Mnamponda Krg alafu mnamtaka wasanii wa kenya wawe wakubwa huo ni ufalaa amkeni wakenya sisi tanzania tunawatu ambao hawakuwah kuwa wasanii lakin walivyo anza kuimba tulisha wapa support na niwasanii wakubwa embu mjifunze kusifia vya kwenu Krg the don ametoa bonge la ngoma mpaka tz limepenya achen ujinga pendeni vyenu kwanza
Vijana hii ni biashara. Endeleeni ivo ivo na sasa muanze kutoa beats zenyu na mtafute madem wakuimba pia. Mr Promoter anachora mbali tafuta mentor kwa industry chini ya waba. Mushikane na kila mtu achape biz
positive criticism kwa industry nipoa but sometimes ain't a wise approach... nyinyi ni vijana wepesi tafteni krg and all other legends in the industry you approach them kwa njia ya heshima and you will learn alot of tactics to convert your music career dreams into reality
Unajua bado sijaona hizo hate speech za wasee kuhusu wasee wa urbantone juu walai hakuna ngoma nimesikia mbaya ya awa wasee adi saii simu yangu inacheza tu ngoma zao manze wasee wanajituma fitii na nafeel kenya saiii tumeget sound moja legit
Lack of commmon sense lets just say " invited konshens paid for his logistics alamfu wee umekuja Airportt ati unataka collabo si upitie right channels ndo upate collabo hizi blame games ndo huua art. You cats out here competing while Gs are enjoing the journey
Abarnton to the world 🔥Tipsy gee anajua positive criticism 😂
Sisi tunajua Genge , KRG did well on that Song
genge to the world🔥🔥🔥🔥
Bomboclatt
Lots of love from Kenyans
Mnamponda Krg alafu mnamtaka wasanii wa kenya wawe wakubwa huo ni ufalaa amkeni wakenya sisi tanzania tunawatu ambao hawakuwah kuwa wasanii lakin walivyo anza kuimba tulisha wapa support na niwasanii wakubwa embu mjifunze kusifia vya kwenu Krg the don ametoa bonge la ngoma mpaka tz limepenya achen ujinga pendeni vyenu kwanza
Wivuuuuuuuu support NI muhimu sana,the song is lit🔥🔥🔥🔥
Haujui Kenya artist wewe 😅😅😅 KRG is not a musician he is some rich kid content creator a wanabee dude
Kama ni kali ni kali krg aliua io💯💯
Big up to all arbantone artists
#Nice One big up 🔥🔉🌴🇰🇪🌴
Imagine ybw smith na konshens kwa dobaa🎉😂😂wololoooo...alaaaass!!!
Na typs gee
Urbantone to the world❤❤
They have the right to be bitter,imagine the effort they put only for someone to block their ways....arbantone artist are talented
Nyingi hamna talent
Nomaree sana 🔥🔥🔥
Sasa si wangoje wajulikane kwanza kabla waanze kiburi
we kwanza umeimba wimbo gani? mnakimbiza ma riddim za tene na mnajichocha. si mshine adi jamaica. you have a long way to go
Noma sana 😂😂😂😂😂
Nomaa
Vijana ni wanoma🚀
🔥🔥🔥🔥🤩
wako sawa
Vijana hii ni biashara. Endeleeni ivo ivo na sasa muanze kutoa beats zenyu na mtafute madem wakuimba pia. Mr Promoter anachora mbali tafuta mentor kwa industry chini ya waba. Mushikane na kila mtu achape biz
Kabisa 🤜🤛
This interviewer pia ana ufala...hashikanishi rada!
Hii vijana wako na ufala sana
Ni machine gani yaku pima talent wakonayo nikanunue🏃♂️
Smart group
Some names arent know kwa industry Heri naskianga krg some people look their names low volume.Ngomma siwezi skiza jirani ashaangae
Msanii apo ni mmoja tu ......hawo wengine wanadandia tu😂
Badala waombe collabo busy criticizing their mate
Krg alilipa from his pockets nyinyi vijana ni ma nobody kiherehere tu na bangi
Ndio gani Hawa,Wacha niwaone
positive criticism kwa industry nipoa but sometimes ain't a wise approach...
nyinyi ni vijana wepesi tafteni krg and all other legends in the industry you approach them kwa njia ya heshima and you will learn alot of tactics to convert your music career dreams into reality
krg alilipia colabo
😂😂😂 vile inafaa. Usanii ni positive criticism
Krg ndio don, hamjulikani 😂
Arbantone shida yenu ni copyrights. Kappy rudisheni fom ya gengetone. Chunga msiwe one hit wonder na mumebonga chafu mapema.
Krg ni vile market yake sio kenya peke yake mziki yake inaingia uganda rwanda huko iyo ndio strategy yake na dancehall
The donkey hafai kuonekana studio😆😆
KRG aliweza kwa hio collabo...😂hyu tipsy kwanza Hana talent
😂😂😂😂😂😂😂
TipsyGee ni mnoma🔥🔥🔥kwani hujamskia ?but wacha ni ichukulie kama joke fu😅
TipsyGee ni mnoma🔥🔥🔥kwani hujamskia ?but wacha ni ichukulie kama joke fu😅
TipsyGee ni mnoma🔥🔥🔥kwani hujamskia ?but wacha ni ichukulie kama joke fu😅
TipsyGee ni mnoma🔥🔥🔥kwani hujamskia ?but wacha ni ichukulie kama joke fu😅
Unajua bado sijaona hizo hate speech za wasee kuhusu wasee wa urbantone juu walai hakuna ngoma nimesikia mbaya ya awa wasee adi saii simu yangu inacheza tu ngoma zao manze wasee wanajituma fitii na nafeel kenya saiii tumeget sound moja legit
Msikuwe na pupa vijana hamjapiga kollabo ata na A list artists wa Kenya na mdai international collabo
Vijana mkuwe patient
Start by supporting,
wachaneni na mbugaa bwana
Si Bughaa ni mbuga 😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🚼🚼🚼
Wivu ndo Mkonayo Sana 15yrs in the game KRGtheDon🔥
Sasa hawa ni akina nani. You cont bring down your own ndio you rise. Shenzi. Hakuna mahali mnaenda
u make a video to talk over krg.. talk what you have for ur fans...
Remember what KRG did to gengetone 😂😂Watch your steps
ako down
Lack of commmon sense lets just say " invited konshens paid for his logistics alamfu wee umekuja Airportt ati unataka collabo si upitie right channels ndo upate collabo hizi blame games ndo huua art. You cats out here competing while Gs are enjoing the journey
Hawa waendelee ku sample beats no originality useless brats