MKASA WA ROSA REE ASIMULIA MWANAUME WAKE ALIVYOVUA NGUO NA KUBAKI UCHI KISA KUTAKA MSAMAHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @LoveAron
    @LoveAron 2 дні тому

    Daaah hiii kweli ni noma sn huyo bwana hapendi kuachwa ana penda kuacha 😂😂😂😂😂 Aise pole sn Rosa ndiyo mapemz ❤❤❤❤

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 дні тому +7

    Pole sana Rosa! Mimi kijana wangu tulikuwa tukiwa nje mapenzi kilo 150, mpaka watu wakawa wanatusifia na kutamani mapenzi yetu! Tukiwa ndani hata kunishika hanishi yaani kisirani, simu ikiita vita nikipendeza vita! Kwenye mapenzi anasema yeye hapendagi sana kufanya😂 nikitoka ananifata nyuma. Watu wakiniongelesha anapigana na watu ananitia aibu! Mara leo twende nikutowe out uenjoy mpenzi wangu, nisamehe ninavyokumizaga. Tukifika hiyo sehem ya starehe, ananiambia wewe ingia kastarehe ukimaliza nipigie nikufate! Niliachana nae nilipomkuta na rafiki yake wa kiume wanae itanaga brother, kitandani wakipeana raha. Ila vijana hapana aise sitorudia tena 🙌😂😂

  • @JuliethaJulius
    @JuliethaJulius 2 дні тому +3

    Pole.. ni kawaida kukutana na vituko kama hivyo ukikutana na mshamba wa mapenzi mpaka unajuta kumfahamu😂

  • @TAYTA_MEDIA
    @TAYTA_MEDIA 2 години тому

    🤩🤩🤩

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 2 дні тому

    Dah! Hatari sana

  • @SilverTaric
    @SilverTaric 9 годин тому

    Oyaa najua wee rosa ree usitupange

  • @AbbyIbrahim-l1q
    @AbbyIbrahim-l1q 2 дні тому +1

    Ni movie au reality show

  • @RehemaPanga-x6z
    @RehemaPanga-x6z 2 дні тому +1

    Uwongo bhana, cm c uliacha kitandani au...

    • @ValetinaPhilipo
      @ValetinaPhilipo День тому +1

      Umeona ee alitoa wap cm na wakat aliiacha kitandan

  • @tafadzwamashango7952
    @tafadzwamashango7952 2 дні тому +1

    Nasubiri tu part 3😂😂

  • @MichaelJimmy-db5pu
    @MichaelJimmy-db5pu День тому +2

    Uyu dema n malaya kinaonekan tuuu afu ana stor

  • @RjRj-p3e
    @RjRj-p3e 2 дні тому +3

    😂😂😂 nimecheka kwa bajaji kutikiswa nyie kunawanaume machiz hii dunia

  • @Thadeus97
    @Thadeus97 2 дні тому +3

    Ila we simu umetoa wap ya kumpigia dada wakat ulidai uliiacha kitandan hotel na ulivotoka ulitoka bila simu???

    • @mariamnur1036
      @mariamnur1036 2 дні тому

      Eeh story za kutonga hizi

    • @ChrisMeshack
      @ChrisMeshack 2 дні тому

      Bado vitu vingi ametuficha

    • @LoveAron
      @LoveAron 2 дні тому

      Walirudi tena chumbani km una fatilia vzr ndipo alipo chukuwa cm

    • @Wizy_store
      @Wizy_store День тому

      😂akili mingi 🙌

    • @Thadeus97
      @Thadeus97 День тому

      @@LoveAron
      Oooh bhas nitakua sijasikiliz yote,
      Nimesikiliz vipande vipande

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul День тому

    Ukiona hivyo kingast

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 дні тому

    Hahahahaha nimecheka sana Rose

  • @ashaghali8714
    @ashaghali8714 День тому +1

    Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pulkeriamtavangu9504
    @pulkeriamtavangu9504 2 дні тому +3

    King'ang'a😂

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 2 дні тому

    hiyo kawaida mwenyew nishawahi kubeba godoro nikaenda kulala mlangoni kwa demu wangu kwa nje alikuwa anataka kuzingua huruma ikamuingia akajikuta ananikaribsha ndani

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 дні тому

    Si ulisema simu umeacha chumbani?

