Utambulisho wa Wachezaji wa Yanga SC | Wiki ya Mwananchi - 22/07/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Tazama zoezi lote la utambulisho wa Wachezaji wa Yanga SC, wapya na wale waliozoeleka kwenye kikosi hicho.
    Ni katika kilele cha Wiki ya Mwananchi kilichofanyika Julai 22, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

КОМЕНТАРІ • 145

  • @user-ph8qk2pj4u
    @user-ph8qk2pj4u Рік тому +4

    I'm from 🇰🇪 I love you my favourite team yanga Africans 🎉💛💚 daima mbele nyuma mwiko 💫#Tujuane wana nchii yetu#YanagaRaha😂

  • @fumbukashangwe3173
    @fumbukashangwe3173 Рік тому +5

    Hongera Farid kwa sifa nzuri, mcha Mungu na mwaminifu

  • @nasrahassan8067
    @nasrahassan8067 Рік тому +3

    Nyie tulieni sisi tuje tutambulishe vifaaa simba raha ❤❤❤❤❤❤

  • @user-yw7hi7ip3z
    @user-yw7hi7ip3z Рік тому +3

    Mungu awabaliki vipenzi vyetu vya yanga

  • @dorcissophania7120
    @dorcissophania7120 10 місяців тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿young Africans ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 Рік тому

    Nungunungu wetu sisi tuachieni Wananchi tunampenda sana... Jonas Mkude tunakupenda Wananchi... Mungu akujalie kheri katika maisha yako kaka. Wewe ni mtu muhimu kwetu na tunakuamini.❤

  • @neemaseverine6164
    @neemaseverine6164 Рік тому +7

    Tulio kuja kuludia kuangalia baada ya kuona steg ya Wana. ...... Tujuane hapa😂😂😝😝😝

  • @lulujuma3676
    @lulujuma3676 Рік тому +14

    Maombi yangu ni kwenu chama langu young afrika najivunia kuwa mwanayanga na wala sijutii daima mbele nyuma ni mwiko💚💚💚💚💛💛💛💛

  • @rashidimusa2316
    @rashidimusa2316 Рік тому +1

    Yani ukiishabikia yanga hupati ugonjwa kisukari ugonjwa wa moyo hutopata❤❤❤ yanga

  • @user-hh7fv5zk2s
    @user-hh7fv5zk2s Рік тому +3

    Usajiri MAKINI sana sana huu ni mwaka wa mavuno tena

  • @MudathiriMahr-df2wg
    @MudathiriMahr-df2wg Рік тому +1

    We are young Africa 🇹🇿💪

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 Рік тому

    Yanga kama Yanga hatupoagi... kwa chemistry.... kama GSM Boss wetu kafurahi Wananchi tumecheka na Boss wetu lwa mara ya kwanza... kwani ni Dhambi kucheka na Boss wako... tutawakera zaidi ...Dialo God Bless you our Keeper ... and all keeper of Young Africans... we love you too. And God bless you abundantly to be YANGA. Welcome to Tanzania.

  • @veronicamwase8093
    @veronicamwase8093 Рік тому +5

    Nawaza tuuu kitachowatenganisha mshery job na kibwana aloooooo

  • @user-ku3ur2dh3f
    @user-ku3ur2dh3f Рік тому +1

    I❤yang

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 місяці тому +3

    😂😂tulioangalia baada ya kubeba kombe tujuane machampion 2023/2024

  • @FrolenceRenatus-bx5if
    @FrolenceRenatus-bx5if Рік тому +2

    Mungu ibaliki chama lang gangs

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Рік тому +5

    Ama kweli yanga kubwa check steji hii haijawah kutokea kwenye mpira

  • @samlymnyou
    @samlymnyou Рік тому +3

    Jaman mi naiomba Azam tv mtuwekee full vidio kuanz utambulisho wa wachezaje na mchezo wote

