Kumbe hilo jumwa ni fisadi kiasi hicho??? ndio maana alikuwa akipiga kifua na kuzungusha kiuno kwa pesa ya wanyonge atolewe bungeni but judiciary imeoza na corrupty
The most useless MP and talks too much but does nothing..pesa ameiba sasa, juzi kasababisha kifo cha jamaa kule pwani, kwanini asi shtakiwe na kama kuna ushahidi afungwe kamiti
Tulijua kitambo kwanini hataki kushtuka kwenye jahazi ukifuatana na mwizi na wewe ni mwizi mpaka sasa wamefikia watatu Rotich the waititu na Aisha jummwa mchezo bado waendelea.
Kwani Aisha ni dini gani yy ? Jiulize coz usisikie jina ukashtuka buree coz kma muislamu sio muislam haendi kuimba nyimbo za dini ingine Kwa kanisa haezi kutembea uchi haezi tusi hivyo so usieke dini hapa even I think kma hujui soma kitabu chako cha Bible hakuna sehemu kinaruhusu kuiba ama ufisadi ukipata iko BC mm nitakua mchristo kuanzia leo
Let's finish with this kibra seat. We are coming for the malindi seat after her impeachment.
Salamaaa salamaaa uendako uende salamaaaa....
🤣🤣🤣
ngoma ikivuma sana huwa karibu kuvunjika asema yy yuwatetea wagiriama ulionaje mama serikali ina mkono mrefu mama
@@mamitomamita6284 hahahaa si alijisifu kuwa yeye ni kisigino hageukiiiiii
Damu ya yule mzee yakufata ,utajua hujui wacha mdomo mama
Hehe... huyo mzee anajua kudeal na rebels akitumia remote.
Utajua hujui mdomo mrefu huo ati wajidai unaengana na serikali kuleta maendeleo hio ndio serikali yako sasa wambie wsikushtaki hahahah
Kumbe na anajifanya ati anatetea wamjikenda nakulaumu Gavanor kingi pesa anaweka kwa wanawe UNAFIKI
Simple advice rudi kwa baba makosa yote yata samewa
Watu wanakufa njaa na yatima na wajane. Na Mtu mmoja hamiliki izo Mali zote. Kenya jamani......Sisi wanyonge tuafa tuu
Aisha is a fast learner. Next start donating to churches and learn from the masters
Eeeh mungu ss maskini wakenya tutetee
huyu kitombi wa Ruto kumbe pia amesomea wizi eeh.....
Aisha kiuno iko wapi sasa..
Kumbe hilo jumwa ni fisadi kiasi hicho??? ndio maana alikuwa akipiga kifua na kuzungusha kiuno kwa pesa ya wanyonge atolewe bungeni but judiciary imeoza na corrupty
Atajua hajui
Mmm noma achunguzwe
Hawatakuacha Amina...waaa
Kiunooooooo kitaishaaaaa kabisa
Mako mako acha niende kibra narudi👐
Huyu kwisha 😆😆😆😆team sugoi
Mama kiuno utakunyia debe safari hii
🙄🙄🙄🙄wakombee mushaara yake na mali yake aliyo nayo waone kama iko sawa
Tunangoja matokeo ya odm kibra then tukuje malindi vuuuuuummm kqma wanachungwa.impeachment manenos.
Hahaha ask Waititu your life has started I'm surprised you did not talk this time
ME I WILL NEVER VOTE IN KENYA NEVER
Same here
Me too. Have never and will never.
The most useless MP and talks too much but does nothing..pesa ameiba sasa, juzi kasababisha kifo cha jamaa kule pwani, kwanini asi shtakiwe na kama kuna ushahidi afungwe kamiti
Watu wa Mombasa muelewa hakuna mwema no ruto n jumwa
Baada kua muuwaji kumbe alitanhulia kua mfisadi?
"Unacho chembe unacho Jumwa".
"Salaama..salaama Ashs Jumwa salama salaama!
Saalama salaama uendako oooh jela kuu.
Huyu domo kaya na mititi ya ng'ombe atajua hajui amuulize waititu
Akii Fred wacha kunimaliza matiti imefanya nini akii
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Freeman msungu. Why you broke ma ribs lol
I mean Fredman kaingu
Tulijua kitambo kwanini hataki kushtuka kwenye jahazi ukifuatana na mwizi na wewe ni mwizi mpaka sasa wamefikia watatu Rotich the waititu na Aisha jummwa mchezo bado waendelea.
Ndio maana vijana wanaiba hawana hajira pesa mnakula
😂😂😂😂😂
Yeye anachezea Millions, na Ruto Billions, "Birds of a feather flock together"
True
This is funny.
mbona mkona siasa mbaya eti sugoi aisha jumwa ako sawa
Thats why anatingizaga kiuno waaaaa😆😆😆
Siku ya nyani kufa miti huteleza ndio maana ake, ngoma ndio imeanza bado ija tambaa, ikitambaa atanza kuimba salamaa salamaa akiendanga.
Watu wanakufa njaa nyinyi mwachezea pesa
Ata hawana ubinadamu wala utuu ata kidogo hawa viongozi wetu.
Walai Mungu atubariki na mangifuli kenya only 15 yrs we will appreciate greatly.
@@davybuteyo nyuma yako
@@davybuteyo Mimi nitahamia Tanzania
Umeuwa mijikenda mwezako Sasa tizama mambo ,uko katika kikaango jumwa wa kwehu
akuna ushaidi hiyo siasa ya odm
kalejinga
fika kwa DCI umwambie unavyojua wewe.
Nilisikia eti Watu wa dini ya Jumwa haina CORRUPTION in their book.mhhh.
Kwani Aisha ni dini gani yy ? Jiulize coz usisikie jina ukashtuka buree coz kma muislamu sio muislam haendi kuimba nyimbo za dini ingine Kwa kanisa haezi kutembea uchi haezi tusi hivyo so usieke dini hapa even I think kma hujui soma kitabu chako cha Bible hakuna sehemu kinaruhusu kuiba ama ufisadi ukipata iko BC mm nitakua mchristo kuanzia leo
Kwani wewe wafikiri Aisha jumwa ni wa dini gani...si ako dini yenu,hiyo ni jina tu anatumia lakini ni mkristo
@@kassimmwamambeya4489 iwaa afadhali uwajulishe haha
Tangatanga thieves
Mama usiogope hata dhahabu hupitushwa kwenye Moto ndio ikawa gold,they are sharpening you politically get encouraged hata Sonko is on the list
Jamani kumbe watu wanachezea ma million ya pesa wakati mimi nikipata 2000 nataka nitembee barabarani na paja la kuku nikipiga mswaki!!!
🤣🤣🤣🤣
mmmmh haaaaaa ukipata hiyo kidogo wataka utembee bara barani na kiguu cha kuku ukipiga.mswaki umenimaliza
2,000 umeenda mbali mimi nikipata 1,000 ardhi utatingika kwa furaha nitakayokua nayo.
Fatuma Mwalimu 😂😂😂😂
🤣🤣🤣
mwizi bure kabisa
Gangsters paradise.
Funga yeyeee
Where were you when she was stealing
Mwizi kawaida huua ashikwa baada ya kuiba sasa hajaiba utamshikaje tajua hujui naumesikiia mwaka alioanza
@@andallaathman3856 huh Hahahah