Harmonize - Sijalewa (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 30 жов 2024
- Harmonize - Sijalewa (Official Music Video)
Listen to Visit Bongo (Album): ziiki.media/Vi...
Harmonize's "Visit Bongo" is a musical journey that fuses Bongo Flava, Afrobeat, and Amapiano, celebrating love, our collective growth and life's ups and downs. With two special collaborations featuring South African songstress Nkosazana Daughter and Rwanda’s Bruce Melodie, it's a reminder to be proud of ourselves and savor life's milestones. And to visit Tanzania and explore the wildlife and beautiful culture. Join us on this unique celebration!
Harmonize - Visit Bongo (Album Tracklist)
01. Harmonize - Personal trainer
02. Harmonize - Hallelujah
03. Harmonize - Best Woman (Mama Song)
04. Harmonize - Side Nigga
05. Harmonize - Sijalewa
06. Harmonize - Boss
07. Harmonize - Wangu mimi
08. Harmonize x Bruce Melodie - Zanzibar
09. Harmonize - Sijui
10. Harmonize - Tena
11. Harmonize - Hawaniwezi
12. Harmonize - Dear X
13. Harmonize x Nkosazana Daughter - Single again
14 Harmonize - Single again
UA-cam Album Playlist: • Harmonize - Visit Bong...
Produced By: Wulan
Video Production: DK Company Ltd
Director By: Director Kenny
Subscribe for more official content from Harmonize:
/ harmonize255
Follow Harmonize
Instagram: / harmonize_tz
Twitter: / harmonize_tz
Facebook: / harmonize255
TikTok: vm.tiktok.com/...
Listen to Harmonize
UA-cam: / harmonize255
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music : / harmonize
Spotify : open.spotify.c...
Boomplay: www.boomplaymu...
The official UA-cam channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Harmonizemanagement@gmail.com
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762
Harmonize - Sijalewa (Lyrics)
Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni)
Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni)
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu
(Aeee Aeee)
Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua
Mmh
(Aeee)
Kuna Mtu Hichi Kichwa Anakisumbua Siku Iyo Mtamjua
Mwenzenu Pombe Nishaacha, Kuvuta Nishaacha
Ila Mapenzi Siwezi Acha Japo Yananiumiza
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
#Harmonize #Sijalewa #VisitBongo #KondeMusic
Thank you for listening to Sijalewa💌
I welcome you to listen to my brand new album "Visit Bongo" Here:
ua-cam.com/play/PLCPw4Yltn5M4qba8MAtuJkpQkQftWA3sI.html
🎉🎉
Kl shn sijalewa kuvuta nisha aca🚬🚬🚬
U lead and ur competitors follow.
With English lyrics
33
😊😊⁰
Mzee baba hapa umeuwa kbsa wenye mnakubakiana na harmo nipeni likes hapa❤
🎉🎉🎉
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
🔥🔥🔥🔥🔥🔥wa pili leo naomben lake 100
Aksati kwa wingo Safi konde boy mshabiki toka Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩 i love tanzania 🇹🇿🇹🇿
KONDEGANG WENZANGU NAOMBENI KWA AJIRI YA HARMONIZE NIPATE HATA LIKE 100 tu Kondegang for everybody❤
Likes 100 ili iweje lakini
Something clean to the world I represent kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪....show same love konde gang let's gather here kenyans
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 zakwako izi
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Jamani tushikane tumpongeze huyu bingwa kwa hiki kipaji chake kizuri. Much love from KE🇰🇪
Hahhha i can keenly listen ibraa's voice hapo kwa chorus.."sijalewa"....teamwork hapo konde music kudooos
Vraiment ce joli mon star 🎉🎉🎉❤
Mapema ndio best nipewe like zangu kama unamkubali konde boy
Vema saaana😂
Kama unanyimbo nyingine unataka kuitoa hivi karibuni achana nayo itakuwa mbaya tuachie hihiii twende nayo🔥🔥🔥
Umeonaeeeh
The only artist that is lyrically and vocally talented 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hili Ndiyo Goma langu ninalotambia huku kitaani Kwetu jamani, Naomba likes za kutosha tumpe Nguvu Huyu Mwamba harmonize Konde Boy Hakika anajuwa kinoma Kutukosha shabiki zake.. Sijalewa Mimi 😊❤💥💥💥💥👉📸
More love 💕 from true girl Kenya gospel altist 🥳Kenya we love your music good job ❤❤❤
Wana ngu Congo 🇨🇩 munipe liké zangu
Very nice, beautiful music, 🇲🇿🇲🇿🇲🇿.
