@@JifunzeNenoLaMungu nimeshikwa sababu,lazima uombe Mungu akujulishe Hali ya kiroho ya huyo mtumishi,na Hali ya kiroho ya iyo madhabahu sijakurupuka nataka niambatane na mtumishi sahihi,sipo kwaajiri za kufikirika,jifunze hiyo
@@janethmwihumbo1289 ya kiroho hujaiona, haya ya kimwili Sasa ni wakati wa Kuiona, Dar haiangamii Kwa Maji wala Kwa moto... Kimbunga kimeisha watu wapo, bahari haijaja..
Mbali na tukio la Dar,Nabii MUSA ni mtumishi wa Bwana wa kweli,nimemfuatilia muda mrefu,suala la dar kutoangamia,halimtoi ktk utumishi,mpango mzima anao Bwana,nachokijua MUNGU sio mwanadamu hata aseme uongo,kama MUNGU alitaka mtu mmoja aseme ndipo aghairi ni sawa,yawezekana akawa Gwajima aliyeitwa na Nabii MUSA hakwenda,hapo nachoomba MUNGU alitukuze na kuliinua kanisa heshima itakuwepo,eendelea kumtuikia MUNGU na wanadamu.
Sasa wewe ulisema tuuze nyumba na magari na mali harafu tuhame. Watu wameuza mali zao harafu ulichosema hakijatokea sasa tukueleweje. Yaani kisipotokea utatafutwa tu tena ulisema kikwete atakufa mpaka leo yupo watakuachaje kwa mfano.
Nilikuambia wewe ni nabii wa uongo maana wengi wamearibu malizao kisa kuwadanganya nakuwatapeli kupitia jina la yesu kristo kwa nini utoe unabii ambao niwa uongo nabii ni mwakilishi wa MUNGU akisema anesema wewe ni nabii wa uongo nanyiee watu kwanini hamtaki kusoma neno la MUNGU
Una uhakika gani kama Ni nabii wa uongo? Unajua sifa za nabii? Nabii Ni mtu ambae anatumiwa na Mungu na akisema neno hutokea je Musa hakuna Mambo aliyosema yatatokea na yakatokea tii usisubiri Mambo yameharibika ndo useme kumbe alikuwa anasema kweli. Mungu anaweza pia kughairi Kama watu watatubu na kuacha haina maana kwamba kwa kuwa Mungu ameghairi kuangamiza kwa kuwa watu want yenyenyekea Kama alikuwa hana mpango wa kuangamiza au kwamba sio nabii wa Mungu atabaki kuwa nabii Mungu Ni mwenye huruma tukitubu anaghairi
@@hezekiamhapa7395 Nimekumbia huyo siyo nabii Bali nitapeli kupitia jina la Yesu kristo soma mathayo 24:12 ,24:24 mathayo 7:15 wewe usomi Bali ni mshabiki t
Unaongea kwaa kiri za kufikirika wewe ni mtumishi wa Mungu na unatarajia mbingu ile,kwann una mkataa mtumishi wa Mungu ukomando wako uko wp muwe mnaomba Mungu awaonyeshe huyu ni Nani kaa kimwili hivyo hivyo
Yule ni mtumishi wa Mungu kabisa alisema Kuna baadhi ya sehemu Mungu ataziacha sababu ya mtu mmoja msukuma na Mungu ataleta tope,sio kusitishwa dar yote,lakini Kama wasipo tubu anairudisha Tena,kwa uonavyo mlivyo wa bishi Mungu ataghairi ??na wabishi Sana ni waamini sio wapagani
Tma walisema 28 na 29 kutakuwa na mvua za mafuriko za kufungia msimu vipi zimetokea? Acheni kumwandama huyu mtumishi Mungu amekaa kimya kwa sababu maalumu
Rais hatafariki mana kakuonesha ili tumuombee,mafuriko yameonekana ili tukwepe janga. Kwanini wewe unatamani mvua? Vitu vingepotea kuna madhara gani,unaogopa polisi??
Sawa!!Mungu akubriki,atulinde na sisi!wengine tulishaota tunapigwa risasi za vichwa na wengine wakaona wakatuombea tunaendelea vizuri!! Nadhani ndoto hizi ni mchanganyiko was haya mambo!
Amina mtumishi wa MUNGU. Watashindana lakin hawatashinda kwa Jina la YESU. Na hakuna alieshindana na BWANA akawa salama
TMA haitumwi na Mungu ndo mana yanaweza yakatokea au yasitokee
Asante Musa wa Tongareni
Amen amen nabii Musa ubarikiwe
Shalom Nabii MUSA,kuna mtumishi wa Huduma ya KRISTO amesema MUNGU ameghairi mpango wa kuangamiza Dar,hili likoje?
Ulimwengu wa roho wa giza na wafuasi wake wana haha siku zina hesabika,kwao Mungu atabaki kuwa Mungu
Mungu akuokoe, umeshikwa sana,
@@JifunzeNenoLaMungu nimeshikwa sababu,lazima uombe Mungu akujulishe Hali ya kiroho ya huyo mtumishi,na Hali ya kiroho ya iyo madhabahu sijakurupuka nataka niambatane na mtumishi sahihi,sipo kwaajiri za kufikirika,jifunze hiyo
@@janethmwihumbo1289 ya kiroho hujaiona, haya ya kimwili Sasa ni wakati wa Kuiona, Dar haiangamii Kwa Maji wala Kwa moto... Kimbunga kimeisha watu wapo, bahari haijaja..
