*Beka flavour* unapata taabu sana yule Dem ulimpenda kupitiliza na ulijiamini huwezi kuachwa *Moyo wenyewe mmoja huu yanini kuupa ma presha* Ngoma tamu sana
Tatizo watu wengi tukipenda/kupendwa tunajisahau kwamba hatuweziachwa Kuna mambo tunaacha kuya care ni ngumu Sana Kila mtu kumtajia mwenzake kwa nn kampenda ila ukweli Kuna Kila sababu ya kujua mapenz yanahitaji ubunifu Kila siku tofauti na hapo mtachokana tu
Talent✔️ Voice✔️ All Beka need is promotions on his work and a good management.He is an underated musician but very promising.Where are my likes wadau?🇰🇪
Tanzania songs has nice melody. It's very difficult to have favorite music and artists from another country and not your country. I love Tanzania music. 🥰
Nakubali man kaza kaza kwa ushauri wa game ukiitaji nakushauri muone alikiba mambo yatakuwa poa uyo jamaa anabaraka Fulani ivi kwenye game LA bongo fleva
duuuh!!! yamenitokea pia mimi lakini sawa nyimbo imenikumbusha mbali @BekaFlavour more love from +254 more like jamaa
Aisee noma sana hii
Jamani wapi likes za Beka flavour👍👍👍👍👍 From +254 much love❤❤❤❤
Kabsaa hat mim nakubar
So nice 😂😂😂😂😂😂😂
*Beka flavour* unapata taabu sana yule Dem ulimpenda kupitiliza na ulijiamini huwezi kuachwa
*Moyo wenyewe mmoja huu yanini kuupa ma presha*
Ngoma tamu sana
Umeonae,,,
Bs nenda akaowe ifakara aliko zaliwa
Tatizo watu wengi tukipenda/kupendwa tunajisahau kwamba hatuweziachwa Kuna mambo tunaacha kuya care ni ngumu Sana Kila mtu kumtajia mwenzake kwa nn kampenda ila ukweli Kuna Kila sababu ya kujua mapenz yanahitaji ubunifu Kila siku tofauti na hapo mtachokana tu
Chriss joel kama kawa
Kaliii hatariii
Daah! Kumbe ngoma kaliii hiviiii. Mwanzo nilikuwa naichukulia POA POA kumbe sio POA Dadeeeeki..
Mzee hy ngoma kali sana
Dogo endelea uko vzur, ondoa tamaa ya kule kaza kivyako mungu hatokutupa. wasipokubali binadamu watakubali majini mana ameumba binadamu na majini
Majin tena 🤣🤣🤣
Beka Flavour has never been given good air play in Tanzania but he still makes it to the limelights. I love this guy. He's hard working. He's great.
This guy is so talented. His voice is out of this world.😘😘
Pamoja sana beka morogoro tuko nyuma yako usituangushe we ndo tunakutegemea,alaf napenda huo muonekano ulionyoa ndomzuri usibadilishe
Beka anakaa ni wale wanaume awaombagi msamaha wakikosea ni maringo sn
Ok
Napenda sana ngoma za huyu msanii....napenda kweli,,sauti yake nzuri tena
Ninakufuata kutoka Chad🇷🇴🇷🇴, wewe ndiye bora zaidi,après libébé,c'est celle là💪✌️👌
😭😭😭 too much love for Beka Is making me cry. Now this tune here is banging . Thumps up 👌👌👌👌. This TZ Male artist are not here to play
I love the guy so muuuuch
Bekaaaaa big up xanaaaa
ua-cam.com/video/2j3-BRoKUzE/v-deo.html
I feel you miss your fmly bro!piga moyo konde...kama Mungu alipanga ni wako atakurudia tu inshallah ngoma Nzuri!
wawawaeee
POA POA imefanya vzr sana Kama unaikubali gonga like
Beka beka kwasauti tz nzima huna mpinzani 😍❤❤❤❤❤ afu kanyimbo kazuuuuuuuuuri kweli
Yamoto band was amazing 😍🙌 can't wait come together again guys love from Kenya 🍻😊😘♥️
Wow i love this guy
@@wincatenjuki3164 I miss them together 🔥🔥😍
I miss these guys as yamoto band.
Naomba subscribe za mafas wa Beka Fravor👇
ua-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/v-deo.html
Wake up from your dream bruv
Mimi..: kuna utofauti Kati ya figo
na moyo ...?
Watu..: ndiyo
Beka..: moyo ukitoboka linauma
Figo🔥..
hahahaaaa
mim sasa:mbonaaa kaawaidaaaaaaa
Zur sana kaka
Talent✔️
Voice✔️
All Beka need is promotions on his work and a good management.He is an underated musician but very promising.Where are my likes wadau?🇰🇪
True
Truth mr
Loving the vibe Watching from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪we miss yamoto band fanya bidii mrudiane..