  • @mudriqiddi262
    @mudriqiddi262 Рік тому +1

    Daàaaaah noma san yang

  • @GodfreyMpeleta
    @GodfreyMpeleta 3 місяці тому

    Machampion

  • @naymar8823
    @naymar8823 Рік тому +2

    Raha kama hizi utazipata yanga pekee🥰🥰🥰💚💛💚💛

  • @bashirumnyachi8812
    @bashirumnyachi8812 Рік тому +1

    Yanga upendo

  • @Naomyisaac25
    @Naomyisaac25 Рік тому +2

    Yanga Haiwezi kufananishwa na vitu vya ajabuu

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 Рік тому +3

    YANGA HONGERENI SANA KWA USAJILI HILO HALIPINGIKI MUMEFANIKIWA SANA MSIMU HU

  • @aishajuma3032
    @aishajuma3032 Рік тому +2

    Nammiss sana manara.kwa utambulisho huu angekera sanaaa

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Рік тому +3

    Mkude amefurah sannah

  • @HadijaIssa-bu4ry
    @HadijaIssa-bu4ry Рік тому +2

    Mwenzenu diara jaman dahh

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 Рік тому +1

    Nawapenda Young African fans kokote mlipo.... sisi ni upendo tu aliotujalia mwenyezi Mungu .. Mkurugenzi wetu GSM huna baya...huongeagi Boss.... Hersi The President mtu wa Mungu akili kubwa....tunakuamini sana

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +4

    Bado utopolo mnamatumaini ya mayeleeee😂😂😂😂😂😂

  • @darzone1020
    @darzone1020 Рік тому +3

    Nani kaona Clement alitaka kuanguka wakati inazunguka 😂😂😂😂😂

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 Рік тому

      Inazunguka nini

    • @neemadavid7587
      @neemadavid7587 Рік тому +1

      Ee jaman mengne yakupite jaman😂😂

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 Рік тому

      @@neemadavid7587 😂😂Hebu nipe na namba zako kabisa ili tucheke hewani

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому +1

    Jerina maneno mengi kawaida yaooo haoooo

  • @Apocalypto1494
    @Apocalypto1494 Рік тому +3

    Litakufa jituuu round hiiii😂

  • @halimakilua7636
    @halimakilua7636 Рік тому

    Yanga tamu

  • @user-us7by4eh1v
    @user-us7by4eh1v Рік тому

    Mumguibalik young afrikans🙏🙏

  • @user-wd4ui2ov7d
    @user-wd4ui2ov7d Рік тому

    Time amka kivingine zaidi ❤❤❤❤❤

  • @nasrahassan8067
    @nasrahassan8067 Рік тому

    Azizi au aziza

  • @msifufrancis8688
    @msifufrancis8688 Рік тому +1

    Mwakani tulete team toka spain

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 Рік тому +3

    Hadji Manara tumekumisi kbs

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 3 місяці тому

    Adiiiiii lahaaaaa 😂😂😂

  • @user-bf4yo1ks9c
    @user-bf4yo1ks9c Рік тому +1

    CLEMENT RASHFORD ⚽️⚽️⚽️

  • @VanAbbah
    @VanAbbah 3 місяці тому

    Huuuuuuuuu wa kikaaa

  • @user-gx4xq1wg9d
    @user-gx4xq1wg9d Рік тому +1

    Jaman yanga yangu tunaijoy wenyew nyie wengine hata mkiongea Amna shida ety ooh uwanja haujajaa. Nikuulize umewaona wachezaji wetu

  • @maryjames7438
    @maryjames7438 Рік тому +1

    💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fabianfaustine444
    @fabianfaustine444 Рік тому +3

    Washereheshaji ovyo Bora mungemtumia ally kamwe

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 Рік тому +1

      Hanapumzi ya kuhimili zoezihilo

    • @Bruno-ed1ps
      @Bruno-ed1ps Рік тому

      Simba mwaka jana walizingua kumtumia Ahmed

  • @ayshawaziri2168
    @ayshawaziri2168 Рік тому

    Noma sana

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Рік тому +2

    Ila skuduu bnaaa ana mbwembwe😅😅😅😅😅🙌

  • @ShakiraMudy-wc8ss
    @ShakiraMudy-wc8ss Рік тому +2

    Skudu kishet hatarii

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 Рік тому +3

    Chawa Dp world 😅

  • @brysonmmari3037
    @brysonmmari3037 Рік тому +2

    Kuna watu wanawivu jamani daa husda tuuu..utafikiri ndio wanaotoa pesa za kusajili