  • @lemtipizzy1985
    @lemtipizzy1985 День тому

    muongo si alisema kwenye part 1.. jamaa alivua nguo zote akabaki uchi kwa hiyo kadandia gari nyuma daika 15 uchi???
    2. simu uluziacha ghetoni ulumpigia vipi dada ako?? akili zenu sjui zinawaza nini mkitudanganya na stori za kiongo.. au unafaidika nini kudanganya watu milioni just because u r a girl.. majority of women akili zenu hazijawahi kukua kama mmezaliwa jana…

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 дні тому

    Mtu uchi pilika zote hizo tanzania Dar es salaam!!!!!!

  • @KelvinAlex-x2i
    @KelvinAlex-x2i 2 дні тому

    Usenge 2

  • @nancyfantasia1945
    @nancyfantasia1945 2 дні тому

    Cm ulisema mwanaume alibaki nayo jmn

  • @totonata5384
    @totonata5384 2 дні тому

    Ulichukua simu muda gani? Si uliacha chumba juu ya kitanda???😮😮😮

  • @ErickElibarick
    @ErickElibarick 21 годину тому

    Unajua nin Acha kuzuga mama video yako na timmy mkii fanya uchafu ni tafute ili ujue vyeo una

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 2 дні тому

    anamapepo huyo jamaa

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 дні тому

    Sio simu uliacha kitandan ukujari simu uliiacha au

  • @JeniphaEdward-w2b
    @JeniphaEdward-w2b 22 години тому

    Wewe muongo mala sm uliacha ndani mala umeloki kioo namtu kilivunjika sijakuelewa

  • @ramamwanga7551
    @ramamwanga7551 2 дні тому

    Hoteli Gani Haina uongozi

  • @nimahnoizy8068
    @nimahnoizy8068 2 дні тому +2

    Kijana yupi anaweza kuwa na mwanamke mwenye titi Kama lakuongezea damu

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 2 дні тому

    Si ungeenda police 😂

  • @ramamwanga7551
    @ramamwanga7551 2 дні тому

    Na kwanini msiendenpolisi

  • @wynmedia7653
    @wynmedia7653 День тому

    Ukishakua lesbian hata ukiacha huwezi kuwa na mwanaume ukamheshimu

  • @CITIONE-w6l
    @CITIONE-w6l 2 дні тому

    ww umeleta zarau mwanetu afagilii , unaondokaj kizembe qudadeq ch mwaume hakiend bure mjng kwel

  • @samsunggalax8258
    @samsunggalax8258 2 дні тому

    It's horrors movies nata haha movies 😂😂

  • @SaidSaleh-h2j
    @SaidSaleh-h2j 2 дні тому

    😂😂😂😂

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 2 дні тому

    😂😂😂😂huyo kimbembe Mimi ningeelekeza gari kituo cha police 😂

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 дні тому +4

    Rose is it ant truth on that whole story???
    Is it really no body on the whole this story acting wisely?
    .
    No police on the road.
    Where is that serengeti national park????
    Is too amazing to be true

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 2 дні тому

      Huuuuh!! What language is this?😢😢

    • @dorrynnamdi3424
      @dorrynnamdi3424 2 дні тому

      😂😂😂😂​@@Brunn-mh2bq

    • @Hadia-99
      @Hadia-99 День тому

      😂😂😂​@@Brunn-mh2bq

  • @edwinamos9734
    @edwinamos9734 2 дні тому

    Anatafuta kutrend jike dume

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 2 дні тому +1

    Hii story kuna uongo flan hivi wa kunogesha story 😂

  • @JescaKaaya-k7w
    @JescaKaaya-k7w 2 дні тому

    Nimecheka Kama mazur😂😂😂 ila pole dada

  • @FainessChisunga
    @FainessChisunga 2 дні тому

    Nimejikuta nacheka eti kama kapanya 😂😂