#Exclusive

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @andrewsalufu
    @andrewsalufu 3 місяці тому +4

    Yaani nilidhani una la maana , kumbe na wewe ni wale wale , eti waandishi wa habari wanaibeba Yanga.....!!!!! Kubari ukatae mpira ni mchezo wa wazi na unachezwa kweupe na Kila mmoja anauona au kuusikia....

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 3 місяці тому +2

    Utakuwa wa mwisho kuamini,lakini ndio utakuwa umeamini --- haijalishi umekuwa wangapi --- muhimu ni umeaini basi ---- sasa ni hivi " suala chama kwenda Yanga,ni suala la muda tu " nadhani bomber hii 17 kwamaana ya th 1/7/024 itakupa majibu " pole dunduka "

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 3 місяці тому +2

    Chama walikuwa wanamuhitaji tu mbona wamemshawishi sana

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja 3 місяці тому +2

    Nenda ww mfate huko huko mmetuchosha kila sku chama chama ye nani kwanza aende zake

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 місяці тому +2

    TAMBWE MLIMUACHA KIJINGA AKAJA YANGA AKAITESA SANA SIMBA

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 3 місяці тому +2

    Aende tu kwa jirani na ww vuta Mwingine toka kwa jirani Mwingine Msitutishee na kuondoka kwa Chama

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 місяці тому +2

    Unajipa moyo kweli.

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 3 місяці тому +2

    Alikuwa MAJERUHI

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 місяці тому +1

    KAMA UTAKUWA WA MWISHO SUBIRI SAA SITA NA DKK MOJA

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 3 місяці тому

    Mtu kama haipambanii timu kwa moyo, aende kwa wauza magodoro. Alishakiwa kirusi ndani ya Simba watakuja wengine. Simba ilikuwepo kabla yake na itaendelea kuwepo.

  • @peterchande957
    @peterchande957 2 місяці тому

    Umechanganyikiwa