Asanteni Sana watu wa Mungu kwa Sapota Yenu nisemetu Mungu Awabariki zaidi maana bila yeye Mimi nisenge fika hapa nilipo na bila maombi yenu mimi siwezi 🙏🙏 nawapenda Sana 🙏
Wooooooow hapa sasa mambo mazuri nilikuwa naisubiri sanaaaaa kuhusu lugha najiskia ulimi unanicheza yaani umeelewa Rohoni Kazi nzuri sana Naumbeya KIBALI CHA MUNGU MAFUTA NAITUHUDUMIEEEE.
Nabarikiwa zaidi na nyimbo zako brother philipo kutoka morogoro Kilosa (Kiduhi haya familiar yangu japo haikuelewi inapenda hata kutizama. Mungu azidi kukupigania
Keep going boy Kila kitu kinawezekana 💪
Kazi kubwa Sana kaka
Mungu akupemaisha maref
Mtumishi
Keep on bro sifu bwana
Barikiweni Sana Brother
Bigger Sana watu wa mungu imenigusa Sana
Endelea kumtukuza mungu mtumish wa mung mungu atakuinua
Beeeee
Kweli nimeinjoi san na huu wimbo aisee
Huu wimbo ni Kati ya nyimbo kubwa sana kwangu
Yesu kesipa iewua seriani be blessed lmaa
Aseee noma sana 💃
Philipo uko vizuri Sana enduguai mungu akuweka akuzidishie mibaraka telee🙏🙏🙏🙏
Anamaliza Mb zangu huyuu jamaa na dada yakee kwa kweli narudia bila kuisha hamu hebu mtuletee colabo ingine kama hii
Be blessed my friend Kaz nzuri
Amen mtumishi
Kake eyau yeso lang eseriani. Ushuhuda ya mkristo!
Hongera ndugu Filipo na dada Lydia! Tunahitaji mafasiriyo ya nyimbo hii, ni nzuri sana! Yesu iyaua eseryaniiiiiiii ! Tik tik tik eseryaniiiii
Tafsiri yake Yesu umeleta AMANI
Emayian reloaded 🙏🙏
Big up sana mdogo wangu Bwana akupe kibali na umtumikie katika roho na kweli
Amen,
Hongera pai daaa Lydia elikana pia unafanya kazi nzuri
Hongera sana,wimbo umenibaliki
What a nice song 🔥🔥🔥
Hongera sana kijana wangu kwa kazi nzur unaiwakilisha vyema kiduhi na tz kwa ujumla God bless you
Hapo xaxa Masae . Kristo Iyaua Eseryani
Hongera sana mdogo wangu fanya kazi ya mungu hakika mungu atakubariki
Asante Sana 🙏
Good young boy God bless you
Hongereni sana kwa nyimbo ulio bora Mungu awatangulie kwa yote mewa mzidi kupamba moto hahaha nimeikubali sana
Ameen
Pambana uanaweza mshilikishe lozi mhando akupandishe levo za juu
Imenoga kinoma
Mbarikiwe sana, wamasai wa Yesu
Mungu azidi kuwatia nguvu
Hongera sana mtumishi kwa wombo mzuri,hakika Mwenyezi Mungu azidi kukuinua.
mung axd kukubrik
Asanteni Sana watu wa Mungu kwa Sapota Yenu nisemetu Mungu Awabariki zaidi maana bila yeye Mimi nisenge fika hapa nilipo na bila maombi yenu mimi siwezi 🙏🙏 nawapenda Sana 🙏
God bless
You forever
Unanibariki Sana broo please nisaidie your namba
Poa sana bro
Dieu te bénisse d'avantage et te donne tjrs la force de Le louer pour Sa Gloire en Gloire. Amen
Excusez moi svp ils viennent de quel pays je vous prie ? Merci bien Dieu vous bénisse abondamment.
Yaweselyani yesu
Safi sana Philips kai nekimanya
Morogoro kilosa tz
Hongraa sana
Ipo vizuri kijana
Wimbo mzur sana 🔥
Kazi nzuri!! Mungu aendelee kukubariki kufanya kazi nzuri zaidi!! Promoting your great work!!
