morara amesema "...kama anamfanyia naibu wake hivi, atamfanyia mwingine nini?" kwa maneno mengine ni kuuliza; kama unaufanyia mti mbichi, itakuwaje utakapokauka?
Tulipokuwa shule ilikuwa 'mpige ngumi,mpige ngumi lakini baada ya kupigana,ulikuwa wapelekwa staffroom peke yako.Wale wa maneno mpige ngumi washatoroka,unaachiwa kesi peke yako.
True , Deputy president is an assistant to the president, but should he assist him even when he's getting of the way? He can't advice?
morara amesema "...kama anamfanyia naibu wake hivi, atamfanyia mwingine nini?" kwa maneno mengine ni kuuliza; kama unaufanyia mti mbichi, itakuwaje utakapokauka?
Tulipokuwa shule ilikuwa 'mpige ngumi,mpige ngumi lakini baada ya kupigana,ulikuwa wapelekwa staffroom peke yako.Wale wa maneno mpige ngumi washatoroka,unaachiwa kesi peke yako.
Whatever direction the Judiciary takes regarding impeached dp , it's important to ensure that they are guided principles of ETHICAL JUDGEMENT.
Judges should be guided by the principle of ETHICAL JUDGEMENT to ensure the stability of our country.
10m each was already on the table
Muthoni njuki don't be so first to judge remember you have corruption cases and don't yu think every person has right to be heard by our courts
Morara anasungumza bila kufikiria.
Kiswahili ni lugha ngumu.
Alisikilizwa kupitia mawakili wake nao wakatoroka bila thibitisho la ugonjwa wa mteja wao. Sasa mzee si aende home tu, fresh fresh.
unapo sungumza kuhusu seneti kisha kwa maamuzi abayo yalichukuliwa na seneti kisha unasema president nimkatili, una maana gani? rais siye seneti!
Alikimbia senate kama mtoto mjinga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