WOLPER AMEJIBU KUTOKA NA YOUNG KILLER "KIMETOKEA KITU, NA NYOTA HIYO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #Wolper

КОМЕНТАРІ • 370

  • @raynelson4231
    @raynelson4231 5 років тому +35

    Kweli uzee ni kama Kansa hula MTU kidogokidogo yani amezeeka ila wala yeye hajui

  • @shami6aguero102
    @shami6aguero102 5 років тому +7

    Waooh! Wonderful love U wolper

  • @francismhilu2936
    @francismhilu2936 5 років тому +35

    kama kuna mtu amesikia vryiza badala ya viza😂😂 agonge like twende sawa.ni mwendo wa masifa.safi san

  • @calmanmichael7789
    @calmanmichael7789 5 років тому +7

    Ndo maan bongo movie yetu haisongi mbele kwa sabab y mijitu kama hii

    • @dannyvadina2116
      @dannyvadina2116 5 років тому

      🤣🤣🤣🤣mumenishinda tabia🤣🤣kwakweli

  • @shefaashefaa1930
    @shefaashefaa1930 5 років тому +5

    Dada zetu sijui kwanin mnapenda kutembea uchi mungu awasaidiye mnahitaji maombi zaidi

  • @mtasma1994
    @mtasma1994 5 років тому +45

    Kioo cha jamii kwa mwonekano huo lazima duuuh labda kioo cha bafuni

    • @isaacsimon3580
      @isaacsimon3580 5 років тому

      Hahahahaha jalala la wasanii sio kio cha jamii

  • @rommydeevan8543
    @rommydeevan8543 5 років тому +13

    Actually actually pumbavu ndo kajifunza leo hiyo msiwaze saan ila kavaaa kama wale kahaba wa bankok thailanda

  • @bashiresuziel2554
    @bashiresuziel2554 5 років тому +9

    Mmmmmm kiyoo Cha jamii kwa kuvaa vichupi?Au?Dada Yetu unahitaji Kuombewa Naona Unatamani Kutembea uchi hivi huna washauri ?Nasikitika sana

  • @zenasubeti8586
    @zenasubeti8586 5 років тому +59

    kama unahisi wolper ana jini kimulimuli like hapa

    • @sadane7508
      @sadane7508 5 років тому +3

      Zena Subeti MBAvu Zangu mie anajini kimulimuli oooh my good

    • @zenasubeti8586
      @zenasubeti8586 5 років тому +1

      @@sadane7508 eewh mama

    • @shanambonika9205
      @shanambonika9205 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @johnnymakalah7212
    @johnnymakalah7212 5 років тому +10

    Actually ! Duh that isn't our language please just speak our nice language. We have to like our Swahili.

    • @0656840872
      @0656840872 5 років тому

      We kibwabwa kweli, ww unaongea lugha gani

  • @kagoggoalfred2730
    @kagoggoalfred2730 5 років тому +6

    congratulations hard work payes

  • @victorboneventure586
    @victorboneventure586 5 років тому +12

    Eti na huyu ni kioo cha jamii?... Jamii inajifunza nini kutokana na alivyovaa hapo?... Nadhani kuna haja ya kupunguza vioo vya jamii...Vinginevyo jamii itapotea kutokana na kuwepo kwa vioo vingi

  • @saidinaweka8504
    @saidinaweka8504 5 років тому +8

    Nilichogundua alkokaenda kajifunza neno "actually" maan kla aulizwacho actually haikosi.ongea2 lugha mama kiswahili utaeleweka2 mbon

  • @tatushijaukovizuridogo7534
    @tatushijaukovizuridogo7534 4 роки тому

    Honge dada mungu yupo nawewe fanya vitu usijari maneno yawatu watakuona unasonga mbere2

  • @casttraining1575
    @casttraining1575 5 років тому +6

    Huyo ni mshamba anajisifu halafu sio mzuri. .kiivyo alafu mzee kujiingiza kwenye mahusiano na katoto kila.