Safiii
Wimbo nao upenda Sana jmn... Ubarikiwe sana Mtumishi
🙏🙏💕🙏🙏 mbarikiwe xana xan. Hakika kimasai chetu ni dhahabu kwa bwana
Asante 🙏 Sana
Btfl song,
Meishoo intae Enkai eseriani intarasi pooki.. Ashe oleng Lydia.. ☑️
Ashe ooleng
Kama umeisikia nalasi nalasi nalasi daah Lydia umeua yan unavyoimba mpaka raha daah 🔥🔥
Uko vzr lidya endelea kukaza mwendo tangu tulipokutana huduma morogoro,kilosa (manzese) nakumbuka vzr ubarikiwe Sana
Kimayani ole'ng
May God richly bless you.Huu wimbo umenibariki Sana.Mungu azidi kuwapandisha ngazi zaidi.
Utukufu kwaMungu 🙏🙏
@@philipomasai9830 thanks man of God,more grace be upon you.
Huu wimbo naupenda hatarii❤🔥🔥🔥
Wooooooow hapa sasa mambo mazuri nilikuwa naisubiri sanaaaaa kuhusu lugha najiskia ulimi unanicheza yaani umeelewa Rohoni Kazi nzuri sana Naumbeya KIBALI CHA MUNGU MAFUTA NAITUHUDUMIEEEE.
Kimayan enkai tele singolio
Asanteeeee my sister 🙏🙏
More grace 👏👏👏👏💯
Hongera sana ubarikiwe Sana
Nice song ..... Tuwekee lyrics za wimbo
Yesu iyaua eseriani,this song is on another level 💕💕💕🙏🙏🙏
Nice
Philipo na lydia kwann me mmeniachaaaaaa sikubariiii
Usingeweza kuchezesha mabega🤣🤣🤣
Wow!! Am kalenjin but I love masaai songs in short am in love with you maasai
What a beautiful song....ashie
Thanks very nice song..keep up
Wimbo mzuriiii sanaaa barikiwa Sana
Hallelujah
Beautiful Lydia ❤️
Good job man
So nyc
Nabarikiwa zaidi na nyimbo zako brother philipo kutoka morogoro Kilosa (Kiduhi haya familiar yangu japo haikuelewi inapenda hata kutizama. Mungu azidi kukupigania
Asante Sana 🙏🙏
🤣🤣🤣🤣 thanks my Lovly momm! Liddy
Ubarikiwe sana nyimbo iko poa sana
Nikali broo good bless you
Kutoka Arusha Tanzania hakika wimbo huu Ni mpya kwaku kila siku
From 🇰🇪😍😍😍👏👏🔥🔥🔥
My favorite songs
Mashallah kutoka Tanzania 🇹🇿 nimeipenda hii nyimbo japo lugha siijui
Ashe oleng Lydia. I love this song so much .
Wimbo mzuriii mungu awape kibali cha kumtumikia kwa viwango vya juu Zaid
Asante Sana 🙏🙏
Hakika Masai wakiduhi kilosa mnawakilisha vzr, osinglio sidainale.
Hongera kazi nzuri saaaaana
I am not a maasai and I may not be understanding every word but the song is awesome. Well done. Mob love from Kenya
Love songs
All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪 samburu county this is awesome great tune
Hongera kwa views ongeza bidii dogo langu.
Asante Sana Kaka 🙏
Eeee Enkai iyau Eseriani....be blessed I'm loving it💙💙💙
Nyimbo nzuri sana Mungu Awabariki
Sweet Masai song ever
Shoo Kali sana kijana
Asante Sana 🙏
Uxkatatixhwe tamaa kwa Kila jambo amua zaid ya hapo bro nic
Nimebarikiwa sana na huu wimbo
Ameen 🙏🙏
Asante Sana 🙏
I do not understand much but i can replay the song 100 times .I love the Masai's 😍😍💖💖
Excellent
I don't understand the Maa language but wow what a great song.
Great work #philip_masai
Continuous with the great work 💪
Amazing
Kaka tupo pamoja sana kwenye kazi zako tunakupenda sana na tupo pamoja naww
I love the song so much...amazing ❣️❣️
Seigneur jesui es merveilleux
Sidai taa ele singolio njee kimayani
Kila nikiamka naamka na huu wimbo naupenda bule jmn❤
Hongera sana sana kazi nzuri sana
Woow😊😊🤩🤩 am loving thiiiiis♥️♥️♥️I love the energy
Ubarikiwe wajina wangu
Asante Sana Kaka 🙏
Amen 🙏
Good work
very nice song mungu akuiniue sana. Kutoka kakamega
Siidai naleng
Hongereni Sana philipo na dada Lydia Mungu awabariki Sana wimbo nzuri 🙏
Mbarikiwe Sana❤
Mungu akuongoze kaka
Nyimbo nzuri sana kakangu, mmmmh Iyawa eseriyani ooooh barikiwa 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Kako good nimebarikiwa nayo