  • @ShakiraMudy-wc8ss
    @ShakiraMudy-wc8ss Рік тому +1

    GSM anacheka hatarii

  • @yasintamichael-bg9fk
    @yasintamichael-bg9fk Рік тому

    Nimejiona jaman

  • @AthanasAthanas-vt4ft
    @AthanasAthanas-vt4ft Рік тому +3

    jangwanii raha skudu anvyo skudua 😂😂

  • @raufuuledi8098
    @raufuuledi8098 Рік тому +1

    Huyu gifty ni mtu kazi kwelikweli

  • @Bruno-ed1ps
    @Bruno-ed1ps Рік тому +2

    Manara sio mtu wa mchezo, yule jamaa anaweza kutawala jukwaa peke yake 😂

  • @agathakibona1389
    @agathakibona1389 5 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @maikojohn7718
    @maikojohn7718 Рік тому

    Mwaka wetu Sasa watatukoma

  • @user-xb5ub7zj5n
    @user-xb5ub7zj5n Рік тому +3

    Mimi Kama Azam naon mdaa haufiki twendezetu Tanga😅😅😅

    • @salvatorymbigili7895
      @salvatorymbigili7895 Рік тому

      Ko ww jina lako ni Azam asee😂😂😂

    • @user-xb5ub7zj5n
      @user-xb5ub7zj5n Рік тому

      @@salvatorymbigili7895 👶👶 yeah man ... Mimi jina langu ndo ilo bro.. Nina feitoto utaniambia nn

    • @verohmchihiyo5029
      @verohmchihiyo5029 Рік тому

      Ulifika Tanga salama mwana Azam

    • @user-xb5ub7zj5n
      @user-xb5ub7zj5n Рік тому

      @@verohmchihiyo5029 Acha tu barabara ilikua mbovu sana nimerudia njiani

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 Рік тому +1

    Safi sana lakini kwa upande wangu kocha wa viungo ana ka zi kubwa kwani % kubwa y wachezzji wapo juu y uzito wanaotakiwa kuwa nao😅

  • @sifauseni6900
    @sifauseni6900 Рік тому

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤💪💪💪💪💪

  • @aminakazogolo2229
    @aminakazogolo2229 Рік тому +2

    Ila Zembwela😂😂😂😂😂😂

  • @twalbuhaji
    @twalbuhaji Рік тому +2

    Mmepigwa

  • @mohdswahili7219
    @mohdswahili7219 Рік тому +9

    Sikuhizi sisi yanga tuna kiki kuliko wasabi wa bongo fleva na wasani wakibongo yani mayele hajauzwa tabu iko pale pale tunasuka mipango na tunatengeneza kiki
    ▄℠︻̷̿┻̿═━一
    ︻╦╤─ ҉ - -
    ︻╦デ╤━╼
    ︻╦╤─ ҉ - -

  • @cavinjohn-9648
    @cavinjohn-9648 Рік тому +1

    Wazee WA Dp word Hao. Kazi mnayo

  • @user-gp3jr3qk7y
    @user-gp3jr3qk7y Рік тому +1

    Ndomana umefungwa azam

  • @user-qe9ig8fz2k
    @user-qe9ig8fz2k Рік тому +2

    Mkude yeye mda wote anacheka tuu

  • @maikojohn7718
    @maikojohn7718 Рік тому

    Uchaguzi mzuli wa yanga

  • @paschalmalley9033
    @paschalmalley9033 Рік тому +4

    Nani kamwona diarra akishangilia na na kufarahia vitu vya skudu

  • @JerinaNguto-vv1gt
    @JerinaNguto-vv1gt Рік тому +2

    Ayakuusu,at,tusijaze,uwanja,ayakuusu,Simba,mbwa,wewe

  • @Gaudencia-wc8jc
    @Gaudencia-wc8jc Рік тому

    Kichapo kipo pale pale hakuna kuludi nyuma

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 Рік тому +1

    Yanga timu yetu pendwa mngetumia watangazaji wenu wa siku zote ingeleta maana zaidi.