  • @subiramalenda99
    @subiramalenda99 5 років тому +3

    Actually

  • @sarahnzunda3023
    @sarahnzunda3023 5 років тому +3

    nakukubali hatari uko vizuri unajiamin 😘

  • @ramadhaniissa5370
    @ramadhaniissa5370 5 років тому +2

    ACTUALLY

  • @charoofficial1153
    @charoofficial1153 5 років тому +13

    Ofcoz you're asmart Lady but akili haiko smart everything " actually, actually yawah!! Wapoo dada kama hujui kingereza plz ongea tu kiswahili badala kizungu kikungoe meno.

  • @selemangosi6771
    @selemangosi6771 5 років тому +10

    Vioo vingine bana jiangalien nyny wenyewe

    • @shadyamollel1453
      @shadyamollel1453 5 років тому

      Kote nmechek comments lkn hii Kali zaidi mpk nimeeee

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 5 років тому +1

    Asante shule

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 5 років тому +5

    ACTUALLY hii interview nimeipenda coz actually amependeza

  • @saidiomali3324
    @saidiomali3324 5 років тому +1

    Pambana umri unasonga acha mapenzi na watoto yanakupohtezea mda chukua kibabu chenzio tulia nae maisha yaende.

  • @babu2274
    @babu2274 5 років тому +21

    Actually
    This girl is so mad everything has actually

  • @DryVocals12345
    @DryVocals12345 5 років тому +7

    Sisi kama. Baswapwa hatumtambui kama msanii japo yupo kwenye shughuli hii muda mrefu

  • @denismrutu9655
    @denismrutu9655 5 років тому +7

    Hi actually na Any way wanapenda sana kutumia wasanii pamoja na mjomba wangu

  • @rajabudau7478
    @rajabudau7478 5 років тому +6

    Kujifunza biashara ipi wewe.. mbona bakheresa hajaenda

  • @bestermlwafu3781
    @bestermlwafu3781 5 років тому +2

    Kwani hii movie gani?

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 5 років тому +11

    Wolper ur so powerful lakini ongea chakwetu 2 achana na hizo actually actually actually actually unazitumia vibaya huku trump hataki ivo

  • @sadanassor7966
    @sadanassor7966 5 років тому +1

    Beautiful baby

  • @rahmakhassani4148
    @rahmakhassani4148 5 років тому +10

    Kiyoo cha jamii ni iyo miwani nyeusi au

  • @wahabiboy94
    @wahabiboy94 5 років тому +4

    Aslay Queen

  • @morama7jr559
    @morama7jr559 5 років тому +25

    Mbona Actual nyingi? Wabongo munafeli wapi? Kama munataka interview kwa kiswahili basi fanyeni kwa kiswahili na kama ni kingereza fanyeni kwa kingereza. Mbona munatuchanganyia mambo?

  • @haikamongi9525
    @haikamongi9525 5 років тому +8

    Ongea kiswahili hatukuelewi na hizo actually zako

  • @mkinganusu7070
    @mkinganusu7070 5 років тому +8

    Hakuna star bongo kama Wema sepetu afeki ni Star Kwel

  • @dechaggagirl6173
    @dechaggagirl6173 5 років тому +2

    Mchagga og😍😍

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 5 років тому +6

    Dah wabongo maigizo mengi

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 5 років тому +3

    Sasa visa na passport inakujaje???Ushambaaaa...😆😆😆ulimbukeni mwingi mnooo my dia your not smart kwenye ubongo hata kidogooo.ACTUALLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL

  • @saudatamiry1966
    @saudatamiry1966 5 років тому +8

    Ivi ulishahitim kuongea kingereza we mpare😃😃😃

    • @naamnaj8844
      @naamnaj8844 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @elishachenya5341
    @elishachenya5341 4 роки тому +1

    Bangi Sana watu wa moshi anawajua Sana

  • @edsongerson2988
    @edsongerson2988 5 років тому +3

    Wolper yupo gambe

  • @epifaniamponda4491
    @epifaniamponda4491 5 років тому +60

    Mhhhhhhhh nieleweke hivi 'kiufupi kila mwanamke akivaa kimini anapendeza na anavutia lakn ukimpata ambaye anavaa vazi lefu nalinalostili mwili wake naakawa anapendeza basi huyu ndo wakuoa nakumuweka ndani maana ni dhahabu anaheshim Mali za mmewe ' najikubali coz mama alinifunza

