JINSI YA KUACHA UOVU ILI KUBADILI VIWANGO VYA MAISHA|DAY 09|12 DAYS OF FASTING AND PRAYER|MWL ONESMO
Вставка
- Опубліковано 8 тра 2024
- Huduma ya MBINGU DUNIANI inapatikana NGULELO ARUSHA TANZANIA chini ya Mtumishi MWALIMU ONESMO UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA NAMBA HII +255 743 404 043
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / onesmo.oyakhilome
Follow our Instagram: / mbingu_duniani
Subscribe our UA-cam:
/ @mbinguduniani
Mbingu Duniani FM : onlineradiobox.com/tz/mbingud...
#MwlOnesmo #Mbinguduniani #kumilikiMilkiZangu
Amen mtumishi wa bwana
Amen
Mungu akutunze na kukuinua kwa viwango, nimekuelewa sana baba nami naomba Mungu anifungue na roho za uovu natamani nikue kwa viwango nimpende Bwana kwa viwango🙏Ameen ameen
Barikiwa sana mtumishi 🙏
Yesu nisaidie niinuke kiuchumi hali yangu ni mbaya magonjwa hayaish Kila mara mungu tusaidie
Amen siwezi kujengwa na mungu binadamu akanibomoa
Amen kazi inayonitenga na mungu imetoka kuzimu
Barikiwa sana mwl hili somo limenigusa sana mungu azidi kukupeleka viwango vya juu zaidi
Mungu akutunze baba,you keep changing me everyday
Mungu azidi kukulinda na kukihifadhi hai uendelee kutuhudumia
Amina mtumishi wa Mungu
Amen uovu hunitoa kwenye viwango
Amina
Amin
Mafundisho yamenibariki
Amina 🙏🙏
Amen
Amina