SHUHUDIA WAZIRI AWESO AKIYASAKA MAJI, AWEKA KAMBI SINGIDA KUYATAFUTA CHINI YA ARDHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • IKUNGI-SINGIDA
    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameipongeza Kampuni ya AL FRADAWS investment Company Limited kutoka Jordan ambayo ni wawekezaji katika uzalishaji wa Mbegu mbalimbali Mkoani Singida kwa Kuja na Suluhisho katika Upatikanaji Maji Mkoani humo Kupitia Teknolojia ya Pivot irrigation System.
    Mkoa wa Singida ni kati ya mikoa yenye changamoto ya vyanzo vya Maji vya uhakika na upatikanaji maji chini ya ardhi.
    #sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Instagram @bongonewstz twitter @bongonewstz na Facebook @bongonewstz

КОМЕНТАРІ •