MR MONEY_EP14

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 683

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 3 місяці тому +70

    0:19 nimewahi ❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪

  • @Swaibahubibu
    @Swaibahubibu 3 місяці тому +86

    Sitaki hata like ila kama bado unapunzi tumia mda kidog kusema asante mungu alihamdullah kwa neem ya uhai

  • @OnesmasMunala
    @OnesmasMunala 3 місяці тому +24

    From kenya zebuu na kp nawakubali sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MugabeMedard-yf9jn
    @MugabeMedard-yf9jn 3 місяці тому +109

    Kama unapendezwa na kazi ya tim hii mungu akupe maisha malefu

    • @MarthaAlly-y7s
      @MarthaAlly-y7s 3 місяці тому

      Kwako pia kipenzi

    • @ashamwanganzi6400
      @ashamwanganzi6400 3 місяці тому +1

      ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @Mwendmwa
      @Mwendmwa 2 місяці тому +1

      ❤❤🎉

    • @MaryHamis-v2d
      @MaryHamis-v2d 2 місяці тому +1

      hii muvi ya mr money ni nzuri sana ameigiza kp na zebuu❤❤❤❤❤ love you nawapenda wote wawili

    • @MugabeMedard-yf9jn
      @MugabeMedard-yf9jn 2 місяці тому

      @@MarthaAlly-y7s nakupenda

  • @ErnestoWesamba-sg1js
    @ErnestoWesamba-sg1js 3 місяці тому +32

    mbavu zangu jameni😂😂😂😂😂 ,,,daaah hii Kali Leo kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 3 місяці тому +94

    Wa kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @WendeMposola
      @WendeMposola 3 місяці тому

      Hongera sana Wakenya kwa kusapoti Tanzania 🇹🇿

  • @Kenissah-pl4bv
    @Kenissah-pl4bv 3 місяці тому +133

    Wakwanza leo kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉❤❤❤

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 місяці тому +2

      Mnalalaga youtube 😂 mimi nimechelew leo 😅 kutoka🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @Susanumazi5
      @Susanumazi5 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 місяці тому +1

      @@Susanumazi5 naona mnalalag UA-cam 🤣

    • @Susanumazi5
      @Susanumazi5 3 місяці тому

      @@RachelMdao 🤣🤣🤣

    • @Susanumazi5
      @Susanumazi5 2 місяці тому

      @@RachelMdao 🤣🤣🤣

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 3 місяці тому +12

    Ila KP na zebuu nawapenda Bure hamjawaikushindwa love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance 3 місяці тому +5

    Kazi zuri kabisa musikawe kutocha nainpenda sana usisheleweshe

  • @EdithAteka
    @EdithAteka 3 місяці тому +9

    Si mnafuhisha ❤leo tunawapenda kutoka Kenya 🇰🇪

  • @Silvadasuzanab
    @Silvadasuzanab 3 місяці тому +23

    Mekuwa wakwaza naombeni lk angalau 10😂😂😂😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr 3 місяці тому +247

    Ukiona mkenya chini yko mpe like ❤❤❤❤ Genz 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @OmmyFamily
    @OmmyFamily 3 місяці тому +12

    Wao likoma umetupa cha jioni hongera ❤️💐💐🌺🙏 mauwa yk hy

    • @OmmyFamily
      @OmmyFamily 3 місяці тому

      Kp twasubili plani b ije na lisaa Tena ikiwezekana lisaa limoja na nusu

  • @kennatohdeprince8672
    @kennatohdeprince8672 3 місяці тому +14

    Watching straight from outta Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪
    Kenya tuko locked 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯

  • @PatriciaMshanga
    @PatriciaMshanga 3 місяці тому +9

    Genz ❤ apa kutoka 🇰🇪 Kenya lipoma na kp kazi nzuri sana

  • @omegarusumga3755
    @omegarusumga3755 3 місяці тому +20

    Wakwa Mimi toka 🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇨🇩🇺🇬🇨🇩

  • @MillicentMoraashMongeri-s8p
    @MillicentMoraashMongeri-s8p 3 місяці тому +16

    Hii n noma sana kp n zebuu mnaweza like zangu jameni tukisonga plz ❤❤❤❤

  • @JavanAnwai
    @JavanAnwai 3 місяці тому +54

    Heei ni mkenya apa polepole 2kisonga e u like yangu kiroo safi kp&zbu

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 3 місяці тому +10

    Vingekuwa vile vimbuzi vyangu vigelikuwa vimesha kimbia kama vile vinakimbilia vyakula vya msaada jaman mzehe likoma❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @LagusyaMwaipopo
    @LagusyaMwaipopo 3 місяці тому +6

    Kp na zebuu bwana mnajua kunifurahisha❤❤.
    Mmekuwa Haki na Ukwaa.

