SAM AWATEMEA NYONGO SIMBA | TUSEME UKWELI TUMSHUKURU REFA KAPUNGUZA GOLI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @SalmaKimwaga
    @SalmaKimwaga 2 місяці тому +4

    Azam tv mpeni kazi huyu kijana mchambuzi wa ukweli sio mchongo ❤❤❤❤❤

  • @ShabanSef
    @ShabanSef 2 місяці тому +2

    Dah broo unajua sana mungu akupe kazi ya uchambuzi kituo chochote kile

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 місяці тому +7

    Huyu Kijana Nakubali.. Mashaallah

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 2 місяці тому +3

    Refa alikuwa family,na sio refa alikuwa mbali na matukio bali alifanya makusudi tu kuwabeba kwaiyo mumshukuru refa kapunguza magoli ila hiyo ni mbaya kwa upande wenu maana mtakuwa mnajifarij kuwa mnateam kumbe bado sana

  • @HamadZahoro
    @HamadZahoro 2 місяці тому +2

    Broo Sam nakukubali sana mpira huu wakisasa unaujua siyo kichwa tenge kisugu

  • @MbwanaAlly-i3l
    @MbwanaAlly-i3l 2 місяці тому +6

    Upo sawa ndugu unajua mpila

  • @nazarethally9509
    @nazarethally9509 2 місяці тому +5

    Huyu jamaa yupo vizuri anajua mpira haongelei ushabiki

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 2 місяці тому

    Sam upo vzr sana, big up

  • @HusnaHamidu-z6p
    @HusnaHamidu-z6p 2 місяці тому +13

    Huyu kijana tamani sana kumuona kwenye uchambuzi,kinachonishangaza na kunifikirisha sana nikuona studio zimejaaza wachambuzi uchwala,hawana wanachojua zaidi ya uchawa,wanawaacha vijana km hawa wenye akili.hii nchi tutafika tukiwa tumechoka sana

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa anasema kweli kabisa,

  • @MichaelJohn-vn3bt
    @MichaelJohn-vn3bt 2 місяці тому

  • @abdulkarimum.khamisi3128
    @abdulkarimum.khamisi3128 2 місяці тому +1

    Ukifungwa umefungwa tu utaongea pumba ,kama refa kasema off side linakuwaje goli sasa ,goli halali ni moja kwani kila offside refa kaibeba timu acha ushabiki.

  • @cmbizo9592
    @cmbizo9592 2 місяці тому +2

    Brother unajua soka

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 2 місяці тому +2

    Samu nimekupenda bure unahekima sana

  • @lusubilokorosso5661
    @lusubilokorosso5661 2 місяці тому +1

    Uko vizuri sana Majizo chukua huyu😂

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 2 місяці тому +1

    Washabiki wengi hawajui mpira ndo maana wako kiushabiki na sio ukweli nakuelewa sana SAM Simba unajua mpira mwanangu

  • @lutegogospelteam1939
    @lutegogospelteam1939 2 місяці тому +1

    Uko vizuri ila kuna neno sijalielewa nielewesheni ni No county au No cout.!

  • @KhatibuMadizii
    @KhatibuMadizii 2 місяці тому +3

    Nakukubali sana

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 місяці тому

    SAMU YUKO VIZURI SANA hachambui kwa mapenzi kama wengine Akina JB64

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 місяці тому +1

    Huyu anajua na anaongea facts

  • @MariaHussen
    @MariaHussen 2 місяці тому +1

    Nikweritu jamaa aongea archon kiona mnamtukana nn wakings nyie hamjui mpra matusitu

  • @DanielSamson-sh8bq
    @DanielSamson-sh8bq 2 місяці тому +1

    Sam unajua,hakika ukiongeza zaidi utafikia kama Dr rick

  • @AliJuma-eg8tq
    @AliJuma-eg8tq 2 місяці тому +1

    Jamaa anajua kuusemea mpira
    Nimependa
    Umesema "mm sio mfia timu"

  • @OmanOman-hx8yv
    @OmanOman-hx8yv 2 місяці тому +1

    Jamaa anajua

  • @MikidadiNyangi
    @MikidadiNyangi 2 місяці тому +1

    Hiv wee unatarisha maisha yako kisa unapewa hela na yanga hata mungu alisema mjali mzaz wako kuliko vitu vingine haya ongea baba

  • @MikidadiNyangi
    @MikidadiNyangi 2 місяці тому +1

    Ngugu yangu hahahahahaha endelea utayakuta mbele usije ukajuta

  • @juniorjotham1524
    @juniorjotham1524 2 місяці тому +4

    like kwa mwandishi😂😂

  • @MwanahawaMaliki
    @MwanahawaMaliki 2 місяці тому

    Uyu mwamba mchambuzi

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 місяці тому +2

    Hurt umevaa Jezi tu, wewe ni utopolo 😂🎉

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 2 місяці тому

    Sasa mobeto kaingiaje hapo mzee wangu. Hebu kuwa na maswali ya msingi baba. Usiulize maswali kama mtoto wa vidudu.