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 5 років тому

      Epifania mponda naomba tuwe marafiki my dea

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 років тому

      @@edwardsichilengwe2330 😄😄😄 lol

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 років тому +6

      Mke wa kuoa ni tabia navyojua Mimi, sio sura Wala mavazi. Anaweza akawa anavaa baibui au vitenge lkn akawa na rohoooo mbayaaaaaaaaaaa akashindwa hata kukuleta karibu na ndugu zako au akaleta kutokuelewana na marafiki zako au hata watoto wako kama unao wa nje. Yaani akakufanyia vituko ukajuta kumuweka ndani. Haya ndio maoni yangu

    • @faudhiatmasoud4025
      @faudhiatmasoud4025 5 років тому +1

      Hakuna kitu knahitaj matunzo ktk mwili wa binadam kama "AKILI"ukii2nza akil yko utajua saa hii napaswa kusali/kuswal,hki cfai kukifanya,nikifanya hiki ntapata matokeo aya na mwsho itakua vile hata ayo mavaz utafaham vp unapaswa kuvaa km mwanamke/mwnaume mwny akili and everything..kwa maoni yng awe mwnamke awe mwnaume hakuna ki2 kitam km "AKILI"..kuswali sana,kuvaa nguo ndefu/fupi,kuwa mpole,kuwa na pesa has nothing to do with being a wife/husband material...!!

    • @s.flavor38
      @s.flavor38 5 років тому

      Ww klak2 mazoea mom

  • @deboramushi1501
    @deboramushi1501 5 років тому +3

    Achiliiiiiiii!!!!!?

  • @doreenchiragwile3424
    @doreenchiragwile3424 5 років тому +6

    Hahaha actually, you Kno, zote za wolper

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 років тому +6

    Huyu jack ongea yke tu cipendiii

  • @tz7976
    @tz7976 5 років тому +1

    actually actually actually

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 5 років тому +4

    Acha bas wanakufokoa nn

  • @mlishowashengah578
    @mlishowashengah578 5 років тому +1

    Actually naona hii Tanzania ntaihama actually Bora nikawa raia wa malekani actually kutanifaa sana

  • @piuskokoyo2074
    @piuskokoyo2074 4 роки тому

    good

  • @جميلةجميلة-ع5ن1ق
    @جميلةجميلة-ع5ن1ق 5 років тому +5

    Sina lakusema langu jicho tuu

  • @happychua1031
    @happychua1031 4 роки тому +1

    Mchaga ana mbwembwe huyu mpaka ana boa

  • @mariammichael9773
    @mariammichael9773 5 років тому +3

    Mhhhh! kioo cha jamii kwa kuvaa vimini na kumbana pua nakujifanyisha kuongea kiswahili chakujilazimia km vile mtoto mdogo.

  • @hortensehortense7901
    @hortensehortense7901 5 років тому +2

    Actually sijapenda

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 5 років тому +3

    Pumz unayo mama Mana sio kwa kubana saut

    • @jacquelineadrian1112
      @jacquelineadrian1112 5 років тому +1

      Yaan wajinawetu nilishamba🤣🤣🤣🤣siaongee kawaida

    • @jacklinamani7519
      @jacklinamani7519 5 років тому

      @@jacquelineadrian1112 anaishia kwenye and and ty

  • @alexnyawa2770
    @alexnyawa2770 5 років тому +14

    Mbona hatulii kwani anahisi mkojo

  • @nasbakari1849
    @nasbakari1849 5 років тому +4

    Kiooo cha jamiiii wafunza watu kuwauchi

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 5 років тому +3

    Kwani nani alimdanganya wolper actually ndo kingereza ?

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 5 років тому +1

    She should tell you why she travelling every after tow weeks which business we all knows Thailand, France and other countries she me it is popular with the business of prostitutes there's no business in port and export in those countries she should explain what is doing.

