKI KACHANGIA NINI KWENYE DINI MAZINGE UNATUANGUSHA WAISILAMU.
@@mgenisalum3721ww kwani huna macho ya kuona aliyokuwa akitenda uhai wake tuogopeni tufanye matendo mema Uislamu ni kuamini Kisha kufanya matendo mema sio kuitikia Amin tu
Al-Anbiyaa (21:47) وَنَضَعُ ٱلْمَوَٰزِينَ ٱلْقِسْطَ لِيَوْمِ ٱلْقِيَٰمَةِ فَلَا تُظْلَمُ نَفْسٌ شَيْـًٔا وَإِن كَانَ مِثْقَالَ حَبَّةٍ مِّنْ خَرْدَلٍ أَتَيْنَا بِهَا وَكَفَىٰ بِنَا حَٰسِبِينَ Nasi tutaweka mizani za uadilifu kwa Siku ya Kiyama. Basi nafsi haitadhulumiwa kitu chochote. Hata ikiwa ni uzito wa chembe ya khardali tutaileta. Nasi tunatosha kuwa washika hisabu
Kwani hakua Muislamu? Kama ni muislamu basi muombee tu kwa Allah amsamehe, kisha amuingize peponi. Ni kweli wanadamu huwa hatusikii tukiaswa tuishi kama apendavyo Allah, tusiishi kisanii.
Hili liwe funzo kwa wasanii na watu maarufu wa kiislamu wanaofikiri kwamba kwenda kinyume na maadili ya uislamu (kukaa uchi) ndiyo umeiweza dunia, Ishi utakavoishi ila utakufa
Kinachohuzunisha tunapata imani sana kipindi cha msiba nyoyo zitatujaa khofu lakini msiba ukipita msiba wallahi tunaaza kufanya yaleyale. Ewe mola wetu mlezi tuongoze
Sheikh kwa sasa hatuwezi muombea dua dida kwa mungu maata taar mungu ametoa hukumu yake mtu akiwa hai ako na uwezo wa kuomba msamaa mwenyewe ukifa bas hatuwez kukusaidia tena
madada na wamama wa kiislamu siku hizi wanatembea uchi na mawigi vichwani wengine wana vaa pensi wengine singlend wengine wanasuka nywele juu ya nywele misikitini au hata majumbani hawaswali kabisa Wallah ni mtihani mkubwa huu
Nikweli hakuna siku ngumu kama siki ya kwanza usiku wa Leo inatisha tumuogopeni Allah umarufu hautotusaidia kitu zaidi ya kumcha Allah tumuombe mungu amsamehe yaa rab
Haya maisha aseee,yanatuthaminisha mengi yasiyoyakweli,Allah amsameh ndugu yetu na sisi pia
Kateni viuno kisha museme amiin
Ameen ya rabbi
🎉
Amiin yaarab aalamin 😢😢😢
Sisi wote ni wa Allah na kwake tutarejea Allah atupe mwisho mwema 😭😭😭😭hakika dida kazimika kama taaa kifo kimemgusa kila mtu yarabi tusamehe makosayetu
Allahuma amiin
Amen
I
O jf faggl
😢amin😊
Amiin😢😢
Innalillah wa Innalillah rajiun hakika sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea 😭 Mungu ampe safari nyepesi dida 😭 😭
Amiin
Amiin😢
Innalilah,mungu amlaze pema da dida ,sote hatukwepi,shekh mazimge hapo safi sana
Wadada wa kiislamu tujihifadhini tusichukulie poa kwa kuwa tunaona wenzetu wanasifiwa hatakama walikua mazingira hatalishi. Sihukumu wala sizanii ila ni ukumbusho tu allah anajua zaidi tufanye ibada
Uko sahihi kabisa wala hujakosea,vijana mmejisahau sana awe wa kike ama wa kiume,kukumbushana ni muhimu,atakaekumbushika alhmdulillah,asiekumbushika basi atajakumbana na mwenye mbingu na ardhi.Allah tunusuru na hii mitihani ya kughaflika.Amin
Allah, usiandike allah
Umeongea vyema Dada angu. Sister wengine hawna misimamo na dini yao wanachukulia poa sana maisha ya Akhera
Kweli kabisa
amiin
Innalilai wainna illah rajiun kweli sheikh 😭
Inna lillahi waina ilehi rajiun alhamdulilah Allah kuli hali yarabby😭💔
Poleni sana ndugu zetu wa Tanzania 🇹🇿 kwa niaba ya wa Congo mani wote 😭😭😭😭😭
Subhaananllah dida aliacha athari Gani katika dini mashekh nyookeni elekezini dini inafundisha nini mtu aishije Leo hii watu wanaona kuishi vyovyote tu nisawa tunamkosea mungu
Maiti hasemwi kwa mabaya so sheikh alivoongea ndio sahihi
Kwa vyovyote dida kaacha athari kwa walio hai wajifunze
Huu ni mtihani mkubwa sana wallahi,Sijui ni kwanini Mashekhe hawatoi nasaha na mawaidha kwa wanawake wasivae nusu uchi na kutokujisitiri na kuvaa mawigi badala yake wanasifia kila kitu hata kama kuna makosa hawasemi.