Skuwa nimejuwa uzito wa wimbo huu, i truly love this song.
Safsannaaaa
Beka you're the best singer. That's my opinion u be dropping hit after hit 🔥🔥🔥🔥🔥
Love from Bantu Bwoy+257,🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tuchukulie poa poa
Tanzania songs has nice melody.
It's very difficult to have favorite music and artists from another country and not your country.
I love Tanzania music. 🥰
Mm ii nyimbo naiwatch kila siku
Sweet ❤️❤️ voice
I think i'm the somali who watch beka songs👀👀tujuane na msinyime like mafans
Nipo bro✌️
@@abdisamadmuhidinmacalin5816 wiri ammia
Mbo
Uko sure
Woriah am here
@@deborajackson7701 we Si msomali😂
Si eti Nini from Kenya I love this guy. He's very humble Hana mbio.
Poapoa hit imekaa poa Sana,salute brother,tuko pamoja good job...
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Penda ww hadi naumwaaa yaani nachukulia tu poapoa
Hongera sana beka muziki mzur sana😍❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍🙏🙏🙏😘😘😘😘
Aki hii wimbo kwangu naichezi kwa siku mara 100 yani nivile sijui beka uko wp hata nikuone nikukiss too saaana..lovely your song ❤❤❤
Bekaaa love from Kenya wapi likes zetu guys 😘
Artist Beka ako saea.Lpve his music 🎶.Kudos 🎉
This is the humble man i know.The voice is on top,he us heading far wewe ni wewe mfalme wa bongo ....
Beka anajua sana sema ndio hivyo hana siponsa
Beka mkali wao. Kama unakubaliana na Mimi nikiwa Nairobi Kenya dondosha like
Anatisha nik masas
Goood
Katika mchezo na mchezo haouitaj hasila
ua-cam.com/video/fhIahMoxZek/v-deo.html
Naomba subscribe za mafas wa Beka Fravor👇
ua-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/v-deo.html
Wimbo mkali chupa kalii nakubariii Xn Beka mweny flavour zake
Wow beka flavour is much talented.and he is going far...watch this space🔥🔥🔥💯💯💯
Bro nakukubali to Sana beka always be humble wapi likes za Kenya 254 kwa bingwa Beka 👍👍🙏🙏🙏💯💥🇰🇪
Jamniii team bekaaa tujuaneeee kwaaa Alama🔥🔥
Nakupenda sana
Huyu jamaa anaweza mazee.
According to me my number one tz artist who's humble and touching voice
Nafikiri WCB Huyu dogo wanatofauti naye au LA huenda beka anajeuri kwa kipaji hiki he is namba 1 in TZ kwa nyimbo za mapenzi.
On fire listening from overseas siwezi weka kwenye moyo
Sasa huu Wimbo naule wa Waah jamaniii upi Mkali!! Nimekubali maneno ya Ustadhi Juma na Musoma.
Ahhh aloo beka mbon ww unajua sn kaka hd nachanganyikiw nashindwa nichague wimbo bora zaid man kila wimbo unaoutoa bs nihatar aisee unanipa shida beka
daah mpka nalia😭😭😭nakubali huyu jamaa mpka kelo kichupaa kiko poa poa sanaa
Year imetulia sana
Uyu jamaa akipata label kubwa na management iko serious a naeza kaenda mbali Sana.
Saaana
Umeona ee
Yani yuko vizuri sana kimziki
Umeona ehh huyu ni hatar akipata watu serious atafanya poa sana
Na c achukuliwe na konde gang ama wasafi ndio ujue beka n mkali
Unapo kuwa na mwenzio kumbuka ana mapungufu yake na wew ya kwako Eeu Yesu nisaidie🙏🙏🙏
Wee beka uko vizuri nakuaminia sana naiwakilisha 254
Beka hii ngoma uliimba 🙌🙌 🔥
Still 2023listening to his songs,humblee singer from Tanzania love you from 🇰🇪,God will bless you and be famous all over the world
2024 fundi wa nyimbo asiye na kiki beka flavor 💐🎉🌷🌹💯
Beka jamani ameachia kitu mzuri sana 🥰😍🇧🇮🇷🇼🇹🇿🇺🇸
I wish beka knew me ,cz his music occupies all lot of my space ❤️❤️❤️❤️❤️he inspires me ❤️❤️ much love for the guy . from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Baba umeuaaaaa
Like za bekafleva
*
Naomba subscribe za mafas wa Beka Fravor👇
ua-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/v-deo.html
Great music ...I love this
I`m from South Africa,I like your Music
Daa haya yamenikuta kabisa yaan kama vile umeniona ukatoa hii ngoma yaan mmmh ila 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
mtoto wa nyumbani ifakara big up hii ni kubwa sana
Hakika uko vzr cn broo endelea kukaz tupo tunakuangalia😍🎧
Ya moto band jameni ! Ikirudi na moto huu !! Itatesa ulimwengu mzima!!!