Mtumishi ulisema mwezi wa nne ukifikia mwisho tutashuhudia ila umeisha na hamna lolote ikoje
Mwezi umeisha
Hata huu wa tano ukiisha waa tutajuta kusikiliza uongo Iwapo unabii hautatimia
@@jorambranchofmud6299 ila kiukweli sijawahi kuamini Mu gu aninusuru
Mbali na tukio la Dar,Nabii MUSA ni mtumishi wa Bwana wa kweli,nimemfuatilia muda mrefu,suala la dar kutoangamia,halimtoi ktk utumishi,mpango mzima anao Bwana,nachokijua MUNGU sio mwanadamu hata aseme uongo,kama MUNGU alitaka mtu mmoja aseme ndipo aghairi ni sawa,yawezekana akawa Gwajima aliyeitwa na Nabii MUSA hakwenda,hapo nachoomba MUNGU alitukuze na kuliinua kanisa heshima itakuwepo,eendelea kumtuikia MUNGU na wanadamu.
Aminaaa
Tarahe 2-6 ni maoni nimeoneshwa saa nane uck dar itakubwa na upepo mkali ukanda wote wa pwani watu watakuwa wamelala nyumba zitaharibika sana
Leo ni tarehe 3 sass
Dar haita angamia
Sasa wewe ulisema tuuze nyumba na magari na mali harafu tuhame. Watu wameuza mali zao harafu ulichosema hakijatokea sasa tukueleweje. Yaani kisipotokea utatafutwa tu tena ulisema kikwete atakufa mpaka leo yupo watakuachaje kwa mfano.
Aise unajua uchungu wa kuuza nyumba na kuhamia kibaha kwenye vibanda,na ulikua unasisitiza kweli
Rud dar
pole😅😅😅
Saa ya Bwana inakujilia Kama mwizi kwa iyo unahisi Mungu ameghairi ,
Nilikuambia wewe ni nabii wa uongo maana wengi wamearibu malizao kisa kuwadanganya nakuwatapeli kupitia jina la yesu kristo kwa nini utoe unabii ambao niwa uongo nabii ni mwakilishi wa MUNGU akisema anesema wewe ni nabii wa uongo nanyiee watu kwanini hamtaki kusoma neno la MUNGU
Una uhakika gani kama Ni nabii wa uongo? Unajua sifa za nabii? Nabii Ni mtu ambae anatumiwa na Mungu na akisema neno hutokea je Musa hakuna Mambo aliyosema yatatokea na yakatokea tii usisubiri Mambo yameharibika ndo useme kumbe alikuwa anasema kweli. Mungu anaweza pia kughairi Kama watu watatubu na kuacha haina maana kwamba kwa kuwa Mungu ameghairi kuangamiza kwa kuwa watu want yenyenyekea Kama alikuwa hana mpango wa kuangamiza au kwamba sio nabii wa Mungu atabaki kuwa nabii Mungu Ni mwenye huruma tukitubu anaghairi
@@hezekiamhapa7395 Nimekumbia huyo siyo nabii Bali nitapeli kupitia jina la Yesu kristo soma mathayo 24:12 ,24:24 mathayo 7:15 wewe usomi Bali ni mshabiki t
Unaongea kwaa kiri za kufikirika wewe ni mtumishi wa Mungu na unatarajia mbingu ile,kwann una mkataa mtumishi wa Mungu ukomando wako uko wp muwe mnaomba Mungu awaonyeshe huyu ni Nani kaa kimwili hivyo hivyo
Kuna mtumishi wa Mungu arusha amesema Mungu ameghairisha gharika dar es salaam lakini watu watubu maana anaweza akairudisha. Jee yule nae tumwiteje
Yule ni mtumishi wa Mungu kabisa alisema Kuna baadhi ya sehemu Mungu ataziacha sababu ya mtu mmoja msukuma na Mungu ataleta tope,sio kusitishwa dar yote,lakini Kama wasipo tubu anairudisha Tena,kwa uonavyo mlivyo wa bishi Mungu ataghairi ??na wabishi Sana ni waamini sio wapagani
Biblia haijawahi kusema Musa atarudi tena
Mama omani alionyeshwa na Bwana kuhusu mtumishi huyu kuwa ndiye,ingia magotini ndugu
Tma walisema 28 na 29 kutakuwa na mvua za mafuriko za kufungia msimu vipi zimetokea? Acheni kumwandama huyu mtumishi Mungu amekaa kimya kwa sababu maalumu
28 na 29 wa mwezi gani
Mwezi umeisha na hakuna janga lolote kama Kenya ama Dubai,maporomoko ya udongo Mwanza ni madogo ,Tanzania 🇺🇦 imebarikiwa
Rais hatafariki mana kakuonesha ili tumuombee,mafuriko yameonekana ili tukwepe janga. Kwanini wewe unatamani mvua? Vitu vingepotea kuna madhara gani,unaogopa polisi??
Sawa!!Mungu akubriki,atulinde na sisi!wengine tulishaota tunapigwa risasi za vichwa na wengine wakaona wakatuombea tunaendelea vizuri!!
Nadhani ndoto hizi ni mchanganyiko was haya mambo!
Kazi ipo hii ni pasua kichwa