Sheikh hawez kutoa mawaidha ya kujisitiri siku ya msiba ...Masheikh wanatoa mawaidha ya kumkim Allah@@alsam4881
@@alsam4881Hao Wanawake wenyewe wa siku hizi niwasikivu ...kama ni kuhusu nasaha mashekhe wameshazitoa za kutosha Tu...sema Wanawake wenyewe Tu ndio sio wasimivu n hawataki kufuata maadili ya dini.
Maiti kama haijazikwa huwa bado Malaika wanarecord so huwa hazungumzwi kwa mabaya ni azungumziwe Mazuri tu
pole sana ndugu zetu watanzania na kifo Cha dada dida, mungu amsamehe fasi aliterezaka
Daaaa siamini ila nimetoka kumpoteza mama yangu mwaka huu mwezi 6 ni ngumu kusahau kifo kifo jamani tujifunze kupitia wenzetu wanaotangulia mungu atupe mwisho mwema inshallah
Pole sana
Dini yetu Isha tuelekeza na mungu NDIYE Mtoa hukumu, Walimu na mashehe wetu wakizungumza ukweli, mnasema wanahukumu, sasa Nao wanacheza na nyakati, sahivi we kunywa pombe, shehe atasema unakunywa maziwa. Tembea makwapa wazi, vaa mawigi, shehe atasema ulikuwa mtu wa msikitini saaana. Make ndo tunavyotaka, tusifiane duniani ila kwa mungu kazi ipo. Hapo mazinge utamwelewa Kama umesoma CUBA.
Usicheze na P.diddy😂
Subhanallah Allah atupe mwisho mwema yarabby 😢
Ishaalah molah atujaalie mwisho mwema.na amjaalie dida apoke kitabu chake kwa mkono wa kulia.na kaull tabith.na mwenyenzimgu. amsamehe dhabi zake na amsailishie adhabu ya kaburi na amueke mahali pema peponi ishaalah amin mbele yake nyuma yetu
Amini thuma amini
Pole sana wa Tanzânia 🇹🇿 wote ata na Sisi uku msumbiji Moçambique 🇲🇿 tunausunika sana 😭 kwa kifo cha marehemu Dida alale pema peponi nenda dada tutakutana Amin
Mwenyezimungu akusameh dada angu akupe Kauli dhabiti
anaejua maisha ya mtu ni Mungu, maana nikiangalia waislam ata wakristo vaa yetu siyo nzuri sana, tunavaa nusu utupu na wanaume nao siku hizi wanavaa pensi kuliko suluari
Subhallah Mungu atusaidie
Allah atusamehe madhambi yetu atujaalie pepo iwe makazi yetu innalillah wainna ilaihi rajiuun
ALLAH AMREHEM AMWEKEE PAHALI PEMA PENYE WEMA.AMSAMEHE MADHAMBI YAKE.HAKIKA SOTE NI WAMWENYENZI MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA
Tumuogope Allah kwa kweli ee ya rabi mola wetu tujalie mwisho mwema ya rabi
Shekhe mazinge ameusia sisi binadam kupitia mxiba wa binadam mwenzetu ko mltaka akosoe maisha yake jaman binadam sjui mnawazaga nin 😢😢😢
Inna lillah wainna ilaihi rajiun
Allah amsameh ampe kauli thabit
Amiin
Hakika sote ni maiti na kwake tutarejea
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun Allah amsamehe makosa yake na sisi Allah atujalie mwisho mwema
Amini yarab
Mungu ndiye anajua kama alikuwa na dini au la
Japo kifo ni kifo tu ila amekufa cku nzuri allah amrehemu dida wetu
sikuganinzuri
kiislam siku inability baada ya kuswali swalatilmghalib
yaani.magjalibi ikishaaisha siku ishabadilika
kifupi amefaliki jumamosi
Jipe Moyo
Acheni upuuz wenu, aliyekufa kafa hakuna siku nzur wala mbaya
@@hallin9561we ni kafiri huna akili jidanganye et kifo ni kifo aliekufa akimcha mungu na mwengine kafa katika maasi bila kutubia hawawezi kuwa kuwa sawa
Inalilah wainalilah rajiun Allah amjalie kauli thabit ndugu yetu na ss sote atujalie mwisho mwema
Yalab tupe nusratupe nyisho mwema same here dada yetu
Baadhi ya Waislam sisi wengine wabiiishi kuna Hadith inasema tusipokua makini tutafuata nyayo za wasiokua Waislam yani tutaingia shimo la burukenge...kwa mfano madada wanatembea wakivaa masuryaki,wanaongeza nyele kama Wakristo etc
SHEIKH MAZINGE WASANII WANAHARIBU JAMII WANAIHARIBU DINI YA ALLAH TUNAOMBA HAYA WANAYOYAFANYA WASANII MUYASMAMIE NYINYI KAMA VIONGOZI WA DINI
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAAJI'UUN.
