HANDENI KUMENOGA: ENEO WATAKAPOHAMISHIWA WAMASAI WALIOKUBALI KUONDOKA NGORONGORO, NYUMBA NZURI BALAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @milkajm4762
    @milkajm4762 2 роки тому +4

    Mtangazaji uko vizuri sana. Hongera sana serikali kwa hatua hizi

  • @ezekielmfikilwa3965
    @ezekielmfikilwa3965 2 роки тому +1

    Mungu awabariki sana viongozi wetu mna nia nzuri na wananchi

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +2

    Mashallah Mungu awajaalie uongozi wetu nchini.

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +5

    Hongera serikali

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 2 роки тому +1

    Kiukweli Ardhi inarutuba mazingira ni mazuri tuache maskhara ni Seven salama sanaa

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 2 роки тому +1

    Karibuni Tanga

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 2 роки тому +1

    jamani Mimi Niko tayari kwenda uko andeni

  • @mwangaraza6709
    @mwangaraza6709 2 роки тому +3

    Serekali imefanya vizuri sana

  • @godfreysamson3069
    @godfreysamson3069 2 роки тому

    Hahaha hawo. Masai wa mchongo waliopelekwa hukoo dah siham tz 😂😂🙌🙌

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 роки тому +1

    Zikibaki tuambieni. Tuko tayari hata kwa kulipia.

  • @OMBENIURASSA100
    @OMBENIURASSA100 2 роки тому +1

    Ok🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 роки тому +4

    Mashallah

  • @landscapephotographer8385
    @landscapephotographer8385 2 роки тому +1

    Waliohamishwa jema 2007 wako wapi???

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 роки тому +1

    Mbona pazuri"kwanini wanang'ang'ania?

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому

    Pengine serikali ingewapa matrekta matano na kuwatengenezea bwawa kubwa la kunywesha mifugo yao. Kama Ngorongoro walizuiwa kulima Handeni kilimo kinaruhusiwa
    Shule ya msingi na sekondari vipi?

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky 3 місяці тому

    Hii serikali inawadhulumu Wamasai kwa ardhi yao

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 2 роки тому +5

    SAMIA UPO VIZURI DADAANGU!

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 роки тому

    Hivi hizo nyumba nzuri kweli na wewe unasema nzuri, nyumba nzuri unaijua mil 60 unapata nyumba nzuri sana....masai kwa akili yako kashindwa kujenga nyumba ya milioni 70? Mtu anadumisha mila zake tu, hana haja na mabati...mtu ana ng'ombe 100,200,500,1000 unajua bei ya ng'ombe mmoja? Ni ng'ombe 20 kati ya 200 alionao wanajenga nyumba ya kifahali sana. Na wewe mtangazaji unasema nzuri nzuri kwa mlengo upi?. Haya ndio nilikua nasema wamasai pale kwao ni zaidi ya aridhi ni zaidi ya nyumba, ni zaidi ya umeme....lile eneo linabeba historia ya jamii yao, mila zao, desturi zao, imani zao....kuwataja hapo ni kuua haya hivi yanawaingia kweli au mnazungumza maashallah tu Bila kufikili?

  • @husseinhussen6836
    @husseinhussen6836 2 роки тому +2

    jengeni,shure,na,hospital

  • @jamilamohammed2771
    @jamilamohammed2771 2 роки тому +1

    Home sweet home

  • @superbillionairea5987
    @superbillionairea5987 2 роки тому

    Wawe wapole easier Kama wa kirosa na kwediboma maana ni wagonvi

  • @josephmoses5406
    @josephmoses5406 2 роки тому +5

    Hakuna hata mto, kuna kuna mashamba pia maana yake ni ardhi ya wenyewe

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +2

      Kama kuna mashamba vita ingine itaanza tena maana ufugaji na mashamba ni hatari mno

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 роки тому

      @@leokamil6284 we umeona shamba hapo? Kuna misitu tu hapo

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 2 роки тому +1

      Serikali yetu Hongera kwa maamuzi hayo. Angalizo ufugaji unahitaji nyasi inayofaa kwa malisho na maji kunywesha mifugo, je kunamkakati wa kupanda malisho bora na miundo mbinu za maji au kuwa na maeneo ya kuchungia kwa mzunguko kuruhusu uoto wa nyasi malisho za asili vyanzo vya maji? Vinginevyo itakuwa vigumu wafugaji kutulia kwenye nyumba hizo kwa kuwa ubora wa maisha yao ni kutegemea mifugo na siyo kutulia wakati mifugo inaendelea pukutika kutokana na uhaba wa malisho na maji.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Ng'ombe wengi.... Lakini umasikini... Faida gani?... Nawaza... 🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 2 роки тому +1

      @@j.c.maxima816 kilicho kigumu hapo ni tafsiri ya umaskini, tunayo aina nyingi, fedha, rasilimali, akili, chakula, amani nk ipi hasa. Wanasema umaskini ni ulinganifu i.e. relative term.

  • @saidimuemanuel301
    @saidimuemanuel301 2 роки тому

    Acheni wamasai wahishi na wanyama sivyo nyinyi kabila linkine mtawinda wanyama mumalise vile mumemalisa kwenu

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 2 роки тому

    Serekali iyo sio poa kuwatoa. Watu waliosoea sehemu hiyo pia kaeni mkijua Masai na wanyama pori wanasikilisana

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 2 роки тому

    Sasa mpaka watu wanajenga hizo nyumba mulikuwa hamuwaoni?.

