Asante umetufikia ubalkiwe ankojy mapesa pamoja na jomba wajo kazi nzuri tunaipenda sana🌹🌹🌹tim vip oro mko poa kma kawaida etu likes gusa hapa nawapenda💯🌷🌷🏃
We were wa 92 but Leo tuko na Saumu undeleeni tutazidi kua viporoo ibada muhimu pia nawatakia waislamu wote Saum maqbul na wasikilizaji muwe na usikilizaji mwema Insha Allah
Jomon mtu narafkiake wanakuja kuwapata wanawakezao kwakujutia Sana ikwa kila mtu anaonekana kumpenda sana. Irikua hv kwa alvlisa Tena imekua kwa chesta
Asante sana Anko jay Leo hiii umetukumbuka vyema sana MUNGU azidi kukupa afya njema Kila siku na uwe mzima wa afya na MUNGU akupe itaji LA moyo wako 🙏🙏🙏
@@Evelynmoreen3655 ingekuwa kama Chester angemuoa huku mbele lazima angepata joto ya jiwe ya Cindy, maana waolewaji watafuta chapaa wanawakomesha sana mama wakwe wapumbavu kama mama yake Chester
Hawa wazazi wa Chester ni wakatili wanajali wingi wa fedha anazotengeneza mtoto wao,zikitetereka tu mtoto anakuwa hafai, khaaa hawa ni sawa na majambazi tu
Asante umetufikia ubalkiwe ankojy mapesa pamoja na jomba wajo kazi nzuri tunaipenda sana🌹🌹🌹tim vip oro mko poa kma kawaida etu likes gusa hapa nawapenda💯🌷🌷🏃
Mh! Jamani, Anko Jay, kaamua kutupiga na bonge la surprise, haya bwana barikiwa sana
Nimekuelewa sana mkuuu tupe raha tu maana siyo shida zetu 🌹🌹🌹❤️❤️
We were wa 92 but Leo tuko na Saumu undeleeni tutazidi kua viporoo ibada muhimu pia nawatakia waislamu wote Saum maqbul na wasikilizaji muwe na usikilizaji mwema Insha Allah
Shukran sana tutaskiza usiku ibada muhimu takabal ya Rabby sote inshallah
Nimewai na mmi timu viporo niwngapi wanamini charity ataolewa na chesta ngogeni like hpo ankojey chukua maua🎉🎉🎉
😢😢😢😢
Hongera anko jay Leo ni simlizi Bora zaidi .
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Team.chester.tutashda.tuu.mungu.mpe.afueni.yaharaka.chester.wete
Jomon mtu narafkiake wanakuja kuwapata wanawakezao kwakujutia Sana ikwa kila mtu anaonekana kumpenda sana. Irikua hv kwa alvlisa Tena imekua kwa chesta
Asante ankoj umetukumbuka ubarikiwe ❤❤❤❤kwako tunakupenda sana ankoj wana familiya ya ankoj like kama umefurahiya ankoj kutuletea binti lisa
Woow!Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.
Wow leo nimejaribu 88 team Lisa nimbatie like ata kumi nitashukuru ❤❤❤❤
Asante sana Anko jay Leo hiii umetukumbuka vyema sana MUNGU azidi kukupa afya njema Kila siku na uwe mzima wa afya na MUNGU akupe itaji LA moyo wako 🙏🙏🙏
Amin
😂😂😂😂😂kuladadeki😂😂😂😂mapenzi yana nguvu kama kifo,wajifunze hawa wazee tabia ya kuficha maovu yao nyuma ya pazia kwa ndani wanatoa funza😂😂😂 naona
Nani aliemini kama lisa na Alvin wangekuwa pamoja tena kwa amani.kweli Ogopa mapenzi.hawa wazee hawajifunzi kabisa
WOW Asante hata nasisi tumekumbukwa team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth tunapambana ❤❤❤❤ chester hatuchoki
Hello team UA-cam leo napitia comment pekee jee tumejifuza nini kupitia Bint Risa maua ni yenu🎉🎉🎉🎉🎉anko asante parikiwa❤❤❤❤
Nimejifunza mahusiano upendo chuki visasi maumivu. Na uvumilivu katika jamii za watu wa tabaka la juu dhidi ya tabaka la chini
Asante Ankoj kwani umeonesha utetezi wa kijinsia kama dunia inavyolipigania suala hili muhimu pokea🎉🎉🎉🎉
Wakwazaaaa familia ya lisa
Like zangu jamani ♥️♥️
Nawqpenda sanaaaaaa♥️♥️♥️😊
❤❤❤
@@shanibaniyas6308see q your.
