I love the story book my brother Jamal April we ni professor mkubwa sana Tanzania na mwenye uwezo mkubwa wa akili nakushuru sana kaka angu kila ninapo angalia the story book yako najifunza mambo mengi sana kaka angu jamal April, God bless you all the time my brother and I wish you all the best of your life, ❤️🙏🙏♥️♥️👏👏
😭😭😭hii story iliniumiza sana ili hali nilikua mdogo ..Dunia ilikua kimya sana na uzuni Allah Amrehemu..na Amridhie katika waja wake wema ...sadam Hussein muuni wakweli aoofia kufa kwa Ajili ya Allah
Siku mungu anamuumba mwanaadamu malaika walimuuliza kwanini unamuumba mtu atakae kwenda kufanya ufisadi na umwagaji damu katika mgongo wa ardhi wakati sisi tuna kutii na kukuabudu bila shaka yoyote? Mungu mwingi wa rehma na hekma aliwajibu "HAKIKA MIMI NAJUA NYINYI MSIO YAJUA" basi iwe wazi hakuna mwenye mamlaka juu ya uhai wa mwenzake na mungu ndie hakim na mjuzi ya tusio yajua. EWE MOLA TUNAKUOMBA UTUPE MWISHO MWEMA.
huyu jamaaa ni moja ya ma dictator hatari sanaa kuwai kutokea...sio kwa siri huyu alikua anauwaa watu hadharani endapo tuu utampinga kauwa weng sana huyuuuuu na alikua anamiliki mass nuclear weapons kitua ambacho kila nchi ilimtolea macho kujua lengo lake n nn😀😀😀 na alipoanza vamia inch za karibu wakaona atawazoea
Umenitia ucungu pale ulipoongea Kwamba alikuwa anasoma Qur'an kabla ya kufa.mungu amsamehe dhambi zake allahuma amiina. Ongera sana Professor Jamal Naomba upewe TUZO
Miaka iliyopita niliwai kusoma comment chafu sana kwenda Kwa prof.jamal baada ya mtiga kuondoka lkn watu hawahawa Leo wanampongeza Jamal for sure never give up
Allahu akbar! Exactly was a man of jihad in islam who was too righteous since he played the role as Mohamed ghadaff did but the world destroys his status for their benifit, may Allah bless him AAmin
Asante Jamal kwa kutuelimisha tuliowajinga juu ya mambo mbali mbali maana mitaani wanailaumu Marekani tu kuwa wababe lkn ukiangalia kwa undaani sana bora wanasaidia kuwatetea wananchi wanaoonewa
We jamaa vip Hivi ulishaona Marekani Kavamia sehemu kisha kasaidia Nchi iimarike wapi uliona Anza kuhesabu nchi Alizovamia,,kisha Tathmini kabra ya chokochoko na uvamizi na Baada ya uvamizi ndio utajua kama Hawa jamaa Ni wanyonyaji Washenzi wakubwa.
Ni kweli kila jema huja na baya ,kwahiyo hatuna budi kuchunguza mienendo yetu hii yaweza kuwa ni historia pia ni funzo kubwa.Professor Jamal you are great 🙌🏽🔥
Jamal is a gifted voice over artist. kama unakubaliana na mimi hit like button
I love the story book my brother Jamal April we ni professor mkubwa sana Tanzania na mwenye uwezo mkubwa wa akili nakushuru sana kaka angu kila ninapo angalia the story book yako najifunza mambo mengi sana kaka angu jamal April, God bless you all the time my brother and I wish you all the best of your life, ❤️🙏🙏♥️♥️👏👏
😭😭😭hii story iliniumiza sana ili hali nilikua mdogo ..Dunia ilikua kimya sana na uzuni Allah Amrehemu..na Amridhie katika waja wake wema ...sadam Hussein muuni wakweli aoofia kufa kwa Ajili ya Allah
Hunishindi mie mpaka nimelia, bora hata wangempa kifungo cha maisha mana alikua kashajiishia maskini ila mola ndio mjuzi wa kila jambo
bora walimuuwa alikua mshenzi sana huyu
Kuliko wewe?@@ramadhaniathumani7107
Kama unamqubal Jamal like apa🇹🇿
Kinacho nifanya nimkubali sadam husein alikua na Imani ya kumuani Mwenyezi MUNGU 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ndomaana akawaua wa2 au sio
Imani gan ya kuua watu?
Ndio are wasiokuwa na hatia?
Bonyeza Like Button Kwa Professor JAMAL👍🏿
Unaandika summary kama mwalimu wangu wa history keep it up prof
Mwalimu amemwigizia yeye😂😂😂
@@ummysalim3906 😄
@@ummysalim3906 🤣🤣
Diamond Platnum salute Leo Amenituliza naangalia story book
Thanks for your reasarch and updates us the people who had existed in this lifetime 🙏mungu akubariki Kwa kazi unaofanya ktujuulisha🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪👆
the most good stor teller of all time jamaar
Hii habari imeniumiza sana..Mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi.
