BANANA ZORRO - SOGEA NIKUSHIKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024
  • Picha zote zinazoonekana kwenye video hii zimechukuliwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Banana Zorro ‪@bananazorro8022‬ nyimbo hizi haziwekwi hapa kibiashara. Hatimiliki zote ni za mwanmuziki husika

КОМЕНТАРІ • 23

  • @ceciliaathanas751
    @ceciliaathanas751 Місяць тому

    Huu wimbo nimeusaka mnooo hatimaye umepatikana woii asanteee

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 Рік тому +6

    Hili goma Ni ukali mtupu....ukimsikilizisha raia....lazima aelewe tu...Kama umelielewa gonga like twende sawa

  • @mwambaohealthconsultant
    @mwambaohealthconsultant 10 місяців тому

    1990s Era tulikuwa twasikiliza lakini hatukuelewi vizuri, kumbe Haya masongi yalijaa mambo mubashara ❤️

  • @donaldmhulula6888
    @donaldmhulula6888 5 місяців тому

    Walikua wana itafuta ile pure Rhythm and Blues ❤

  • @patrickmunuo8790
    @patrickmunuo8790 Рік тому +9

    Aisee barikiwa sana my men..
    ..hakuna nyimbo niliyokuwa naitafuta bongo kama huu wimbo, nimeutafuta muda mrefu sana, na nmeutafuta kila mahali..
    ..nilikuwa niko tayar kutoa hata elfu kumi kwenye studio za mitaani ili niwekewe huu wimbo kwny simu, hatimaye leo nmeupata..
    ..kazi nzuri AM VERY HAPPY 👏👏👏..
    .............KAZI IENDELEE 💪

  • @gloiremichael4037
    @gloiremichael4037 26 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @MichaelErasto-nw4hn
    @MichaelErasto-nw4hn Рік тому

    Safi sana hakika brother ukituliza sana akili kwenye huu wimbo

  • @adamondokawwlusinde5237
    @adamondokawwlusinde5237 Рік тому +1

    Bonge la nyimbo, naikubali Sana watoto wa miaka ya 2000 kuzaliwa hawawez kuelewa

  • @douglasndeki8346
    @douglasndeki8346 2 роки тому +3

    Finaly wameuweka wimbo bora wa kiswahili wa wakati wote

    • @ellenmunyaga6659
      @ellenmunyaga6659 2 роки тому

      Yaaani huu wimbo ulikuwa adimu kupatikana🙆🏽🙆🏽🙆🏽, kweli ni best hit of all times

  • @rsoo0099
    @rsoo0099 Рік тому

    Sogeaaaa nikushikeeee... bonge la dude

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 Рік тому

    Huyu mwamba ...Mwaka 2006 nakumbuka mbali sana

  • @iddykukutukwa9723
    @iddykukutukwa9723 2 роки тому +1

    Nilikuwa nautafuta huu wimbo"LOVE STORY

  • @hermanmoya7455
    @hermanmoya7455 9 місяців тому

    favorite of all time...hit like kama umekumbuka mbali na zile momets

  • @chrispinangoo3382
    @chrispinangoo3382 Рік тому

    Love love this song.so happy nimeusikia tena.

  • @madolerashidi8846
    @madolerashidi8846 Рік тому

    I just want to say this is it all...

  • @limbetumaini228
    @limbetumaini228 11 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @chefr3020
    @chefr3020 Рік тому

    ❤❤