Team viporo muwazima nyie asante ankojay kwa simulizi tamu tunakupenda ujue❤❤
Anko jey mapesa huyo baba anapanga mipango kwa chesta hajui ndio moyo wake kwa charity 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Tupo wote wadau wasimulizi ya alvilisa nawasalim wote🙋♂️🙋♂️
Asante sanaa ankojay, haki nataka Chester apone na amuowe charity, juu amekuwa mlemavu juu yake..
Haya jaman team viporo mko wap njoon huku kiporo chetu kipo tayar😅😅
Saumu ni Kali subir jion inshallah
Haya tulipofikia Sie wa viporo ni mbali sana 😂 tujipigie makofi tafadhari 👏👏kama na wewe wa viporo tujuane LIKE 10 ✌️
Chester Mungu akuponya urudi Kwa Kasi Yako umejifunza engi.
Asante anko kwa mwendelezo wasimulizi yetu nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
♥️♥️♥️♥️big surprise for Us Ankojay Big up🎉😂😂
Wacha anko jay mapesa ataki mchezo apa kazi kaz duh 😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉
Wao kumboeka yote 🎉🎉🎉🎉🎉
Mambo ni 🔥🔥 Asante sana anko jay wetu kwa kutujali ubalikiwe sana anko ❤😂🎉🎉
Nimemiss jesca na forest
Yani mna kera kazi wakwaza tu sio kutoa maoni au kujua ume jufunz nn
Umeongea point
Hadi inakera
ᴴᵃᵈⁱ ʷᵃⁿᵃ boa😅😅😅
Chester sasa ndiyo Ana tabuwa mapezi sasa anaheshimu wanawake jamani mapezi chester nimupole wow charity good work umebadilisha chester better 👌👌
Surprise after suprises....❤❤❤❤ endelea na huyo moyo
Wadada na wa kaka ma hb wachoyo wa like lolote liwakute kama chestar 😒😒😒
Kazi nzuri kaka,ila umejikaza Sana bro,nakukubali Sana from Kenya,much love
Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
Charit Hana hisia tena
😂😂😂😂 wuwiii Cindy kweli ana maji matupu yamejaa kichwani🤣🤣🤣 na mama mkwe wake huyo
Kama sarah ila huyo mama yake mkwe atakuja kujuta huko mbereni.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@Evelynmoreen3655 ingekuwa kama Chester angemuoa huku mbele lazima angepata joto ya jiwe ya Cindy, maana waolewaji watafuta chapaa wanawakomesha sana mama wakwe wapumbavu kama mama yake Chester
Waooooh twende zetu na mwendelezo wa lisa na viporo vyetu😂😂😂❤❤🎉🎉🎉
Asante anko wetu tunakupenda sana leo nimewahi kabla hajafika 💯❤❤❤❤
Pole sana chester,upone haraka,upendo ulioje jamani,charity mkubali chester
Dhuuuuu ime fika wakati wetu atimaye 😂😂😂😂 asante anko j mapessa wetu tuna kupenda
Chaliti mwanaumewakukuoa nicheta msamee tu
Nampenda anko j kwaajili ya kutujali ❤❤❤
Wooow!! Asante sana anko leo weekend itaenda njema🎉❤.
Allah akujaalie Kila la kheri🎉❤😊
Amin
Hiv huyu bi zitaa anajikutaa nani agejuwa ataa mwanae hatumpend chefuu et mwanamke mchafu
Timu viporo njooni ukuu kitu kimesha shushwa kujeni nasi tuenjoi💃💃💃💃
Leo tuko na saumu hamuna mabusu sije tukaharibu saumu
😂😂😂😂😂😂 mwana usiekuwa na mchumba umepingapingaje hapo kwa mzee arobat 😂😂😂😂😂 ukomee kwenda majumbani kwa watu bilaa tarfa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@Babyfaty-m3y kwa kweli
Anko jay naomba unnmbia ip simlz nzr y mapenz n s refu kat y hiz ulikuw Naz coz zik nying sana n ilokuw nzr
Chizi fresh,Katrina...nk
Ip kw anko jay sio
Asnt kipenz Allah akubark
Ahsante bwana anko Jay simulizi hutaanguka biidhini llah
Oooooooh weeeeee Wana viporo mpoo nione mikono juu na like zenu nawapenda pamoja na anko jay musimuliaji wetu❤🎉🎉🎉
Tupoooooo kpz
Anko jay siku Moja jiponde japo kidogo
Hawa wazazi wa Chester ni wakatili wanajali wingi wa fedha anazotengeneza mtoto wao,zikitetereka tu mtoto anakuwa hafai, khaaa hawa ni sawa na majambazi tu
Sawa na familia ya kimaroo.
