КОМЕНТАРІ •

  • @amanilengaram5755
    @amanilengaram5755 6 років тому +11

    Esma bhana mbona ulikuwa humpendi Zari sahvi amekuwa mzuri

  • @hannahwanjiru3351
    @hannahwanjiru3351 6 років тому +3

    Esma nilikua nakupenda bt vile unaigilia life ya mondi unanibore juu ww pia ni mwanamke

  • @OmarOmeralsaadi
    @OmarOmeralsaadi 6 років тому +4

    Diamond akiwasikiliza dada yake na mama yake hatokaa na mke mana wanamchagulia utasema wao ndiyo wanalipa mahari kichefuchefu hii familia

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 6 років тому +2

    Asante sana kwa movie nzuri mnayocheza WcB...nmpenda jnsi mnavyofnya promotion....big up

  • @husseinc
    @husseinc 6 років тому +6

    mpaka kaka yako simbaa mwenyewe diamond anakuchamba una tabia mbovu esma

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 6 років тому +18

    Yaani watanzania kwa umbea nawapa mkono mwezi mtukufu wa kutumbia makosa n kuwa karibu n ibada ila ndio kwanza munatafuta utesi

    • @mohamedsadiki9846
      @mohamedsadiki9846 6 років тому +1

      Reemii Omar ebu mtangzj muulize kwanz uy ESMA kwanin mumewak kawek passport yk rehani

    • @mayasakitambwa4186
      @mayasakitambwa4186 6 років тому +1

      Reemii Omar 😂😂😂😂😂asante 👏

  • @lydiacupten1891
    @lydiacupten1891 6 років тому +16

    jamani mawifi Kazi mi Naogopa kuolewa

    • @tauhidahamad5796
      @tauhidahamad5796 6 років тому +1

      Lydia Cupten mawifi wana kazi sana my hawabebeki

    • @sallykanze
      @sallykanze 6 років тому +1

      Lydia Cupten so utazeekea kwenu😀😀😀😀😀 ni aibu dada mtu ni Kwakwe kuolewa ni heshma

    • @aishakassim2801
      @aishakassim2801 6 років тому

      Lydia Cupten hehehe tupo pamoja hasa mawifi wa sasa hatari

    • @fareedalastborn2088
      @fareedalastborn2088 6 років тому

      Lydia Cupten 😂😂😂😂

  • @halimajuma9524
    @halimajuma9524 6 років тому +4

    Umeongea.....mwanamke afaa angoje atumbulishwe,,siyo kupayuka tu

  • @rihannaahmed
    @rihannaahmed 6 років тому +1

    love esma to da fullest ni mwanamke mwenye hekma ajua anachoongea sio sawa na watanzania wengine

  • @mohamed.hassani9917
    @mohamed.hassani9917 6 років тому +8

    zinaa sio kitu kizuri,tuoe kabla kuzini ,watoto wanamtia stress,

  • @georgettetiemele8220
    @georgettetiemele8220 6 років тому +8

    Esma you are m'y wiiiiiiiiiiiiiiii, bravo 😘💪❤🌹

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 років тому +3

    Ukweli mchungu Esma Umetema madini😂😂😂😂👏👏

  • @yasserabubakar6167
    @yasserabubakar6167 6 років тому +4

    Sio kwa mapovu namna hio...duuh esma saum kali leo...

  • @naeemagrace2425
    @naeemagrace2425 6 років тому +5

    Familia kama hizi ndomana baadhi yawaschana wadogo wanaogopa kuolewa mapema. Sote tunama kaka Namababa Ila huwezi ingilia mapenzi yao kiasi icho, Kuna ule ushauri namuelekezo, but this is clear hatred kisatu mambo yakupita, nakuto rizika namaisha yako wa Tanzania wamejaa husda zakijinga sijapata kuona. Daah anyways ndoivo ya walimwengu only God knows yakesho yatakua vipi. Bora uzimatu sote tupo chini yakivuli cha muumba namugawa hiyo riski.