Underrated he deserves 🎉
Mziki mzuri mziki mtamu +254 representing
Aseee amenibamba kweli yani daaaahh ni kweli ngoja nichukulie tu poa poahhh
Umerudi Tena na Moto💥
Uyu buana anaimbaaaa anajuaaaaa
Umetisha mzee baba yan usichukulie poa poa kwenye ngoma hii good vibe in town
😭😭😭😭😭inakubusha the guy nlkua nampenda sana akaniacha bila sababu niliacha alie nipenda na kumpenda bt I wish bt inaniuma sana 😭😭😭
🫂 🤗
Beka Flavour you should visit KENYA 🇰🇪 You got a huge fan base leo Watanzania watupe like poa poa♥️♥️♥️
Kabisa
🔥🔥
Nice
Tizama filamu fupi ya Dawa Ya Ndoa bonyeza hapa👇 kumbuka kusubscribe
ua-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/v-deo.html
Mi nakukubali Sana mzee Baba nadhani Unaelewa SEMA umezidisha uandishi unazidi kuwa mkali I say....#poapoa#Bekaflavour
beka big up napend melody zako bless up🔥🔥🔥
Poa poa walai hii ngoma iliwaza sana beka flavour🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬
tim beka tujuane kwa like za kutosha
Naomba support ya kusubscribe channel yangu mkubwa
Beka mkali Namkubali
✌️
Amrudie mama mtt wke jaman🇦🇪
H
Haka kawimbo kanahitaji ukasikilize sehem tulivuuuu❤🌹🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
He is the best at this moment IAM watching, beka God bless you🙏
Unachozid kunikosha nyimbo nying upo mwenyew hujamshirikisha mtu lkn zina hit sana love kwa sana big up
Basi tuchukulie Poa poa, Ngoma Kali Salute.
Daah vijana wamecharuka kila ukigeuka ngoma,hujakaa sawa nyingine kaz juu ya kaz..huku ibraah tz,huku mariòo huku zuchuu👌👌
I just love your real self kaka.Mob love from kenya.I just love your all your music..
Bado Niko ndani beka songs zako zote nazitambua 2023 dec twayoyoma nayo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nice song Beka watching from+966 👌👌👌👌🔥🔥🔥🔥
Beka yaani ngoma Poa poa Tu...love from Kenya
Km unakubali beka anajuwa kushinda mbosso ila tatizo promo like twende sawa
Mbosso alijitegemea kwa diamond ila Beka anajitegemea
Beka mkali kamshinda Mbosso
Faster More unawez
Faster More si mchezo kwa beka kanena kweli
Hakyamungu tena beka mkali
Huyu jamaa sikuwahi jua msee nimekukubali... Hakika uko sawa zaidi yao.. 2021.. Mpo?
Thanks Beka.. am soo much in love❤️👏 with your music😍. You bring meaning to life esp at this quiet moments!
Talented 🙏🙏✔️
Nakupenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Bonge la ngoma
🇰🇪🇱🇷🇬🇲
Likes hapa
Nakubali man kaza kaza kwa ushauri wa game ukiitaji nakushauri muone alikiba mambo yatakuwa poa uyo jamaa anabaraka Fulani ivi kwenye game LA bongo fleva
Ujue beka watu wanamchukulia poa poa, ila ni bonge la singer
Mwenyewe namuelewa sana
Sikupingi mtaalam
Yuwajuta kuachana na mama mtt wke🤣
Mzur
Nambiye mwamba
Poapoa Haichuji bro.💞
😍😍😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿proudly of you beka God bless you long life let us supporting our boy 😍😍😍🌷his voices kill people
RIP English
That's your opinion I beat ya English but I love broken English hope you understand
Sijajua ni kwann we hauwi katika level ambayo unastahil .....big up uko juuuu juuuu
You are the top singer in Tz
Huy wimbo mzuri sana. Tafuta management nzuri utafika mbali Beka. You are there with the best artists in Tz
Penda from 254
Kenyans watching tujuane
Kati ya wasanii wangu 3 bora,Tanzania for all time beka m1 wao,a
Good job my Handsome keep going 👏👏👏👏👏👏❤️❤️❤️❤️
Imeweza baba hiii kariiiii ....naipepe kibendera
We msee ni noma uko na sounds poa na enjoy #POA POA#🇰🇪
Beka fravor Wewe mtamuuu yani sauti yako tamuuu. Nakukubali sanaaa Kaka. Uwa si comment UA-cam. Nimeshindwa kuvumilia. Hongera Brother...!
Congo tupoooo 🇨🇩🇨🇬 ❤️🇹🇿
Oya mimi nnakipaji naweza kuimba sasa nataka na naomba niingie wasafi
beka here in Mozambique we always like your songs and we always support you strength