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 роки тому

    Mimi naona uku ni fulsa kuliko kule kabisa.

  • @bachutamwita4518
    @bachutamwita4518 2 роки тому

    Kama wanagoma hao wamasai c wachukuwe wanya woote wagorogoro wawa waperekwe huko haden tuone Kama hao watabakia apo

  • @kellyrockmediarockland469
    @kellyrockmediarockland469 2 роки тому

    Haya mambo ya ajabu sana, yani unawatoa watu ktk asili yao, unawapereka wasipopajua, why hakukuwa na mazungumzo, why all this, hawa watu wako Kolongoro ever since??!

    • @jonathanmnyone4003
      @jonathanmnyone4003 2 роки тому

      Unamaana gani kuhusu asili. Tuache hiyo misemo. Makabila mengi ya Africa yamehama kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine. Mfano Ngoni wametoka South Africa hadi Namtumbo, Masai wametoka maeneo ya Turkana Kenya hadi Tanzania. Pare na Chagga wametokea maeneo ya Kenya. America wametokea Europe na Africa. Sasa hivi hapa Tanzania Wapare na Wachagga wapo Turiani, nk nk

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 3 місяці тому

    Hakuna atakaeondoka ngorongoro

  • @japhetlaizer3919
    @japhetlaizer3919 2 роки тому

    Du waende tu

  • @kauryatechnical993
    @kauryatechnical993 2 роки тому

    Umeme je umefika

  • @johnmangaga4949
    @johnmangaga4949 2 роки тому

    Kaeni NAO WAMASAI muongee NAO!; Hii kulazimishana HADI damu za watu zinamwagika hazileti pICHA nzuri Kwa TAIFA LETU!;

  • @loomoniolesasi6123
    @loomoniolesasi6123 2 роки тому

    Toka acha ukuma sisi ni watu wa kutengenezewa nyumba?

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 2 роки тому

      Wewe sio mmasai au basi no laiyoni mmsai halisi ananidhamu sana kutukana hovyo siyo jadi yao sasa hapo kosa la serikali liko wapi tena wamshukuru sana Mama yetu mwendazake kavunjia watu nyumba kimara bila fidia yoyote na wengi walipoteza maisha acha huo ujinga uliopitiliza

    • @loomoniolesasi6123
      @loomoniolesasi6123 2 роки тому

      @@haroldtarimo3115 we shetani mkubwa unamhitaje hayati magufuli mwendazake kiongozi alioweka Tanzania heshima,. Ni nguruwe wewe tena ajabu ningeju uko wap ningekukuta tuje kuzungumza haya na siyo mtandaoni!!!!?? Ngorongoro ni yetu ha2jaifamia hata kidogo,. Ila Kwakua Raisi tulienae anaubaguzi wa kutosha anatuangaisha, ila ngorongoro hatung'atuki ng'o,. Acha atekeleze huu ubaguzi wake mungu atatusaidia

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому +1

      Hivi Wamasai ni Watanzania au ni mzigo wa Watanzania? Wanalishwa wao... Wanajengewa nyumba wao... Kwa nini? Kwa uzalendo upi na Nchi hii ? Mama Samia umekosea... Ungewafukuza kabisa na kuwaacha wajitegemee wenyewe kama sisi pia tunavyojitegemea...

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 2 роки тому +2

      @@loomoniolesasi6123 Nakwambia wewe sio mmasai umejificha tu kwenye kivuli Cha wamasai ambao kiuhasilia serikali imewapendelea
      Natamani tungekutana ndio nione utanifanya Nini mjinga mkubwa wewe
      watu wanaboreshewa maisha wewe unaleta ujinga wako endelea kutukana lakini hii ni awamu ya sita saga sumu unywe Mama ni juujuu zaidi

    • @peternyambo1439
      @peternyambo1439 2 роки тому

      Mmasai uliyehongwa unatukanaee, nchi yetu bhana, we we ungekuwa huku Dubai ushechinjwa mapeeeeeeema

  • @thomassilamoy1520
    @thomassilamoy1520 2 роки тому

    muda ingine nyie watanzania fikirieni we tangu lini ujengewe nyumba bhan na ww uongo mtupu

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 2 роки тому

      Kati ya hizo nyumba na wewe nani Muongo? Nenda sukamahela Manyoji watu wamejengewa nyumba bure, Zanzibar watu wapo walojengewa nyumba. Sasa unachobisha nikipi? Mbona Binadamu hamnajema kilakitu ninkubishaaaa tuuu mpk ukitawazwa utasema umeshika mavi nani alikutuma huku upo kitandani hoi hata kuinuka huwezi..

  • @kellyrockmediarockland469
    @kellyrockmediarockland469 2 роки тому

    Haki za Binadamu haziko hivo, na mtanataka kuwaondoa kwa msingi upi?!?!

  • @منىالسعيد-ن2ج
    @منىالسعيد-ن2ج 2 роки тому

    Mᴀsʜᴀᴀʟʟᴀʜ