  • @ramzy5280
    @ramzy5280 5 років тому +3

    Actually I need actually mim binafsi.....

  • @superramso2631
    @superramso2631 5 років тому +5

    Actually actualy kila saaa nyie ndio mlio pataga ziro kwenye mtihani wa english kwaio saiv ndo mnafanya exercese

  • @tanzaniayangu25
    @tanzaniayangu25 5 років тому +11

    Muogope Mungu na hivyo vichupi vyako, acha nyodo

    • @josephwilliam7348
      @josephwilliam7348 5 років тому +1

      Tanzania Yangu kweli bro unajua hawa watu mi huwa nawashangaa Sanaa halooh

    • @opqsweetbert9598
      @opqsweetbert9598 5 років тому +1

      Hahahahhahhahahhahahhahahhahahhahahahhaha utaniua na kucheka aiseeeeeeeeeeeeeeh wasanii wabooooooooooongo shidaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaaaa

    • @mariammichael9773
      @mariammichael9773 5 років тому

      Tanzania Yangu Yani ni hatar dunia hii inamambo.

  • @evakiwia6768
    @evakiwia6768 5 років тому +7

    Actually actually actually so so so konga lugha ya taifa yaishe

  • @kabangaonline4523
    @kabangaonline4523 5 років тому +4

    Huyu angesoma tungekoma aisee

  • @musaallu3025
    @musaallu3025 5 років тому +3

    Kama anachomelea mageti

  • @yezaa_tz
    @yezaa_tz 5 років тому +7

    Msodoki awezi pata mwili uwo mzigo sio mdogo😁😁

    • @is-hakacena78
      @is-hakacena78 5 років тому

      #kwani wolpa ana nini au ana ya dhahabu

  • @comradeonline9147
    @comradeonline9147 5 років тому +4

    Actuaally
    You think us are mad oh apo ndo ujapangilie nyooo

    • @jonaselisha3217
      @jonaselisha3217 5 років тому +1

      Daa wanatz bana akitoka tu kwenda ,China tayari kichina nilugha yake yakuzaliwa. Duh hao ndo wabongo bana

  • @kassimmaghembe6110
    @kassimmaghembe6110 4 роки тому +1

    Uyo mazaa kashakua mzee lkin bdo tu havutii tena

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 5 років тому +10

    Thailand masomo ya biashara na hawaongei hata English? Thailand ni kwa umalaya saana

    • @najmasalimsalim2741
      @najmasalimsalim2741 5 років тому +1

      It is true thailand umalaya ndio biashara kubwa inayotilia serikali pesa

    • @ethelkatambala1659
      @ethelkatambala1659 5 років тому

      Si mwehu huyo hata hajielewi...anarembesha kuongea upupu wake mi naona ananikera tu

  • @steve_tz
    @steve_tz 5 років тому +7

    Kioooo kioo gani jamani ichi kioo kinadanganya

  • @hawasaid7087
    @hawasaid7087 4 роки тому

    Nc

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 4 роки тому

    Hongera mama

  • @hajimilowe5372
    @hajimilowe5372 4 роки тому

    Hawa watu interview zao nashindwa kabisa kumaliza kuangalia, hivi hawa kwan nan kawaambia ili uonekane star uchanganye lugha? Kumbe hawa wanaigiza mpaka maisha ya kawaida. Ndio maana hata soko lao la Movie limefeli.

  • @wincharsmadata2724
    @wincharsmadata2724 5 років тому

    Jaman...watyuu wanakikmbilia kusemea nguo aliyovaa..hv Yale magome ya miti na ngozi za wanyama zilikua zimekaa muundo wa dera ama zilikua zinafunika kifua na makalio tyuu.....😏😏 nmajiweka kijisahaulisha