Innalillah wannallah raajuun mungu ampe kaur thabit
Mazinge kazingua sana nilitegemea hapo ndo kwakuwafikishia vijana waliomuasi mungu wamrejee anasema dida alikua na mchango mzuri kwenye dini Hakika pesa inawadhalilisha watu sema ukweli marehemu alikua muislam lkn aliacha muongozo wa dini akawa nialiyekengeuka ila Mungu atupe mwisho mwema
mh si kweli
Kuna hadithi ya mtume inasema mtu akifariki semeni mazuri yake sio mabaya mkuu,
Assalaam alaykum warahamatullah wabarakatuh shekhe mazinge unavaa kinaijeria japo unapenda lakini punguza vaa vazi linaloendana na imani yetu in sha allah
Ambalo ni lipi?😂 Kasome dini bado sana😂
Acha kupangiana maisha humsaidii kununua nguo
😂sitak atA kucheka ila ntacheeka t
nyinyi mashekh wa bara mnajishusha hadhi kwa kweli,yaani jitu linaishi maisha yakukaa uchi na kuendekeza dunia halaf likifa mnachukuzana kwenda kuliombea dua eti kisa ni maarufu.
Kama ni muisilamu hakuna kusa kuombewa
Mazinge umeonana na mzee yusuf
😂😂😂😂
Unapotowa sadaka mkono wa kulia hata mkono wa kushoto hautakiwi kujua inawezekana ikawa anatowa sadaka kimya kimya
Mungu mlaze peponi dida
Allahumma Amiin🙏
INNA LILAH WAINNA ILAYH RAJIUN
Ya allah.nipe.mwisho mwema
Allah amjalie pepo ya firdaus
Wallah sikujuwa kama ni muislamu marehemu,Allah amsameh dhambi zake amueushe na adhabb yabrr
salmaali7080@Mimi nilijua kama muislam kutokana na jina lake Dida inakua nickname ya Khadija kwahiyo nilijua zamani jina lake Khadija na hilo Shaib kwenye jina lake.
Tena Mzanzibari
@@triplea3463mzanzibar kumbe
Innalillh wainna ilayhi rajiun. Allah atupe mwisho mwema
Munguu nijaliye mm mwixho mwema na familiya yangu 😂
Amini thuma amini
Wanaosubiria kufa ndo wafahamike kuwa ni Waisilamu ni Msiba mkubwa kuliko misiba yote....
Ewe Allah tujaalie mwisho ulio mwema sisi sote niwaja waallah nakwake tuta rejea mpe kauli thabiti dad yetu dida
Inaalilaah wainaalilaah lajuuni allaah amlaze pahala pema peponi mbere yake nyuma yetu
Mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema
Ameen
Amin
🥺🥺🥺🥺🥺سبحان الله Eti Ameacha mchang Mkubwa katika Dini sikutarajia Sheikh Mazinge kama atawez kuongea hiv nikwel Mait hasemwi kwa mabaya yake bas angalau engemuombea tu dua kama muislam mwenzetu lkn sikusif et ameacha mchang mkubwa??Mhhh Yaan ameacha mcahng mkubwa wakukaa Studio Wakipiga Ngoma ??wakicheza na wanaume??Mhh Allah atuongoze yarabby lkn Mchang aliouacha Atauona yeyee na Mola wake hatuhukum Na Allah ndo anayejua lkn nawaambia wenzangu Wanawake wenzang Tusihadalike Mim naskitika Sana kifo cha dida kwan Mapicha yake yamejaa Mitandaon Hii yote kila zikizagaa Picha jaman😭😭😭😭😭😭😭😭😭Aah bora ninyamaze Allah amsameh aliokosea na sisi atupe mwish mwema😭😭😭😭😭😭😭😭
Sote tuzingatie hadithi ya mtume maiti hasemwi kwa mabaya yake
Dida hana mabaya yote ni mazuri lakini Mungu ndo ataamua amuweke wapi
Sahihi kabisaa
Hakika
@@jumahamadomar9124 kumbe yale mashamsham na kuchamba kule ni vitu ambavyo Mwenyezimungu anapenda??!!