  • @Slp1993
    @Slp1993 3 місяці тому +6

    Tokea DRC kalemie, nakubali kazi zako #kp wa aquino ✌️ongera sana kwa likoma dangote

  • @zainzain1163
    @zainzain1163 3 місяці тому +6

    Watching from kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤ nawapenda

  • @RachelNgalya
    @RachelNgalya 3 місяці тому +15

    Mnachelewesha sana mzee likoma bas si mngetukomoa na huku mtuwekee dkk60 kama Plan B 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 3 місяці тому +8

    Waaaaah nimechelewa lakin nimefika enjoy ❤❤❤daaaah ila kp banaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @fatmasandra8789
    @fatmasandra8789 3 місяці тому +7

    😂😂😂😂😂😂 nihatar sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tujuwane❤❤❤❤❤❤Nora zebuuuu

  • @RehemaDeodarus
    @RehemaDeodarus 3 місяці тому +17

    Zebuu ukiona comment yangu naomba like Yako nakupenda sana mungu awajalie mafanikio pia Nina omba kuigiza na nyie

  • @FifiiNdimurukundo
    @FifiiNdimurukundo 3 місяці тому +33

    Na mimi Jamani Mbona Munanichukia 😢😢😢😢 Nipeni like

  • @TausiMokiwa
    @TausiMokiwa 3 місяці тому +27

    Zebu na kakaako kep mmejua kunichekesha 😂😂😂😂

  • @BlessedLady-r8x
    @BlessedLady-r8x 3 місяці тому +6

    😂😂😂😂😂😂Mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kwa kweli kazi yenu Safi kabisaa

  • @JjwjjAljweej-s3y
    @JjwjjAljweej-s3y 3 місяці тому +2

    Mzee umenichekesha😂😂😂😂 ksema panya mtu chkueni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua yenu kwa kz nzuri mnayo ifanya kadzo ktoka malindi kenya

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 3 місяці тому +4

    Wanaomkubar Norah na mzee diboz gonga like elimu wanayoipata kina kp na zebuuu angeipata Norah ingekuwa vzr sana

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 місяці тому +37

    Yoyote utakayesoma hii comment mungu akupe maisha marefu na weekend njema 🤲🤝🤲🤝🤲🤝🤲🤝🤲🤝🤝🤝🤝🤝🤝

  • @justineshirietso1952
    @justineshirietso1952 3 місяці тому +2

    KP Na Zebu kurushia mayai mwozo kwa mama yawo Na mchepuko wake.
    Wameweza sana❤️❤️

  • @JenniferAndrew-u6v
    @JenniferAndrew-u6v 3 місяці тому +9

    Maajabu unatucheleweshea chakula likoma mpaka utamu unakata

  • @dominicwanjala5416
    @dominicwanjala5416 3 місяці тому +3

    Kp mlifanya kazi nzuri kwa kisai na Sheila ❤❤❤❤❤

  • @Deer-g4t
    @Deer-g4t 2 місяці тому +2

    Nawapenda Sana I wish mngekua Kenya ❤nampenda video zenu nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MimFatma
    @MimFatma 2 місяці тому +2

    Ktk movie zenu zote hii umejua kunifurahisha❤❤❤❤❤❤❤

  • @Tommbayeye1
    @Tommbayeye1 2 місяці тому

    Kaz saf sana🇰🇪🇰🇪 jaman hii nyimbo inacheza chin kwa chin inaitwaje kwakwel nmeipenda sana

  • @EliasAntony-n3g
    @EliasAntony-n3g 2 місяці тому +1

    Dah Kwa kweli nacheka adi kufa mnajuwa Kwa kweli

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 3 місяці тому +4

    Huyu niwakutoka kenya jama hongera zebb na group likoma😂😂❤❤

  • @Warboy-f2d
    @Warboy-f2d 3 місяці тому +4

    Zebuu nakupa asilimia💯💯💯💯

  • @BagumaJulienBagumaJulien-k8g
    @BagumaJulienBagumaJulien-k8g 3 місяці тому +2

    Wakwanza toka drc ongera sana kp 😂😂 alikusingiziya uongo💪👍👍

  • @bernadinebwemas
    @bernadinebwemas 2 місяці тому

    Jamani hongeren sana familia ya Mr money mmefanya kazi nzuri endeleeni na juhudi zenu za ubora Wa kazi zenu

  • @awadhfarajilugoya1998
    @awadhfarajilugoya1998 3 місяці тому +27

    Dakika chache tena una turudisha nyuma tuliko toka.....