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 років тому

      Naeema Grace Wallah my dear, kwanza uyo anaemkataa pia anajishughulisha ingekuwa amekaa tu hapo bac ndio angesema anataka vitu vya kakaake

  • @khadijakhadija6547
    @khadijakhadija6547 6 років тому +2

    Jmn mwanaume akipatikna wakunioa Sitakit mawifiiii wanafki😂😂😂😂😂😂

  • @hassaniabazar6446
    @hassaniabazar6446 6 років тому +16

    sister umekazania usafi wa wenzio jaribu kujiuliza na ww unausafi kiasi gani au ndo just ku show sifa za upuuzi

  • @adidja.songorop4592
    @adidja.songorop4592 6 років тому +8

    Maisha gani mnayo nyie?shukuru Mungu apo mlipo kuna wengine walikuwepo lwahio binamdam niwakusema vzr hata mkimkataa Hamissa yeye ndo mama Duli nyie mtabaki kukodoa macho ule ni mtu na mazazi mwenzio wanachangia mipaka

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 років тому +7

    Nyinyi kumbe ndiyo sababu ya mpaka sasa Mondi hajaoa.

  • @majaliwagessler4443
    @majaliwagessler4443 6 років тому +10

    Ebu kwanza ongea kuhusu mume wako yuko na stress za kueka passport yake rahani kwa laki moja ya tz mbona usemi aya esma ?

    • @mohamedsadiki9846
      @mohamedsadiki9846 6 років тому

      Majaliwa Ramadhan Gessler ndiyo

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 років тому +1

      Majaliwa Ramadhan Gessler 😂😂😂😂 ulijuaje my Brother, umeisikia wapi nipe ubuyu.

    • @majaliwagessler4443
      @majaliwagessler4443 6 років тому

      Saumu Hassan kweli sio eti namzulia tena akipigiwa alieka busy

    • @tarisilamushi2798
      @tarisilamushi2798 6 років тому

      Majaliwa Ramadhan Gessler .hahaha asante baba

  • @joycerichard5042
    @joycerichard5042 6 років тому +6

    Yajayo yanafurahisha

  • @adidja.songorop4592
    @adidja.songorop4592 6 років тому +8

    Mmmh Asma punguza maneno hata wewe hujui mwisho wako kwahio unapoongelea wanawake wenzio usijisahau leo kwa Hamissa kesho kwako hata wewe hujakamilika kwa uyo mume wako

  • @husnabbygal5213
    @husnabbygal5213 6 років тому +7

    hawa watangazaji ndo uleta ugomvi y aani mnamchokonoa mtu paka..

    • @husseinc
      @husseinc 6 років тому

      Husna Bbygal sio mtangazaj yy mwenyewe esma kwan mtu ukiulizwa kitu fulan siunaweza ukajizuia alafu maswali mengine hapo ata ajaulizwa analopoka

  • @naseralenzi9419
    @naseralenzi9419 6 років тому +5

    Joseph's niatari kweli hawa mawifi wanafk

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 6 років тому +1

    Esma umeongea vizuri tu wala ujakosea mondi anaonekana kabisa anamsongo wa mawazo, yy mwenyewe anatakiwa ajikubali ilihilo tatizo limuishe

  • @blessedone3543
    @blessedone3543 6 років тому +4

    Such hypocrite family,leo mnaemuona hawafai kesho anaweza kuwa msaada,no one knows about tommorow be careful people,mungu umwinua anayedharirika na kuonekana hafai,.

  • @millicentorisa9357
    @millicentorisa9357 6 років тому +3

    We're going to be in 🔥 💧

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 6 років тому +1

    Hamisa humjui au jina lake limekukwama la koo kama bilingani. Mkitaka msitake kawakateni kilimi. Mmeumia kuzaa na na naseeb. Kuanzia zari mpaka nyinyi familia ya mondinga

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому +2

    Leo unamuona Hamisa mubaya na wakati wewe ndio ulimpeleka Kwa kaka yako

  • @starbaby2624
    @starbaby2624 6 років тому

    Huyo ni mnafki kwel alipotambulishwa zari na birthday ya mama dai alikuwa niraki wa hamisa had kushona sare.. Mbea sana we esma

  • @francisndillah8409
    @francisndillah8409 6 років тому +4

    Kweli ukitembea na chizi na wewe unakuwa chizi.... Pole Mond rudi kwa wenye akili zao na wewe akili irudi!!!

