Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Wow. Asante nitajaribu
Karibu dear 🥰
Safi sana, asante. Lakini, rangi yaani 'food coloring' hueneza ugonjwa cancer. Jihadhari! The food itself has sufficient and varied colors. You do not need food coloring.
Food colouring huwa ni maalum kwa vyakula sidhani Kama kuna kiambata la sivyo dept za vyakula marekani wangezikataa just kidogo tuu for color bestie 🥰
Kw nilivoelewa dk ya3 umeitoa nyama umeiweka pembeni😊
Kidogo tuu Ila bado
👏👏👏👏👏 congratulations madam
Thanks a lot
Dakika ya tatu Sauce imeiva na kutolewa pembeni
No bestie
Stage ya tatu ni kuandaa mchele pamoja na viungo vyake
Hatua ya tatu ni kuandaa vitungu maji kuvikanga mpaka brown 😹🫣🫣
Dakika ya tatu ni kuandaa wali na kwa kuweka Gillian na jani la mint.
Sijaelewa swali kule insta
Viungo vingine mikoani watu hawana
Vipo mchek NackyFoods insta
Stage ya tatu
No