LULU AFUNGUKA KUMKINGIA KIFUA WEMASEPETU/ALIVYOFULIA/HANA GARI/REEENGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    LULU AFUNGUKA KUMKINGIA KIFUA WEMASEPETU/ALIVYOFULIA/HANA GARI/REEENGE
    #Bonatv #Exclusive #ElizabethMichael

КОМЕНТАРІ • 48

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +7

    LULU💟💟💟💟💟💟💟💟sjawahi kuonA msanii mwenye majibu perfect 👌 ka ww.beautiful with brain🤗.ur cool mama G .very charming 🤣🤣🤣

  • @mahelagubija8064
    @mahelagubija8064 2 роки тому +8

    Anajibu kwa umakini sana, pia waandishi wanajua kuuliza maswali. big up

  • @zuwenazuwena7764
    @zuwenazuwena7764 2 роки тому +5

    She is so smart 😍 waooo analikwepa Jina la LULU coz ndo lililompatia matatizo ya Kanumba so anajaribu kulikwepa zaidi ili lipotee hongera Dada coz mtu akisikia lulu moja kwa moja akili yake unakumbuka kwa Kanumba ....

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 2 роки тому +3

    Yaani mama G you're so sweet and smart in brain, kuwa karibu na MUNGU kuna faida sana

  • @MasoS024
    @MasoS024 2 роки тому +4

    Keep it up my Lulu mungu atakuongoza na atakubariki zaidi inshaallah 🥰🥰

  • @zainabuyohana3780
    @zainabuyohana3780 2 роки тому +6

    Lulu nimdogo lakin Anaakili sana

  • @emeldanicholaus6944
    @emeldanicholaus6944 2 роки тому +9

    Ukisikia Beauty with Brain ndo huyu sasa

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 2 роки тому +2

    Lulu, you are naturally so beautiful, you really don’t need to ‘siliba tope usoni’ to make you pretty, leave that to wajukuu wa Remmy Ongala, i do appreciate your brain power though 🤩

  • @azizakitele9165
    @azizakitele9165 2 роки тому +5

    U're matured enough sis,b blessed!

  • @nancyaswani881
    @nancyaswani881 2 роки тому +5

    Beauty with brains.,❤️❤️

  • @nasrashaame1293
    @nasrashaame1293 2 роки тому +5

    Ila lulu mzur jmn nampend sn🌹🔐

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 2 роки тому +3

    Yaani mama G usipate tamaa yakubadirisha chochote kwenye mwili wako my dear, you're so beautiful hivyo ulivyo

  • @oliviermoses4041
    @oliviermoses4041 2 роки тому +3

    Nmependa hapo mwisho walivyofurah😂😂😂😂😂

  • @ruthpeace3197
    @ruthpeace3197 2 роки тому +4

    Well done...keep going girl

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 2 роки тому +4

    Nakupenda sana Lulu

  • @agneskadzo9087
    @agneskadzo9087 2 роки тому +1

    Amen 🙏🏾 ukiwa karibu na Mungu Baba mbinguni uko pahali pa sawa keep it up dada

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +1

    Mashaallah lulu haujawahi kosea kujibu.

  • @irenemnemba5008
    @irenemnemba5008 2 роки тому

    Mama G nakupenda uko vizuri.

  • @chainchebby3313
    @chainchebby3313 2 роки тому

    I really i dore you Lulu uko tofauti sana darling be blessed

  • @ndayikezececile2762
    @ndayikezececile2762 2 роки тому +5

    Hongera mama G

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 2 роки тому

    ukiwa karibu na mungu ,,basi kila kitu mungu anakuongoza tu,,amekuwa wife material mzuri sana,,hafanani kabisaa na wasanii wenzie jmn,, raha sanaaa,,yo husband should be proud of you my dear

  • @moketuponake5270
    @moketuponake5270 2 роки тому +3

    Nimtu na nusu 🥰🥰

  • @latifahussein9221
    @latifahussein9221 2 роки тому +3

    Big up mama G

  • @marvelmoviestrailer9324
    @marvelmoviestrailer9324 Рік тому

    Mm raaaaaange naitolewa wapi???😂😂😂

  • @babumtarajiwa5892
    @babumtarajiwa5892 2 роки тому +6

    Umekua mama G unajibu kikomavu

  • @raissaraiyannaas3249
    @raissaraiyannaas3249 2 роки тому +3

    Ati mim ni Ranger 🤣🤣🤣haki nimecheka kwa sauti😁😁

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 2 роки тому +1

    Uyu ni role Model wangu kabisa

  • @magretsamba5002
    @magretsamba5002 2 роки тому +1

    Nakupenda sana..uko makini

  • @edinawilliam2943
    @edinawilliam2943 2 роки тому +2

    Nakupenda sana jamani ❤️

  • @gracechalagwa9745
    @gracechalagwa9745 2 роки тому +2

    Hongera sana

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 2 роки тому

    Big up mom G wakimataifa dah

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 2 роки тому +1

    Lulu anajitosheleza haitaji chawa😀

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 2 роки тому +1

    Waandishi jaribuni kuweka vichwa vya habari vya habari husika msitembelee upepo wa wema kwa ufunguzi wa biashara ya lulu, kwani mngeandika lulu aongeza biashara haisomeki?hebu mwacheni wema wa watu kwanza lini alitajirika?

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 2 роки тому +3

    Lulu Lizzy hapo ulipo tu umebadirika sana kwa hiyo make-up yako. Umebadirika sana

  • @alicekisanga8004
    @alicekisanga8004 2 роки тому +8

    Such a small business but alot of interviews, this goes to show that education and exposure is very important Tanzanians wakeup, nowonder you have the so called celebrities who don't even have basic things like a house or a car 🤣

    • @marianakapeller4699
      @marianakapeller4699 2 роки тому +2

      honey they have to promote that so called small business to grow thats called indirect marketing, honey are you even in this world? ......WISDOM IS PROFIT TO DIRECT...if you think you are so smart lol!

    • @trendingnews935
      @trendingnews935 2 роки тому

      Say it again ♥️

    • @bahatimhagama1063
      @bahatimhagama1063 2 роки тому +1

      We support whatever business let us be in fact you are not invited

    • @virendavictoria5174
      @virendavictoria5174 2 роки тому

      utakuwa mkenya wewe mnajionaga mna akili kumbe hamna kitu fake fake tu na hampendi kusapotiana nyie...kaa kwa kutulia ikibidi ho to school and get info about marketing

    • @marianakapeller4699
      @marianakapeller4699 2 роки тому

      @@virendavictoria5174 ni likenya ndio wanachojua ni roho mbaya na kutuonea wivu watanzania kutwa hawachoki kufungua page zetu na kukoment uchafu hawa lazima tuwakimbize tu

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 роки тому +3

    Mtu makini

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 роки тому

    👍👌🥰

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому

    ELIZABETH MICHAEL "LULU" A PERSON AND A HALF.

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +2

    Si alishawahi kufungua duka huyu? Au sinakumbukumbu