  • @faridasalum6237
    @faridasalum6237 6 років тому +3

    Nimekupenda bule mama

  • @arichardaristides
    @arichardaristides 6 років тому +1

    Mtangazaji yuko vizuri!!

  • @davidorito1707
    @davidorito1707 6 років тому +1

    Kweli Esma umesema kweli

  • @ye2mediaproduction293
    @ye2mediaproduction293 6 років тому +1

    i thanks God huyu si dada yangu maana ni bogas

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 6 років тому

    Hawo ndio ndugu wa Mume loooh ESMA uachiiii au ukui au unamapungufu mwenzetu

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +11

    Mtanganzaji uko vizuri kwa kufukunyua hongera sana, ila *ESMAH* rekebisha kauli yako kwa kusema wanawake wenzako, mke atakaemchagua kakaako unatakiwa umpende, wewe na mamaako mnapata zambi kumsakama mtoto wa wenzenu hata wewe na petii mlizini ukapata mimba ukaolewa ukiwa mjamzito kitu ambacho akifai kidini, na kiukweli *DIAMOND* anampenda *hamisa* asingesaidia kuchamba kama hampendi angekaa kimya tu, ila wewe na mamako acheni unafik ili *NASEEB* Aoe, kila kukicha vijembe kwa hamisa toka asemi mpaka kaamua kuwatolea mapovu muogopeni Allah na Mwezi huu mtukufu, sasa mnataka kakaako akuoe wewe? Kwanza hongera sana *Hamisamobetto* kwa kumzaa *Dylan* maana hata mkiumwa Mtoto kashazaliwa, kingine mmemiss zawadi za *ZarinahHassan* ndio maana roho zinawauma, familia za kiswahili ndivyo zilivyo anathaminiwa mwenye nacho, ukiwa huna unaonekana hufai, kwetu pia wapo wanafiki kama Mama Dangote, kumbe mnaongea na Zar kwenye cm kila cku, sasa kateni na ticket mkaondoe hamu ya kuwa nae mbali, me ndio maana nilikataa kuolewa na *BABA MTOTO WANGU COZY NILIONA USWAHILI UMEWAZIDI NA TAMAA NYINGI MAISHA YENYEWE MABOVU ALAFU ASHUO FYUUUU* ESMAH na Mamako tusinge kujueni kama cyo Diamond, acheni unafik.

    • @zuweinasalum8452
      @zuweinasalum8452 6 років тому

      Saumu Hassan kweli dada umeongea point hasa

    • @khalidunited5978
      @khalidunited5978 6 років тому

      Saumu Hassan kama unaona huu mwezi mtukufu mbona unatoa maneno machafu

    • @kombosalehe3156
      @kombosalehe3156 6 років тому

      Kila mtu ana haki ya kuongea kile anachodhani ni sahihi! Uislamu unasema tuoe wanawake tunaowapenda, na mambo matatu tunayopaswa kuyangalia kwenye kuchagua mke wa kweli ni dini, jamaa zake na mke na mali! Uislamu unatutaka kuoa wanawake kuanzia wawili (mathna). Kwa hivyo hakuna sababu ya kumshtumu Esma kwa hili maana anatoa ya moyoni mwake...cha msingi Nasib aoe tu

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому +3

    Huyu wifi ni kijipu cha utosi

  • @lovenechaward6242
    @lovenechaward6242 6 років тому

    Hee hyo mbaya sana aliwah tembea na mme wa mdgo ake na atembee na kaka hyo haifai jaman.

