EID YA ZANZIBAR RAHA, HUEZI PATA HAYA SEHEMU INGINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #Habari #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    cc: Sadia Rashid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Hairath Haroub
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

КОМЕНТАРІ • 68

  • @afnanidarous1316
    @afnanidarous1316 5 років тому +4

    Mashaallah leo mumependeza watangazaji znz rahaaaa hadi inanitamanisha na mm

  • @nattaliakhaleef1630
    @nattaliakhaleef1630 5 років тому +4

    Mnataka waume nyie tu c kwa hashuo izo hahhhh Ila ni wazur balaa mashaallah

  • @rahmahakim6285
    @rahmahakim6285 5 років тому +4

    Ya Allah nmefrah sana kuona zanzibar yet

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 років тому +2

    Asanteni sana shukrani nyote koo mzima ya ktv tz online Hakika hii ni Fahari yetu 👍

  • @shabanhamad6565
    @shabanhamad6565 5 років тому +1

    Good stuff.. Congrats Ktv crew

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 років тому +4

    Znz yetu Allah aibariki atujaalie na atuzidishie Usalama na Amani ilio mzr ktk Visiwa vyetu vya znz

  • @abdulhakim7638
    @abdulhakim7638 5 років тому +3

    Smart mno mmependeza guy's thank u zssf kwakujali allah awabariki mlete nyenzo kuliko hz znz we bless

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 років тому +1

    Alhamdulillah mungu akuzidishie furaha na walio wangojwa awape njema afya

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 5 років тому +1

    Mashallah

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 років тому +2

    Bi sadia kama huna mume wallahi mie nipoooo!!!!!

  • @abdallamahfoudh921
    @abdallamahfoudh921 5 років тому +3

    Zanzibar inapendeza

  • @nureyna629
    @nureyna629 5 років тому +2

    Yani Leo ndugu saaidie ukipanda upewe kamera kubwa 😅 jamani umetufurahisha ambao hatujawahi kupanda hilo pembea la juu, at least tumeona how it look like ukiwa juu, bravo saaidie bravo👏👏

  • @fatmahamed3285
    @fatmahamed3285 5 років тому +1

    Jana nimewaona

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +2

    Kweli Eid zenji raha tena raha haswaaaaaaaaa nikutakieni Eid Mubarak dunia zima

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +2

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu

  • @khamisabdalla7709
    @khamisabdalla7709 5 років тому +2

    Mbona massoud maganga kaadimika sana yuko wapi

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 років тому +1

    Hii ni fahari yetu bwana!

  • @saniaayuob8165
    @saniaayuob8165 5 років тому

    Jamani Sania wajina wangu

  • @abdullahnassor9504
    @abdullahnassor9504 5 років тому +1

    uyo dem wa pili ana saut mzur mashallah

  • @abdlazizmzee4833
    @abdlazizmzee4833 5 років тому +1

    Mapigo ya moyo yanaskilizwa hahahah

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 5 років тому

    Sehemu nyengne na sio ingne

  • @jumailyass9308
    @jumailyass9308 5 років тому

    Naomba namimi nisikilize ayo mapigo ya moyo

  • @fatmamohamed1099
    @fatmamohamed1099 5 років тому +1

    Pambe tyu

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 років тому +2

    Vipi mushaolewa?kama bado nataka nije nimuombe MUNGU.

  • @amoural-harthy7312
    @amoural-harthy7312 5 років тому

    Tume enjoy au tumefurahi au tumestarehe
    Jaribuni kutumia kiswahili safi

  • @qassimmuhammad9634
    @qassimmuhammad9634 5 років тому

    Wenzenu wanafikiria na kufurahia na kujigamba na maendeleo nyinyi mnajifakhir na eid

  • @allymohd9554
    @allymohd9554 5 років тому

    Saadia nakukubali kinyama nitafute. Tupange 0777243590

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 5 років тому

    Tatizo hamung'ari humo kariakoo, coz hamuna mataa mengi kila kona yakufanya mung'are

  • @mbishkulala567
    @mbishkulala567 5 років тому +1

    Sehemu INGINE Ni Kiswahili Fasaha Kweli?
    Tukitunze Kiswahili Chetu Wengi wanatamani Kua na Kiswahili Kama Cha ZANZIBAR

    • @kibojewee2710
      @kibojewee2710 5 років тому +1

      Si mnawaponda waZanzibari mayakhe

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 5 років тому +1

      hakika kiswahili kitamu sana tena sana

    • @binrashid6908
      @binrashid6908 5 років тому

      Na uyo muandish nae n binaadam pengin amekosea au key bod imeenda kombo bila muandish kujua

    • @mbishkulala567
      @mbishkulala567 5 років тому

      Bin Rashid Khamis Ok Lakini taarifa haitoki Bila Kuhaririwa Sasa Muhariri Kama yupo bas awe Muangalifu

    • @binrashid6908
      @binrashid6908 5 років тому

      In sha Allah

  • @naimaikopoanaema5565
    @naimaikopoanaema5565 5 років тому

    Mbona ata dar. Yapo nyie akili zenu finyu baada mseme. Leo eid watu wana. Fulaa😂😂😂kweli wa zenji akili awana

    • @allybeka8401
      @allybeka8401 5 років тому +1

      Naima ikopoa Naema kwani wew ulitak w2 waseme nin acha akili za matakoni wew w2 wanafrahia skuu ya idd hajj hata kam na dar ypo lkn kwa i
      ckukuu idd zanzbr iko tafaut san na dar

    • @issaibrahim7325
      @issaibrahim7325 5 років тому

      Choyo tu nachuki juu ya wazanzibar imekuaje tena utuite hatuna akili (bitch)

  • @ayubughati2939
    @ayubughati2939 5 років тому

    Mashallah

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 років тому +2

    Vipi mushaolewa?kama bado nataka nije nimuombe MUNGU.

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 5 років тому

      Allah anaombwa mskitini

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 5 років тому

      @@abdullahnassor9504 unakosea Allah anaombwa popote na wakt wowowte na sio msikitini tu

    • @sokoinesokoine7468
      @sokoinesokoine7468 5 років тому +1

      @@shamsahaji6202
      Baarakallahu fiik ukhty Shamsa . Anaombwa Popote kweli lkn sehemu km chooni, kunapouzwa vilevi humo hakufai kuombwa... hata ukiwa na maandishi ya maneno ya Allah au majina yake basi usiingie nayo...

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 5 років тому

      @@sokoinesokoine7468 nami nimekusudia anaombwa popote naam sehem ilio safi lkn panapodharura basi elewa Allah anaombwa popote na wkt wowote .uislam sio mgumu bro.

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 5 років тому +1

      @@shamsahaji6202 asante kwa kunikumbusha