  • @MustafaAli-bs6mb
    @MustafaAli-bs6mb 5 років тому

    Mbona mnapenda sifa sana na kujiweka juu hacheni hizo

  • @ethelkatambala1659
    @ethelkatambala1659 5 років тому +9

    Ushuzi mtupu hebu tutokee sie...unapenda kinge na shule hamna mfyuuuu maviiioo

  • @rashidabdallah9887
    @rashidabdallah9887 2 роки тому

    Duh kweli dada

  • @felixochungo5656
    @felixochungo5656 5 років тому +3

    Waja kizungu wewe mlelelaji wa dar...hata pongezi tu

  • @rashidimuhibu6832
    @rashidimuhibu6832 5 років тому +1

    Actually actually you know bhana ipambeni lugha yetu tu

  • @catrinapatrick787
    @catrinapatrick787 4 роки тому

    Ongea tu kiswahili tu dada rusungu balaa kwako

  • @happynesselisha2048
    @happynesselisha2048 5 років тому +28

    Sauti zinabadilika kila muda utadhan makava ya simu 😂😂

  • @mussakassim299
    @mussakassim299 5 років тому +1

    Actually ni nini

  • @nabyabraham335
    @nabyabraham335 4 роки тому +8

    Bongo wasanii mikwara🤣

  • @bertothegentleman2623
    @bertothegentleman2623 5 років тому +27

    Shule muhimu sana wajameni.😂😂😂

  • @keita.wallet6984
    @keita.wallet6984 5 років тому +1

    Mashauzi mwachie ishaaa

  • @jupiterprey7027
    @jupiterprey7027 5 років тому +4

    Uzee huo

  • @aimerbujiriri6181
    @aimerbujiriri6181 4 роки тому

    Kapole dhii❤️🍾

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 роки тому

    Mama actually, mimi sielewi sisi wa bongo nani alituroga? Huyu actually hate simuelewi anasema kioo cha jamii cha nguo fupi?misifa kibao,mtateseka nahaya msisha muyatakayo

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 5 років тому +2

    Nimesikia Actually i needs.

  • @daudisiloma1531
    @daudisiloma1531 5 років тому +2

    Dah wabongo ndo warivyo ni kukanana mwazo mwizo leo yupo na huyu keshu yule

  • @sumayahmahmud3909
    @sumayahmahmud3909 5 років тому +1

    Be you Wolper!!

  • @judyrevisoni5556
    @judyrevisoni5556 4 роки тому

    Hatar jaman hii dunia kizunguzungu

  • @dadycool5743
    @dadycool5743 5 років тому +6

    Nyodo uyuu

  • @edinamsukwa8993
    @edinamsukwa8993 4 роки тому

    Yaan sijawah kukupenda,unaboa hujiheshimu kwan huna wazazi?

  • @serahriri7470
    @serahriri7470 5 років тому +1

    Wah.. ii actually nayo imezidii

  • @ommy2923
    @ommy2923 5 років тому +4

    Umri Unakwenda.. ama Kama Shilole anavyosema: Your Age is Going ,Mama

  • @davidivenasi2747
    @davidivenasi2747 5 років тому +1

    nakupend

  • @dronemiguel2230
    @dronemiguel2230 5 років тому +37

    Mmmhh!! Kingereza kazi kila jib lazm actually 😂😂😂

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 років тому +4

    Wolper unajitahidi kupendeza lkn nguo zako mitiani sana, umri unaenda lkn uzeeki.

    • @khdijaahmed8458
      @khdijaahmed8458 5 років тому +2

      Ila wew musaa 😂😂😂😂

    • @خسنموس
      @خسنموس 5 років тому

      @@khdijaahmed8458 yap

    • @daudijuma9093
      @daudijuma9093 5 років тому +1

      @khadidja ahmed Mussa Hassan Upo Correct sn

    • @iddytamba1907
      @iddytamba1907 5 років тому +1

      hiv mnao dis mavax mnataka avae magunia

    • @خسنموس
      @خسنموس 5 років тому

      @@iddytamba1907 ata km utak kuongea kwa mavaz yake yanakupa msisimko

  • @xaverysunday1886
    @xaverysunday1886 5 років тому +4

    Aboi 4rm Makambako town acha ujinga ww

  • @sebastianhaward5981
    @sebastianhaward5981 5 років тому +1

    what is actually jamani labda cc ndo hatuelew