Mwamba wenye imara, kwako nitajificha Maji hayo na damu, yaliyotoka humo Hunisafi na dhambi, hunifanya Mshindi. Kwa kazi zote pia, sitimizi sheria Nijapofanya bidii, nikilia na kudhii Hayaishi makosa, ni we wa kuokoa. Sina cha mkononi, naja msalabani Nili tupu nivike, ni mnyonge nishike Nili mchafu naja, Nioshe mi sijafa. Nikungojapo chini, nakwenda kaburini Nipaapo mbinguni, nakukuona enzini Roho yangu na iwe, rahani mwako wewe.
Mwamba wenye imara, kwako nitajificha
Maji hayo na damu, yaliyotoka humo
Hunisafi na dhambi, hunifanya Mshindi.
Kwa kazi zote pia, sitimizi sheria
Nijapofanya bidii, nikilia na kudhii
Hayaishi makosa, ni we wa kuokoa.
Sina cha mkononi, naja msalabani
Nili tupu nivike, ni mnyonge nishike
Nili mchafu naja, Nioshe mi sijafa.
Nikungojapo chini, nakwenda kaburini
Nipaapo mbinguni, nakukuona enzini
Roho yangu na iwe, rahani mwako wewe.
Nyimbo hii unanifariji moyo..asante na Mungu Asifiwe Daima
Amen
Nyimbo zinampa Mungu utukufu
nyimbo tamu kweli
Beautifully done
Kazi safi
tamu
Mery. Luce