Wasafi Chama la wana 🔥🔥🔥tupo pmj mpaka kieleweke👊.
Maskini saddam wamemdhulumu wallahi allah ampe janat firdws yarab ameen 😭😭😭😭😭😭😭
Unakumbuka sadam alimfanya nn kiongozi wa irak aliyekuwepo baada ya kumpinduwa.
Professor @jamal April 🙌🙌unajuwa Sana broo
Nimependa sehemu moja ambayo sadam Hussein alimteua mkristo kuwa waziri mkuu wa Taifa la kiislam
Kweli Vizuri Sana
Kwani hujui ni kwasababu gn?
@@georgekimasaofficial1629 sijuwi Sababu hembu niambie.
Kweli alifanya vyema
Ujo
The only tz professor I know...am your fan from Kenya....keep on with the good work
Terrific job ,, congratulations from Kenya am your fan
I love the story book from Kenya your better my brother appreciate your work
the story book kila siku saa moja asubuhi/WASAFI TV
😢i do really love this guy who brought us to the
Fundi wa kuelezea na kufafanua Story book.mungu akubariki Jamal April
Ukijua unajua tuh ,,, Jamal 🔥🔥🔥
I'm currently staying in Iraq and Al_Kadhmiya is my current home.
is it a peaceful place,as of now?😰
Do you regret the killing of Sadam Hussein??
The story book always on fire😍😍😍 # Jamar April Mustaffa the Proffesor on Top
Yes
Respect Sana unatujuza vitu ambavyo hat hatukuvijua kazi nzuri sana professor
RIP wajina wangu SADAM HUSSEIN naombeni like za kunitoa machungu😭
Ushoga huo mtt wa kiume acha
🖕🖕🖕 ikutoe uchungu
@@Kaankaraz de h
H
My all time fevorite story to listen in Saturday night asanti sanaa the professor
The Ummah Fallen Hero, The Matyr Saddam Hussein,
May Allah Rest your Soul in Jannah,
Allahumma Amin yaa Rabb 🤲
Much love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
andika vzuri ni Burundi sio burundi
Professor @Jamal I salute you 💥
The story Book after 10-20 years we shall hear about John Pombe Magufuli in shaa -Allah
Worderfull may Allah bless you
Jamal upo vzur sana unachambua heruf kwa heruf upo sawa kabisa mpaka nasikia raha kukusikiliza
Leo na mimi japo mnipe likes zenu
Naww u like wengne
Love 4rm Uganda🇺🇬🇺🇬
Is there stry of tupac , have been looking for it bt sipati
You have olways been the best bro
Vipi ukitupa historia ya Andres Escobar mpaka kuuwawa na Humberto Castro Muñoz. Big fan🤝🏾
Siku mungu anamuumba mwanaadamu malaika walimuuliza kwanini unamuumba mtu atakae kwenda kufanya ufisadi na umwagaji damu katika mgongo wa ardhi wakati sisi tuna kutii na kukuabudu bila shaka yoyote? Mungu mwingi wa rehma na hekma aliwajibu "HAKIKA MIMI NAJUA NYINYI MSIO YAJUA" basi iwe wazi hakuna mwenye mamlaka juu ya uhai wa mwenzake na mungu ndie hakim na mjuzi ya tusio yajua.
EWE MOLA TUNAKUOMBA UTUPE MWISHO MWEMA.
Fact
Mungu ilaze mahalo pema poponi mait yasam hussen
Amen
Kweli pia waislamu wasiwachukie wakristo maana wanachuki hatar
Mwenyezimungu amrehem na amuweke pepon inshallah
Na ikawe ulimwengu na Mbinguni Allah awabaliki waonewao
Good work Jamal,always following your stories from Kenya,thika town🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Maneno unayoongea mwishoni mwa izi story yananigusaga...good job
Jamal ni noma ni mpekuzi sana
😅
Namna unavyo pangilia maneno hata kama nimechoka uwa navutiwa kukusikiliza Hongera mwamba
Jamal I really like you
U are a professor wa mataifa
Siku aliyonyongwa ndio sku ya skukuu ya eid al haji Mwenyezi mungu amrehemu in shaallah
Jamal pril deus abencoe teu trabalho irmao
😊
Umemalza na funzo muhmu sana thanks bro
Iam watching from Buguruni City Centre Dar Tz, Hakika alikua kiongozi mwenye msimamo mkali
huyu jamaaa ni moja ya ma dictator hatari sanaa kuwai kutokea...sio kwa siri huyu alikua anauwaa watu hadharani endapo tuu utampinga kauwa weng sana huyuuuuu na alikua anamiliki mass nuclear weapons kitua ambacho kila nchi ilimtolea macho kujua lengo lake n nn😀😀😀 na alipoanza vamia inch za karibu wakaona atawazoea
Nakubal proffesser like zenu Wana story book
I've been appreciating your contents, happily I rate 5 stars. Good lucky. Much love from Mozambique 🇲🇿
that is a good teaching thank you
Why am I falling in love with this guy 🙈🙈🙈
S umalaya
Bcse he's a nice storyteller
He deserves
I fall in love with you
😂😂
aliuwa watu sana bora walimuuwa mshenzi huyu katika haki waliifanya marekani ilikua hii safi sana
Mungu nipe uwezo wa kufwatilia historia kama profesa jamal Gadafi
Allahu ya alarm
Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema
Hujawah kosea professor keep it up .
