1. "Naweza kulivunja hekalu la Mungu na kulijenga kwa siku tayu", Maneno hayo ya Yesu hawakuelewa kwamba ni yeye atakufa na kufufuka akahukumiwa kifo. Chorus: Kifo chake chanzo cha wokovu tulipata utakaso pale mtini, Sasa tuko huru kwa jina la Yesu tuwe wakamilifu hadi arudipo. 2. Ni pale kaburini Yesu alilazwa na siku ya tatu kafufuka, Akashinda kifo na mauti, tufurahi makao ya Mbinguni ameenda kuandaa, Tuishi naye milele.
mbarikiwe
The only women in adventist who know how to much properly
I can't wait to fellowship with you one day,so blessing
Amen 🙏🏽
, 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪UAE blessed team
👌👌🇿🇦AMEN
From UAE hodi hapa bereans choir God bless you
God bless you too
Amen... what a nice piece of harmony🙏🏽🙏🏽
Amen❤
Waking up to such blessings😊am blessed
Blessings
Watching happily from India 🥰
Thanks for watching
Great daughters of Christ
Am still coming to Kisumu Central just to see you my people.
1. "Naweza kulivunja hekalu la Mungu na kulijenga kwa siku tayu",
Maneno hayo ya Yesu hawakuelewa kwamba ni yeye atakufa na kufufuka akahukumiwa kifo.
Chorus:
Kifo chake chanzo cha wokovu tulipata utakaso pale mtini,
Sasa tuko huru kwa jina la Yesu tuwe wakamilifu hadi arudipo.
2. Ni pale kaburini Yesu alilazwa na siku ya tatu kafufuka,
Akashinda kifo na mauti, tufurahi makao ya Mbinguni ameenda kuandaa,
Tuishi naye milele.