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 2 місяці тому +1

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team maajabu

  • @ZuhurahMkunyi
    @ZuhurahMkunyi 2 місяці тому

    Daaah nyie watoto nomaaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 3 місяці тому +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @BintiMweluhanga
    @BintiMweluhanga 2 місяці тому +1

    Daaaaha😅😅😅😅😅 mtu akikwambia hakir zako kama KP na zebuu kwenye mr money amekuuwa maana daah likoma kazi anayo na watoto wake❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 nawapenda jaamni

  • @hassannduwimana8025
    @hassannduwimana8025 3 місяці тому +2

    Mzee Likoma umeua jamani mbavu zangu😂😂😂😂😂😂

  • @SophiaPaulo-w4i
    @SophiaPaulo-w4i 3 місяці тому +2

    Mungu awape maisha maref abark na Kaz zeni

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 3 місяці тому +2

    Nawapenda san jamani ❤❤🎉🎉🎉Kp na Zebuu ❤❤❤❤❤❤

  • @YustinMoheli
    @YustinMoheli 2 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅nimeipenda sana mungu awabaliki sana

  • @ViolaJepkoech-u3b
    @ViolaJepkoech-u3b 2 місяці тому

    Nimeipenda hiki kipindi sana Mungu awepe nguvu❤

  • @khadija2113
    @khadija2113 2 місяці тому

    😂😂😂😂uwiiììiiiiiii mbavu zangu kp na zebuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 3 місяці тому +1

    😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤ kz nono ongeren sana

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 місяці тому +2

    Kaka Likoma unaweza kuchekesha sana bro

  • @RaulentChales
    @RaulentChales 3 місяці тому +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mbona siwaoni naona wakenya 2 bassi wakenya mikono juuuu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JeidevuTv
    @JeidevuTv 3 місяці тому +5

    Na mimi nipeni like jamani

  • @JackieMuthoni-n3u
    @JackieMuthoni-n3u 3 місяці тому +2

    Nmependa aki kazi nzuri❤❤ apa kenya likes nipewe pls🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JoneWakie
    @JoneWakie 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmechaka sana adi waiguru wangu karid anipeleke 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂

  • @sibontungie804
    @sibontungie804 3 місяці тому +10

    No 1

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 3 місяці тому +2

    Watoto wa Mzee likoma niwatukutu khaaaa!!!

  • @VioletSasaka
    @VioletSasaka 2 місяці тому +1

    Balaa hyo zebu,hapo kwa mayai😅😅😅wakenya mpo huku 🇰🇪🇰🇪

  • @RosalineWakina
    @RosalineWakina 3 місяці тому +8

    Wakwanza leo wapi likes za mzee likoma na sheishei

  • @RusiaAbedi
    @RusiaAbedi 3 місяці тому +2

    First one kungalia movie 😮😮

  • @FilbertFidelis203
    @FilbertFidelis203 2 місяці тому

    vzr sana binti nora kwa hekima na busara ulio one hapa umewafundisha wengi hapa♥♥♥

  • @MariamKitsao-z9l
    @MariamKitsao-z9l 3 місяці тому +1

    Kp na zebuu kazi nzuri san 🤣🤣🤣🤣

  • @PurityMuoki
    @PurityMuoki 3 місяці тому +18

    Na mm leo wa kwanza mm ata siombi like ila mzee likoma unachelewesha xna baba kila cku tupo online tunchungulia kama umeachia

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 місяці тому +1

      Ata Mimi nilingije ni kama inatoka kila baada ya wiki

  • @MSUKUMA.OG.MWANZA
    @MSUKUMA.OG.MWANZA 3 місяці тому +2

    likoma ubarikiwe saana kijana wa ushetu🎉

  • @Tulizombago7633
    @Tulizombago7633 3 місяці тому

    Daaaha😂😂😂😂leo nimecheka sana mimi

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 3 місяці тому

    Zebuuu nakupend san w na kp mungu akupe umri mrefu ❤❤❤❤❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 3 місяці тому

    Yaani naipenda ni balaa hii movie jamani hongereni sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 3 місяці тому +3

    Mbona hatuongezew dakik kama vip basi muw mna wah

  • @TheresiaTitus-m1l
    @TheresiaTitus-m1l 3 місяці тому +3

    Tunaomba utuongezee dkk km kwny plan b,anaeungan nam gonga like hapo

  • @FurahaMakoye
    @FurahaMakoye 3 місяці тому +2

    Hii movie inanifurahisha Sana asee

  • @JeromeKautu
    @JeromeKautu 2 місяці тому

    Jmn mr kisai anapendeza sana akivaa kofia ❤❤

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 3 місяці тому +5

    Kama kawa kama dawa🎉ni dozi🎉🎉twende sambamba KENYA 🇰🇪 VS TANZANIA 🇹🇿 VS CONGO 🇨🇩 VS UGANGA

