KUIFUNGA TP MAZEMBE TUNAHITAJI DUA HADI ZA WAPAGANI, ISRAEL MWENDA NI BORA SANA, SIMBA WANASUBIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @JohnstonRujuba
    @JohnstonRujuba 12 годин тому +5

    Kesho yanga apewee dumu za asali3 kama alizopewa na Tabora itakuwa safi sana

  • @Shu-w7f
    @Shu-w7f 9 годин тому +1

    Mlizidi mdomo mfungwe In Sha Allah mungu waangamize wajuaji sana

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 9 годин тому

      Utaangamizwa WW na bad kipigo kipo palepale gamondi mlimnunua aialibu yanga tushamtimua k zenu nyie

  • @petrohaule7019
    @petrohaule7019 35 хвилин тому

    Mungu ibariki timu yetu ya Yanga ishinde,

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 15 годин тому +3

    Wewe manara SEMA tuu usiogope kwamba utopolo wanafungwa HAKUNA matokeo mengine ZAIDI ya kipigo kinawahusu utopolo

  • @FanuelSulle-g2o
    @FanuelSulle-g2o 15 годин тому +3

    Manara anamaneno ya kukatisha tamaa.lkn pia me nahisi nia yake yanga wafungwe coz sura yake na maneno yake is like anakaugomvi na uongozi wa yanga

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 3 години тому

    Eng. Hersi please mrudishie USEMAJI MH HAJI MANARA kuna bright light shortly

  • @songombingo108
    @songombingo108 18 годин тому +1

    Well said El Bughati

  • @BakariHassan-b1k
    @BakariHassan-b1k 15 годин тому +3

    ina mana njinji mnao sema yanga Ana fungwa pia mna yajuwa yenu ya keshu mana mna jipa cheo Cha mungu basi kwa uwezo wa mwenjezi mungu na baraka za mitume na hususan mtume Muhammad salalahu alaihi wa Sala yanga ina shinda inshallah

    • @SojaWaBrazil
      @SojaWaBrazil 10 годин тому +2

      Yanga team yetu mbovu wazee wengi

    • @Shu-w7f
      @Shu-w7f 10 годин тому

      Unamtaja vp mungu wakat mlitaka malaika mshushiwe Sasa Furahien

  • @getsonfungo4255
    @getsonfungo4255 15 годин тому +2

    Mungu ni wawote tutashinda

  • @ErnestJosephat-z5k
    @ErnestJosephat-z5k 15 годин тому +1

    Shida iko kwenye marking kidogo Yanga imepungua sana

  • @maxmillanayo2979
    @maxmillanayo2979 12 годин тому

    Mimi namkubali mnara kwa asilimia 120,ally kamwe anaforce fani

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 17 годин тому +1

    Well said. Yanga bingwa

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q 2 години тому

    Yanga ipi unapoteza mda kuizungumzia wakati mshapoteana mnasajiri kwaajiri yasimba sio kwaajiri ya timu yenu. Kwasasa yanga mshakua jamvi la wageni

  • @mrsab303
    @mrsab303 12 годин тому

    InshaAllah

  • @johnyenda1372
    @johnyenda1372 Годину тому

    Huyo ni msemaji wa timu gani anavyosema wakitoa sare Bado Kuna mechi mbili nyumbani tutakuwa na uhakika wa kushinda

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 15 годин тому +1

    Yanga uliyo izoea ameondoka nayo Gamond hiii uizoee tuu yanga ya said kichapo kama kama😂😂😂😂

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 15 годин тому

      Imeanza kufungwa toka Gamond yupo,Yanga itashinda kwa uwezo

  • @AletasMbawala-si5kj
    @AletasMbawala-si5kj 14 годин тому +1

    Kwa mbaaaal wenge limeanza kuwatoka 🐸🐸👀

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 16 годин тому +1

    KESHO UTOPOLO ANAPIGWA 3

  • @hamisiseif8589
    @hamisiseif8589 Годину тому

    Malakundi gumu mama wakawaida tushikelipi?