  • @fredickaugustin1433
    @fredickaugustin1433 6 років тому

    love you mama tee

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 6 років тому

    Na ata akipata mwanamke mwingine itakua hivyo hivyo alivyokua na zari si pia mlikua amuishi umbea

  • @francisnyeriga
    @francisnyeriga 6 років тому +4

    Duuh

  • @kellythateacher1570
    @kellythateacher1570 6 років тому

    Ni kweli huyu dada yu atoa tu ushauri,,kuona kwa hiari ya diamond

  • @mashaclassic2345
    @mashaclassic2345 6 років тому +3

    Hahahahhaha part one mond alimtolea poz dada yake haya sasa tungoje na part two hii mond atasema ila duuh nyie wandish wachochez kwel😀😀😀yan mnajua kufukunyua mambo....ila hayo mahojiano yalikuwa marefu jmn khaaaa namba moja mpk namba mbil hahahhahahha kaz kwel kwel

  • @jeanmalilo2465
    @jeanmalilo2465 6 років тому +9

    Mimi nikisha sikia jina Diamond Platnumz simbaaa narizika

  • @karshamapesa7938
    @karshamapesa7938 6 років тому

    She Ws just being a sister and its her thought. Ingekua anamsupport hamisa basi ingekua sawa Sio? Haha she is the same person who entertained hamisa to her bro diamond for her to talk so now means ameona mengi Na amelearn from it for her to comment so.

  • @sayrachuna6705
    @sayrachuna6705 6 років тому +2

    Nakupenda esma

  • @khadijakhadija6547
    @khadijakhadija6547 6 років тому +2

    Kama huyu mnafkii

  • @ummyameir266
    @ummyameir266 6 років тому +9

    Esma sema unamtaka kaka yako uonje utamu wake kwa maana haiwi umuingilie penzi lake paka wee nyooooo uso Km k

  • @jacklinejustinean2164
    @jacklinejustinean2164 6 років тому

    Nimekupenda bureeeeee

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 років тому +8

    Kumbe we ni wee unafanya diamond avimbe kichwa eti anastress

    • @josephochieng2522
      @josephochieng2522 6 років тому +1

      sheillah chisika blood is thicker than water,what can we say!

  • @joarymagaga9082
    @joarymagaga9082 6 років тому

    Mi Nlikuwa sjui kumbe mmeshea mme ndo maana unamchukia mobeto hata kama zaman lkn kiroho kinauma bado ndio maana unamkandia hadi kwa kaka ako leo ndo nimejua

  • @mariammasangula7033
    @mariammasangula7033 6 років тому

    nkwel ESMA wanaweza kuachaje maisha yake yandan bila kujtangaza ista watu watajuaje maisha yake ya ndan

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 6 років тому

    Nilikuwa sijui kama mumeshea bwana na mobeto. Nishapata jibu, hamisa si rahisi kuingia Madale.duuuh

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 6 років тому +6

    Jamani nataka vitenge kwa Esma nani anajua duka lake lilipo na namba za simu kama mtu anaweza kunisaidia

  • @mamadylanscarlett5248
    @mamadylanscarlett5248 6 років тому

    Mawifi..... Mmhhh Hamisa kazi unayo Kama ndo utaolewa kwenye familia hii utakonda mamy...

  • @kiuhakikakiuhakika2271
    @kiuhakikakiuhakika2271 6 років тому

    Esma acha unafiki kama kukiss huyo azari huwaga akiss na kupost ivi mawif mnaupele gani nyie

  • @jacklinejustinean2164
    @jacklinejustinean2164 6 років тому

    Umeshaanza kumfanana mmeo hadi rahaaaaa

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 років тому

    Sasa ww ESMA yani kumbe pet man amewai kuwa na hamisa Alf tena na ww upo nae uyo uyo Alf mondi nae uyo uyo jmn jmn dunia hii tutachomwa vibaya kwa mungu daaa

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 6 років тому

    Roho mbaya
    Utakufa maskini, kumbuka kuna Leo ma Kesho weka akiba ya maneno kudogo, ww mbona unadhalilishwa na huyo mwanamme wake kutwa kukopa