@Hamis-ks1sy mkuu tumeambiwa mtu akishafariki tusiseme mabaya yake tusema mazur yake mkuu, nadhan ushaelewa mku
INNALILAHI WAINNA ILEYHI RAJIUN ALLAH AMLAZE PEMA PENYE WEMA YARAB AMIN 🤲 😭😭😭😭😭😭😭
DIDA MWANAMKE MWEMA SANAAA SANAA 😭😭😭😭😭😭
Inna lillah wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri Allah amrahamu
Allah Amfanyie wepesi ktka safari hii nzito...
Amin
mola wetu Allah s.w.a ni msamehev na mwenye huruma huenda mwenye enziMungu akamsamehe na akamrehemu wema aliofanya nafc yke inajua cc hatujui ndio mana tunamuombea
Kifo ni mawaidha, tuombe mwisho mwema
ASSLM ALYK SHEIKH MAZINGE LINGANIA WASANII WAACHE MIZIKI NA KUVAA UCHI
Allahumah Amin yarabii
Allah ampe Kaul thabithi
MAZINGE KAPEWA BAHASHA DIDA NA DINI WAPI NA WAPI ETI ALIKUWA NA MCHANGO KATIKA DINI!!! MTU MIDA YOTE YUPONSTUDI ALIKULA MZIKI MASHEIKH MUOGOPENI ALLAH KWA MANENO YAKO WATU HAWATAACHA MZIKI MESHAHALALISHA MZIKI KACHANGIA NINI KWENYE DINI MAZINGE UNATUANGUSHA WAISILAMU.
Muombee dua kaka tususifurahie kwa mtu yeyote kwanda motoni hakika moto wa allah unatisha tujifunze kua na huruma kwa viumbe hakuna aliye kamilika
Sio wote wanafnaya kwa kujionyesha...
Tatizo wanadamu tunajisahau hasa mtu akipata nyadhifa yajuu
Huwezi kujua
@@mgenisalum3721ww kwani huna macho ya kuona aliyokuwa akitenda uhai wake tuogopeni tufanye matendo mema Uislamu ni kuamini Kisha kufanya matendo mema sio kuitikia Amin tu
Allahuma amena ya Allah
Inalilah wainalilah rajjiun Allah ampe kauli thabit pia amuondoshe naadhaabu ya kabri
Mungu amsameh sana amputee zambi zake nasi atupe mwisho mwema
Al-Anbiyaa (21:47)
وَنَضَعُ ٱلْمَوَٰزِينَ ٱلْقِسْطَ لِيَوْمِ ٱلْقِيَٰمَةِ فَلَا تُظْلَمُ نَفْسٌ شَيْـًٔا وَإِن كَانَ مِثْقَالَ حَبَّةٍ مِّنْ خَرْدَلٍ أَتَيْنَا بِهَا وَكَفَىٰ بِنَا حَٰسِبِينَ
Nasi tutaweka mizani za uadilifu kwa Siku ya Kiyama. Basi nafsi haitadhulumiwa kitu chochote. Hata ikiwa ni uzito wa chembe ya khardali tutaileta. Nasi tunatosha kuwa washika hisabu
INNA LILLAH WA INNA ILLAH RAJI'UN 😢
Mbona kama anajisifia sana, mala Kongo , mala naigeria
Ameongea mambo ya msingi sheikh Mazinge
Sisem mungu amuweke pepon ila nawez kusem mungu amueke anapostahiki
..nakuelewa sana....ase na hatuna la kusema zaidi ya Hilo....tunajisahau sana sana tena....
Kwan si muislam
Kwani hakua Muislamu?