Konde boy number 1. Sijalewa mi nafanya kusundi one ❤ kwa konde from Kenya 254 🇰🇪
what an African King👑...We Love U Harmonize, you're proving to be the Best Day in day out 👊. No one like u 🐘
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Big Up sana my brother Konde Boy number one salute kutoka Mozambique 🇲🇿
Mwanangu afu wewe ni mnyamaa,kontawa aisee,vile umeunganisha mapiano na mabiti,umeuaaa,show imeenda shule
Sijalewa is hit I like artist from Tanzania they are hard working harmonize never disappointed ❤❤❤❤Tanzanian music to the world 🚀🚀🔥
Konde never disappoint! Saying some little shiets😂.. Jamani likes ziko wapiii.. 🇰🇪
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Harmonize kipenzi cha watu tuna kupenda kwa asilimia kubwa sana huku nchini Kenya mkoani nyanza. May God bless you and the all KONDE GANG FAMILY 🙏🙏🙏
Nipewe Maua Yangu Kama Unamkubal Konde Boy Weka Likes Hapa Jamaniii, Good Song From Teacher 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Salute nyingi kwa kondegang more ❤❤
Walisema watakaa namba1 on trending mpaka mwaka uishe wapo hapahapa Tanzania lkn maana makonde kapindua meza kibabe jaza likes hapa
Proud of you @harmonize we love you from Burundi 🇧🇮
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
❤❤❤ wakwanza naomba like zangu ata kumi 10 Dj Bruno from zambia mantapala camp 🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂 bien kbs
Nimechapwa juu ya kuskiliza hii wimbo please harmonize come through
Nipeni mauwa yangu Mimi wakwanza enjoying from Zambia 🇿🇲 ❤❤❤❤
kazikubwa mdogowangu🎉🎉🎉
Naambiwa imetolewa namba moja mbona ipo namba moja
Hatutoki mpaka january
Mpaka waseme maana badala ya maji
On behalf of my family, My village people, My Ancestors And Also my wicked LandLord we Approve this Song 🤝🤗😍🥰
Gy8i ua-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/v-deo.htmlsi=MY4hvGWgr7_dnrxJ
Caretaker
😅
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Was landlord necessary 😔
Tuko wengi mno tunasubiri ❤❤ alafu nasubiri na ngoma ingine ...official *LALA *
IF you are here in 2060 i would love you to know that this is 2024 and TEMBO was among those great artists of our ERA. God bless TANZANIA. Eeeh bwanae wapi angalau likes za TEMBO MNYAMA, katisha saana humu ndani...
Sisi watu wa burundi tunajuwa kama weye uko number 1🔥🔥🔥🎶🎶✔
❤❤❤
❤❤❤❤
Ngoma kali sana. Tunazidi ku enjoy beat zako mtu mzima konde boy.
Huyu jamaa ni hatari nimekuja hapa baada ya kunyakua tuzo tatu kwa wakati mmoja..... congratulations 🎉
Remember to keep comments respectful and to follow our konde boy call him number one bakheresa 🎉😊🐘🇧🇮🇫🇷
Tdw ua-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/v-deo.htmlsi=MY4hvGWgr7_dnrxJ
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
The unique voice #Kondeboy has makes it easier for him to bring back-to-back heat songs🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Kaka yetu kigali tunakupenda siku moya uje utupe music wangu
Director Kenny u killed it man 🫡🫡🫡🫡
Honestly speaking this guy is very talented artist 🎵🎵🎵 let's us support him all the way from 🇺🇿🇺🇿🇺🇿🇺🇿
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Nice song. Great harmonize
We all know harmonize never disappoints,much love from🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤
Guu ua-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/v-deo.htmlsi=MY4hvGWgr7_dnrxJ
hii friend
Yeah every body knows
It's 2090 and this song is still trending 🔥🔥🔥
Mocambique 🇲🇿🇲🇿 também esta contigo konde Boy
Hongera kwa vedio nzuri chukuwa maua yako broo hakuna kama wew zidi kutupa mziki mzuri na sisi tunakuahid tunaupokea vizuri mziki wako maana mzuri sana zaidi ya sana 🎉🎉🎉🎉❤😅😅
WE SUPPORT GOOD MUSIC 🔥🔥🔥
Ref ua-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/v-deo.htmlsi=MY4hvGWgr7_dnrxJ
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
Wacthing Drcongo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩and i like this song m’y hormonize we love you all country ❤❤😊
More ♥️love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
The best musician de nova geração ❤🇲🇿
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Congratulations my brother , 'jeshiiii' Ngoma zako Huwa na mafunzo na mdundo wa kipekee...be blessed ,