Jamal pril deus abençoe teu trabalho irmão 🥰🇲🇿
Jamal pril deus abencoe teu trabalho irmao
Hakuna anaeweza ku narrate story vzuri kuliko ww #professor ✍️
what a talent! Jamali zidishiwa na Mungu
Professor jamal 🙌🙌
Hakika Jamal story hii ina fundisho mwafaka kwa kila mwanadamu.Hongera professor
Nakukubali sana Professor
Umenitia ucungu pale ulipoongea
Kwamba alikuwa anasoma Qur'an kabla ya kufa.mungu amsamehe dhambi zake allahuma amiina.
Ongera sana Professor Jamal
Naomba upewe TUZO
No matter what, judgement belong to God(the alpha & Omega
Miaka iliyopita niliwai kusoma comment chafu sana kwenda Kwa prof.jamal baada ya mtiga kuondoka lkn watu hawahawa Leo wanampongeza Jamal for sure never give up
Asante jamal kwa kipindi kizuri hongera
Nyerere aliuwa wazanzibar zaidi ya Alfu 20 mwaka 1964 na hakuitwa dikteta bali aliitwa baba wa taifa 😊
This story book is lit, umetisha sana Jamal
Brother 😃😃😃😃😃 nimekukuta uku
Hujawah kutuangusha jamal kama unamkubal Jamal naomba like ndg zangu..
Best story teller
Professor uko juu hongera
Allahu akbar! Exactly was a man of jihad in islam who was too righteous since he played the role as Mohamed ghadaff did but the world destroys his status for their benifit, may Allah bless him AAmin
Tena😲😲
inahallah, He is in better place
Wasfi iko vzr %100
Ubarikiwe kaka
Kazi safi kaka i'm watching from Nairobi Kenya
Jamal Mwenyezi Mungu akustiri na kila Shari sema kweli hata kama moyo unachuruzika damu
The story book should have it's own channel..kama unakubaliana na mimi gonga like❤️
Big no
Amazing enjoyable stories.,
Ni noma jamal
Allah amemuweka pepo ya juu sana kama hawajui maana manaya yoye waliyosema ni uongo sanaa walahi wamarekan watakufa vibaya mnoo
Ila alikuwa namazur mengi balance story hongera sana pro
You are so good my brother jamal in short nakukubali sana cos najifunza mambo mengi kupitia the story book
Way back ❤
Proffessor wa kila wakati🥳
Asante Jamal kwa kutuelimisha tuliowajinga juu ya mambo mbali mbali maana mitaani wanailaumu Marekani tu kuwa wababe lkn ukiangalia kwa undaani sana bora wanasaidia kuwatetea wananchi wanaoonewa
Wamerekani hawakwenda kuwatetea au kwa ajili ya Nuclear atomic bombs, Kwa Maslahi ya Oil, Gold and Money.
We jamaa vip Hivi ulishaona Marekani Kavamia sehemu kisha kasaidia Nchi iimarike wapi uliona Anza kuhesabu nchi Alizovamia,,kisha Tathmini kabra ya chokochoko na uvamizi na Baada ya uvamizi ndio utajua kama Hawa jamaa Ni wanyonyaji Washenzi wakubwa.
I love this piece of work. Good job prof
Allaah amrehemu, Walimuuwa kwa dhulma
Naaam,amiin
dhuluma vp akat na yeye aliua
Amiiin
Umemwona kauwa au ndo chuki zako za kidini
Wamerekani hawakwenda kuwatetea au kwa ajili ya Nuclear atomic bombs, Kwa Maslahi ya Oil, Gold and Money.
Naomba likes za story book
Nakukubali Sana professor😢😢😢😢
Professor 💥💥
Ni kweli kila jema huja na baya ,kwahiyo hatuna budi kuchunguza mienendo yetu hii yaweza kuwa ni historia pia ni funzo kubwa.Professor Jamal you are great 🙌🏽🔥
Mungu mpehaki zake
good the story book
mob love kwako professor #wasafi #wasafitv #wasafifm
Mtu wamaana sana uyu Sadam hussein
Kaka unatisha na story book u deserve to a professor of history
I love the story book ❣️❣️
@@Helairb;;
Ur amazing Professor 👏🔥
Asante sana kwa elimu Yako mwanangu