  • @MariaHussen
    @MariaHussen 2 місяці тому +1

    Msimtuka jamn anaongea ukwelitu

  • @IsraelMwakagire-hn8pn
    @IsraelMwakagire-hn8pn 2 місяці тому +2

    Tatizo liko wapi kusema smells vizuri?

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 2 місяці тому +1

    Hy naye alipaswa kupakwa mafuta tu km Mchome

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 2 місяці тому +1

    SIMBA msikilizeni huyu kijana anaongea ukweli kabisa

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 2 місяці тому +1

    Simba huyu kijana anasema ukweli

  • @mariammbapira645
    @mariammbapira645 2 місяці тому +1

    Anaendaga avic town kuangalia mazoezi ya yanga

  • @SamsonMasalu-y5f
    @SamsonMasalu-y5f 2 місяці тому +1

    waandishi acheni kumuhoji kisugu muhojini sam ndio anajua mpira.

  • @ownmpompo6299
    @ownmpompo6299 2 місяці тому +1

    Eti Simba ina vibaraka kama hivi,vinavaa jezi za simba na kujifanya wachambuzi,uchwara

  • @SamsonMasalu-y5f
    @SamsonMasalu-y5f 2 місяці тому +1

    acheni mambo yenu tatizo hamjui mpira tunadanganywa na ahmed ally .yani timu imefungwa yeye analala usingizi.sisi ndo tunaumia.ngoja dabi ingine inakuja.jamani tupaze sauti .

  • @lovenesspaul5804
    @lovenesspaul5804 2 місяці тому +1

    huyu jamaa amenikosha na huyu sio shabiki nimpenzi wa mpira na anaongea kifahamu sana mimi nisimba kindaki lakin kunavitu kanifundisha

  • @mariammbapira645
    @mariammbapira645 2 місяці тому +1

    Wewe sio simba usichunguze msemaji wetu shika yako unapenda kuongelea tznga kuwasifia achana na tim yetu mamluki mkubws

    • @rashidimikongana
      @rashidimikongana 2 місяці тому +1

      Wew hauna akili

    • @jimmypeter5667
      @jimmypeter5667 2 місяці тому

      Huyo anaeongea ni mwanasoka ila wewe ni mnazi! Mnazi ni chawa wa timu, wengi ni wagonjwa kichwani.😅

  • @Yassirjuma-i1c
    @Yassirjuma-i1c 2 місяці тому +2

    Unapswa uwekewe ulinzi

  • @MatokeoJuma-s7r
    @MatokeoJuma-s7r 2 місяці тому

    Simba ina washabiki wazuri wanao ujua mpila kuliko wa shabiki wa yanga!

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 місяці тому +1

    Kiukweli walitegemea kupigwa nyingi hivyo kapunguza

  • @ownmpompo6299
    @ownmpompo6299 2 місяці тому +1

    Ujue mtangazaji anakuchora,kwa ujinga wako unajimwagaa

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 2 місяці тому

    Kama huna tabia ya kuji tathmin hutayaona na kuyajua madhaifu yako, sam---- (kum radh) (ashakum si matusi) haangalii----ni nyani anae angalia kundule, haangalii kundu la mwenzake.

  • @MikidadiNyangi
    @MikidadiNyangi 2 місяці тому +1

    Kumamako

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 2 місяці тому

    Mpila Kama mpila vinaingilianaje na Amissa

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 2 місяці тому +1

    Wewe yanga sitaki hata kukusikia mjinga wewe,hata kuchambua huwezi

  • @MikidadiNyangi
    @MikidadiNyangi 2 місяці тому +1

    Mnalipya na gsm ilimharibu simba hahahaha nakuhurumia sana na pole sana

    • @MshaniMsasu-mt3pj
      @MshaniMsasu-mt3pj 2 місяці тому

      Mkiambiwa ukweli mnabisha, kama huamini kwamba Simba uwezo wakumfunga Yanga bado angalia rekodi ya mech UA-cam utaona.

  • @severinusviatory4624
    @severinusviatory4624 2 місяці тому +2

    wew si mnyama msipende kuvaa nguo za simba vaa kawaida na uongee kutuponda ila nakujua sana wewe yanga

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa anasema kweli kabisa,