@@MwanatumuJumaa-rj4fg haswaaa utadhani ni ndugu wa damu
😂😂 ila bado mm naomba waowane chest na charit ❤❤❤
Hio tu ndio tunayosubiria
Kweli tunataka chesta na charity waoane
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri. Watu wanalala humu jamani
Chester maskini 😢😢😢sijui itakuwaje
ANKOJ MAPESA ASANTE XN KIPENZI ❤❤❤❤
🙏🙏
Nimechelewa jamani kesho EID warabu wamenishika niko biz Sana nachungulia tu 😅😅❤❤❤
Pole dear ❤
Pole dear
Nakwmbia hawa warabu hawana dogo kabisa
Thanks dear ndo kutafuta pesa huko tutafanyaje na tuko inch za wenyewe🙏@@FatimaRamadan-s4f
@@NadzuwaGofwaEeh wako hivyo dear utadhani kunakuja Rais kwa nyumba
Asante Kwa simulizi nzuri Anko Jay Mungu akutangulie 🙏❤
Jamani Chester wetu pole mungu atakuponya mapenzi yana nguvu sana
Asent Ankojay kwa simulizi tamu unatujali san mungu hakupa guvu ❤❤❤
❤❤❤
Hi mm wa 44 ety waa hii n kiboko
wow thanks Anko jay God bless you 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Yule dada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like zenu 0:34 ❤🎉
Rudisheni rodney anikoseshe amani 😅😅😅😅😅
Nimemmisi sana Rodney nampenda sana
💯😁😁😁😁😁😁😁
Well-done anko jay🎉🎉❤❤❤
Bizita ,,😢 me 😮nmenote hapo unataka mwanamke ambaye hajalala na mwanaume 😂😂 ahaaaaaa ni Kenya
Wow🎉🎉🎉asante Anko j mapsa❤❤❤❤
😂😂😂mapenzi yana nguvu kama kifo wajifunze hawa wazeeee tabia ya kuficha maovu yao nyuma ya paziaaa kwa ndani 😂😂😂
❤❤❤haloo wanafamilia wa Anko j❤❤
𝐀𝐬𝐚𝐭𝐞 𝐬𝐚𝐧 𝐚𝐤𝐨 𝐣𝐞𝐢❤❤❤❤❤ 𝐤𝐰𝐚𝐯𝐢𝐩𝐨𝐫𝐨
🤣🤣🤣❤️🙏
ᴹⁱᵐⁱ ʷᵃ ᵐʷⁱˢʰᵒ ᵇᵃˢⁱ 😂😂😂
Mambo ni fire 🔥 ❤
Na kwambia acha tu❤🎉🎉🎉
Thanks ankojay mapesa 🥰🥰🥰
Jamani Leo nimechelewa ila nipo nipo ndaniii❤❤❤ shukran kaka Ankojay
Asantee ankoja mapesa
Kazi nzuri Ankojay mungu akubariki sana
❤❤❤❤❤❤ naona mambo ni moto moto
Baba ake monte atamsaidia chester kumpata charity
Thanks uncle
Asante sana Ankojay tuko pamoja ubalikiwe
Atuitani jmn😅😅😅nyie co vzr😂
Hii simulizi imenifanya nacheka had wt wananiuliza kunann
Kati y hiz uloandika bint bint hiz nmbie ip nzr mana zik nying hiz zingn nishasoma tyr
Dash pole chesta back eriza
Jamani VIP naombeni mnidokeza kidogo kuwa jack kimaro yupo hai
laik vinu timu liz
Acha Leo nisikize bint Lissa sasa Eid Mubarak wapendwa wa Ankojey
Mambo ni boulboul❤
Ankoo umenipatia aisee
Woyoooooo anko jay uko fasta hatarii 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🙏🙏
Hata mi nauliza jomba wajo jack uko wapi
Kwanzia part 91 ndo utamskia Jack 😂😂😂
chombo kwa hewa❤❤
Mnazingua view 980 like 70 kweli jaman
Oyooo🎉🎉anko vzr sana
Sijachelewa ❤❤❤
Duuu hamlalii
Simulizi yetu imefikia patamu jamani 😂😂
Keeling umeamua
Bado tu nawahi maua menu 🎉❤
Oyooooo namie wa 35 jaman