  • @naseralenzi9419
    @naseralenzi9419 6 років тому +3

    🤔🤔kwaiyo hujui Amisa

  • @tarisilamushi2798
    @tarisilamushi2798 6 років тому

    acha wivu dada.babu tale kakanusha.mondi yupo sawa.jaman wivu ndounakufanya umchukie hamisa hivo jaman wakati mlikuwa marafiki

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 6 років тому

    Yuda Yuda Yuda nenda kamkombolee mario wako pasport yake kalipe hio laki moja..Mnafki ww na mamako kipindi zari yuko mulimfanyia figisu mpaka akachokaa sasa mumemchoka hamisa munalete utandale wenu...Mshukuruni Mondi Bila yeye tusingewajua!!!

  • @hotcakerealcake5412
    @hotcakerealcake5412 6 років тому +5

    🤣🤣🤣 Nasibu ako poa na Misa wewe ndo uko na stress unajaribu awaachane na misa.

  • @ashurakambangwa1682
    @ashurakambangwa1682 6 років тому

    Mmh napita

  • @shakiraally7073
    @shakiraally7073 6 років тому

    kumbukeni kuna kifo

  • @noelammari7850
    @noelammari7850 6 років тому

    Ukiish nahii familia hata kama huvuti bangi wala unywi pombe unalewa kwa maneno tuu 😂😂😂mwez mtukufu lakn kusakamwa mpak bas wallah inabidi uwe kama kioo wakicheka ucheke nao wakinuna unune nao......!

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 6 років тому +7

    ESMA VIZURI SANA. ZARI NDO WIFI YAKO.

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 6 років тому

    Ukisikiya shetani basi ni uyu .
    Wewe kuma ya kunuka siniwewe ndo ulikua unamulera amisa kwa mond .
    Akisha amisa mond salisha muonesha kwa watu.
    Unaroho mboya kweli wewe na mama yako unashinda mutamutamani mond yana tupu.
    Familie iyi ni ya lana

  • @fariidahnalukwago7200
    @fariidahnalukwago7200 6 років тому +4

    Fast to comment uuuuuuuuuu

  • @totolaabu7635
    @totolaabu7635 6 років тому +2

    Mawifi wanafiki hujatulia ww wazungumza usafi wa mwenzako ww hivi uko msafi hapo ulipo wacha unafiki wewe na mamako ndo mwamuacha diamond hatoa leo maana uswahili unawasumbua hata mtu akaolewa hapo kwenu hakai wacha aliwe pesa

  • @lifeofsidimswahili
    @lifeofsidimswahili 6 років тому

    Angalieni ndimbwa la sauzi hapa ua-cam.com/video/yEy_Ot1Hkmc/v-deo.html

  • @hannahwanjiru3351
    @hannahwanjiru3351 6 років тому

    C mwache ajichagulie mwenywe

  • @ummyameir266
    @ummyameir266 6 років тому +8

    Keshampata mwanamke wa maisha yake hamisa nyinyi hayawahusu mbwa nyie

  • @margaretmkangala7774
    @margaretmkangala7774 5 років тому

    Esma nataka apple cider vinegar na ule Mpira.wa kuweka majimotp kukanda tumbo, 0713956367

  • @hannahwanjiru3351
    @hannahwanjiru3351 6 років тому

    Ww mwache mondi amekua ww unakwako

  • @tinastrictveganketodiet7034
    @tinastrictveganketodiet7034 6 років тому

    yuda iscariot

  • @gabrielaantonio7648
    @gabrielaantonio7648 6 років тому

    Esma umeua bendi haha 😆 this time we’re ICU waiting for life support machine uwiiiiiii jmn Hamisa kumbe kumbe haaaaaaaaa

  • @kokujuli4816
    @kokujuli4816 6 років тому

    Penda Sana wewe

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 6 років тому +1

    Eti nini hamisa kabla hajawa na naseeb . Kumbe unajua mbona ulipoulizwa hukumtaja au ndo bilingani la koo halimezeki wala halitemeki. Tenaaaaaa ndo dully keshazaliwa mtanuna sana