Honest, I'm so proud to harmonize🐘, He's a Genius and very talented, Bigup Brother 🔥🔥🔥
Guj ua-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/v-deo.htmlsi=MY4hvGWgr7_dnrxJ
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
THE MELANIN IN HIS SKIN REFLECTS THE VOICE 💯🔥🇺🇬
U09 ua-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/v-deo.htmlsi=MY4hvGWgr7_dnrxJ
Peeeee Aradufite
The beat. Marvelous
Kudos harmonize
Amazing ❤️❤️
Nimekua wakwanza kuangalia vedeo Tisha sana konde boy
Sintochoka kusikiliza huu wimbo habadani❤❤❤🎉
Tena sawa apa tx sijalala ni saa saba ya usiku ile nimekuwa Niko naisubiri video ukweli umekuwa bro❤🎉
Konde Boy never disappoint ❤❤❤❤
Kbs amna kuacha ijapokuwa inaumiza my best artist from tanzania konde boy
Full respect from Chamazi,Dar es salaam
Nice song 🇬🇦 so press prepare for us another romantic song like utarud we will appreciate
Sijalewa nafanya kusudi❤❤
Watching from Namibia but this guy is so talented biggest up for him
One more good one from Harmonize. 🎉
nyimbo yangu jameni sijalewe Mungu akulinde saaaaaana tembo
👑 of music Teacher, Tembo konde boy, Harmonize 🚶👏🇹🇿🇿🇲🔥
It's amazing
Konde gang forever from bdi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
I'm in love this song love from Nigeria 🇳🇬🇳🇬
Appreciate
The fact that director kenny show up at the end of the video ,man that's move make me so much excited , director kenny and harmonize deserve a duo Grammy ,long life legends #kigamboni represent
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
ua-cam.com/video/C8YP1A1HhD4/v-deo.htmlsi=XvNFHReaCqMZDCjY
Tanzania ina wasanii wengi wazuri, wenye genre na melody mbalimbali, but Harmonize was special and will take a years kutokea kama Harmo.
🎉❤huyo ex mbona simuoni,, sijalewa yaani mimi naifanya kusudi,,,😢😢,, wapii likes za jeshiii🎉🎉❤❤❤
The hit in town 🎉🎉
Saday nigh je suis pas bourré konde Gang ❤
Parabéns pela excelente música
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
Konde boy big up ww ndo umeleta upinzani mkubwa Kwa mabrothers wale wawili heshima Yako saivi IPO sawa na wale congratulations.❤
#brunokisubi
Nimekuja tena ili tuendelee kutrend,,, this song is a banger,,,,konde 4 lyf
Creativity together with talent bring genuine music 🔥🔥🔥
Sou uma grande admiradora das músicas do Harmoniosa e tbm fãs suas músicas ob
King of good melody...Kenya tumekubali
Nipewe maua yangu wakwanza comment ❤🎉 sijalewa
Umetumwa
Eeee😂
Ni kwa sabab ya ngoma Kali ila sio kisa wew wa kwanza
🎉🎉🎉
Tupo apo naww..kodeboy amewakilisha.,.me too kito moto loading #capital highway....be ready for Batista mocy
0:08 The woman coughing was just perfectly timed😂🔥🔥🔥
True, I wasn't sure if I saw right😅
😂😂😂 true
ubunifu mkali sana harmonez wee unatisha sana sijalewa ngoma kali sana😳😳😳😁😁😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹tz one konde gecki mnatisha sana ubunifu Nzuri SANA sana🇿
Harmonize is and has always been that one artist who has been doing pure and sweet Bongo Flava songs. Wakenya tunakukubali bro
No matter how much we've hurt each other, I will always carry pieces of our love within me
Safari hii umetisha kumbe ukivalia sketi unapendezea kweli yani na kwa kucheza tu ume killed . harmonize to the world's
Good song 🎵 ❤❤
great music zero nudity just pure content keep up the good work KONDE
Lakini hauoni ushoga
sijalewa inafanya vizuri mtaani ni ngoma amaizing Sana
Director Ken... Your The Goat ..❤❤❤
Hi
I've told myself I will blast this song soon as I buy my first car. Amen!!
ua-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/v-deo.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ
Hii nyimbo Kali hatarii itachukuwa tuzo kubwa haki. Hongera sana kwa Harmonize
I think for those of us in the international community from Kenya he should start adding subtitles to connect the vibe with the message
Unstoppable,African King undoubtedly.
Jeshii ❤
I love this,,, another banga for the clubs here in kenya,,, we love you harmo
Nichunge kabisa MKOMBOZI nipunguze wachawi😅
Safi sana Harmonize wewe ni manoir bora Tanzania nzima ambaye natamaani sikiya nyumbo zake wakati wote . Chapa kazi Baba hakuna mdudu yoyote yule anaweza kakutisisha