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +5

    😂😂😂😂😂watu wanataka kuanguka

  • @YeremiaLazaro
    @YeremiaLazaro Рік тому +1

    Jamani yanga hii umtoe nani umuweke nani yaleo kari

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Рік тому

    Kuna. Mashoga. From. Mazuwena. Walijusifu. Sana. Kuwa. Diara. Hatokuwapo. Tena. Yanga

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +6

    Eti kipa kwel kwel anakumbuka mbunduki ya KIBU DENIS😂😂😂😂😂😂

  • @DanielDePeterson
    @DanielDePeterson Рік тому +1

    Mayele,vipi

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael Рік тому +4

    Jiwe walilolikataa wahashi Sasa limekuwa jiwe la uzimaa pale jangwaniii😋🤣🤣🤣🤣

  • @MussaHaji-lk1fe
    @MussaHaji-lk1fe Рік тому +2

    Majenzi mabayaa😂😂😂

  • @aisha.abdallah.3979
    @aisha.abdallah.3979 Рік тому

    Kumenoga ila watu hawajajaza uwanja 😡viongozi naona wanataka kutupanda vichwani.

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому

    User waambie hao maan maneno meengi

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Рік тому +3

    Wote tumeona waluvyocheza. Azam lazima awpe Mimba pale Tanga.

    • @salmaeliyasa9619
      @salmaeliyasa9619 Рік тому

      Utapata ww na familia Yako mtu mzima kishet we😂

    • @phina8058
      @phina8058 Рік тому

      Labda kama tumelala

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 Рік тому

      Mpaka sasa watu wanashindwa kukubali Yanga SC iko katika ubora wake. Waingereza wanaita #PRIME

    • @shedrackthomas2270
      @shedrackthomas2270 Рік тому

      Mimba laba nikutie me we wenzako wapo uturuki wengine mlima Kilimanjaro wanazurura wakirudi lawama kibao

    • @shedrackthomas2270
      @shedrackthomas2270 Рік тому +1

      Simba sahivi genge la wahuni

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 Рік тому

    G Moloko alitaka Kula mshale wa utelez

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому

    😂😂😂skuduu 🔥🔥🔥

  • @mohammedalnabahan.4127
    @mohammedalnabahan.4127 Рік тому

    Nani anamkumbuka ZEMBWELA alipopigana ngumi ULINGONI na MARKS, REFARII alikua MBUTO.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @adamsaad7577
    @adamsaad7577 Рік тому

    meme maombi yangu kwa team yangu pendwa wananchi young naomba mfanye mtuletee strike Alie good Alie mzuri na anaweza kufiti ligi kuu NBC na club bingwa

  • @user-hb9yl3dd3g
    @user-hb9yl3dd3g Рік тому +1

    💚💛💚💛🥅⚽️

  • @user-mz4ji4ft2k
    @user-mz4ji4ft2k Рік тому

    Mhhhhhu lazma walie ngoja tuone

  • @kimalebanduka4229
    @kimalebanduka4229 Рік тому

    Simba wanatakiwa wamueke Masanja kama mc

  • @edwardgmb9406
    @edwardgmb9406 Рік тому +2

    Tunasubiri siku ya Timu kubwa barani afrika sio hii.

  • @stellamayunga3975
    @stellamayunga3975 Рік тому +1

    Mc wakukodi sis semaji anajitosherez😂😂😂

    • @mariamsuku7021
      @mariamsuku7021 Рік тому

      Awo sio wakukondi ni wananchi kindaki ndaki

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 Рік тому

      @@mariamsuku7021 Mwambie kolo huyo na mbana pua wao ambao hana lolote

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj Рік тому

    Diara ameudaka mpira wa skudu

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Рік тому

    Wamepooza utasema wapo msibani daaaaaah

  • @suleimanidd5517
    @suleimanidd5517 Рік тому

    Uwanja mtupu aisee

  • @pascalmataluma490
    @pascalmataluma490 11 місяців тому

    😂😂

  • @user-ub1zz4tr8v
    @user-ub1zz4tr8v Рік тому +1

    wanayanga wezangu hatuna mba mba mba tupo gangari kinom usituchukulie poa🍇

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 Рік тому

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @user-xb5ub7zj5n
    @user-xb5ub7zj5n Рік тому +3

    Mimi Kama Azam naon mdaa haufiki twendezetu Tanga😅😅😅

    • @veronicamyabi2779
      @veronicamyabi2779 Рік тому

      Usjali kuwa na subra 😂😂

    • @user-xb5ub7zj5n
      @user-xb5ub7zj5n Рік тому

      @@veronicamyabi2779 am tired of waiting ma best nawataka ata kesho hatakama nimetoka kucheza na Monastir