Kama ni muislamu basi muombee tu kwa Allah amsamehe, kisha amuingize peponi. Ni kweli wanadamu huwa hatusikii tukiaswa tuishi kama apendavyo Allah, tusiishi kisanii.
Aaaamin
Panapostahili kwani yy mkristo?! Wacha kuhukumu hujui nafsi yake na Mungu wake
Inalialh wainah ilah rajiun
Msijizime data kwa mungu akuna Dini akuna tajili akuna masikini ulioyafanya apa Chini ya Jua Ndio jatakajofanya hukumu Yako kuwa makini
RIP. DIDA..tutakukumbuka daima
Acheni njaa wakina mazinge na mashekhe zako
Allahuma amin
Alllah ampe kauli sabiti amuondoleye adhabu zakaburini
*Innalillah Wainnaillah Rajiun*
*Indeed We Belong To ALLAH, And Indeed To ALLAH We Will Return*
*(Qur'an 2:156)*
😔😔😔😔😔😔
🤲🤲
Amiin yarabi
Mazinge nakushauri kaa chini usome dini
Mungu amsamehe makosa yake na kumpumzisha pema Amiina
UNAAMBIWA HAKUNA USIKU MGUMU KWA MWANADAMU KAMA USIKU WA KWANZA KABURINI. EEEH ALLAH MJALIE NDUGU YETU HUYU KABURI LAKE LIWE NA NURU
Amiin
Amiin😢
Amiin yaarabi thuma Amiin
Aamiyn @@MirajHamzaNdaro
Allahumma Amiin
Maiti haiongelewi vibaya usimuhukumu kwa maana anae mjua Dida ni Allah
Rabbi tujaalie mwisho mwema wasamehe maiti zetu msamehe didah mwondoshee mchanga wa macho😢😢
Nachekaga hawa masheh wa kupenda trend😂😂😂😂
Subhaana LLAH. Haya sheikh
Mbona me siamini kwamba dida kafariki ee mungu mtazame huyu mwanao
Sheikh amesema maneno mazito lakin watu kuzingatia ndio mtiani
Mungu amrehemu dida...ampe kauli thabiti.
Hili liwe funzo kwa wasanii na watu maarufu wa kiislamu wanaofikiri kwamba kwenda kinyume na maadili ya uislamu (kukaa uchi) ndiyo umeiweza dunia,
Ishi utakavoishi ila utakufa
Kinachohuzunisha tunapata imani sana kipindi cha msiba nyoyo zitatujaa khofu lakini msiba ukipita msiba wallahi tunaaza kufanya yaleyale. Ewe mola wetu mlezi tuongoze
Innalilay wainnalilay lajunni mbele yako nyuma yetu kila nafsi itaonja umauti pumzika kwa amani dada dida😭😭
Na kuzungumza kote, nimeiskia aya, moja tuu.. na ilivo somwa sasa... Kipengele
والله المستعان
Wew nawe unaakili za kijahili
@@Anuaryomary-su9cd za Kwako, bila Shaka ni za baada ya uislam, hongera kijana
Yarab turuzuku mwisho ulio mwema, hakika umauti unakumbusha kama dunia si kitu 😢
Sheikh kwa sasa hatuwezi muombea dua dida kwa mungu maata taar mungu ametoa hukumu yake mtu akiwa hai ako na uwezo wa kuomba msamaa mwenyewe ukifa bas hatuwez kukusaidia tena
Kwahiyo ww waliokufa kwwnu huwaombea
Mungu ndie Hakim lakin dida ameacha Alama mbaya kutwa alikua studio anapija tarabu na kuchamba watu 😂
Naam ila walimwengu tunajisahau kama tutarejea😭😭
Shekh kafunika kombe ili mwandazimu apite😊
Shekhe naomba nikuulize athari ya dida aloacha duniani inampendeza allah mashehe wakibakwata msipoteze watu
Shika adabu yako usijione mkamilifu mashekhe wa kibakwata wa kishia wa kiansar aliebora kwa Allah ni mchamungu sio ansari wala ibadhi wala bakwata
Hhhhh hao ma sheikh ubwabwa
Inna lilahy wainna ilahy rajuun
Innalilah waiñnaileyh rajiun
Innalillah wainnaillah rajuyn
madada na wamama wa kiislamu siku hizi wanatembea uchi na mawigi vichwani wengine wana vaa pensi wengine singlend wengine wanasuka nywele juu ya nywele misikitini au hata majumbani hawaswali kabisa Wallah ni mtihani mkubwa huu
Mungu Ampunguzie Azabu za kabri 😭😭
Amin