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 місяці тому

      Typo🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Priscadzidzamasha
    @Priscadzidzamasha 3 місяці тому +2

    Nawapenda sana term kp na zebuu saud arabia vs Kenya

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂 yaani nimecheka mpaka basi zebuu na kp🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Nellyperpetue
    @Nellyperpetue Місяць тому

    Zebuu nakupenda sana unaroho Nzuri sana❤

  • @TatuBaya-jy8jl
    @TatuBaya-jy8jl 3 місяці тому +1

    Hii thamthilia innifurshisha sana akky najipata najichekea kaa mjinga 😂😂😂 hongereni lkn kazi safi🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @AndrewKanyika-t9s
    @AndrewKanyika-t9s 3 місяці тому

    Wow jamani Leo mmenifurahisha sana hongereni sana sijutii kuweka bado langu

  • @hometv6363
    @hometv6363 3 місяці тому +4

    Mi nimekua wa 467 basi naomba lik zenu kwasababu nimecherewa kabisa

  • @salimasava11
    @salimasava11 3 місяці тому +1

    Japo nimechekewa lkni lazima ni comment sababu likoma ananimaliza jamani hatari kazi ni safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @JackJoshua-fw5if
    @JackJoshua-fw5if 2 місяці тому +3

    I love you too Nola 🎉🎉🎉🎉

  • @GENZ-c1q
    @GENZ-c1q 3 місяці тому +4

    Kp uposawa kaka

  • @OmaryMbwanaAbdurahman
    @OmaryMbwanaAbdurahman 3 місяці тому +2

    🎉🎉 vipande 2naviona vifupi utamu unaishia njian😢😢

  • @Johar903
    @Johar903 3 місяці тому

    ❤❤❤kazi mzuri sana mzee likoma Mungu akuzidishie kipaji chako

  • @DeltaLeproking
    @DeltaLeproking 3 місяці тому +1

    Mimi naipenda sana me wakonatowa nyumba kwa Nini likoma

  • @RidiaHamisi
    @RidiaHamisi 3 місяці тому +3

    Daaaah Leo nimecheka😅😅😅

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 3 місяці тому +1

    136.,Kp shika maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉Zebu I love ❤❤❤❤❤❤❤❤.

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 3 місяці тому +4

    Nimewahi Leo nipeni like zangu 😅😅

  • @Mary-cm3tt
    @Mary-cm3tt 3 місяці тому

    Mzee likoma jamani eti vimbuzi vyangu😂😂😂

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 3 місяці тому

    Manshallah manshallah wapedwa kp yaani nimeche du 😂😂😂😂😂Nawapenda vipenzi wote❤❤❤❤

  • @KanymrBilvaro
    @KanymrBilvaro 3 місяці тому +3

    Wakwanza leo 🇨🇩

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid 3 місяці тому +6

    Hapo kp ulikosea ulitakiwa uwapige wote wawili hao

    • @mupendadieudonne401
      @mupendadieudonne401 3 місяці тому

      Hawez anaogopwa kupigwa😂😂😂

    • @halimahamad9430
      @halimahamad9430 3 місяці тому

      😅😅😅😅Zebuu kamsaidia sio mbaya😅😅😅😅

  • @SimonMlomo-jv8zj
    @SimonMlomo-jv8zj 3 місяці тому

    Likomaa unahatari wewee likoooo una hatarii weewee😂😂

  • @OCEANLOVEofficial.
    @OCEANLOVEofficial. 3 місяці тому +1

    Kp eti maajabu kaa juha ila uminichekesha sana eti maajabu kumbe huwa nakutongoza

  • @Julimwaigaga
    @Julimwaigaga 3 місяці тому

    Daaah kp na zebuu hakika mna kipaji yaani mmenifanya nicheke had bas hongeren jmn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jovithatibatekeleza6598
    @jovithatibatekeleza6598 3 місяці тому +6

    Wangapi wamefurahi kusikia sauti ya Dibozi jamani kama kuna shida kati yenu na Dibozi Kp hebu imalizeni

    • @AplA-x9b
      @AplA-x9b 3 місяці тому +1

      C anacheza Ata plan B huyo nivile hizi epsod Hana part tu ila yumo hizo zote mbili

    • @BerthaSimon-bn7oc
      @BerthaSimon-bn7oc 3 місяці тому

      Sasa hapa diboz kaigiza hzo sauti kama mzimu sababu alshakufa mwanzo wa episode

    • @AplA-x9b
      @AplA-x9b 3 місяці тому

      @@BerthaSimon-bn7oc yessss umegonga ndipo