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 13 годин тому

    Mi naona manara arudishwe mahali pake bila hivyo walahi kazi tunayo

  • @DaudFidel
    @DaudFidel 14 годин тому +1

    Huyu mwamba namkubali kinoma yaani

  • @YasiniJuma-f4j
    @YasiniJuma-f4j 5 годин тому

    Ninacho kiamini mimi nikwamba yanga wana laana ya mwenyezi mungu maana walipiga magoti kumuomba awape malaika iliwachezenao sasa leo wanaomba mungu awatangulie 😂😂😂😂😂😂 jamani tufanye yote ila mungu ni kilakitu tuache utani na mungu nabado mtalia na kusaga meno😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 7 хвилин тому

    Manara mazembe wamechukua konbe Mara 5 afrikan leag

  • @KassimhamadMakwawa
    @KassimhamadMakwawa 16 годин тому +1

    Utopolo point 0 😅😅😅 mnagawa utamu

  • @NgasaLuhamba
    @NgasaLuhamba 5 годин тому

    Mazembe wameshinda ubingwa mara tano haji siyo mara tatu

  • @Charliechapline7443
    @Charliechapline7443 17 годин тому

    🙏🙏🙏

  • @festohchiffy6383
    @festohchiffy6383 11 годин тому

    Wasemaji wa yanga siku hizi wamekuwa na adabu 😂😂😂asaivi kama wanatangaza injili Kwa utaratibu na Kwa hekima wanaongie tutaongea rugha za mpira na bado

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 16 хвилин тому

    HAJI MANARA .. KUNA KITU UMESAHAU .. YANGA IMEPOTEA BAADA YA NDUI FC KUGUNDULIKA... SASA HIVI HAKUNA NDUI .. HAKUNA BAHASHA ...

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 17 годин тому

    Kwenye marking kidogo Yanga imepungua..

  • @ChicsSalimu
    @ChicsSalimu 14 годин тому

    Ww hao wenye Tim hawajakujua kuwa ww chawa wetu hapo wandanganye wanakuerewa mna hapo wenye akiri niwareware chawa wetu

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo 15 годин тому

    Sisi simba tulimfukuza yanga mkafunga macho

  • @JosephJackson-f1s
    @JosephJackson-f1s 17 годин тому +7

    Hivi manara hapo yanga kazi yako hasa ni nin maana yule mtoto anaitwa Ali kamwe usemaji siyo fani yake mi simba lakini yule mtoto simpendi hana lolote

    • @SaraRobert-io8xv
      @SaraRobert-io8xv 17 годин тому +2

      Hata yeye akupendi ivo ivo

    • @richardmessayi9578
      @richardmessayi9578 16 годин тому +2

      Yeye alishawahi kukwambia anahitaji ww umpende??usipompenda kuna kitu kinapungua kwake??

    • @mussasaidhamad1891
      @mussasaidhamad1891 16 годин тому +1

      yule kamwe sio msemaji ni mhamasishaji tuu

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 16 годин тому +2

      Ushasema simba utampendaje ally kamwe wakati sisi wenyewe Ahmed hatumpendi hvohvo

    • @Rahma-t5t
      @Rahma-t5t 15 годин тому

      sasa ndio unajua dua

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 15 годин тому

    wWatanzania hatuna kumbukumbu,huyu so mwiongoni mwa waliokuwa wanashangilia droo.wakidai watapiga Kama ngoma.

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 15 годин тому

    Huyu mnampa forum Hana lolote, mwulize historia yake, aliwalangua hata CCM, Ali lala jela huyu, leo hii ni star hapa bongo!

  • @DavidiMlyuka
    @DavidiMlyuka 12 годин тому

    Yakale hayanukagi

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 13 годин тому

    Muongo huyu anaomba tufungwe

  • @KhamisHamad-v7f
    @KhamisHamad-v7f 13 годин тому

    Bugati hao wanaokujibu comment za matusi waachie mungu atawahukumu

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 16 годин тому

    Mora akatusimamie sisi waja wake aminaaaaaaaaa

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 15 годин тому

    Muwe mna edit video kabla haijaruka hewani mfano hii video mwanzoni ilikuwa nzuri lkn kufikia kati kati sauti inafifia

  • @husseinjuma3424
    @husseinjuma3424 15 годин тому

    Nimemsikila baba yako kaongea pumba sana ameingia kwenye mfumo wa magoma ila wewe umeongea point sana

  • @shabanisaid-vl6wf
    @shabanisaid-vl6wf 16 годин тому

    Kesho mazembe anakufa tu ushindi upo waz kabisa mechi tushamaliza hiyo

    • @Shu-w7f
      @Shu-w7f 10 годин тому

      Msharoga