Hanifa Jikelachui |Niliteswa nikanyanyasika ila sikusema kwetu kwakuwa niliambiwa Ndoa ndoano

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #sakinatv #Trendingnews #kenyanews

КОМЕНТАРІ • 10

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 роки тому +1

    Pole sana Hanifa! Wewe ni mwanamke wa shoka 👏 M/Mungu akusimamie na akufungulie kwenye kila jambo lako in shaallah 🙏💕

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 роки тому +1

    Dada Sakina good job interview tamu na yenye mafunzo. Mungu akuweka dada🙏❤️

  • @sarhasarhasalum4263
    @sarhasarhasalum4263 2 роки тому +1

    Waooo chiku kama chiku Asante Sana dasakina

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 роки тому

    Pole sana hili fundisho kwakila tunaotaka kuingia kwenye ndoa .

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 роки тому +1

    Good interview big up my sister Sakina nilikuwaga nakusubiriaga you tube looong time. Please ongeza muda japo 30 minutes 👌

  • @pesamingi275
    @pesamingi275 2 роки тому

    Yani nampenda Hanifa 🇰🇪🇰🇪

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 2 роки тому

    Hizi ndoa zakuchanguli ni mbaya sana mm nilitesaka mpaka leo sitamani ndoa tena. Pole hanifa

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 Рік тому

    Napenda Tarab zako Hanifa masharlla

  • @thebosslady9001
    @thebosslady9001 2 роки тому

    Wachumba hao wanaokuja hafla km chafya ndio zao waongo balaa wakija Sina mke kumbe anae